SABI part 5 - New African Movie | 2024 Swahili Movie | Adam Leo Bongo Movie
Вставка
- Опубліковано 6 бер 2024
- SABI part 5 - New African Movie | 2024 Swahili Movie | Adam Leo Bongo Movie
SUBSCRIBE NOW / @adamleostudios
Welcome to Adam Leo STudios UA-cam Channel.
Stream and Enjoy Best of Swahili Movies with your favourite artists here on Adam Leo Studios UA-cam channel.
SUBSCRIBE NOW to stay updated on all latest Swahili movies.
DO NOT FORGET TO HIT THE NOTIFICATION 🔔 BELL ICON to STAY NOTIFIED ON ALL OUR NEW MOVIES.
#sabipart5 #bongomovie #filamumpya #swahilimovies #2024movies #adamleo #adamleobongomovie - Розваги
Wakwanza nipewe like zang 🎉😂kula chuma hyo ❤
Shukranii
Kwamajina. Naitwa. Adam leo. Najua. Unaenjoy. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Unaweza. Adam hongera.
Asante sana
Nlisubir na nlkuwa nmewamiss team gulf kenyas🎉🎉🎉🎉
Shukrani
Kuna vijiji vinanuka ushirikina afu watu wake wabayaaa umetisha sana sema nn sisi fans wako kwenye epsode hii umetubania utamuuu dakika 17 kweliiii kimeisha chap bado na utamu wake
Kitaendelea mkuu
Balaa😂😂
Hongereni mko vzr❤❤nawapenda nyote 🎉🎉🎉
Asante sana
Jamani kazi nzuri sana nawapenda sana 😂😂😂
Shukrani sana
MashaAllah nzur
Asante
Sf sna ❤
Asante sana
Daah mbon magumu kijijin
Umeona eh sijui itakuaje
Imenoga sana🎉🎉❤❤
Asante sana
Adam umekuwa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Shukrani
Nakupenda sana Adam
@bimfaki nakupenda pia
Omulimu omulunge
Asante
Woow❤❤..........nilimissssss Ahsnte Adam chukua maua yako kutoka Zanzibar⚘️⚘️⚘️⚘️
Asante nayapokea na kuyapanda kibarazani
@@AdamLeoStudios InshaAllah
😂😂😂😂😂kunanuka ushirikina🎉🎉🎉🎉
Acha kabisa
Adam nakupa salam zangu zikifikiy umnipeye salam.na.kado from burundi
Zimefika
Sabi mambo🇸🇦🇰🇪
Poa
😂😂😂😂. Adam mungu anakuonaaa ety kunanuk ushilikinaaa😂😂😂
Acha kabisa😂😂
Kali sana Adam congratulations Kwa kazi nzuri bro
Asante
Imeisha jmn tumesubr kw hamu daik kdg🎉
Itaendelea
❤❤❤nmengoja kwa muda finally ❤❤
Endelea ku enjoy
@AdamLeoStudios asante 😊😊😊I enjoy watching your movie love from 🇰🇪
Wakwanzaaa like zanguuu jomnnn
Asanteee
@@AdamLeoStudiosOngeza sehemu nyengine ya igizo, ni safi sana.
Weyee Sabi😂😂❤❤🎉🎉
Sabi kiboko
sema Adam umetisha, nzuri sana
Asante sana
Nilingoja kwa hamu sana 🎉🎉🎉
Endelea ku enjoy
hapo sawa nimeisubili sana part 5 twende kazi❤
Endelea ku enjoy
Imepunguzwa muda sana adamu ongeza kidogo
Sawa
Umenifanya nikumbuke Hadi kwetu Iringa mazingira yalivo hongera sana kaka Adam❤❤
Shukrani
Kaka angu unajua sana ❤❤❤❤❤❤
Shukrani sana🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Adam ni muoga sasa unatambulishwa mkwe unastuka😂😂😂😂😂
Aweee mkwe gani huyoo😂😂😂
Kaka Adam unatish nakubali San filam zako❤❤❤
Asante
❤❤❤❤ ujawai kukosea
Shukrani
Aaaah Adam utalala wapi 😮😮😮 kazi ipo hapo
Acha kabisa tutalala ukweni
Kaka Adam unatucheleweshe sana paka unatutowa katika mdi lkn na wapenda xna❤❤❤❤
Pole sana! Ila zimeshakamilika sasahv ni mwendo wa kuachia tu
Kazi nzuri sana brother Adam. Kweli icho kijiji cha wakina Sabi kinatisha kweli 😁😁 eti kinanuka uchawi
Yaani acha tu
Wow thanks Adams acha tujienjoy 😊❤
Thank you too
Wow that is great news movie❤😂🎉
Thanks
So nice mhh tamuuu❤❤
Asante
Dah nmeipenda san hii ipelekeni mpk 20
Sawa tunaongeza
Kazi nzuri sana
Asante sana
Jaman Kaz nzuri Adam chukua maua yko Toka Zanzibar mupo juu sana
Asnate sana
Ongeza dakika jmn
Sawa
Jamani kazi nzuri sana mnayo fanya pongezi sana
Iko sawa
Kula chuma hiyo
Shukrani sana
Thanks
,😂Adam sikwakuogopa huko daah hilo jicho la mjomba😂😂😂
Mjomba hafai kabisaa😂😂
Wa pili wanawaomba like angu wao supa oman wote❤
Shukrani
Nimechelewa ila nimefika❤
Asante endelea ku enjoy
❤❤🎉🎉
Shukrani sana
Ongeraa cana Adam
Asante
Kivumbi sasa stering yuko mazingironi sifu atajikomboa vp,acha tuone part 6.safi sana nawapenda team Adam together we're muching.
Thanks
Wa kwanza leo
Enjoy
kaka hongera sana nimependa transition ya scenes zaako uko vizuri sana kaka
Asante
king adam akika ww ni zaidi ya kanumba piga kazi kaka utafika mbali
🙏🙏
Nime kumbali
Shukrani
Kazi nzuri ila umepunguza dakika adam
Tunaitoa mara kwa mara
😀😀😀 Adam we nishida kunanuka ushirikina
Acha kabisa
Viewer no.20❤❤
Shukrani
Tuko pa1❤
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Much love from saudia Arabia really appreciate that work ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Thanks
Heee adam mshenga 😂😂😂😂😂
Acha kabisa😀😀
Kazi nzuri
Asante
Sabi kumbe unawageuza wanaume mmmm😂😂😂😂
Sabi kiboko
following for so Long @Lareé from +254🇰🇪
Thanks
Tatizo lako unachelewa sana
Tutajitahidi kuwahi
❤❤❤
❤️❤️❤️
Eti mmezaliwa muhimbili
Hahaha mjomba noma
💯🔥🔥🔥
🙏🏻🙏🏻
Pamoja sana nazipenda sanaa kazi zako ongeza dakika bac@@AdamLeoStudios
❤🎉🎉
🙏🏻🙏🏻
Niliisubiri kwa hamu nafatilia nikiwa kenya
Shukrani sana
Dk ndogo 😢😢😢😢 atujazoea ivi
Tutaongeza
😂😂😂😂😂sabi mbona ana wanaume wengi ivo
Yaani kazidi
Kumb sabi anaitwa wandema😅 anajifany amemsahau kibee jmn.
Yaani acha kabisa
Adam, kunanuka ushirikina, ndo kwa shemeji yako huko, eti wabaya! we Adam wewe haupewi mwali huyo shauri yako
Sijui itakuajee😂😂
❤❤❤❤🎉🎉🎉
🙏🏻🙏🏻
🔥🔥❤❤🇧🇮
🙏🙏
Walai inaanza kunichangamua😂
Utaipenda zaidi
Nimeipenda San nataman hat zigike episode 100😂😂
Subiri na uendelee ku enjoy
Mbn umepunguza dakika jomon adamu ila nzur san meipendaaa lkn me badoo naisubiriiii wakujaaa jmn🙈🙈🙈
Kesho muendelezo sabi 6
@@AdamLeoStudios saw n wakuja linii jmn unapunguzaa utamu ety🤦🤦
🥰🔥🔥🔥
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
😂😂😂 Adam acha uoga huko kunako Nuka ushirikina ndiko ukwen uko.
Hahah sipawezi aisee
Mbona hii umetubania dk jamani 😢
Tutaongeza
Ila SABI Ni Miyeyushooo😂😂😂
Ana kilanga😂
Kijiji kinanuka ushirikina😂😂
Acha kabisa
🔥🔥🔥🔥😂
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Hunaga Kazi Mbovu Kaka Fanya Kutuwaishia Huo Utamu Unao Endelea Kaka!!
Leo mapema kaka
Nasubir Kaka
Kaka Mzigoo Badoo!!
Adam muoga wewe😂😂😂
We kuwezaa
ADAM NDUGU NAKUKUBALI ILA MUDA MFIPI SANA DK 17 NI CHA HE SANA ONGEZA
Sawa
Sabi anamatatizo akiliyake aijatuli.jmn tujue kuishi nasirizetu
Yaani acha kabisa
Boda Moja watu watatu
Acha kabisa kijijini kuna mambo
Na hapo umesahau kumuhesabu dereva
@@AdamLeoStudios 😄😄😄jaman nishida
Adam ❤❤❤🎉 maua yako
🎉🎉🎉
Mwanamke mbeya ndio maana sicilia lipo inje
Hahaha jamani
Aki hamnifanyii poa comment section😢yaani mnakimbia aje😂😂😂😂😂
Jamani nini shidaa
@@AdamLeoStudios wanakimbia sana bana🤣🤣🤣40mnts lakini hatari😂😂😂😂😂😂😂
Umeniudhi bhana hii imekuwa fupi sana lakini haina noma nitakomaa tuu kusubiri tena ingne
Sawa mkuu
eh! mmeanza kuminya muda
Kesho saa 7 tunatoa muendelezo
@@AdamLeoStudios good 👍
Kijiji kinanuka ushirikina toba😂😂😂😂
Hahaha acha kabisa😂😂
@@AdamLeoStudios 😂😂
🫵🔥🔥🤝
Endelea ku enjoy
Sabi naye sio kidogo anageuza Kila ragi
Sabi kiboko
Adam leo naomba nijibuu ❤❤❤❤
Mimi hapaa
@@AdamLeoStudios 🙏 💓
Hapana 😂haiwezekani mbona Adam amepanda ktkt😂😂😂😂😂
Jamanii😃😃
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
🙏🏻🙏🏻🙏🏻