- 11
- 87 020
KWAYA YA MT. JOAKIMU BABATI
Приєднався 15 гру 2023
AMEZALIWA MKOMBOZI(Official video)-Kwaya ya Mt.Joakimu-Babati
Wimbo:Amezaliwa mkombozi
Mtunzi:Herman Gervas
Waimbaji:Kwaya yaMt.Joakimu Babati
Organist:Herman Gervas
Audio:Holy Music Pro
Video:Mdete Tm
#gospelmusic #KMJB#mkatoliki#amezaliwamkombozi#chrismass
Mtunzi:Herman Gervas
Waimbaji:Kwaya yaMt.Joakimu Babati
Organist:Herman Gervas
Audio:Holy Music Pro
Video:Mdete Tm
#gospelmusic #KMJB#mkatoliki#amezaliwamkombozi#chrismass
Переглядів: 11 603
Відео
YESU AMEZALIWA (Official video)-Kwaya ya Mt.Joakimu-Babati
Переглядів 29 тис.4 дні тому
Kwa ajili yetu mtoto amezaliwa tushangilie tuimbe aleluya • Wimbo;Yesu amezaliwa • Mtunzi;Elias Bonda • Wimbaji;Kwaya ya Mt.Joakimu-Babati • Organist;Herman Gervas • Audio;Holy Music Pro; • Video;Mdete Tm Merry Christmas-Glory be to God
Parokia ya Roho Mtakatifu- Babati (Official Video) - Kwaya ya Mt. Joakimu Babati
Переглядів 20 тис.2 місяці тому
Taifa la Mungu, Tumsifu Yesu Kristo! Karibuni sote tutazame wimbo maalamu ulioimbwa na Kwaya ya Mt. Joakimu- Babati, kwaajili ya kutabarukiwa kwa Kanisa la Roho Mtakatifu - Babati, Manyara. Kwa kupitia video hii utapata historia nzima ya kanisa hili tangu kuanzishwa kwake mwaka 1964 hadi leo hii. ▪Wimbo: Parokia ya Roho Mtakatifu- Babati ▪Mtunzi: F.E.Nyanza ▪Waimbaji: Kwaya ya Mt. Joakimu- Baba...
MGAWA BARAKA (Official video)-Kwaya ya Mt.Joakimu Babati
Переглядів 6 тис.2 місяці тому
Mungu anatubariki kwa kadiri ya Rehema na huruma zake , na baraka zake hazibagui. Karibuni tushiriki baraka za Mungu kwetu kupitia wimbo wetu wa "Mgawa Baraka" ▪Wimbo: Mgawa Baraka ▪Mtunzi: Ayoub J. Myonga ▪Waimbaji: Kwaya ya Mt. Joakimu Babati ▪Organist: Justine Sulley ▪Production (Audio & Video): Gls Pro All Glory To God Tafadhali, Like, share, comment na subscribe ili kuchangia uenezaji wa I...
MIMI NA NYUMBA YANGU (Official Video)- Kwaya ya Mt. Joakimu Babati
Переглядів 12 тис.2 місяці тому
●Wimbo- Mimi na Nyumba yangu ●Mtunzi- Emily Shayo ●Waimbaji- Kwaya ya Mt. Joakimu Babati ●Organist- Justine Sulley ●Production: Gls Pro "All Glory to God" Katika kumtumikia Mungu kuna Baraka nyingi sana. Karibuni nyote tushiriki baraka hizi.
Live Performance, Mkatoliki
Переглядів 4166 місяців тому
19 May 2024
Переглядів 4817 місяців тому
Shangwe za sherehe ya Pentekoste, @Kwaya ya Mt.Joakimu, Babati Live performance.
ATAWALA MZIMA (Official video)-Kwaya ya Mt.Joachim-Babati
Переглядів 4,6 тис.8 місяців тому
●Wimbo-Atawala mzima ●Mtunzi-A.J.Myonga ●Waimbaji-Kwaya ya Mt.Joachim-Babati ●Organist-Joseph J.Sulle ●Production-Gls Pro All glory to God
Shangwe za Dominika ya Pasaka
Переглядів 4389 місяців тому
Shangwe zirindime sifa zivume pande zote kwani amefufuka, ukombozi wetu umetimia na matumaini yalopotea yamerejeshwa
NURU IMETUANGAZIA LEO BY.L.SONDI
Переглядів 2,8 тис.Рік тому
Kwaya ya Mt Joakimu Parokia ya Roh Mtakatifu Babati Manyara
Переглядів 566Рік тому
Tunakila sababu ya kumshuru Mungu maana si kwa nguvu zetu wala akili zetu tunamshukuru sn Mungu
❤❤
Nyimbo nzuri ula badilisheni video shooter
Hongera sana
Mungu awabariki sana sana awainue mno nimebarikiwa sana nyimbo iko🥰🥰🥰
Salaam Maria, umejaa neema. Kheri kamili ya Christmas Mflame wa wafalme amezaliwa🎆☄️🌠💫🌌
Kweli kabisaàa tumempata mkombozi tumshangilie, hongereni Sana kwaya ya Mt, Joakimu BABATI.
❤❤❤❤❤
Big up
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥,, hongerenii! Merry Christmas 🎄
Wimbo safiii meupenda jamn mwokozi azaliwe kwa kila mmoja
Mungu awabariki sana
Hongela sana amina
Amezaliwa, ni Mkombozi wa Ulimwengu, furaha imetawala Masiha kazaliwa! Unakosaje kuzishiriki shangwe hizi, na unakosaje kumshirikisha jirani na ndugu yako shamramshara za kuzaliwa Mkombozi!? Haya twende pamoja! MERRY CHRISTMAS -Glory be to God❤❤❤
Katolikii rahaaa
🙏🙏🙏
Nzuri sana mambo yamebadilika
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢😢😢😢😢😢🎉🎉🎉🎉😢🎉🎉🎉🎉😢😢😢
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Hakika Wana Babati mmetisha asante Sana kwa Nyimbo nzuri kwaya safi
🙏🙏
Hongereni Sana mmeweza
Hoongerenisanaaaa kwa kumtukuza Mungu
Mungu awabarik
❤❤❤🎉🎄🎅🎅Hakika tufurahi na tushangilie sote tuimbe ALELUYA.... Kazi nzuriii...
Tisha sana chama langu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amezaliwa mtoto wa kiume yesu haleluya
Munasambazi ujumbe kupitia nyimbo tumsifu yesu kristu
Glory to God
🎉🎉🎉🎉 maua kwenu wana Joakimu
Kazi nzuri, uinjilishaji mzuri, vibes za kutosha, uchangamfu ni balaa, mandhari ndio fire kbs.. hongereni San Ni babati parokia ipi jmn
Parokia ya Roho Mtakatifu, Babati mjini🙏🙏
Hongereni kwa kuitangaza injili kwa kuimba.
Amina it so amazing 🌹🌹🙌👏
Nice song Mungu awalinde
🙏🙏🙏
Apakibosho
Hongera
Safi
Mnanifariji Sana watumishi wa mungu
Ni fireeee🥰
Jamaa angu Herman haupoi we jamaaa una balaaa
Congore Babati Mt Joachim parokia gani??
Parokia ya Roho Mtakatifu, Babati mjini
Amina sana hongera kwa utume mzuri
Alleluhya 🎉🎉
Hongera sana Kwa kazi Nzuri, Mmetoka na Msimu kabisa. Heri ya Christmas Kwenu Nyote 🎉
Joakimu Mungu awalinde sana. Mmenifurahisha sana wazee wa vibes ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Tupatie ofa basi dingiii😂😂😂
Asante sana kwa mziki mzuri sana producer wetu Mahiri
Hongera Sana Mwalimu Wangu Herman Gervas Mzee wa kazi Mungu atumize haja ya Moyo wako
Gervas ni mtu na nusu kabisa! Tunajivunia kufanya kazi naye❤
🎉🎉🎉
Mandhali nzuri mmependeza sana mmechangamka ❤❤❤ Kweli tumempata Mkombozi ,tufurahi na tushangilie .
🙏🙏
Wimbo mzuri❤
🙏🙏🙏
❤
Nice😊
Kristmas safi🎉🎉🎉