Nawashukuru Ndugu zangu kwa upendo mnao nionyesha nashukuru kwa support yenu kuja kwa wingi kusuport kazi yangu in 2 days 20k views sio mchezo kwa msanii mdogo kama mimi nawashukuru sana na nipo kwa ajaili yenu tuzidi kusonga mbele pamoja🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Brother you are one of the biggest artist mwenye nakuota kila wakati Mungu akulinde brother na ongeza bidii kwa hichi unacho kiamini inshallah kesho tutakuwa wote kule majuu🎶🎤🔥🇰🇪❤️🙏
Walai this guy will go far akipata support poa kama ile ya susu akapewa na Joho,ingekua uyu mwamba sai tungemskia mbali sana kwanza apate collabo mbili pale WCB alafu apush mziki vizuri walai tuko na bonge la star apa
Kaka nyimbo yako inahimiza sana huwa naisikiliza kila asubuhi,sikujua ina video.Naamini naweza na Mungu yupo nina sababu ya kuishi.Good art from Kenya 🎆🎆🎆🎆🎆🎆
Nawashukuru Ndugu zangu kwa upendo mnao nionyesha nashukuru kwa support yenu kuja kwa wingi kusuport kazi yangu in 2 days 20k views sio mchezo kwa msanii mdogo kama mimi nawashukuru sana na nipo kwa ajaili yenu tuzidi kusonga mbele pamoja🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Big up xn
Thanks bro
Wewe si Msaani mdomo broh. 💯💯
@@MRIMAPICTURES hahaha my director beast mwenyewe ushasema💪💪
@@MRIMAPICTURES 😂😂 ni macho
Broo nyimbo imenigusa sana acha mungu wa mbinguni azidi kukuajalia upenyoo🎉🎉🎉🎉❤
Tik tok imenifikisha hapa. Ngoma nzuri bros.
Kali sana bloody ❤❤❤❤
Nilikwambia kakangu hii ni kubwa sana🔥🔥🔥huu ndo mziki sasa😩😩waimbie mpka wabadilike
Pmoja kaka
Who is here cos of presenter Kai
👋
Me
Me it's a nice song sikua naijua
❤❤
✋✋
HELLO KENYAN AND TANZANIANS TUMPE NDUGU MILLION VIEWS PLEASE ❤
Mfalume wa utuzi #Mombasa #unaweza🔥🔥🔥✔️
Thanks bro
From tiktok here to support our own
Tuliotoka tiktok kuja tafuta hii nyimbo tujuane hapa
Nko hapa❤❤❤❤
Nko apa pia@@arrietcherotich9975
🔥🔥🔥🔥🔥🔥HUJAWAI NIANGUSHA BIG BRO ...MI NAKUAMIN SANA
Shukrani sana tuzidi kuombeana
Hii n reality ya maisha yetu ya ss.Sichoki kusikiliza na kumwaya machozi.Kenya vipaji vipo let us support each other maisha isonge
Hatua kubwa kaka
From presenter kai to here it's a good song
Dude nishalisoma hiliii,nizitooooo🦾🦾nalenye balaa🔥🔥🔥🔥🎤🐐⌚
Kama kawaida 🔥 shukrani kwa support
Noma sana kaka 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪🔥🔥🔥✌️✌️
Thanks bro
TEXT NAKOCHE YOU ARE GIFTED
Nimeisubiria hii video kwa hamu💯❤️.
Karibu sana asante kwa support yako
Nimeona Legend Kaa La Moto,mziki umeenda shule naamini kwamba naweza
Ndio kaka amini mungu
@@Echo254_ swadakta🙏📌
Big up big bro ata mia ilianza na Moja one day you'll be great, work hard, pray hard🙏
Weza sana my brother
Shukrani sana 🔥
Mziki uloenda shule💯💯💯
Thanks kaka
Lakes za presenter kai anatufanya tuje UA-cam direct ❤❤echo good job
Yani parfect uendeleye brother uwe imara 💪💪💪
Asante sana
😢😢😢😢 haya maisha balaa walahi😢😢
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
Thanks for the support my brother 🙏🏾
Kali sana #unaweza
Asante kaka
Safi sna brooo
Kazi twaitegea sana
Kama kawa kazi hewani Thanks so much
brother echo unyama ni mwingi sana,,, nakubali sana to the top kaka...aminia inshaallah
Thanks bro
Waiting bro
Waiting
Sure bro thanks for the support 🙏🏾
Nakubali kakangu.....kali sana💯🙏🙌😭🌎💖💖
Thanks bro
Unaweza ni Ngoma yenye funzo ambalo linaelimisha jamii hili dude hatari
Thanks so much
Hii N Moto Sana Big Up Bro
Wazi bro Echo 254 ngoma imeweza na video pia naikubali zaidi umetisha kakaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥... keep going broo
Thanks so much
Fanya bidii kijana wangu
Asante bro lazima tupambane
Thanx presenter Kai...made us locate a talented man with great heart touching song here❤
Aky i lack words 😢😢i after i heal from depression i will come back
Nasubiri dude moto ata halishikiki big up G
Thanks so much
Nakukubali bro keep it up nakuaminia bro
Thanks
#Echo254 bro iii ngoma inanipea motisha na ari ya kupambana kimaisha kila ninapohisi kushinda..Bro ngoma safiii saaana
Safi sana
Thanks
Nangoja kazi ndugu najua ni Moto nishaipenda
Kabisa shukrani sana
Lit 🔥🔥🔥 bro pamoja
Kazi iendelee baba.... Aminia 💯👣
Thanks so much
😎😎🤞🤞Unaweza Naikubali Sana Echo👊👊
Thanks bro
Nategea hilo goma kakaa
Wazi pamoja sana
Usichoke kaka twende nalo hakuna mpinzani!!..🚀⏯
Shukrani sana kaka
Waiting
Thanks sana
Unaweza echo,big up broo,sio Kila siku watu wanaimba mapenzi tu
The song is very touching
Asante Sana Echo very good nyimbo nzuri Ina ujumbe mzuri akika Napenda Sana kazi yako my brother Echo I wish you nikuone tu 😂😂😂
Tuko pamoja kaka nashukuru kwa support yako tutaonana tu
Ila samahan brother Echo naitaji siku moja kuongea wewe two
0758949197
Big up my brother echo umenijenga ki mawazo sana 🙌🏿🙌🏿 never give up kw aya maisha ya leo.
Kweli kabisa my good brother tunaweza
Imeweza kweli hii song I say
Thanks bro
Can't wait 🥳
Sure my Sister
Bravoo brother
Brother you are one of the biggest artist mwenye nakuota kila wakati Mungu akulinde brother na ongeza bidii kwa hichi unacho kiamini inshallah kesho tutakuwa wote kule majuu🎶🎤🔥🇰🇪❤️🙏
Ameen bro shukrani sana🙏🏾
Ucjali tuko pamoja
Waiting u never dissapoint
Thanks so much
I like and I love your job bro...natamani siku moja ni kazi moja tu na wewe bro...
Big up bro goma kali sana
Shukrani sana 💯
Imeweza sana my brother 👌 💕💕💕💕
Kaka 2ko pamoja sana
Thanks bro
One love ❤
Walai this guy will go far akipata support poa kama ile ya susu akapewa na Joho,ingekua uyu mwamba sai tungemskia mbali sana kwanza apate collabo mbili pale WCB alafu apush mziki vizuri walai tuko na bonge la star apa
I cry when i hear this song
Bonge la ngoma video kali sana
Shukrani sana kaka
In this road 🛣️ called life you have to accept the good and which is bad 😔 always forgive but never forget things go wrong but the ride goes on 💕💕💕💕
Sure bro thanks 🙏🏾
Kazi motooo💯💯💯🙏🙏
Shukrani sana 💯
Najuwa hii ni moto kama kawaida
Naaminia xn hio itakua Kali xn unamzidi huyo bwana wa sipigi kura
@@bekamsomali4067 😍one love
Sure bro thanks sana
Kaka nyimbo yako inahimiza sana huwa naisikiliza kila asubuhi,sikujua ina video.Naamini naweza na Mungu yupo nina sababu ya kuishi.Good art from Kenya 🎆🎆🎆🎆🎆🎆
Nilikua wapi kipind ngoma inatokaa😢😢😢
Bonge moja la ngoma chiiiiii
Waiting for it
Sure thanks for the support
Hii Video Ni Movie flani Emotional vibaya..#RESPECT.
Thanks bro
May this be a motivation to all the people out there who feel giving up it’s the last choice....God is with you don’t loose hope
Word🔥
Sure Ameen
Amen
Ameen
HII NI ZAIDI YA HII WALAI ECHO WW N ZAIDI YA MSANII BRO ....MI NAKUAMINIA SANA NA NAKUKUBALI SANA🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤❤
Shukrani sana kakangu
😢😢😢😢very emotional big up kaka
Am waiting for in a few minutes
Sure bro thanks for the support
Big up💪💪🔥🔥🔥
Ukimuaamin Mwenyezi Mungu One day Yes utafanikiwa, matatizo yasikukatishe tamaa. Brother you have made it clear 🔥💚💙
Sure kaka in God we trust
Nalxy apa nshafika💯💯💯dude hataree sana mwananguko
Shukrani sana bro 🙏🏾
N indeed thats how life is
God give us strength n ua blessings
Thumb up echo,producer n director mrima
Ameen bro thanks so much 🙏🏾
@@Echo254_ keep us on toes with us good music
Nice 👌 the very nice 👌
Thanks so much my big brother 🙏🏾 🙏🏾
Unaweza upcoming hit
Sure bro thanks for the support
I know it will be 🔥🔥🔥waiting..
Thanks so much mamake
Good job 👌👍 echo 🙏🔥🔥🔥🔥🔥♥️ sauti nakubali sanaa
Thanks
This is nice.....vocals....visuals good job both producers, audio&video
Thanks
Nyimbo Nzuri sana Umeimba kwa Utulivu Melody Nzuri.......Imenibamba kinoma Noma
Big congrats boy... You're in a ecko we feel you 👂💥👀BG commented
Thank you so much
Echo 254 Kwanini Sijakujua Mapema Daa Najilaumu sana 😢😢Kweli Utafika Mbali
Echo 💥💥💥💥💥💥💥
Thanks bro
Nice song hakika umebeba ujumbe mwing t... good job bro
A very brilliant composer and talented vocalist. I hope soon we get to have a sit down.
Maupendo kwa sana kaka
Ngoma iko Safi n ni kali sana
Kabisa kaka nashukuru sana kwa kuendelea na support
Nakukubar brother mungu akufikishe mbari
Ngoma Kali sana hiii bana!!!!
Asante sana
This Echo is Echoing all over the world ❤️🇰🇪👋 Thanks for standing with the less Fortunate#Unaweza wherever you are.
Thanks
Thanks presenter kai for directing me here
Only God knows how much I feel for this song 😢cant stop crying 😊❤be blessed bro you really know what we need na unatupea
Wow ❤❤ amazing cheers 🥂 for those u come all the way from TikTok ❤❤❤
I pray that you go higher than this🙏🙏♥️♥️♥️♥️♥️❤️🌹
Amen
Sawasawa kamanda
Sure Kababaye💪🏾