KWA HALI HII PEMBA HAISTAHIKI KUA MASIKINI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 30

  • @mohdsaad2736
    @mohdsaad2736 Рік тому

    M.mungu atufanyie wepesi in sha Allah

  • @bauchatv-yd4ug
    @bauchatv-yd4ug Рік тому

    Mashallah m nafrah kupaona nyumbn kabisa nilipo zaliwa nikasoma Hadi nimeondoka nikiwa mtu mzim Leo hii napaona mashallah me nmefrah sn

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 Рік тому

    Allah awafanyie wepesi katika maisha yao

  • @yassirgiya6743
    @yassirgiya6743 Рік тому +1

    Hapa ndio ccm walipoifikisha nchi

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 Рік тому +1

    Majumba mazuri labda yalijengwa na Waarabu ndio wenye juhudi ya utafutaji

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 Рік тому +1

    Mashaallah Alhamdulillah kwa kuiyona mkoani

  • @noffalsalim
    @noffalsalim Рік тому

    Kwani umasikini ni pba tu. Zanzibar mzima ni umasikini

  • @abdallahnassoro2460
    @abdallahnassoro2460 Рік тому

    Kumbe bandarin kumejengwa Zaid ya daa ccm oyeee

  • @pandumakame6421
    @pandumakame6421 Рік тому

    Tumefikisha pabaya na ccm nikienda pemba huwa nasikitika sana japo mm sio mpemba

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 Рік тому

      Tatizo wapemba wenyewe wanakukimbia kwao unategemea itajengwa na Nani? Na wao ndio wafanyabiashara wakubwa

    • @pandumakame6421
      @pandumakame6421 Рік тому

      @@maryamalli9090 ww ushawahi kuenda pemba serekali imekutupa zamani na inakubaguwa miradi yte mikubwa unguja njaa ilikuepo hata mm sikai hy kibandari km chochoro

  • @jumamkali8307
    @jumamkali8307 Рік тому

    Nenda na mtambe bs au mkoa wa kaskikazi

  • @nasrimswaki4824
    @nasrimswaki4824 Рік тому

    naam inabidi nimefike uko shehe wangu

  • @khamisjuma2947
    @khamisjuma2947 Рік тому

    Umaskini wa pemba umetengenezwa kusudi ni mpango maalum kwenye vikao maalum hamjajua tu mpaka leo

  • @khamisjuma2947
    @khamisjuma2947 20 днів тому

    Kila mtu anajua pemba imedhoofisha kusudi ni mkakati wa kisiwa ndui huo ila hatujali poa

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 Рік тому

    Watu wazembe wa huko wanapenda wale tu

  • @tamemahmad9902
    @tamemahmad9902 Рік тому

    Kwetu kunapendeza mashallah