MAJUTO NI MZIMA, WATANZANIA HAMJUI : WATOTO WA MZEE MAJUTO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 вер 2018
  • Familia Ya Marehemu Amri Athuman Maarufu Kama King Majuto Upande wa Watoto wake wakubwa wamezungumza #EXCLUSIVE Kuhusu Shutuma alizoenda kuongea Mke wa Mzee Majuto ambaye ni mke wa Pili Aliyejaliwa Nae Watoto Wanne kuwa wamemfukuza na walimnyima Chakula .
    Hivyo wamekanusha Hawakufanya hivyo na wametaja chanzo cha Kifo cha Baba yao.
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 347

  • @beautywithnay5974
    @beautywithnay5974 6 років тому +4

    Amekosea sana walay nikweli nyumba yako utanyimwaje chakula nyumba yako mwenyewe jmn duh uyo mama ata kidini amekosea sana yuko eda unakuwaje sura iko wazi wakati yupo eda unaachasura wazi atapata rana ya mume eda nimbaya sana kama kweli aliolewa na akukaa eda ataukumiwa na allah watu wanakuwaga machizi kwa kutokaaa eda nikitumuimu sana eda kwa waislamu

  • @aminakuleva9962
    @aminakuleva9962 6 років тому +10

    Kilichoongelewa niukweli MTU kwa mtazamo wangu haiwezekan ata msiba haujaisha hyo mama kaanza heka heka za Mali mmh jaman kwani anapenda Mali kuliko UTU.

  • @leokamil2075
    @leokamil2075 6 років тому +7

    Asie jua Mama wa kambo atasema mengi tuulizeni ss wengine ambao yametukuta na hawa wamama.Anaolewa anawakuta mnaakili na kila alichokikuta kakiacha Mama yenu alipoachana na Bb yenu baada ya Mzee kufariki anawaambia hanma kwenu kwenu ni alipotenga Baba yenu mzikwe na alipozikwa Baba yenu.Na kuwatenganisha na wtt alozaa yy acheni msisikie walimwengu hamjayaona ya Dunia hii

    • @asteriambwei95
      @asteriambwei95 5 років тому

      Nilijua tuu jamani kuweni tuu Na wake wengi ila shida Ni Bb aondoke watoto Mara nnyingi watapata shida mama mdogo Ni mbaguzi anaangalia Mali tuu hekima hana pia kaeni Na wanawake Kwa akili

  • @helenmark7965
    @helenmark7965 6 років тому +25

    Tunawaamini 100%
    Huwezi kusema hujapewa chakula matangani mahala ambapo chakula kipo cha kutosha jamani muyapime hayo

    • @utaani1
      @utaani1 6 років тому

      Nataka namba ya mmoja wenu hapa hapa WhatsApp

  • @adamkatet274
    @adamkatet274 6 років тому +5

    Baba wa bimkubwa anonekana ni mchawi yule tuu anaonekana sana hata alivyo hojiwa amemponda marehemu. Rest in peace king

  • @ayshajuma2034
    @ayshajuma2034 6 років тому +7

    Mmh ndani ya eda mnaongea na media hata arobaini bado aibu hii

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 6 років тому +11

    haruna nakujua sana ndugu yangu unamoyo mzuri sana sijui wengine lakini wewe nimekujua tumefanya kazi pamoja

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 5 років тому

    Kisheriya ya kiislam hairuhusiwi kizuka kuonekana uso na sauti na mtu anaeweza kumuawa kafanya kosa kubwa kutangaza kwenye midya poleni sana watoto Wa marehemu mungu amlaze pema peponi ameen

  • @sophiamose1328
    @sophiamose1328 6 років тому +4

    Amewaaibisha Na Amejiaibisha Sanaaa Bhuuu hawa watoto wanaonekana Wako na Busara sanaa poleni yatapita

    • @fetyykisabo4747
      @fetyykisabo4747 6 років тому

      Sophia Mose ujielewi wewe ujui ndugu wa mume

  • @umiy1971
    @umiy1971 6 років тому +9

    sitofuata mtu yoyote aloandika comment kabla. ninachosema mimi ni kwa mtizamo wangu kuwa mke wa mzee majuto amekosea kabisa kama ni kweli mlikuwa na mgogoro na familia haikuhusu kuuleta kwenye mitandao, hayo si mapenzi kwa marehemu mume wake, vilevile kuna njia nyingi za kupita kusuluhisha kabla kuanza kutoa aibu za marehemu ? hata arubaini haijesha basi ? kwani huo urithi ushagaiwa hata bi mkubwa ulalamikie..?.arubaini haijesha unapokea misaada ya chakula kutoka nje kama vile wewe ni masikini sana wakati una funguo za mali zote za marehemu mumewo. mtihani huu jamani

    • @emmanuelmorris5083
      @emmanuelmorris5083 6 років тому

      umiy1971 kweli mzushi anataka Mali mume hata mwezi bado jamani.anataka kiki za kupata msaada serikalini mjanja sana.

  • @siliviamwando6448
    @siliviamwando6448 6 років тому +3

    Duh!! Huyo mama ni hatari sana kanyimwa chakula kwenye msiba wake? Kweli uwongo unajitenga

  • @monilahcruz7293
    @monilahcruz7293 6 років тому +6

    Hakumpenda majuto alifata mali naalizaa kwasabu alijuwa atapata kitu

  • @eldoradotz
    @eldoradotz 6 років тому

    Amiri majuto tumefahamiana mwaka wa tatu sasa pole sana kaka huu ni upepo tu utapita

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Рік тому

    Subhannallah, mtihani kwakweli

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 6 років тому +1

    Ni kweli anataka mali zote ziende upande wake mama muogope mungu hii ni dunia tu tunapita

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 6 років тому

    Poleni sana kwa kuondokewa na Baba yenu, dah inasikitisha sana.

  • @christopherwambugha3848
    @christopherwambugha3848 6 років тому +1

    msameeni mama yenu na babu pia lamsingi kaeni chini mzungumuze jinsi mtakavo endelea kimaisha namungu awa bariki sana

  • @firdausabdullah6315
    @firdausabdullah6315 6 років тому

    Allah sw awaunganushe musamehane wote twapita

  • @tatuomar4164
    @tatuomar4164 6 років тому +13

    yani mimi marayakwanza naona zile interview zaule mama siku msapot ata moja kwanza nimejiulizaga kwanini uyu mma ata mwezi hujaisha mze yupo kaburini yeye kisha anza kuongea kwnye media atakama yangekuwa yakweli asingefanya ivo nikaona tu uyu mma anapenda vitu, alafu mkavu anaongea bila atawoga jameni tunaelekeya wapi mma ungesubiri eda yako iishe njo uanze kuongea kwakweli sikuile nimeshindwag kumuelewa uyo mma

    • @leokamil2075
      @leokamil2075 6 років тому

      Wabaya sana hawa wamama sisi tunae mmoja ni mbaya sijaona mfano wake .

    • @tatuomar4164
      @tatuomar4164 6 років тому

      +leo kamil yani wenye kumsaport huyu mma hawawajuwi gisi walivyo kinamama wakambo

    • @leokamil2075
      @leokamil2075 6 років тому

      @@tatuomar4164 kweli wangejua acha tu ndugu yangu hayajawakuta si watu hao

    • @niaanthony9588
      @niaanthony9588 6 років тому

      Mama kaaza hekaheka mapema duh hatar hata 40 bado

  • @MaryA-yf4cq
    @MaryA-yf4cq 6 років тому

    SubhannaAllah!
    Hamuogopi hata Mungu? Message hii imfikie yoyote inae muhusu. Badali ya kumuombea marehemu Mungu amlaze pema munamdhalilisha kaburini kwa maneno. Kwani nyinyi sio waislamu jamani?
    Kumbukeni kuna na kufa. Hata nyinyi mutakufa vile vile na muta acha kila kitu nyuma kama alivyo acha mwenyewe mzee majuto.

  • @mgenikhamis3697
    @mgenikhamis3697 6 років тому +1

    Huyo mwanamke anashida ya pesa maana watoto wa majuto wote wakarimu na wanabusara sanAAAA...AACHE HIYO TABIA

  • @Saimonamon
    @Saimonamon 6 років тому +2

    Haya ndo matatizo ya kuoa wanawake zaidi ya mmoja mama hataki kulea watoto wa wake wenza

  • @D_n_football
    @D_n_football 6 років тому

    Poleni sana muonmbeni mungu atawapa zaidi

  • @tumainimango8140
    @tumainimango8140 6 років тому +1

    Huyo mama ni shidaaa

  • @zaynsalma3466
    @zaynsalma3466 6 років тому +7

    Ukiona machoz ya mwana ume yana toka inje Basi ujuw moyo wake umeshindwa kubebe maumiv ndan ya moyo wake

    • @utaani1
      @utaani1 6 років тому +1

      Queen Salma King nipe namba yako ya WhatsApp basi tuongee

  • @shalomamani2670
    @shalomamani2670 6 років тому +1

    Huyo mama bila Shaka anatafuta njia ya kuwafanya msihusike ktk mali aliyoiacha mzee majuto ila kuwalimbikizia watoto wake basi kwahiyo anaandaa mazingira mapema.

  • @manalibaby4192
    @manalibaby4192 6 років тому +7

    Kuolewa na mtu mwenye watoto wakubwa ni mtihani..na watoto mara nyingi wanasumbua hasa mama akiwa sio mamayao mzazi.

    • @umiy1971
      @umiy1971 6 років тому +1

      Hidaya rajabu kuna msemo unasema mama wa kambo si mama lakini sio kweli wengine tumelelewa na wazee wa kambo kwa mapenzi kamili , basi na haya ya kuolewa na mwanamme mwenye watoto wake wakubwa ni mtihani sio kweli inategemea watoto wenyewe na mama mwenyewe yukoje mbona mie sioni kama hawa watoto wana matatizo mie naona huyo mama ana washauri wabaya kwanini asisubiri mpaka urithi ukagaiwa akaangalia alichopata kwa ajili yake na wanawe unakuja mitandaoni kwa lipiiii ? tena kumkashifu mzee hata ardhi haijamzoea badooo ? watoto ni damu ya mzee na mzazi anauma hidayarajabu hata awe ameshakufa kama hawakuongea kwa ajili yake nani atakuwa kinywa cha mzee majuto ??

    • @utaani1
      @utaani1 6 років тому

      Hidayarajabu Hidayarajabu ndio maana baba alipoachana na mama alisema haowi mpaka sote watoto tuwe wakubwa kwa sababu tutahangaika kama ataowa mke mwengine

    • @dhishaflowers7549
      @dhishaflowers7549 6 років тому

      umiy1971 umenena haswa

  • @mahmadougronkjaer8316
    @mahmadougronkjaer8316 6 років тому

    point

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 6 років тому +4

    Kali kuwa mali shida jamani beter kuwa maskini poleni sana kazima muungane hayo mapito jamani

  • @geraldkweka2073
    @geraldkweka2073 6 років тому +4

    Maisha ni safari...........................
    Vibaya kuikamia ukiwa mbali....
    Japo changamoto ninyingi..........
    Mwanaume kujikubali..................
    Vyadunia avina thamani..............
    Ndugu tujikubali............................
    Upendo ndio thamani...................
    Chumvi na sukar aviendani.........
    Sakwanini tuchanganye adharani....
    Yandugu yaishie nyumbani.....
    Inaniuma kiukwel sio Atari......
    Mtoto wa mbagala najikubali....
    Nawafuta marafiki machozi.......
    Mama usilie vumilia futa lako choz
    Kwajina nite Ferrari'o.........
    Ukipenda mkali wao..........
    WCB nakuja niko njian......
    Bosi nisach fb...................
    Siotale wala fella..............
    Simba nakulenga...............
    Naitwa Justin Ferrari fb utanpata
    Haso zimenichosha Jana na Leo
    Sijapata kwenu nilishia getn daaaaa

  • @ftmat2805
    @ftmat2805 6 років тому +1

    Mungu pekee 🙌

  • @fetyykisabo4747
    @fetyykisabo4747 6 років тому +1

    Looo inauma nyinyi watoto wabaya sana nyinyi mbwa

  • @oswardmgawe3009
    @oswardmgawe3009 6 років тому

    daaah uyo mama alikaa kimasray napia uyo mama anatamaa kaka angu umeelewesha vizur sana mama embu jitambuwa bwana acha tamaa dunia tunapita tu kuwa nahofu na mwenyez mungu

  • @eliudijastini6657
    @eliudijastini6657 6 років тому +2

    R i p mzeee wetu maana umeiachia familiya imekuwa mashaka kisa malii

  • @paymushi3529
    @paymushi3529 6 років тому

    Jamani uyo mama kweli mswahili mazan apa wanaume watajifunza wake wakuowa uyi mwanamke chanzo yeye alafu anasema watoto

  • @mohammedabdallah6390
    @mohammedabdallah6390 6 років тому

    Wanasema mambo matatu ambayo yatakuwa mtihani kwako ni Mke, watoto na mali na ndo hii sasa huu ni mtihani sana mzee kaondoka badala mukae mumuombee dua apumzike kwa amani nyie mnazozana tu na kurushiana vijembe ktk media daaah!! Mungu amsamehee mzee wetu King Majuto

  • @beautywithnay5974
    @beautywithnay5974 6 років тому +1

    Yule mama muongo bwana anawazalilisha watoto na familia na majuto sio vixuri bwana allah atawalipa walay duh kweli yajayo yanafuraisha.

    • @fetyykisabo4747
      @fetyykisabo4747 6 років тому

      nasra bakari ngoja nawe ya kukute uweke ukweli nyau wewe

  • @mwajumaabdallah8600
    @mwajumaabdallah8600 6 років тому

    Pamoja na yote mnayozngmza point hapa ni Mali kisheria hamna khak Ila kiubinaadam mnatakiwa kukaachn kuzungumza kwabusara mait huwa hasemw vby Ila mshaanza kutoa aibu za marehm ilhal mzee wetu alifanya toba ya kwel achanen na mitandao kaeni chn mzngmze kila mtu aangalie maisha yake.....rabbi ghufir waliwalidayya kammarabayan swahira,innallilah wainna illah rajiun

  • @victorsir-nga7708
    @victorsir-nga7708 6 років тому

    the family left doing serious comedy.R.I.P king majuto

  • @munnawwaryaqoob3414
    @munnawwaryaqoob3414 6 років тому

    Sahihi kbs kajitia aibu sana sio kidogo

  • @fatmaalrashdi1577
    @fatmaalrashdi1577 6 років тому +1

    Sasa ndio mnasema alitaka kumuuwa acheni uogo mke NI mke mengi alikua anamfanyia yiyi hamuwezi kuyafanya acheni maneno

  • @yeftafilmproduction4214
    @yeftafilmproduction4214 6 років тому +4

    Huu mama
    Afanye asifanye watoto ndo wanabeba mali za baba

  • @kitambala32
    @kitambala32 6 років тому

    Les linges sales se lavent en famille.Pourquoi exposez les problèmes familiaux sur le net?C’est vraiment triste...
    RIP King Majuto

  • @fatumarajabu810
    @fatumarajabu810 6 років тому +1

    Jmni hicho kichwa cha hbri hpo juuu. Vp tena mbna kipo tta sana

  • @sadickrajabu1191
    @sadickrajabu1191 6 років тому

    Poleni sana sio peke yenu mama wakambo wanawazaga mali tu uyo mama n muhuni tu

  • @frankjully5457
    @frankjully5457 6 років тому +2

    huyo Mohammed aliyevaa shati jeupe anafanana na mzee majuto hata kuongea kila kitu sura

  • @zainurirashidi3029
    @zainurirashidi3029 6 років тому +4

    Huyu mama mpumbavu hakumpenda mzeee majuto alipenda mali na unapofiwa na mume utapata ushauri mwingi sana cha msingi huyu mama rafiki zake wa kubwa ni hawa watoto kwa vile bi mjane kichwa maji kakimbilia media pumbavuuu hana lolote anataka mali zote apewe wakati haiwezekan

    • @fetyykisabo4747
      @fetyykisabo4747 6 років тому

      Zainuri Rashidi ngoja nawe ya kukute ndio utajua sukari ina utamu au

  • @mandwadoto3995
    @mandwadoto3995 6 років тому +1

    yawezekana ni ushauli mbovu wa watu wanje baina ya mama au kwenu watoto fikieni hatua muone tatizo lipo wapi mmalize tofauti zenu

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 6 років тому +1

    Nyie ni wakubwa sasa mujitahidi kujitegemea wanaohitaji msaada ni hao wadogo. Baba ameshatangulia mbele ya haki sasa nyie si wasanii tafuteni shughuli zenu mwacheni huyu mama aangalie watoto wake wadogo acheni kumkaba huyo mama.

  • @user-qr2gj3jp9l
    @user-qr2gj3jp9l 6 років тому +1

    Yule mama mshenzi sana

  • @lionking3015
    @lionking3015 6 років тому +8

    Chamsingi kiislamu munatakiwa hili tatizo mulimalize kwa kadhi sio mitandaoni kuwapa watu faida haina maana kabisa... Muhimu tunawaombea muelewane haya mambo yaishe mzee atulize kichwa chake milele.. Cz vita venu sahii vinamsumbua king kaburini.. Na mama kiisalmu hatakiwi kupigania mali yake ni thumni as long marehemu ana vijana wanajielewa thats all

    • @alhajijumaa1912
      @alhajijumaa1912 6 років тому

      Mambo kama hayo sio yamitandaoni mnacho taka muambieni ukweri tuu baba niwenu nyie

    • @hishamally4846
      @hishamally4846 6 років тому

      Vyenti vya ndowa vipo

    • @rukiahassan9959
      @rukiahassan9959 6 років тому

      kweli yake thumni tu hana haki ya kuzuia chochote

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 6 років тому

      omar majic, ni kweli kabisa wangeenda kwa kadhi. Nasio mitandao wala mahakama za serikali. Lkn ndio hivyo tena kuelekea kwa kadhi inategemeana na kipimo cha imani yako. Na km imani ni ndogo ndio mitandao tena.

    • @aibonkinya2817
      @aibonkinya2817 6 років тому +1

      Huyo mama ndie alianzisha mtandaoni.lazima waongee mtandaoni ili watu wajue ukweli

  • @popigagia7183
    @popigagia7183 6 років тому +1

    watoto wa mzee majuto kunakitu yule mama yupo sahihi mm aina ya hawa BINADAMU ninauzoefu nao wanabadilika kama kinyongaaa tena ni kuwakimbia kama umeona membeeee

  • @christopherwambugha3848
    @christopherwambugha3848 6 років тому

    napia poleni sana sana sana ndugu zanguni

  • @dicksonsheja9376
    @dicksonsheja9376 6 років тому +1

    Mungu awasimamie kwakweli baadhi ya wanawake wa siku hizi macho kwenye fedha,,,, yule mama alifata feza huo umri wake na marehemu !!!!

    • @ayshajuma2034
      @ayshajuma2034 6 років тому

      Umeonaeee umri mdg majuto nijibabu alifuata pesa kweli

  • @mohamedsasma879
    @mohamedsasma879 6 років тому +1

    Nimewaelewa watoto wa Majuto. Mungu awape wepesi. Hayo mambo ya cheti cha ndoa ndio mtihani ina maana mama zenu hawakuolewa? Mbona mwanamtwara aliolewa?

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 6 років тому

      Mohamed Sasma ,chet cha ndoa ndo kila kt

  • @mariamangel1264
    @mariamangel1264 6 років тому +2

    Mali izi mali izi zinatuu dunia mungu amrehemu baba majuto maana ameeacha mgogoro mrefu ila angekufa alisha gawa urisi pasinge tokea ayo yote ila watoto wa kambo ni wakambo mama yenu mdogo alika na baba yenu myika mingi sio kufanya ivo

    • @fetyykisabo4747
      @fetyykisabo4747 6 років тому

      mariam angel 1 awa bebeki watoto wa kambo

  • @fatumamilimo1936
    @fatumamilimo1936 6 років тому +1

    Tumazaliwa matumbo mawili tofauti Ila tunasimamia Mali za Baba yetu Kwa pamoja yaana Hadi majirani wananuna..huyo mother anatamaa

  • @masungaezekieli3490
    @masungaezekieli3490 6 років тому

    ila

  • @hadijajuma7823
    @hadijajuma7823 6 років тому

    watt mko sahihi mama ajilekebishe tu asitafute kiki msiba bado mbichi asilete marumbano msiba wa majuto ahukutakiwa marumbano mm kuwa na uchungu na mmeo.

  • @ggjghh6245
    @ggjghh6245 6 років тому

    Yule mama sio mnzima mm nilishangaa sana siku niliomuona anaongea na media hata eda bado na yy ni muislamu sheria za dini anazijua na yule baba yake mzazi nae anajua sheria zote lakini hata akumuweka chini aka muambia ukweli yy ana zidi kumpotosha.

  • @lashymreal6555
    @lashymreal6555 6 років тому

    Mama yenu ana tamaa aliwazushia ili apate msaada na wafadhili mungu atamuumbua

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 6 років тому +1

    kweli mtu aliefukuzwa hawezi kumuweka ndugu yake

  • @swalehmwamazola7100
    @swalehmwamazola7100 6 років тому

    Hayo mambo ya kifamilia jaribuni kuongea maneno machache ili familia istirike. Ama kila leo mambo yaliyo jificha mtayafichua kwenye media.

  • @rahmaramla7030
    @rahmaramla7030 6 років тому

    Poleni ndivyo walimwengu walivyo tabia hazifanani na wengi tumekosa subra

  • @ayshaalsahafi5714
    @ayshaalsahafi5714 3 роки тому

    Sawa kaka inaeleweka,lkn aliudhika kwa mjombaake Majuto kwani kumwaambia ajiangalie mwenyewe.pia alikasirika.
    Huyu mama pia anachangia kuhusu Mali.,ana utamaa

  • @snasirsaid2153
    @snasirsaid2153 6 років тому

    HAMUNA HAJA KUYATOA YOTE TUNA MPENDA SANA MAJUTO HATUTAKI KUSIKIA KWAKE HUYO WALA KWENU SAWAZISHENI KIFEMILIYA NDUGU ZETU TWAWAPENDA SANA 😰

  • @marynjoroge6022
    @marynjoroge6022 6 років тому

    Cool down braasa that's enough.

  • @hafsamansoor3977
    @hafsamansoor3977 6 років тому

    Mko sahihi kabisa.
    mlikaa kimya.lakini imebidi mjitokeze kuongea baada ya kuchafuliwa mtandaoni.
    Nyie mnaetukana mnakosea

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 6 років тому

    Bwana eeh! Nendeni mahakamani. Acheni kusemasema ovyo.mitandaoni. Mahakama itaamua.

  • @iddmnawary4467
    @iddmnawary4467 6 років тому

    aisee ni mbaya sana mama anahitaji kushauriwa

  • @janethjustin5256
    @janethjustin5256 6 років тому +1

    yaaan huyu mama alimpenda Majuto kwa Fani taye sio kwa Upendo Wa dhati. ameanza nitia wasiwasi Wa Ugonjwa wake pia. Mungu awasimamie nyie vijana! na familia nzima ya mzee huyo mama ni Mwanga huyo itakuwa. khaaaaaaaaa

  • @merrymelekizedeki8457
    @merrymelekizedeki8457 6 років тому +1

    Hapo kila mtu ana matatizo yake..si..watoto wa mama..

  • @user-hs9fw2ct5n
    @user-hs9fw2ct5n 6 років тому

    zainabu iddi poleni sana ilakamaniulic lazima hatahawanandoa ulicnilazima ulic niwawatoto cowamama

  • @abiudmsawile2075
    @abiudmsawile2075 6 років тому

    uyomama.nifala.

  • @fetyykisabo4747
    @fetyykisabo4747 6 років тому

    Wango nyinyi wabaya sana

  • @fatumabakari3034
    @fatumabakari3034 6 років тому

    Mama kasumbuliwa na tamaa ni wale wale

  • @user-eh9ue4xb2f
    @user-eh9ue4xb2f 6 років тому

    Hilo mama la kambooo linarohombayaaaa ndio wale wanaowatesaa watoto wakambo loooh acha rohombayaaaa

  • @abdubakar5428
    @abdubakar5428 4 роки тому

    Duh, Ni hatari Sana. (Ni habari ya Mda kidogo lakini unaniumiza sana). Nyuso za vijana hawa zinaonesha uthabiti wa kauli zao.

  • @gracedelence9163
    @gracedelence9163 6 років тому +1

    Mzee RIP naili nalo litapita

  • @bkassimidarous2076
    @bkassimidarous2076 6 років тому +2

    Huu ni mtihani mzito wadau naombeni tusichangie kitu mana hii kesi ni nzito na yakifamilia zaidi

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 6 років тому

      Salma Kassim Idarous, wamekuja online wenyewe 🤔🤔Wangeenda mahakama ya Kadhi yasingewakuta haya

    • @aminaally4028
      @aminaally4028 6 років тому

      Analana huyo atafuta ulaji tu

  • @mirajiguga7904
    @mirajiguga7904 6 років тому

    dah uyu mama kweli miyayusho mana muhongo sana kumbe miyaka yoteiyo alikuwa anataka mali duh ajui kama nayeye atakwenda njiya iyo iyo wemama muogope mungu mana anakuona

  • @monilahcruz7293
    @monilahcruz7293 6 років тому +1

    Alikosea sana nakujitia haibu chakula nikitu kidogo sana

  • @HuaweiPhone-om7qy
    @HuaweiPhone-om7qy 6 років тому

    Urith nilazima nilazima watt wake wapate aliwaona niwakubwa ndo akajifanya kutafuta sabbu yakuondoka na kama alikuwa anataka kuenda siangeenda tu kwa nni kuongea upuzi kuabisha familia sikuzote kama ukitaka kuondoka. Ondoka vizuri sikuchafua mkoa wa tanga jina pumbavu sana huyu mama layt nm m ningemzalisha MTT mwengine watano yanimaswal yangu Sijui kama angeweza kunijibu

  • @oswardmgawe3009
    @oswardmgawe3009 6 років тому

    jamani mama ungevuta subla angarau mwez ujuw mm binafsi nakushangaa coz nimapema umeanza maneno duuuh

  • @user-qr2gj3jp9l
    @user-qr2gj3jp9l 6 років тому +1

    Yule mama ni mshenzi sielewi alikua anataka nn

  • @HuaweiPhone-om7qy
    @HuaweiPhone-om7qy 6 років тому +4

    Huyo mama nikivuluge aende tu mana ameaibisha mkoa tanga iliwaonekane niwabaya nahakuwamini ingekua amewamin asinge acha kula chakula aliona atalogwa nakama niwoga kilicho mfanya akubali kl

    • @khadijaabdallah7991
      @khadijaabdallah7991 6 років тому

      Mnajiisha tu uyo kama ana akili zake timamu

    • @niaanthony9588
      @niaanthony9588 6 років тому

      Huyo mama kweli mchonganish bora angesubiri hata eda iishe km mali atapata coz nayeye anawatoto lkn kakurupuka sana coz hata 40 bado duh hatar

  • @godbee8772
    @godbee8772 6 років тому

    Waah..Tz ..international tv talks about family issues. ..style up man ...tukue na kitu kingine cha kuongelea..holo jambo ni la ukoo ya mzee majuto.. sio media..am wasafi fan though

  • @raskombo6247
    @raskombo6247 6 років тому

    Huyo mama m'baya. Mama wa kambo si mama

  • @ibraheemqassim3018
    @ibraheemqassim3018 2 роки тому

    Mzazi anauma

  • @madiyamsonde562
    @madiyamsonde562 6 років тому

    masikini pole myomba

  • @leokamil2075
    @leokamil2075 6 років тому

    Mzee wetu alipikwa hivyo hivyo ikabidi tuapishwe akifa Mzee tusambaratike poleni sioni jipya tunamsamehe Baba yetu kwa kuwa Mzee alizeeka mkewe alikuawa kijana yaani mdogo kuliko Kaka zangu hivyo Mzee alikua hana nguvu hivyo alikua anamridhisha mke wake ili apate usingizi wake.Hawa wamama ni sumu Jamani acheni msisikie alitolewa Bb yetu huyo huyo na oparesheni yake hadi kwa wakili ili akaandikiwe mirathi.Mungu ndie anaejua tumemuachia yule Mama Mungu atamlipa

  • @user-eh9ue4xb2f
    @user-eh9ue4xb2f 6 років тому

    Mwiziii........😅😅😅😅

  • @ziakaitala6465
    @ziakaitala6465 6 років тому

    Mie nawashangaa sana kila anaezungumza anasema juu ya mke wa marehem kutokula chakula siku ya msiba kwann linawauma sana? au kuna vitu mliviweka kwenye chakula? Hayo malizen kifamily mnapotoa nje sisi tunawaona kama 1+1=11

  • @abelmirwatu544
    @abelmirwatu544 6 років тому

    Ina sikitisha sanaa dah! Mungu awatie nguvu.

  • @denniskalisti2570
    @denniskalisti2570 6 років тому

    Kama kunatofauti kaeni wana familia muyamalize jamani c vizuri ndugu kulumbana kwa ajili ya vitu vidogo vidogo

  • @shalomamani2670
    @shalomamani2670 6 років тому

    Watoa comments kabla hujabishana na mtu mpime kwanza uelewa wake, watu wengine wanatukana lkn hawaelewi a-z.

  • @sarahclemence4180
    @sarahclemence4180 6 років тому

    afu mama ako sio mdogo, baba ako ndio ilikuwa furaha yake. hata kama hakupati kwa umri na usirudie kusema hayo.

  • @mdungikhamis2096
    @mdungikhamis2096 6 років тому

    Ndugu zangu sisi hatujui kila kitu wanakijua waooo mama na waooo ila mama kaongea kitu ambacho aliweka na ushahidi sasa nanyie wekeni ushahidi ila nawashangaa mnaosema maneno bila kujua sasa yanini kuongea uovu tu waachieni wenyewe sawa

  • @user-eh9ue4xb2f
    @user-eh9ue4xb2f 6 років тому

    Anataka mali zote aachiwee yeyeee 😅😅😅

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 6 років тому

    Huyo mjomba wa majuto ndo mnafiki kwa sababu hayamuhusu mambo ya majuto na familia yake