Mai Zumo “Napenda kuigiza na baba yangu'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Mchekeshaji chipukizi Maisarah Mohammed maarufu kama Mai Zumo anaewapa wengi tabasamu kutokana na uigizaji wake. Muigizaji huyu alianza kuigiza akiwa na miaka mitatu.
    Je, yeye hutoa wapi mistari ya kuvutia ?
    #bbcswahili #Tanzania #sanaa

КОМЕНТАРІ • 7