Pole Sana da Terry. Huu ni unyama wa Hali ya juu sana Lakini Mwenyezi Mungu yuko na wewe. Na hao ambao walifanya kitendo hicho Mwenyezi Mungu tuu ndio atakae waadhibu. Na wewe endelea kumuomba Mwenyezi Mungu.
Pole sana dada,hao waliokutendea hayo Mungu ameishawalipia. Na pole kwa kufiwa na huyo mume wako wa kwanza.Inanipelekea kuhisi kifo chake kilitokana na sumu ya huo mkaa mliowashia hilo jiko na toxic ikawazidi.
Kuna moments nilikua ninatamani aendelee kuongea but mtangazaji alikua anaingizia maswali katikati ya mazungumzo na kumkatisha. Watangazaji kuweni makini zaidi sababu kuna information za msingi mnaweza kupoteza kwa ku-interfere interfere. Pole sana sana dada Terry, atukuzwe Mungu kwa kukupa strengths through it all.
Pole sana dada na hongera mno.kila kinacho tokea kwako kina maana yake kwa MUNGU mshukuru MUNGU kwa kila jambo.kwani MUNGU alikuwa na mipango yake kwako hizi zilikua ni njia tu zakupita ili uje umtumikie na huenda MUNGU amekuepusha mabaya mengi pengine angekuacha tu usinge kuja kumtumikia.
I never imagined something so horrible can happen in reality.. May Allah punish the guilty and continue being an inspiration to many I really have learnt alot from the story
I am watching this at 2am UK and really sorry you went through this, but I am consoled that above all, you know God. He will use you to save the world from such beasts. Did the police who were called by your best maid really come? How come they never called you if at all they heard your scream? I guess this was carbon monoxide poisoning, or what was the diagnosis you were treated from? You are beautiful God fearing woman. You have inspired me and will be following you from London. God bless.
Pole sana mumy Mungu akupe roho ya wepesi kusahau jambo hili, mwachie yeye Mungu, maana hawatabaki salama wasipoitubu dhambi ya kinyama namna hii, hukumu iko inawangoja. Mungu akupe nguvu Terry, inauma saaaana, kutoka - Arusha Tz
Pôle sana dear mungu mkubwa kweli zaidi ya maelezo yeye muweza yote yeye mwenyeji yote dhuuu ,mungu azidi kukuzidishiya maisha marefu dada Terry yana tisha kweli zaidi mungu wetu mkubwa kabisa
I love this woman she was in our church and her preaching is on top
A brave woman.The peak of her happiness suddenly turned sour.All in all ALMIGHTY GOD HAD PLANS FOR HER...May GOD bless her...
Pole sana, you are a woman of grace. God bless you
Pole Sana da Terry.
Huu ni unyama wa Hali ya juu sana
Lakini Mwenyezi Mungu yuko na wewe. Na hao ambao walifanya kitendo hicho Mwenyezi Mungu tuu ndio atakae waadhibu. Na wewe endelea kumuomba Mwenyezi Mungu.
Terry Gobanga is a living testimony and an inspiration to many! I am getting you clearly from the kingdom of Bahrain
Prof Joe Ogutu
Bahrain
Pole sana dada, our Mighty God is always faithful
You are a strong woman, God bless you
Weeeh! So tragic, but very inspiring. God bless you servant of the most high God
Pole sana dada,hao waliokutendea hayo Mungu ameishawalipia.
Na pole kwa kufiwa na huyo mume wako wa kwanza.Inanipelekea kuhisi kifo chake kilitokana na sumu ya huo mkaa mliowashia hilo jiko na toxic ikawazidi.
Isaw this story long time and lhave really been looking for it.Thanks now lhave found it again. For sure you are a living Testimony
Glory be to God for the healing, pole sana madam Terry we thank God who beutifies our situations
pole sana Tery kwa hakika ulipitia jaribu gumu sana,jitahidi kuwa strong dada,najua hii kitu ngumu kusahau
Pole sana Terry! Haya ni mapito magumu sana. Namshukuru Mungu kwa ujasiri wa mume wako. Mungu ni mwema, ipo siku utapata mtoto /watoto.
Anao wawili tayar
Kuna moments nilikua ninatamani aendelee kuongea but mtangazaji alikua anaingizia maswali katikati ya mazungumzo na kumkatisha. Watangazaji kuweni makini zaidi sababu kuna information za msingi mnaweza kupoteza kwa ku-interfere interfere.
Pole sana sana dada Terry, atukuzwe Mungu kwa kukupa strengths through it all.
Kiukweli.inauma sana lakini mungu ni mwema aendelekukupigania pole sana
Ee Mungu wewe ndiye kimbilio letu
Na anapoteza dira ya simulizi
So annoying,
Amen pole Sana dada , Kwa doctor hakuna spare parts za mwili lakini Kwa Mungu kuna spare parts za mwili, that's why God Ali kubariki na 2 kids
Safi sana ulimkomesha driver mbwa kabisa hao ila mume wako kweli alitoka kwa Bwana. Mungu ni mwema anekubariki tena mume na watoto amen.
You've really built my faith,indeed God has the final say and everything happens for a reason
Sad story, but Terry is a strong lady. God bless her!
Pole sana dadaa. Kila jambo lina mwisho wake. You are strong woman.
I thank God for his deriverance.May the Lord carry you through Terry.He is a God of miracles.
Pole sana dada, MUNGU akutunze, Wasamehe na kuwaachilia moyoni mwako ili upone hasira yako na kinyongo ili upone
Pole Sana Sana dada.....pamoja na yote Mungu ni mwema kwako hata upo hai tena
Naitwa Sir.KB toka Tanga Tanzania,Pole sana Dada Terry,Hongera Kwa kusimama imara
Pole sana, Mungu azidi kujutia nguvu
I will never forget that day 😥. Continue to RIP Harry... Terry is the strongest woman I know
So sorry dear..but God is faithfulland has goid plans for us..this story makes me cry a lot
Duuuh Pole...Binadamu ,ubarikiwe Terry,Mungu atakulipishia InshaAllah!!
Pole sana terry Mungu yu pamoja nawe dah dunia haiishi vituko Mungu simama nasisi utuvushe.
Pole sana Bi Terry, Mungu yuko na Atakulipia tuu, Nimependa Ushupavu wako you are really Tough Lady, May God Revenge for you Dear.
Bless you ma'am ❤️ bad things happen for good things to come.
Pole sana dada na hongera mno.kila kinacho tokea kwako kina maana yake kwa MUNGU mshukuru MUNGU kwa kila jambo.kwani MUNGU alikuwa na mipango yake kwako hizi zilikua ni njia tu zakupita ili uje umtumikie na huenda MUNGU amekuepusha mabaya mengi pengine angekuacha tu usinge kuja kumtumikia.
Pole sana terry wenye walikufanyia hivyo malipo yao haitachukua mda kwao kulipwa
Ethel Wanjala from Nairobi, your servant of God,pole Sana dada 👏
Ethel Wanjala from Nairobi,haki kweli dada umepitia Mambo mangumu Sana pole dada yangu.🙏
Pole sana dada angu Mungu ndie muhukumu wao kweli wrwe ni shujaa sana
Pole sana l was shocked when l heard the incident l did your Nails in the salon reinsurance plaza huyo Rafiki ulimuzindikiza was behind the kidnapping
Siamini kama hao wanyama bado wako hai; mwachie Mungu. Pole sana mpendwa mtumishi.
Pole sana dada Mungu ni mwema. Herbert Hatibu kutoka Tanzania
No matter what we go through as followers of Jesus Christ, He's always with us. You are a strong woman Terry. May God bless you and Pole sana
Francis Thumi Mungu anaweza Asante
Pole sana dada , Mungu atakulipia katika hili.
Pole sana mammy mungu aendelee kukutunza ili wengi tujifunze kupitia ujumbe wako
I thank God for your healing.
A miracle woman. Pole sana.
Pole sana dada hao walio kufanyia unyama huo hao wawili walio ficha sura zao ni watu wanao kujuwa.
Pole sana.
Pole sana Terry! Our God is Faithful 🙏
Pole Sana, Mungu aendelee kukukumbatia na kukulinda
Am sorry for scenerio.blessed you for lesson
Pole sana dada. Na hongera sana kupata watoto. MUNGU yu mwema.
Thank God u are alive dear I also passed something similar like urs
Pole sana Dada Terry. Courage
Dha, Pole sana dadayangu, mungu aendelee kukutangulia.
Pole sana sister, Allah atakulipia wote walokubaka Allah atawapa adhabu kubwa
I never imagined something so horrible can happen in reality.. May Allah punish the guilty and continue being an inspiration to many I really have learnt alot from the story
ua-cam.com/video/4PWxD3xqDM0/v-deo.html
She was a strong Woman real there is a reason behind continue to pray on it.
Hongera Dada kwa kushinda majaribu wewe niushuhuda wewe nishujaa Mungu aendelee Kikuyu mia kama chombo chake.
I am watching this at 2am UK and really sorry you went through this, but I am consoled that above all, you know God. He will use you to save the world from such beasts.
Did the police who were called by your best maid really come?
How come they never called you if at all they heard your scream?
I guess this was carbon monoxide poisoning, or what was the diagnosis you were treated from?
You are beautiful God fearing woman. You have inspired me and will be following you from London. God bless.
Siz pole sana
Mungu akutie nguvu kwa hii elimu
Courageous woman you are.
Pole Sana Dada hakika Mungu ni warehema nyingi ati Leo hii unajambo la kumshukuru Mungu.
Pile mpenzi Iposiku Mungu atawaazibu
Pole sana! God bless you sis
Pole tena,nawapata vizuri kutoka mwanza Tz
Pole sana dadangu Mungu azidi kukutia nguvu
Pole sana kwa kupatwa na mikasa hiyo pale sana
Pole Sana dada.Msafiri wa Kigoma Tanzania.
Pole dada,what goes around comes around,m/mungu atakulipia
Pole sana mungu akupe nguvu
Pole sana mama pole sana Mungu aendelee kukutia nguvu
Ann gugi. One of the best. Good to see you. Keep soaring high.
Pole sana mumy Mungu akupe roho ya wepesi kusahau jambo hili, mwachie yeye Mungu, maana hawatabaki salama wasipoitubu dhambi ya kinyama namna hii, hukumu iko inawangoja. Mungu akupe nguvu Terry, inauma saaaana, kutoka - Arusha Tz
Have grace of God
Pôle sana dear mungu mkubwa kweli zaidi ya maelezo yeye muweza yote yeye mwenyeji yote dhuuu ,mungu azidi kukuzidishiya maisha marefu dada Terry yana tisha kweli zaidi mungu wetu mkubwa kabisa
God bless and protect you woman of God. Baada dhiki faraja.
Pole mama!! Bado Mungu niMungu pia ni muumbaji. Hongera sana kwa kupata mtoto
Pole sana,mungu ni mwema na asante kwakua shupavu nakuiereza dunia.ni peace (Rwanda)
Mungu haachi wacha wake. Majaribu ni ya muda ukimtegemea mungu. Huyu mama ako na ushuhuda mkubwa Sana. Pole mama Terry.
Pole sana Terry vp mmeo aliipokea vp hali iyo na baada ya tukio hilo ilichukua mda gan ndo mkafunga ndoa yenu?
Nampa pole sana kasisi Terry kwa yaliyompata Netchman from tanzania
Tunatakia tue wote wana wa Mungu,basi dada yetu poleni sana,Mungu atalipiza kisasi kwa wawo.
Pole sana Dada Mungu yupo
Tragic story. Pole. Keep on being strong. God is our healer.
Pole dada Pole sana
Pole sana usijali kama wewe ni mtu mungu siku moja atakuonesha hao maadui zako mungu yeye anawaona tuu
Pole sana wewe ni mwanamke jasiri sana mungu andelee kukutunza
Sad story but happiness at the end
Warching from kisii, enjoying the scenario.
Hongera kwa ushindi
THANKS BE TO JESUS TO GIVE THE CHILDREN MISS TERRY GOBANGA.
Thanks Jesus for your miracles.
Pole sana Dada, MUNGU NI MWEMA SANA!!
Pole sana Dada Mungu ndio mfariji mkuu.
Pole sana dada, hawa watakua watu wa moto.
Mungu azidi kukubariki dada duu
Pole sana mungu awaone
pole sana dada yangu,ila mshukuru mwenyezi mungu kwa kukuponya
Pole sis, the best maid should be investigated.
Jamani let her finish the whole story! Too.much interruption jamanii aaaiii...soma comment za after wards
Agrees
Mungu akulinde,mwanamke shujaa. Pole sana kwa bahati mbaya,lkini mazuri yako mbeleni.💖
Pole sana
Pole sana,Mungu akufariji
I'm in tears. ..This is too much...
Pole sana terry muchie mungu atashughulika nao
Pole sana kwa masaibu,,, Allah hatupi mja wake, mungu akulipe mema hapa dunyani kesho akhera
Pole sana.
Polee sana mama. Naitwa Godfrey Paul Wataye Nipo Musoma Tanzania
Pole sana naamini malipo yanaanza hapa hapa duniani pole sana sana dada
OMG mungu tunusuru wanawake pole sana tery
Pole sana Dada in Okemwa kutoka kasrani
Pole sana