Tuna taka ma DIRECTORS WAWE WENGI GOOD SUPPORT TV online Umejibu vzl sana interview bro Wewe DIRECTOR KENNY UTADUM SANA UNAEKIMA KUBWA SANA KATIKA MAISHA YAKO
Umetoka kuwa chini ya mtu na bado unaenda kuwa chini ya mtu, ndio alichokataa Rayvany kuondoka wasafi alafu unaenda kuwa chini ya watu wengine, jitoe anzisha chako watu wote wawe chini yako. Ila waandishi tanzania hakuna wanapenda kuuliza maswali Negative sana
Matendo ya Mitume 3: 19 Tubuni basi, mrejee, ili dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwako kwake Bwana; *TUTUBU NA KUMSHUKURU MUNGU MAANA MWEZI HUU WA TANO NI WA BURUDIKO! HAIJALISHI HALI TUNAYOPITIA!! VITU VITAINUKA VYA KUTUPA BURUDIKO LA AJABU!! MEI ITABADILISHA HISTORIA YA MAISHA YETU!!!*
Ambae amewahi kuona interview clauds Media au chanel ya millad ayo ikimisifia diamond typ☝️ lakin mtu kuelezea kugombana na chib mnazipa kipaumbele sana ........yaan msanii mmoja anachukiwa na media nzima 🤣🤣 noma sana ndio maana kaamua kuwa na media yakwake hii sio sawa chuk za nn kha
Mi nachojua daimond kazi zake yeye mwenyewe ndiye anaezitenge eza maana dairecta akiwa kwa mondi anafanya kazi nzuri akitok tu ni vituko tupu na uwezo unapingua daimond anaweza akakupa kazi ya kushuti mix akafanya mwingine editing mwingine lazima kazi iwe Bora anavyotaka yeye
Seems tuu adharani anatembea na mkewako na mala Leo ulifanya big mistake unamponda mbwa nyuma Kenny was ver big mistake polesana unamjua what’s tong of you Kenny? Pole sana Du
Harmonize ni Mr ma ideas very talented big up Kenny
I love the guy doing this interview ..He knows how to put his questions in a way that can't annoy Kenny
That’s the kind of people we need to have in our country.
Kenny hayupoa poa kwenye interviews man. Aishie kifanya production tu
@Kenny 🔥🔥Sana siombaya kwa Hatua Ulio ipiga mungu Azidikuwapa Nguvu wote munao Sapot director wa Tz
Big up brother fanya zaidi mpaka international levels
Nakubal sana broe sauti kama FRED VUNJA BEI LIKES
Royal interview
Even #Sukali# with innoss'B, is a good and international project 🔥🔥🔥🔥🔥✊
Jamaa nimpole mpaka anaboa
DK
directorkenny🔥
Huyo mwanamke ndio mshenzi, kwann akubali kutumika kwenye video, akujua kutunza heshima ya bwana wake
Interview za huyu mwamba zanitia uvivu mno coz ayupo seriously wallah
Anaemsikia Mond katika interview ya Kenny alike hapa
Napenda sana kazi yako kenny natamani kuja kufanya kazi nawewe
I love his replying
Tuna taka ma DIRECTORS
WAWE WENGI
GOOD SUPPORT TV online
Umejibu vzl sana interview bro
Wewe DIRECTOR KENNY UTADUM
SANA UNAEKIMA KUBWA SANA KATIKA
MAISHA YAKO
KENNY I was waiting for you.Ur role model
Jama iko fresh kwa maswari ya busara
Nice brother
KoNDE KoNDE KoNDE KoNDE nakupeda Sana you king
Diamond is the real deal behind director Kenny..
Kenny maswali ya mtangazaji 🇨🇩 yamekuzidi kichwa,🇨🇩🇨🇩
Vido vidox 🔥🔥
Kenny 🙌🙌🙌🙌🙌 unaweza sana
Umetoka kuwa chini ya mtu na bado unaenda kuwa chini ya mtu, ndio alichokataa Rayvany kuondoka wasafi alafu unaenda kuwa chini ya watu wengine, jitoe anzisha chako watu wote wawe chini yako. Ila waandishi tanzania hakuna wanapenda kuuliza maswali Negative sana
Harmonize is talented 💪🏽
Hongera Sana brother Vido Vidox mpe hi Kenny but nahitaji kufanya Kazi nayeye pia.
Big up ,, nakubali hustahil kuzalau mchango wa mtu ata kam mdogo
ua-cam.com/video/N80zk6dLF0s/v-deo.html
Genius 🐉🚀
Safi sana Chapa Kazi. Wcb 4life#FOA✌❤🇹🇿👊
Humble man… nime jifunza kitu apa
ua-cam.com/video/N80zk6dLF0s/v-deo.html
Jamaa yuko vizur sana
Big up vido vidox
ua-cam.com/video/N80zk6dLF0s/v-deo.html
Let's Go Winin Team Ayo 🏆 💪 💯.
#LjayKitchen #LjayStunner #FreshOrganicNaturalHalalFood
254 biggest fun mzuka full
Apo kwa kumsaliti Harmonize ni kweli kabsa..mlikula dili na Mond ndio mkamuendea kinyume Harmonise
Vido vidox big up Sana broo
Harmonize ni MTU mwenye ideas nyingi za kukuza. Baada ya interview nyingi nimeweza kupata
✊🔥
🐉🐉🙌
Mmmhh
Binadam bhana kwa nuni hamsemi mazuri ya Diamond? Wewe Kenny umesahau alovokuwa anakupromote Diamond pindi uko kwake?
ua-cam.com/video/N80zk6dLF0s/v-deo.html
mbona hajaongea mabaya ya diamond na,ameshukuru kwa mchango wake
Ameongea mengi mazur ya diamond au hujaelewa?? Km akiongelea mabaya ya diamond dakika zisingetosha humu
@@husbaroonlinetv8813 👏
@@husbaroonlinetv8813 ila kweli mabaya ya mond dakika ni chache😆😆
DRAGON 🐉
🙏🏻🙏🐘🐘
Interview za Kenny huwaga zinatia uvivuu Yaaaani kama hataki kujibu maswali mdomo mzito sijui huwa anatatizo gani
Wanyakyusa hawa unyama mwingii mwaisaaa
Msenge huyu kiburi kiiingi
Anahela
Nkama ameweka ugolo 😂
@@malickkasuga4805 ua-cam.com/video/N80zk6dLF0s/v-deo.html
🐉
#WCB4life
Unakuaga hatari sanaa venye ww ucheza na mapicha indeed you are the best in directing
Namkubsli sana kijana
poa kk
Kumbe ukimtegemea mngu inasaidia leo harmo kinaenda kujulikana kila kitu
👏👏👏👏👏
inspired millions of tz. umenitia moto wa kupambana kaka. that is how man fight
Ana mengi ya kuongea ila uoga ndo unamsumbua
True, anaogopa Diamond. Sio maisha.
Mtangazaji noma sana
Mara pap vido vdox anahamia wasafi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Director of all time
Uyu ndiye alifanya yope remix n'a sukari ya zuchu uyu direct mukali sana jamani ?
Tatizo matangazaji anam-attach sana keny kwa harmo kmaa vile alikuwa wa harmo
Huyu wcb aliletwa na harmo ndo mana
Jamaa anaongea point nimependa sana
Wasenge andiken kichww ch habar vzuri
ua-cam.com/video/N80zk6dLF0s/v-deo.html
Top
Mbona haujielezi ukaeleweka mpka uguswe kaka??
5:16
Kenny wa moto
harmonize
Kenny anaringa kwenye interview...mbaya sana
Ndivyo alivyo usilazimishe atanue misuli ya shingo
Kwahy nyie mnatafut mabaya ya diamond ndio mnaandika ujinga san huo
ua-cam.com/video/N80zk6dLF0s/v-deo.html
Mbona hueleweki wakiume au wakike
@@hassaninkoja284 😂😂 unatak ujue jinsi yang nipe dada ako utajua mm wa kiume au wakike 😂😂
Maana anapozi km Choko mbwembwe zimemzidi
Vodo vidox acha kuangalia camera unapo fanya interview broo
Good saud
Matendo ya Mitume 3:
19 Tubuni basi, mrejee, ili dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwako kwake Bwana;
*TUTUBU NA KUMSHUKURU MUNGU MAANA MWEZI HUU WA TANO NI WA BURUDIKO! HAIJALISHI HALI TUNAYOPITIA!! VITU VITAINUKA VYA KUTUPA BURUDIKO LA AJABU!! MEI ITABADILISHA HISTORIA YA MAISHA YETU!!!*
Amina
Amen
Amen
Kenny kalewa kama mmegundua mdomo mzito
Nlikua natafta comment ya hivi,upo rada mjomba
Yupo hivo sikuzote
Huwa ndivyo anavyoongea cku zote
Bora ivo usivojibu
ua-cam.com/video/N80zk6dLF0s/v-deo.html
Njoo Kenya Millard ayo
Ni software Gan mlitumia kufanya recovery ya Data kweny formated camera? Naomb jibu kenny
Hit me up kama umepoteza data for recovery
Shout out to vido vidox
Nakubali broooo
I can bet Diamond alimpa 10%.
kumbe ni kwel harmonize ali dhulumiwa zoom yake duh?
Huwa nazipenda Sana lips za Kenny
Mbuzi kweli nyie!WCB FOR LIFE,DAIMOND PLATNIMZ IS KING
😄😄😄
Huyu kenny usimwalike ten kwenye intv anachosha san yaani anaboa yaan kws ujumla hana ladha ya kusikilizwa
Usipende umbea mbwa wewe😂😂😂
ua-cam.com/video/N80zk6dLF0s/v-deo.html
Katoka wasafi kawa nachunusi kweli wasafi nipazuri
Alikuwa ana beba Begi la pesa
Nawe mnahalibu tasnia yan kila anaetoka wcb mwataka mumchukie
Vidox uko poa saaana kaka nakubali kazi yako
Kwani waligombana, au basi mmeandika hiyo title ili kuvutia watazamaji, maana sdhan kama Mond anaweza gombana na Kenny
Kwanini asiweze??
@@simbascdailysimbasctanzani2835 nashangaa..Mana Diomnd ni malaika
Kumbe hudhani,basi inakubidi udhani 🌚🌚
Ambae amewahi kuona interview clauds Media au chanel ya millad ayo ikimisifia diamond typ☝️ lakin mtu kuelezea kugombana na chib mnazipa kipaumbele sana ........yaan msanii mmoja anachukiwa na media nzima 🤣🤣 noma sana ndio maana kaamua kuwa na media yakwake hii sio sawa chuk za nn kha
Bia zinaongea
Apo kwa ugomvi na diamond mbona hakumaliza hajajib swali
Kenny sema ukweli.. demu wako mondi mzee wa zipu mbovu alishapita nae mda tu na ndio kisa chenu kukosana ...
Ndio zipo mbovu kama ya baba ako😏
@@walaaabdallah3236 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@walaaabdallah3236 mhmm🤣🤣🤣🙌
@Badman (Inawezekn ila sidhan km anaweza kuliongeleya hilo sii unajuwa ten mamb ya Interview
Mi nachojua daimond kazi zake yeye mwenyewe ndiye anaezitenge eza maana dairecta akiwa kwa mondi anafanya kazi nzuri akitok tu ni vituko tupu na uwezo unapingua daimond anaweza akakupa kazi ya kushuti mix akafanya mwingine editing mwingine lazima kazi iwe Bora anavyotaka yeye
Mix kwenye video duuh,, ikiwa HUJUI kitu kaa kimy
Nenda shule kasome lugha ya kiswahili ndo uje uandike comment
Bajet tuu ndio maana unaona nzr lakn dr wanajua dia yeye anawekeza sana tuu kny video
ua-cam.com/video/N80zk6dLF0s/v-deo.html
Kenny mnafiki huyo chefuuuuu
ua-cam.com/video/N80zk6dLF0s/v-deo.html
Msiwe mnaoji watu kama hawa kama hawako tayari kujibu maswahi yote
ua-cam.com/video/N80zk6dLF0s/v-deo.html
Sio kila unachoulizwa wapaswa kujibu
JAMAA AMEFANYA UKATILI MKUBWA MNO WA MAUNYAMA UNYAMA ASEE
Na hiyo benzi si alipewa na mondi
Aongeze speed ya kuongea nae eeeh
Inaonekana kabisa mtangazaji anacho uliza ni kweli ...kenny ..anajiumauma sana ....😂......dah .....!
kabisa
7
ua-cam.com/video/N80zk6dLF0s/v-deo.html
Ichokitu anakunywa ni gambe bilashaka
Sema napenda anavyo sound
Ndio maana video ya wimbo wa Diamond Platnumz Ft Rema - Gimmie haukutoka video
Seems tuu adharani anatembea na mkewako na mala Leo ulifanya big mistake unamponda mbwa nyuma Kenny was ver big mistake polesana unamjua what’s tong of you Kenny? Pole sana Du
Jamani hiyo ngoma ambayo diamond alis shoot na mwanamke wake inaitwa je?
Jeje 😂
we kwani ulishaona lini kafunga ndoa na nimwanamke Gani labda