Asalama aleykom madam? Hiyo ndio dawa ya mwanamuke wavituko,,,na ikiwa hata mm pia nmwanamke,,,.mm nigezaliwa mwanaume ndio wangejua hawajui,, Eeeh atakaye kuleta zakuleta,,naongeza chombo chengine,,, yes ivyo Yani asilete ujuzi wajuzi kibaoo,,❤❤❤❤
Inatakiwa Serikali iweke utaratibu ikitokezea mke au mume anaumwa, mwenza anatakiwa apate likizo ya malipo kazini kwake. Kama hana kazi rasmi basi mfuko wa jamii ushughulikie mwanandoa anaemsaidia mwanandwe. Hiyo ndio kazi ya Serikali.
Kuna maradhi mengine huwa yanataka kumbatizi vifua vya kimahaba vihoma homa unatamani ukumbatiwe hv ila wanaume wengine ukiwambia najiskia homa ndio anatafuta cmu anachati au anachek tv au analala na yy.hapo unayakiwa kuchukua vimaji na kitambaa umkande kande mara kiviks mara vikis unajikuta mke yy mwenyewe anapata afadhali na utafurahia tendo kwa vzr tu 😋😋😋😋
Sahihi yote msemayo Allah awabariq insha Allah
Nakubaliana na wewe somo unayosemaaa ni kweli kabisa binafsi nakukubaaali sanaa
Asalama aleykom madam? Hiyo ndio dawa ya mwanamuke wavituko,,,na ikiwa hata mm pia nmwanamke,,,.mm nigezaliwa mwanaume ndio wangejua hawajui,, Eeeh atakaye kuleta zakuleta,,naongeza chombo chengine,,, yes ivyo Yani asilete ujuzi wajuzi kibaoo,,❤❤❤❤
Nimecheka iyo twayyibu 😂😂😂😂😂😂
Inatakiwa Serikali iweke utaratibu ikitokezea mke au mume anaumwa, mwenza anatakiwa apate likizo ya malipo kazini kwake. Kama hana kazi rasmi basi mfuko wa jamii ushughulikie mwanandoa anaemsaidia mwanandwe. Hiyo ndio kazi ya Serikali.
Kuna maradhi mengine huwa yanataka kumbatizi vifua vya kimahaba vihoma homa unatamani ukumbatiwe hv ila wanaume wengine ukiwambia najiskia homa ndio anatafuta cmu anachati au anachek tv au analala na yy.hapo unayakiwa kuchukua vimaji na kitambaa umkande kande mara kiviks mara vikis unajikuta mke yy mwenyewe anapata afadhali na utafurahia tendo kwa vzr tu 😋😋😋😋
Agh me mume akinambia jana kazikwa mtu nashani nitanyanyuka mwenyewe kufa simchezo hhhh
Hakika kabisa madaktari wetu nyie Hakika kabisa mnatuelimisha haswa. Na bora kuendelea kutupa dawar.