Nakumbuka miaka hiyo ya nyuma nikiwa naimba kwaya, siku kama hii ya leo mnasimamia majoho kwa fundi ili muimbe mkesha, daah Mungu anitunze na waimbaji wote
Mwokozi kuzaliwa , Basi tukumbuke kuwa ili tukombolewe Basi twapaswa kujikomboaa wenyewe Kwa kusali na kujituma kufanya kazi bila kukatishwa tamaaa na ugumu WA Maisha Wala vishawishi au vilema vya dhambi..Mungu awe nasi sote.
"Mbali Kule"wimbo huu unanikumbusha mbal sn wakat nikiwa shirika la utoto Mt. parokia ya mwenge -DSM 2000 Hadi 2015 tulikua tunadance kanisan Hadi raha ... duuuuh enz hairudi...mbarikiwe sn
Nyimbo nzuri sana hizi
mungu ni mwema leo tarehe 24 mkesha krisimasi mwaka 2024.. kalibu mkesha kahama. jimbo kaloli lwanga
Naomba mungu anibariki niweze kuona krismas na mwaka mpya
i hope bado upo jamani
Mungu ni mwema merry christmas kwenu🎄🎄
Rc tupo vzr sana mungu aendelee kutuhifdhi
❤ nabalikiwa sn
Tunaosikilizaaa nyimbo hizi tukisubiri Mbaraka wa Xmass na mwaka mpya 2025 gonga like hapo
Mwahiyuka na noel
Moja kwa moja kutoka Moro nawatakien kheri ya Christmas 🎄🎄 uku tukiendelea kumuomba🙏💃 MUNGU atufikishe mwaka mpya na kuuvuka salama
Lala kitoto cha mbingu,
Lala sinzia lala,
Malaika wake Mungu watakutunzia.
Mungu ni mwema hakika tupo tena mwaka huu🙏
Nakumbuka miaka hiyo ya nyuma nikiwa naimba kwaya, siku kama hii ya leo mnasimamia majoho kwa fundi ili muimbe mkesha, daah Mungu anitunze na waimbaji wote
Zinanibariki sana
Naomba mungu abariki watu wake tuweze kuwa na christmass njema na mwaka mpya wenye mafanikio
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️jaman ni nyimbo nzur saana izo
🎉Amezaliwa mwokozi nizaliwe naye upya Emmanuel mungu pamoja nasi🎉🎉
Lala Kitoto inanikumbusha mbali sana baada ya Ubatizo wangu na Kipaimara mwaka 1965 Parokia ya Uwemba Njombe. Mungu na awabariki wanakwaya wetu wote.
1965! 25 years before my existence 🤣
35 years before my existence
59 yrs!!😮
Same as me 20 Jan 1990 @@dominicgichuhi5822
Mimi nimetoka kuzipenda Sana hizi nyimbo na nitabarikiwa nazo Mungu akubariki na wewe kwa kupitia hizi nyimbo🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nazipokea izi baraka za nyimbo nzuri za kumtukuza Mungu
Amen sana
Mwokozi kuzaliwa , Basi tukumbuke kuwa ili tukombolewe Basi twapaswa kujikomboaa wenyewe Kwa kusali na kujituma kufanya kazi bila kukatishwa tamaaa na ugumu WA Maisha Wala vishawishi au vilema vya dhambi..Mungu awe nasi sote.
Amina🙏🏼
AMINA
Kudanlod vp😢
Nyimbo nzr asante
Ameen nipo nasikiliza Kwa umakini sana nikiwa na familia yangu Yani watoto uku tunakula pilau mezani Kwa furaha ya ajabu ameen
Nyimbo nzuri za enzi hizo. Mmesahau tu kuweka majina ya watunzi. Ni muhimu sana!!
Ameni alleluia
Here again in 2024 December 🥳🎉God bless you all 🙏🏽❤️
Nabarikiwa sana 2024
Merry Christmas 🎁🎄💕
Najua kunao wanao sikiza hizi nyimbo za kitukizo sasa ivi ka mimi piga like
Na Mimi nabarikiwa
Mbali kule imenikumbusha enzi naimba kwaya ,Mtakatifu joseph Kiluvya daaaaa 2009-2012 🤚
Nafarijika mnooo
Mbarikiwe sana kwa furaha iliyo aje kimpokea mwokozi moyoni na katika maishani meangu .
All the time God is good🙏
Nimebarikiwa Sana,may God bless those produce the songs
"Mbali Kule"wimbo huu unanikumbusha mbal sn wakat nikiwa shirika la utoto Mt. parokia ya mwenge -DSM 2000 Hadi 2015 tulikua tunadance kanisan Hadi raha ... duuuuh enz hairudi...mbarikiwe sn
Nafarijika sana 😍😍😍😍😍😍😍
Nyimbo nzuri sana
Nabarikiwa na nyimbo hizi
Tunaosikiliza leo 25/12/2024
Tupoooo
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥this songs are beautifull ohh my God,this ,what are these ,Soo prettyyy
hongereni kwa uinjilishaji uliotukuka
Nice music for christmas🎉
Nasikiza nyimbo hapa Nairobi. Utunzi mzuri, ujumbe unaeleweka kwa urahisi!
Noel inakaribia tunajiandaaa
Asante kwa nyimbo nzuri sina tufariji tulioko mbali na familia zetu
Nyimbo tamu sana.Pongezi kwenu.
mbarikiwe sana nyimbo nzuri
Amina barikiwa nyimbo nzuri sana❤
Heri ya krisimasi
Feeling much blessed
Nyimbo nzuri zimetulia sana zinanibariki
Nyimbo nzuri sana
Nabarikiwa sana na nyimbo hizi. Zimetulia.
Hakika Mungu ni mwema sana Xrismass ya 2024tumeiona twasema Asante tupe nafasi pia ya kuumaliza huu mwaka na kuuona mwaka mpya 2025 ❤
Xmass njema wote Yesu azaliwe mioyoni mwetu Amina
🙏🏼
Mungu awabariki nyote pia
Mungu awabariki sn
Asante saana
Ameni🎄🎄🎅🎅🎅 merry X-mass and happy new year to everyone....
Mungu akubariki uliyeziweka hizi nyimbo
Tuko wengi
Listening from Kenya, Nyimbo nzuri Kweli
song number 3 😍😍😍sichoki kuusikiliza
Amen barikiwa nawe
❤❤❤❤❤❤ barikuwa wewe
Asante Kwa nyimbo nzuri
Nyimbo hazichuji jamani hapo 1994 ukiwa umenunuliwa suruali Tokyo unacheza hadi basi
😂😂
Wow napenda sana wimbo huu 😍
Mungu akubariki wewe unayesikiliza nyimbo hizi
Amina🙏🙏
Amen barikiwa pia
Lesa apale
Amen
Sawa nawe pia
Nafarijika, especially song no 7💕💕
🙌🏻🙌🏻🙌🏻hii remix
Nyimbo nzurii sanaa
Najivunia sana ukatoliki wangu
pray the most high as we prepare for the coming our lord jesus christ
Hee jameni wimbo hizi zavutia Cha ukweli ,ebu tuokoke,
Nafarijika sana kwa nyombo hiziii
Asant huduma nzur chakula kiloho
Hakika nimesikia kubarikiwa sana na nyimbo hizi, ubarikiwe sana ❤🙏
Mungu wabariki wanakwaya wote 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Naomba msada naomba jina yule mxungu aloimba wimbo wa chirstimas
Be blessed more for those who participated to brought those songs here,, i enjoy it daily,, 9cly songs,,,
Amen
Naenda kuweka kwenye frashi nizipige mpaka mwaka mpya
Aminaaa
Akika Zina bariki
Kweli ya kuzaliwa yes
Am blessed😘💞
Nice song
Very nice 👍 songs.
Very nice songs for xmas
Nyimbo tamu sana io chereko ni ya kwaya gani
Merry Christmas 🎄
Good songs . Thanks toGod🙏
Kimya Bara inanikumbusha enzi za utoto wangu
MUNGU ibariki Tanzaia
Wooow no 2 is very perfectly done 🥰🥰❤
Nyimbo ni nzuri sana zinanifariji sana nipo safari I naenda Zambia
merry Christmas 🎄
Hakika tumebarikiwa
Kama umeludia izo 👆 nyimbo zaid ya mara.moja gonga like tuone 2022 💌💌 2023
Nimeishi kuskiza Hadi spika imeisha charge,, they are Soo touching
'😂😂😂@@bridgitekeyah2728
A proud Catholic, nyimbo zina utulivu wa hali ya juu,ujumbe mzuri melodies sasa,hakika tumebarikiwa sana
Nyimbo zisizo chosha masikoo kwel mwokoz kazariw
Merry Christmas
Blessed one🙌
Kristu!
Naomba anaejua wimbo wa nne umeibwa na kwaya ipi naudowload vip
Thank you Rua Mangi for this collection. Merry Christmas to you and Family, God bless you!
Merry Christmas 🎄🎄🎄🎄🎄🎄