Echo 254 - Haupo (Official Video) Sms: Skiza 9841794 Send To 811
Вставка
- Опубліковано 16 січ 2025
- Sms: Skiza 9841794 Send To 811
Written & Composed By Echo 254 Produced By Tk2
Kubwa Studios Production
Videoz By Jay Shot
Follow Me On
Instagram
/ echo254_
Tiktok
/ echo254_
Facebook
/ 254echo
@KubwaStudios
kenyans lets gather here and support one of our own🎉🎉❤
This is what we call pure talent❤
Unaeza bro, wanagapi wanakubali uyu mwamba anaeza niwaone kwa likes
Huyu anakwenda kuwa msanii mkubwa na Namba Moja East Africa....255🇹🇿🇰🇪🇹🇿
Hiiii imeeeenda buda💥💥💥💥💥💥
Sanaa vibaya Ngoma kali🔥🔥
Bro ujawai niona kwa comment ila umenipa Sababu yku comment Umeuwa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mimi nawe tulishaana zamani🤣👋
Kitu kisafi na mitooo 🔥🔥🔥🔥🔥always
Kali sana bro 👍
Noma saaana 🎉🎉🎉🎉
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Kali nimeielewa mwana
Unyama mwingi sana kwako Echo254 n 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Echoooooo noma goma languuuu
Kaka langu nimefrahi sana kuona comment yako kwenye hii ngoma😢😢😢
Kazi safi kaka 🎉🎉🎉
Safii sana 🙏🙏🙏🙏🙏
Oe jamaa uyu broo mimi namkubali mia kwa mia wllh uyu n moto sana big up broo
Kali sana
Hatari🎉
LIVIDEO LIKALII MAMAAAA😮👐🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🎬🥶
Kichupa kikali sana blood 🔥🔥🔥
Hii ni mbaya keep them coming 😂😂😂🔥🔥🔥💯
Kali sana 💯🔥🔥🔥
Zaidi ya basi🎉🎉🎉🎉
Umeuwa kakaa 🔥🔥🔥
I wish I can like 100 times hongela kakangu Kenyan let's support this thanks bro keep up you will reach your coals
Echoooo🔥🔥🔥🔥 Go! Mwanaaa....hata akina Mondi walianza chini sana...uko juu bro...
Kali sana bro
Vile nakuona next year naona wengine wakikaa kitako😂
Ndugu wasababisha kweli,, kazi poa,,,,!!!
Kali sana kaka congrats
Echo 254 wewe ni mkali sana
Ninjaaa wangu isee umeuwaaaaa 🔥 📛
Kali sana brother 🔥🔥🔥🔥🔥🔥it's a movie
Oya mkaka hii Noma🔥🔥🔥
Bonge la video
Lit 🔥 am following one by one. May Kenyans lift this talent
Kinacho kusumbua nini😂🔥🔥🔥🔥
Broo aminia sana mm hupenda sana kazi zko broo
Mzigo hatar San😄✊
Moto🔥🔥
Hapo sawa honey
❤😂😂peleka competition leval ingine ju Mombasa sio wa kukompe
Nakubalii broo unyamaaa sanaaaa❤❤videoo motoo
Lite Sana🎶🎤
Hii imeshinda mapiano ya bongo imeweza broo💯🔥
🔥🔥🔥another level…Kali sana
Uko vzri bro big up
💯kali sana
Noma sana kijana wangu.. Asante sana!! 🔥🔥🔥
Ngoma fayaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥
Kwenye ramani yangu haupoooo💥💥💥
Wallappa msanii was here🔥🔥
Konki Babylon hii imeweza sana kijana anajua sana
Good work good idea good everything hongera my bwai @echo
Echo nakukubali sana shabiki wako namba moja ni mimi from Tz
Da king of amapiano 🔥🔥🔥🔥
😂😂😂🎉🎉kenya to the world bro let’s get it to world
Imeweza mkaka ❤❤💯💯💯💯
Fire 🔥 🔥 🔥 mara ngapi jameni napenda zote kaka zidi kupaa ombi langu kwa maulana
Nilisema.Echo 254 Star mkubwa Mombasa .............. 💯 💯 💯
Moto zaidi from noisemaker images nakukubali mskaji wangu
The director knows what he was doing...More fire 🔥
Walai
Kakangu hiii moto bana big up..
kalii zaidi🔥🔥
🔥 🔥 I like The Video Chereography Bloody imewezaa na iko sawasawa na Ngoma yenyewe💯💯💯🔥🔥🔥🔥🔥Go Go Hard Brother
Kali saaana 🔥🔥🔥🔥
Kaka nimefurahia sana kuona hii movie,,,, keep going bro. Lazima Africa watambue wewe ni nani 🔥🔥🔥🔥
Huyu kijana 🔥🔥🔥💯🇰🇪
Moto sana star
Big up mwana mombasani watuwakilish
Kijana umeweza 254 sanaa
🔥🔥🔥🔥haupo
Noma Sana ngoma kali hii big up
Sijui watu wanasubiri nini.. Hii ni hit ❤❤big up dear everything is on point. Baraka!!!
Amazing kaziKUBWAsana 👏👏👏👏💯💯💯💯💯
Hii ni kali sana bro...congratulations
Huna Baya Kaka...
Ngoma ya ukweri Nakubarii kaka
Hii video nimeaminia
Wolan bigup my bro uko vizuri💥💥 echo to the world kijana kweli umetoka mbali wakati wa dogo sammy sasa watikisa kama echo⚡⚡
Safi bro kazi safi hii inaonyesha ukubwa sasa wa Echo254 let's support Good music # Almaskarah Ke.
❤❤Kenya Huna level yako hama kaka unajua hadi unapitiliza🎉
Woooooow nakupenda jamani lnshaAllah utafika mbali ❤❤❤
Best of the best. Huna baya 🤜💥🤛
Kenyans tupeleke Ngoma mbele sio mchezo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Langu Ni sala to kwa huyu dogo afike mbali kazi yake Ni POA he deserves to be on top #Marioo wa kenya
kali sana kaka
Eeeh 🔥🔥🔥
Safi sana kaka, Nass J nimeikubali.... Tusonge kaka 🙏.
Hamjaona naaminia kisauni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 ECHOE 254 WATAKUBALI TU
Kubwa sana kaka
Nyimbo naiskiliza mara karibu Tano😩🔥🔥🔥🔥🔥💯💥❤
Kazi nzuri braza
Moja yakizaziiiiiiiiiii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nakubali broo mombasa nikama ww ndo king 👊👊👊👊👊
i like that song mkuu
Nakubali #Keyzedlion ke was here
Wazo imewez
Nice tune bro unaenda far
Top broo na hii mbona n moto mkoi
For the sake of me, my wife, family and my wicked landlord hii ngoma ni kali sana🔥🔥🔥🔥
Kazi nzuri sana mwana