ALIYEITUNGA KOMBOLELA AFUNGUKA/UGUMU WA ILE NYUMBA/KUMBE SIO TEMEKE/WATU WANAISHI NA ANAILIPIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 кві 2022
  • Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
    ALIYEITUNGA KOMBOLELA AFUNGUKA/UGUMU WA ILE NYUMBA/KUMBE SIO TEMEKE/WATU WANAISHI NA ANAILIPIA
    #Bonatv #Exclusive
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 51

  • @KesheMedia
    @KesheMedia 2 роки тому +5

    Watu wamekupenda kwa sababu ya uswahili wa Mama Kimbo na Kombolela, jitahidi kuwafurahisha kwa kujibu kiswahili ili uwe nao sawa! Japo tunajua ni mwalimu mzuri wa kingereza

  • @fatmaahamad633
    @fatmaahamad633 2 роки тому +6

    Hongera sana abdul umejua kutukamata lkn kombolela umetukamata zaidi👏👏👏

  • @dativachaki7740
    @dativachaki7740 2 роки тому +5

    Jamaaa ajengewe sanamu... Bonge la series 💘💘💘

  • @queenandchill91
    @queenandchill91 2 роки тому +14

    Mtangazaji nakupa 100/100...unafanya kazi nzuri sana...KEEP IT UP
    .
    Mtunzi jitahidi hujibu maswali kwa Lugha ya kiswahili kama unavyoulizwa, wafutatiliaji wengi ni waswahili, unapochanganya Lugha kuna watu wanakwama hawakuelewi.

    • @naalyhussen3253
      @naalyhussen3253 Рік тому

      Kwakweli kama mimi mmmhhh😁😁😁😁😁😂

  • @kulthummohdhakim5857
    @kulthummohdhakim5857 2 роки тому +4

    Hongera sana mtunzi kombolela iko juu sanaaa umegusa maisha halisiii endelea kutuletea vitu km hivi vya uhalisia wetuu

  • @erickmsaki9383
    @erickmsaki9383 Місяць тому

    Hongera sana kaka una uwezo mkubwa sana Mungu azidi kukupa nafasi ya kuonesha uwezo wako

  • @arafasaid
    @arafasaid 11 місяців тому

    Yaani mtunzi hukukurupuka ulikaa ukatunga yaani hawo wahusika ndo kabisa umenimaliza wamebeba uhusika sawa sawa filamu inaruhusu kutizwamwa na familiya kwa pamoja yaani iko juu sijuwi atanisemeje kaah 👌👌👌🥰

  • @rukayyawendo1268
    @rukayyawendo1268 2 роки тому +4

    Huyu mtangazaji yupo vizr kweli kweli

  • @ramashemngindo5719
    @ramashemngindo5719 2 роки тому +8

    Kingereza kingi sana huo ni utumwa

  • @luthumaiko9971
    @luthumaiko9971 2 роки тому +9

    Kombolela naipenda sana,natamani isiishe iwe kama isidingo

  • @elizabethmajaliwa8962
    @elizabethmajaliwa8962 Рік тому

    ❤❤angetp mwendelezo hatima y tukae uko jera hatima ya siwa Na uchiz wake hatima ya madawa Na hatima y kila mtu jmn tuone ❤❤tunaipen bado inaishi

  • @dynessmwakasala2153
    @dynessmwakasala2153 2 роки тому +2

    Hongera kaka cjawah kupenda tamthria kama h ya kbongo

  • @najmakiria7164
    @najmakiria7164 2 роки тому +1

    Yani story zako zote nzuri kombolela adi mama kimbo

  • @dativachaki7740
    @dativachaki7740 2 роки тому +3

    2022 kombelela na Juakali ya Lamata DStv ndio Moto

  • @jenipherkavusha1661
    @jenipherkavusha1661 2 роки тому +2

    Kombolela nzuri sana

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 2 роки тому +2

    Abdul yaani Kombolela❤️❤️❤️❤️

  • @zuleikhasuleiman4634
    @zuleikhasuleiman4634 2 роки тому +3

    Congratulations you are the best & talented

  • @faizamohamed6993
    @faizamohamed6993 2 роки тому

    mazee huwa natamani ijumaa ifike ni jumapili isiishe ili niangalie kombolela...mashallah a very interesting story...Big up bro

  • @khadijaminule7756
    @khadijaminule7756 2 роки тому

    Yaan Abdul kutunga Ma Kimbo na Kombolela Ni Maisha ambayo anayajua Sana na ameyaona kwa ukaribu Sana Hongera Sana🙏🔥

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 2 роки тому +1

    Daaa mungu akubariki sana maana kombolelaa ni balaaaaaaaa

  • @marthajohn9120
    @marthajohn9120 2 роки тому +1

    Hongera sana Abdul kwa kazi nzuri big up

  • @naithamissa1483
    @naithamissa1483 2 роки тому +2

    Mtunzi umeupiga mwingi Sana ujengewe sanamu

  • @pillyomary6127
    @pillyomary6127 2 роки тому +1

    Mashallah kichwa sana uyu kaka

  • @user-ly6qc3nh7c
    @user-ly6qc3nh7c Рік тому

    Naomba nafasi na mm samahan

  • @tousihhhh6765
    @tousihhhh6765 2 роки тому +3

    abduli unilipe pesa yangu maan nimenunua king'amuzi kilazim 🤣🤣🤣🤣👣

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 роки тому +2

    Kombolela tamthilia bora 2022

  • @anitanahimana2115
    @anitanahimana2115 2 роки тому +1

    Hongera. Kaka. Abudull. Allah. Akubarik. Sana

  • @florachogo243
    @florachogo243 2 роки тому +2

    Kombolela gumzo la Afrikamashariki

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 2 роки тому +1

    Hongera zake
    Tamthilia nzuri sana

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 роки тому +1

    Awesome 👍👌🏽huna juwa! Ww na lamata ni 🌶️

  • @florachogo243
    @florachogo243 2 роки тому +1

    Hongera saaaaaaana

  • @marryjames7159
    @marryjames7159 2 роки тому

    Hongera yake jaman anaweza sanaaa

  • @rukiaomar3369
    @rukiaomar3369 2 роки тому +1

    Hongera mtuzi

  • @najmanassoro308
    @najmanassoro308 2 роки тому +1

    Nyieee kingee

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 2 роки тому +1

    Kaka kaz mzr🥰🥰🥰🥰👏👏

  • @anethmshahara8519
    @anethmshahara8519 2 роки тому +1

    Jmn Abdul naomba namba zako nami nahitaji kuingia kwa tasnia 😅😅

  • @bibianabenedict2459
    @bibianabenedict2459 2 роки тому +3

    Big up kaka,Kombolela ni balaaa yaani

  • @rukayyawendo1268
    @rukayyawendo1268 2 роки тому

    Mashallah

  • @praxedadominic6670
    @praxedadominic6670 2 роки тому

    ❤️❤️

  • @rukiaomar3369
    @rukiaomar3369 2 роки тому +2

    HAJAMUHOJI KOBISI WA MAPENZIII

  • @alihamadi1044
    @alihamadi1044 2 роки тому

    0

  • @sophiakambenga2519
    @sophiakambenga2519 2 роки тому +1

    M

    • @rehemakayoka1393
      @rehemakayoka1393 2 роки тому +1

      Kaka huku tupo tunatamani kuigiza na tunajua haswaaa ila namna ya kukufikia sasa😤😤😤

  • @rukiarashid3669
    @rukiarashid3669 2 роки тому +1

    Ina maana kiswahili ujui vzr au??

    • @taarama8466
      @taarama8466 2 роки тому +4

      Huyu kaka kazi nyingine ni mwalimu kabisaaa wa kingereza

    • @maloomaalmnsj5111
      @maloomaalmnsj5111 2 роки тому +3

      Kaka anajuwa mbaka anakeeeelaaaaaaa yani unajuwa tena 😂🤣😂 piga kelele kwa kombolela yake weweweeeeeeeeeeeee

  • @hadijahemed7861
    @hadijahemed7861 2 роки тому

    Hongera sana kaka umeupiga mwingi u deserve it