Godfrey Mteule Likizo Official Music Video 4K

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 2,3 тис.

  • @FlorenceZALUKE
    @FlorenceZALUKE Місяць тому +68

    Kama kuna mtu anakuja uku kisha kusikiya ule wimbo wameimba na kusah gonga like

  • @anoldrichard8885
    @anoldrichard8885 2 місяці тому +208

    Watu wangekuwa wanawaza kama mimi hizi ndizo nyimbo za kusapot kwa nguvu zote

  • @issafoundation1758
    @issafoundation1758 3 місяці тому +603

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Naipenda hii nyimbo jamani mwingine kama mimi anaye penda nyimbo hii naomba asipite bila ku like tujuane tu

  • @MasterTulo
    @MasterTulo 2 місяці тому +120

    Mwenyezi Mungu nyanyua hiki kipaji cha mtumishi wako! Wanaoungana na mm gonga like ili dua zetu Mungu azipokee

  • @mikelexus3623
    @mikelexus3623 2 місяці тому +27

    Kama kuna mtuh ameguswa nahi song gospel gonga like hapa

  • @AmaniNasoni
    @AmaniNasoni 3 місяці тому +316

    Sjachagua wap nizaliwe sjachagua kip nikiishi ❤❤ tunao omba huyu DG afike mbali karibu jap kwa like zako mpaka zifike 1000

  • @SabasAgustin-l7b
    @SabasAgustin-l7b 3 місяці тому +102

    Daaah kumbe ni hii ngoma soo Sili me mpaka nasisimka ngoma hii jaman 🫡🫡🫡 kama wewe ni shabiki weka like yako ap

  • @Teameagle3
    @Teameagle3 3 місяці тому +437

    1:06 yoyote atakae like hiyi comment Mungu abariki maisha yake yote na kizazi chake Pia ❤🎉🎉enjoy likizo by Godfrey 😢

  • @MajaliwaJuma-c5g
    @MajaliwaJuma-c5g Місяць тому +34

    Mungu akusaidie uendeleee kufanya kazi yako kwaweledi na utimize ndoto yako mungu yupo nawe kama mme ikubari hiyi nyimbo kama mie nilivo ikubar weka like ❤❤❤❤❤❤❤

  • @ALEXWABOSHABANI
    @ALEXWABOSHABANI 2 місяці тому +36

    Mungu akujaliye kama una penda baraka yangu kwake nipeni like natoka congo Lubumbashi 😊

  • @fellyxkhan1890
    @fellyxkhan1890 3 місяці тому +144

    Kama wimbo huu umekutoa jozi dondosha Like hapa 😢

  • @Yuzdoll766
    @Yuzdoll766 3 місяці тому +734

    Kama Kuna mtu amerudia video hii zaidi ya mara 2 gonga like hapa😂

    • @brunokisubi
      @brunokisubi 3 місяці тому +10

      Nakubali

    • @HurryGift
      @HurryGift 3 місяці тому +9

      Sasa Nini Yakuchekesha Hapa Dharau Au Vipi

    • @lovirinaa
      @lovirinaa 3 місяці тому

      @@HurryGiftujinga tu

    • @emmiejoseph7982
      @emmiejoseph7982 3 місяці тому +3

      Me nimerudi mara 5

    • @jmjohwarriors5779
      @jmjohwarriors5779 3 місяці тому +3

      Sasa kinacho kuchekesha ni Kipi apo 😢😔

  • @jose_willy79
    @jose_willy79 3 місяці тому +165

    "Hivi ni kweli mungu uliniumba hivi au ni walimwengu tu kwa maana sielewi inatokana na nini au ni makosa ya familia" .Mstari unagusa sana huu

    • @ascanboy2048
      @ascanboy2048 3 місяці тому +2

      Mungu Yupo Atatenda tu Kwa Imani Amen

    • @youngnaathpromota9882
      @youngnaathpromota9882 3 місяці тому +11

      Soma john 9.1.12
      Alipokuwa akienda alimwona mtu kipofu tangu kuzaliwa. 2 Wanafunzi wake wakamwuliza, Rabi, ni nani aliyetenda dhambi, mtu huyu au wazazi wake, hata azaliwe kipofu? 3 Yesu akasema: “Mtu huyu wala wazazi wake hawakutenda dhambi, bali hili lilifanyika ili kazi za Mungu zidhihirishwe ndani yake. 4 maadamu ni mchana, imetupasa kuzifanya kazi zake yeye aliyenituma. Usiku unakuja ambapo hakuna mtu awezaye kufanya kazi. 5 Wakati ningali ulimwenguni, mimi ni nuru ya ulimwengu.”

    • @paulinanhinde6845
      @paulinanhinde6845 3 місяці тому +1

      Yaan huyu kijana anatia huruma mungu amkumbuke kupitia uimbaji wake

    • @jose_willy79
      @jose_willy79 3 місяці тому

      @@youngnaathpromota9882 Barikiwa mtumishi

    • @jose_willy79
      @jose_willy79 3 місяці тому

      @@paulinanhinde6845 Mungu yupo atamfanikisha

  • @VeronyProductions
    @VeronyProductions 2 місяці тому +14

    Kazi kubwa sana hii! Mungu akuinue mdogo wangu, yaani nimeguswa sana.

  • @KimbinyikoLimited
    @KimbinyikoLimited 2 місяці тому +17

    Huyu jamaa namkubali sana natamani siku akitoa albamu nimsapoti anaimba kwa hisia sana😢

  • @mcfabian2190
    @mcfabian2190 3 місяці тому +64

    ❤from Kenya 🇰🇪 nimekubali hii nipe likizo na likes

  • @Alexijustin
    @Alexijustin 3 місяці тому +59

    Kama una Amini Kila mwenye kusubiri malipo ni mema Gonga apa God is All You Need 🤲😢

  • @ZacharieBaombwa
    @ZacharieBaombwa 3 місяці тому +47

    Kama umependa nyimbo iyi gonga like apo chini❤

  • @ElishaGenese-rs8dw
    @ElishaGenese-rs8dw 2 місяці тому +17

    Nakosa neno ndugu zangu. kuna sehemu ambayo inani liza sana. eti hajuwi kama Mungu tu ndo alimu umba vile ao kama ni dunia tu, ao kama ni makosa ya familia. aahhh 😭😭😭😭😭😭😭😥😥

  • @bettiejoy-mtotowamama
    @bettiejoy-mtotowamama 2 місяці тому +14

    Mungu anakupenda na uko na kipaji kizuri Mungu akuinue zaidi ya ufikiliapo🙏🙏🙏,
    Mob love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤❤❤❤

  • @Asendeeoo
    @Asendeeoo 2 місяці тому +4

    Mungu yupo pamoja na wew kak ipo siku mungu atatenda miujiza yake tu usikate tamaa kak🙏🙏🙏🙏

  • @zagadateClassic
    @zagadateClassic 3 місяці тому +39

    Nyimbo stamani hata iishe
    MUNGU barik kipaji hiki ❤❤

  • @SamuelOmarion-cw2yh
    @SamuelOmarion-cw2yh 3 місяці тому +38

    Wanao mkubali Godfrey Gonga like❤❤

  • @EsterBester-i3f
    @EsterBester-i3f 2 місяці тому +12

    Nimelia sana hasa kwenye kipande anachosema kama maisha yangekuwa na likizo ningepunzika mana sifahamu uhalisia wa dunia mito bahari nikitembea sioni daaaa mungu ambariki sana huyu kaka

  • @EDRAXMusic-fp2vc
    @EDRAXMusic-fp2vc 26 днів тому +3

    Mungu ni mwema msada wangu tutatoka wapi msada wangu ukatika yeye anitiaye nguvu I sema amen kwa kila jambo

  • @siranathani2546
    @siranathani2546 3 місяці тому +22

    Tope la Mate Lilotumika kufumbua macho ya kipofu Kwajina la Yesu nawe Likafumbue Macho ata sasa Amina

  • @MasokaJiko
    @MasokaJiko 3 місяці тому +28

    Kupitia wimbo huuu mungu akufungulie milango ya baraka 😢😢😢😢😢

    • @NuriethRamadhan
      @NuriethRamadhan Місяць тому

      Allah musikie koumbe wako walau fanya miujizaa aonee ya Dunia jamani naliaa mpka basii

  • @samboreeadam4273
    @samboreeadam4273 3 місяці тому +18

    Nyimbo iko vzr sana,na kipaji kipo kikubwa kwake

  • @SalimaJuma-en8km
    @SalimaJuma-en8km 2 місяці тому +4

    ❤❤🎉 Mungu Wa mbinguni akubariki ahongeze karama na vipaji ndani yko

  • @marthawanjiru6675
    @marthawanjiru6675 2 місяці тому +10

    Hii wimbo lazima nisikilize Kila siku like more than 5times aki naipenda❤❤🇰🇪🇰🇪🇶🇦🇶🇦

  • @wabasangoabil7356
    @wabasangoabil7356 3 місяці тому +118

    Tumsapoti ndugu yetu

  • @VOCAL-FREYTz
    @VOCAL-FREYTz 3 місяці тому +25

    Jamani naomba mumsapot kaka yangu GODEFREY MTEULE kaka mungu akubariki sana

  • @dancannyabuto9163
    @dancannyabuto9163 2 місяці тому +4

    Naipenda sana 👌🇰🇪🇰🇪🇰🇪💞

  • @PeterMuriuki-dr5yj
    @PeterMuriuki-dr5yj 2 місяці тому +17

    Huu wimbo mtamu unafanya nimshukuru mungu kwa vile nilivyo

  • @Bettermustcome714
    @Bettermustcome714 18 днів тому +3

    This one is great testimony

  • @kakoziSimbi
    @kakoziSimbi 3 місяці тому +14

    🙆🏾‍♂️ Good job Godfrey 📖 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
    Wimbo huu umetuliza sana ndugu zako wimbo huu ukihuhimba ndani ya kanisa 🏛️ yoyote utaliza watu whote kanisani

  • @asagospelmusician8859
    @asagospelmusician8859 3 місяці тому +10

    For sure ngoma ni kali kuanzia misitari hadi melody, maombi mengi kwa ajili yake wapendwa, natamani kumuona mbali zaidi❤

  • @kulwasaid7850
    @kulwasaid7850 3 місяці тому +8

    Ningekua nafanya Kazi kigoma nangependa kuonana na ndugu angu mtanzania huyu nimpe kidogo nilichojariwa na mora mtoe Namba zake tuweze kumuinua ❤

  • @peterganga9924
    @peterganga9924 2 місяці тому +14

    Mungu akikupa kilema anakupa na mwendo mtanzania unajua

  • @EditherGregory
    @EditherGregory 20 днів тому +2

    Yupo vizuri

  • @Crocoboy45
    @Crocoboy45 3 місяці тому +16

    Nime kubali from Drc 🇨🇩🇨🇩 mumutunze huyu ndugu yangu ana kipaji kweli

  • @addyboy_93
    @addyboy_93 3 місяці тому +16

    Mwenyezi Mungu ndio mpaji kwa kila jambo usife moyo ni mipango yake juu yako 🙏😰

  • @SubilaArjun1
    @SubilaArjun1 3 місяці тому +18

    Ndugu Jama tumuache Mungu abaki kuitwa Mungu maana hii niujiza ❤

  • @Enockwalela
    @Enockwalela 2 місяці тому +9

    Mungu ayasikie maombi haya.mmhh wimbo umenigusa sana,ubarikiwe ndugu

  • @PassoNewmodel
    @PassoNewmodel 2 місяці тому +10

    Inanishindwa kusikiliza hii nyimbo machoz mengi

  • @ishemwabulayusuph5418
    @ishemwabulayusuph5418 3 місяці тому +22

    Kazi nzuri -nikiwa dar esSALAAM MUNGU IBARIKI KAZI YAKO🎉

  • @JacquesKakonge
    @JacquesKakonge 2 місяці тому +10

    Mwenyezi Mungu aku bariki ndugu Godfrey, akupe nguvu na uwezo kwa kila Jambo lako maishani mwako❤

  • @joelnyondo2047
    @joelnyondo2047 3 місяці тому +11

    Mungu anamakusudi nawe yeye anajua🙏

  • @kashindiabdallah2723
    @kashindiabdallah2723 Місяць тому +2

    Watu wake KRISTO YESU mko wapi? Ni wakati Wa kushea, ku like na kuangalia nyimbo zake kwa mara nyingi tena na tena popote pale alipo wake KRISTO YESU. Asanteni sana.

  • @EsaïKyambunda
    @EsaïKyambunda 3 місяці тому +8

    Hakika nime barikiwa zaidi Nakipaji kya huyo kijana!
    Nimeifata Mara na mara Mpaka soja ichoka! Mungu amuongezeye hakili yakuenda zingine

  • @ErickMakasi
    @ErickMakasi 3 місяці тому +15

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ duuuuh mungu hawzi kknyma vyote dogo kajaaliwa sauti ya baraka

    • @MmMm-tt1wi
      @MmMm-tt1wi 2 місяці тому

      Yaan hatari kweli nimeipenda Mungu ambariki sana😊❤❤❤

  • @sharikan66
    @sharikan66 2 місяці тому +5

    Dah ngoma kalii saana na msanii wetu anajua hebu tucoment na ku like ku share kwa saana

  • @Amisajosephine
    @Amisajosephine 2 місяці тому +9

    MUNGU akubariki sana kaka yangu
    GOD anatend kwa wakati wake
    GOD bless you my brother ❤❤❤❤😊🎉

  • @kikaaidan
    @kikaaidan 2 місяці тому +9

    Kama maisha yangekuwa na rikizo mim ningepunzika!! ❤❤ Nikweli tunapitia mengi kaka tunacheka tukikutana na watu lakini tunalia tukiwa wenyewe maana hakuna mtetezi zaidi ya mungu MUNGU ANDELEE KUKUPA NGUVU UTAFIKA MBALI KWA KUDRA ZAKE 🤝🤝

  • @dicksonmboya3214
    @dicksonmboya3214 3 місяці тому +15

    Unabakia kuwa Mungu kwenye maisha YETU... Katika magumu na yasiyoelezeka Bado unabakia kuwa Mungu kwa mkono wako hakika Asante Mungu kwa hiki kidogo ulichompatia zipo njia nyingi kwako

    • @Haji-yr9db
      @Haji-yr9db 3 місяці тому

      😢😢😢 aaaamen🤲🤲

  • @dariusshukuru8490
    @dariusshukuru8490 3 місяці тому +12

    Uyu Dogo ana kitu Ndani yake kweli,sikiya maneno n'a sauti ilivyo kamilika

  • @frank_md
    @frank_md 3 місяці тому +6

    Huyu anaitwa Mungu na makuu yake🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @ShukuruDaudi-ue6in
    @ShukuruDaudi-ue6in 2 місяці тому +13

    Wimbo nzuri❤❤MUNGU akuhonekanie, akuzidishie na akubariki🙏🙏

  • @MiriamMir-uf5wv
    @MiriamMir-uf5wv 2 місяці тому +6

    believe God is only the one who bless ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉from East Uganda 🇺🇬 🙏 🙌 Amen

  • @MariamuAmos-hk2eo
    @MariamuAmos-hk2eo 3 місяці тому +8

    upo vzr xn kaka godfrey may godbless ue mooo than thx

  • @STOPPA_BOY_RAPPER.
    @STOPPA_BOY_RAPPER. 3 місяці тому +13

    too talented...much love sana from KENYA...ipo siku

  • @HappyShirima-k9t
    @HappyShirima-k9t 3 місяці тому +11

    Jaman wimbo mzurii sana watu wa Mungu nawaomba tumsaport huyu mkaka jaman anajua Tena anajua HAKIKA nimebarikiwa kupitia huu wimbo 🙏🙏

  • @seremusicofficial
    @seremusicofficial 2 місяці тому +1

    Hii ndo maana ya mungu akikupa ukilema lazma atakupa na mwendo mwana yuko vizur anayo kipaji sana mungu azidi kutuonekania katika kazi zetu😢

  • @majalaworldwide
    @majalaworldwide 2 місяці тому +5

    Management Kama Mta hitaji msaada wowote kwa kijana Wetu mzuri .Wekeni Acount Tufanye jambo ..mimi nimeridhia Kuchangia chochote kwa moyo mmoja ..

  • @ShabaniMussasaidi
    @ShabaniMussasaidi 3 місяці тому +5

    Mungu yupo kaka,abariki kazi nzuri unazo zifanya

    • @sammoney1466
      @sammoney1466 2 місяці тому

      ua-cam.com/video/3ab-sb3Fs70/v-deo.htmlsi=6pUheb73Znky6x4R

  • @zakayoyohana2191
    @zakayoyohana2191 3 місяці тому +12

    Hadi machozi kwa kweli daah kweli mumgu hakunyimi vyote mungu awe pamoja na wewe

  • @DemsyMelody
    @DemsyMelody 3 місяці тому +10

    Mungu wangu ni kweli wasikia kilio😢 cha mteule wako jizirishe kwa moyo wa upendo ❤ kwak😢😢😢😢

  • @Hancy_B.o.B
    @Hancy_B.o.B 2 місяці тому +4

    Ngoma kali sana nineurudia almost 5 times 📢

  • @CHRISTIANISMETz
    @CHRISTIANISMETz 13 днів тому +1

    Nime ipend san iyi

  • @laxmajor
    @laxmajor 3 місяці тому +11

    Mungu akutiye nguvu ushinde majaribu namabaya Godfrey 🦻

  • @bernardbaru
    @bernardbaru 3 місяці тому +12

    Bien kabisa 💪🏻
    Mungu akusaidiye baba👏🏻

    • @JackAwazi-p1q
      @JackAwazi-p1q 2 місяці тому

      Nikweli kabisa 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @godblessnkyale98
    @godblessnkyale98 3 місяці тому +7

    kazi nzurii🙏🙏🙏

  • @MwamposaChinga
    @MwamposaChinga Місяць тому +1

    Mungu akikuamulia hakuna wakuzuia Big up sana bro ujakazana sana kama wale ila mungu amekusaidia ushauri temana na wakina jondaved

  • @DanielBandolela
    @DanielBandolela 2 місяці тому +3

    Jama anakipaji kbs njohoni tugonge ma like kama piya una msapoti

  • @renfridakaiche9729
    @renfridakaiche9729 3 місяці тому +12

    Dah asante Mungu kwa hivi nilivyo na asante kwa hii nyimbo imenifanya kukushukuru kwa ulivyoniumba. Eeh Mungu mtimizie ndoto zake Godfrey amina

  • @Dorolifeathome
    @Dorolifeathome 3 місяці тому +7

    Amen 🙏🏽 mungu akufanyie wepesi

  • @Mmms1w1Yyy1h1y1
    @Mmms1w1Yyy1h1y1 2 місяці тому +4

    Mungu akubariki ndugu mimi ni mweslamu uruma na uzuni auna mkristo ao muslamu tu meumbia binadamu !maneno ulio nena ni mawaiza tosha mungu azidi kuku sogeza na barka zake ziwe pamoja na wewe amina

  • @phineaspropromoter2429
    @phineaspropromoter2429 2 місяці тому +1

    Good song❤ ana kipaji kabisa👏

  • @Harryking001
    @Harryking001 Місяць тому +2

    Spade beat... Huyo producer hatari ...ama mkono mzuri ....

  • @EricBaeni2
    @EricBaeni2 3 місяці тому +8

    Mungu anaonesha ukuu wake kila mahali na kwa kila mtu katika mazingira tofauti😢 Mungu akupe uwezo zaidi kwa kumtumikiya🙏

  • @NoelaGustave
    @NoelaGustave 3 місяці тому +10

    ❤❤❤❤❤❤❤❤jamani mpaka chozi limenitoka kwa kweli❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @R.ASHIMBIBOY
    @R.ASHIMBIBOY 2 місяці тому +6

    Kama una penda ihi nyimbo like guys
    Alafu tusaidiane kuisambaza kwa pamoja

  • @K-Mapsmusic
    @K-Mapsmusic Місяць тому +2

    Nakuongeya baraka za mungu🙏🙏🙏 Mungu akubalike

  • @michaelayubu9456
    @michaelayubu9456 3 місяці тому +5

    Da.!!😢😢😢mungu akupe neema ya Nuru mtumish wa Mungu 😢😢

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n Місяць тому +4

    Najiona mjinga kumfahamu leo huyu kijana mwenye kipaji kisichoelezeka. Uumbaji wa Mungu uliotukuka. Mungu amzidishie kwakweli

  • @i.am.rayluck
    @i.am.rayluck 3 місяці тому +12

    Nipo Kenya na nime kubali uyu blaza ..❤❤❤❤tumsapoti

  • @JaguarpowerKingstonJaguar
    @JaguarpowerKingstonJaguar 2 місяці тому +2

    Kwa kweli kijana inabidi apate sapoti kwani kazi ya uwimbaji unajuwa kbs 🙏🙏🇨🇩🇨🇩

  • @bluebird_5591
    @bluebird_5591 25 днів тому +1

    mungu aendelee kukutia nguvu utafika mbali ........👏👏

  • @Shinemedia255
    @Shinemedia255 2 місяці тому +5

    Mungu saidia kijana mrudishie uoni tena aone kama wengine

  • @JimmyMapya
    @JimmyMapya 2 місяці тому +4

    Mungu akuzidishie kwahiyo kaz yakumtukuza muumba wako atakusaidia naamini hivo ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @savan070
    @savan070 2 місяці тому +3

    Pure Gospel song directed to God. We will give you the support. All the best to you and your management🙏🙏

  • @IbrahimGodfrey-x7r
    @IbrahimGodfrey-x7r Місяць тому +2

    Daaah walio fikili kama Mimi like tafadhari

  • @Elizabethgoodluck-k2f
    @Elizabethgoodluck-k2f Місяць тому +3

    aiseees hii nyimb aisee blessed bro❤

  • @DamsDavid
    @DamsDavid 2 місяці тому +5

    Nyimbo iyi imenitowa majizi kweli kweli😢😢😢😢😢🎉🎉🎉

  • @PhilisKundu
    @PhilisKundu 2 місяці тому +9

    Utaeta bali mungu yubo

  • @TotoLaDollars
    @TotoLaDollars 3 місяці тому +6

    ❤❤❤❤ upendo aukopeshwi ila wema ni akiba

  • @thadeusmahendeka4466
    @thadeusmahendeka4466 Місяць тому +1

    Nyimbo iko na upako. Big Up sana kwa kila aliehusika kuifanikisha kutoka.

  • @RoseJasiry
    @RoseJasiry 2 місяці тому +1

    Jann tumchangie huyu kaka Anakitu atafik mbali San 🎉

  • @AsumaniMmalanyibwa
    @AsumaniMmalanyibwa 2 місяці тому +6

    Dah! Huu wimbo unagusa hisia kwelikweli
    Ubarikiwe sana kijana
    Tupo nyuma yako kukusapoti

  • @MOHAMOUDZAIDALI
    @MOHAMOUDZAIDALI 2 місяці тому +6

    Hiii nyimbo imenigusaaa sana 😢😢😢😢