SABI part 6 - New African Movie | 2024 Swahili Movie | Adam Leo Bongo Movie
Вставка
- Опубліковано 8 бер 2024
- SABI part 6 - New African Movie | 2024 Swahili Movie | Adam Leo Bongo Movie
SUBSCRIBE NOW / @adamleostudios
Welcome to Adam Leo Studios UA-cam Channel.
Stream and Enjoy Best of Swahili Movies with your favourite artists here on Adam Leo Studios UA-cam channel.
SUBSCRIBE NOW to stay updated on all latest Swahili movies.
DO NOT FORGET TO HIT THE NOTIFICATION 🔔 BELL ICON to STAY NOTIFIED ON ALL OUR NEW MOVIES.
#sabipart6 #bongomovie #filamumpya #swahilimovies #2024movies #adamleo #adamleobongomovie - Комедії
Yani nafwatilia sabi ata kuliko maisha yangu 😂😂
Shukrani
😂😂😂🎉
😂😂😂😂wee kiboko
😳
Woow hatimae...... nakuogeza maua yako Adam❤⚘️⚘️⚘️⚘️⚘️⚘️
Shukrani
Wakwanza nipewe likes zangu Adam fresh braza usitueke tena Kenya 🎉🎉🎉🎉
Sawaaa
Sabi nimuongo mumekuja nae lakini anampenzi wake Huku kijijini ni muongo hampendi jumañne Bali anamtu wake Sabi ni mke wa mtu
U😂😂😂@@AdamLeoStudiosadam juma 4 asema atembea sana ajui akanyanga mdudu gani nauliza ivi kwani kuna mdudu njiani ukimkanyanga wapotea njia
Yani Wow Sabi Aca Nione Bado Utakuwaje Sasa Mbona Unajireteya Matatizo Wew Guys Much Love ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Shukrani
Huyu soeto kumbe taar keshaoa mmh sabi usimludie😂😂❤
Hahaha yaani acha kabisa
Jumanne huna bahati na sabi jipange bro🎉🎉🎉 nawe kaka adamu jichunge usije ukajutia bro❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Ni kweli
Safi sana Adam kazi nzuri sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Shukrani sana
Ni nzuri sana ila unachelewesha sana
Jamani si kila baada ya siku moja napo nachelewa
Adam leo movie zako ziko sawa sana
Asante
Jamaa anamfukuza mke wake iv anamjua vzuri sabi. atakua anamjua sabi wa zamani nasio wa sasa
Hahaha umeona eh
Sabi Imekuwa tamu
Mnoo
Jmn ivi kweli ndo mausiano yako ivi ati uyo sowetu sijui aongea ujinga kwa mkewe mrembo ati sabi kweli
Yaani
sabi anjua sna kuigiza
Shukrani
Adam watufurahisha sana kiukweli
Endelea ku enjoy
Hongera sana kaka Adam n team yako mnaweza sanaaa❤❤🎉🎉🎉🎉
Shukrani sana
Kazi nzuri bro Adam 🎉ila msongeze madakika kiazi tafadhali❤❤❤nimeipenda sana walai..Sabi anataka kushusha nyavu kwa msitu 😂😂😂😂😂😂😂
Shukraniii
Adam kazi nzuri sana nawapenda sana
Shukrani sana
Nimewahi leo 🎉🎉🎉
Asante
Kazi nzuri sana🎉🎉🎉🎉🎉
Shukrani sana
Nakuona mbali adam miaka ijayo❤❤
Ameen
Safi sana 💯💯💯💯💯
Shukrani
Naenjoy sana adam kwa movie zako, tamu hatari🎉🎉🎉
Shukrani
Kali sana unaweza🎉
Asantee
Hii movie tamu nyie ❤
Endelea ku enjoy
Sabi mwenyewa hana msimamo
Umeona eh
Wahini hvohvo adam nakubal kaz zako
Shukrani
Mmh hii move ni motooooo
Saanaaa
Mungu akutunze kaka Adam ♥️♥️
Shukrani
Wa kwanza mm naomben like zangu jaman
Asantee
Adam mmeshayakanyaga kwenye Kijiji Cha watu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani hatuna hata siku 2
Adam kitakuramba swaiba
Haha
Kwani brother Adam ulikuwa wapi siku zote izi kwa kutu enjoy isha.daah Sabi tamu kweli asante
Asante endelea ku enjoy
Kwanini amumalizii movie yenu mnachosha
@user-mi6ud6jq4n kwenye Tv pia unawaambiaga hivi hivi au kwa kuwa sisi unatumudu?
@@AdamLeoStudios 😁😁 kwenye tv ndaanzaje? Kuwambiya ivo ila ndo kazi ya commenti
@@magnibrondi3152 hahaha haya endelea kuenjoy hivyo hivyo mkuu mpaka iishe!!!
Adamu me namtaka sabi wallah vile 😢
Aisee
Much love from Uganda
Thanks
Ila sku hizi tym ni kidogo sana Adam
Ila tunatoka mfululizo
I love so much brother 🎉🎉
Thanks
oya kamkubwa mnaweza.... nawaona paleee
Thanks
Omulimu omulunge
Asnate
Mama ake na mzala jolie vita bado mbichi adam fanya mrudi mjini haraka
Yaani hakuna namna
Waoo sabu imenoga atari😂😂
Shukranii
Adam❤
Naam😘
Na mm siezi toka hadi nicoment❤❤❤❤
Shukran
Pongezi sana bro Adam kwa kazi nzuri ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Asante sana
Yaan huyu soweto alivyokua anasema nimejenga nyumba vyumba 2kimoja chetu kimoja cha wtt nilijua nyumba ya maana ngoja ije mvua na kimbunga job upate shida ya kukandika tena udongo 😂😂😂
Hahahah jamani
Aki Adam napenda xna movie zako
Asante
Kwan huyu Sabi ako na wanaume wangapi wajamani 😅😅😅 Looh nimejifunza kitu kwa Sabi
Yaani🤣🤣
Pongezi kaka Adamu natarajia sehemu nyingine najiburudi hatarii❤❤
Asante mnoo
Mpaka mwisho tuko wote sabi😂😂
Shukrani
Jumanne the brave man…Sabi huna bahati😂😂
Umeona eh
@@AdamLeoStudios eeeh
Adam weka vitu baba sili mpaka nione Sabi bandle sio inshu
Sawaaa
😅😅
Watching from Uganda
Enjoy
❤❤
❤️❤️❤️
Nilivyounguza chapat leo akili iko kuja kuona sabi warabu lazima wanune kesho😂😂😂😂
Hahaha jamani polle
Adam fanya sabi kwa ndefu sababu ile utamu iko hapa😊😊
Hayaa
🔥🔥🤝
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Adam. Kuamakini. Nahapao kijijini. Usivamie madem wawatu. Kitakukuta kitu. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umeona eh😃😃
Good work love from Kenya ❤️🎉🎉
Thank you 🙌
@@AdamLeoStudios usichelewa ndugu yangu😊✔️
Uamfukuza mkeo soweto eti sabi kaludi unamjua vizuli sabi wewe ngoja akuoneshe show soweto
Yaani
Kazi nzuri sana
Asante
Adam ondokeni kijijini huko sabi atawaletea majanga tu
Umeona eh
Like zangu nmekuwa wakwanza .sinashinda na like kazi nzur
Asante
❤❤🔥🔥🔥
❤️❤️❤️
😂Sabi kashidwa kuvumilia 😂😂😂
Yaani
tuko pamoja mwanzo mwisho kuwasapoti
Shukrani
❤❤❤❤iko poa
Shukrani
Nimewahi 🎉🎉🎉
Shukrani
Nimeipenda🇲🇿🇲🇿
Asante
Imeweza mbaya 👍❤❤
Shukrani
rekebisheni izo cinema zenu kama ire ya kinyozo sauti mbaya mala inakata
Sio sisi boss
❤🎉🎉kazi safi sana adam
Asante sana
Jumaa4 and adam be careful ❤❤🇧🇮
Umeona eh
Hatali
Shukrani
❤❤❤❤❤❤
😍😍😍
Wow 👌 kazi safi guys
Shukrani
Nimependa sana kazi nzuri Adam 🎉🎉
Shukrani
Waoh! Thanks so much 🎉🎉
You’re welcome 😊
Omulimu omulinge
Shukrani
Afadhali haijachewa❤
Shukrani
❤❤❤
❤️❤️
adam nawapend tem yenu ulimnipeya salam zangu kado from burundi
Shukrani na zimefika
Dah yaani uishi na mtu muda mrefu hivyo alafu leo umuache tu kwa sababu mpenzi wako wa zamani amerudi 😢😢😢
Acha kabisaa soweto analitafuta jambo
Please Adam next episode please l m enjoying this movie
Jumatatu jioni
Kazi nzuri❤❤❤sana
Asante sana
Aaah ADam aki mbona ziko shot ivo aaah Adam wanichekesha Niko na kiu ya next episode aaah but Niko usitucheleweshe
Sawaaa
❤❤❤❤❤🎉🎉
❤️❤️❤️
Thanks for uploading ❤❤
It's my pleasure
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
❤️❤️
yaaani, ninesubir sana, lakin muda haujawa sahihi adam uliotwambia
Endelea ku enjoy
Yaani watongozwa mahusiano ya mkataba n wakubali waishi n mtu lkn kwa muda fulani yuakutumia tu thn uachwe dah mtihani kwa kweli 😢
Mtihani kwelii
Good job Adam, next ep pleaz msi2cheleweshee
Kila baada ya siku moja
Jamani nifupi mbona ama ni utamu umenizidia😂😂
Utamu umekuzidia
❤❤❤🎉🎉🎉
🙏🏻🙏🏻
🎉🎉🎉🎉🎉❤
🫶🫶
Jumanne sabi anataka kukubambikia mimba na wewe unakaza
Safi kabisa
Sabi part 789
Soon
leta season 7 😂😂😂
Leoo
Tuondoke like zenu rafik zangu❤❤
Shukrani
Adam ww umepata kidem mara kijini icho😂😂😂
Hahaha umeona eh😂😂
@@AdamLeoStudios 😂
Oyoooo
Endelea ku enjoy
Wakumi na tisa leo😂😂
Endelea ku enjoy