Echo 254 - Unaweza (Short Film)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 126

  • @jaylazorschannel5681
    @jaylazorschannel5681 8 місяців тому +2

    hii ngoma imenitoa machozi sana kakangu🥲😭

  • @husseinmejja8041
    @husseinmejja8041 2 роки тому +2

    Keep going my boy utafikia lengo lako

  • @PLK254
    @PLK254 2 роки тому +3

    Salute Broo, Pia mm unanipa Moyo
    Never Give Up

  • @kikahkeofficial0024
    @kikahkeofficial0024 2 роки тому +2

    Nakubali kakaa,upo vizuri na ukieendelea na heshima na hekma hio unaenda mbali

  • @massacreonbeat431
    @massacreonbeat431 2 роки тому +2

    Unaweza Kaka,endelea hivyo hivyo,never give up.

  • @tinnyallya.k.emcdandrezy2931
    @tinnyallya.k.emcdandrezy2931 Рік тому +3

    Eka dua kwakila hatua unayopiga broo mana mziki nisafari nzito sana, , ,

  • @Miltonmkali
    @Miltonmkali 2 роки тому +3

    😥😥usikate tamaa mtu wangu

  • @kazungunicholus258
    @kazungunicholus258 2 роки тому +2

    Big bro watu haanZa mbeli# mr pwani flavour 254mombasa kenya #

  • @ZolufaMas-ie4un
    @ZolufaMas-ie4un Рік тому +2

    Kkngu ucjl tupo pamoja

  • @blackrecordsproddofu
    @blackrecordsproddofu Рік тому +3

    Kali sana kaka pamoja

  • @zachd4463
    @zachd4463 2 роки тому +1

    Mola anasababu ya kunileta ts touching store kaka keep on moving....

  • @walugraphics962
    @walugraphics962 2 роки тому +1

    IpoSiku📌💯🌹

  • @blackpkusa
    @blackpkusa 2 роки тому +5

    tuko pa1 broo✌️💯 Mungu mbele kwa sana💪💪💪

  • @votah2545
    @votah2545 2 роки тому +4

    BRO WW N ZAIDI YA MSANII AKY

  • @mrconfidencecypherofficial
    @mrconfidencecypherofficial 2 роки тому +2

    Sana bro yani ni Mungu tu nakutambua

  • @tumainithomas1000
    @tumainithomas1000 2 роки тому +1

    Aminia bro

  • @flexboy_deedat
    @flexboy_deedat 2 роки тому +3

    Tuko Ndani🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @FurahaKalume-iy5ru
    @FurahaKalume-iy5ru 5 місяців тому +1

    Maupendo kwa wingi sana ❤❤🎉🎉

  • @kamby2548
    @kamby2548 2 роки тому +2

    Unaweza
    #kambyWazHia

  • @rashiermsafii6569
    @rashiermsafii6569 2 роки тому +2

    King hio noma sanaaa nitafurai bro kama nitapata audio ya hii ngoma💢💢💢💥💥💥

  • @tsuma_lee
    @tsuma_lee 2 роки тому +2

    Brother Echo_254 ipo siku itajipaa bidii na maombi ndo Kila kitu.Jikaze kisabuni All Will be well.One day you gonna be a Star 🌟 trust me my brother.

  • @chatutheboy
    @chatutheboy 2 роки тому +3

    Never give up kaka we ni shujaa amini mungu mambo yataenda kakangu🤝

  • @Ggg-jb9si
    @Ggg-jb9si Рік тому +1

    Kumna mwenye amekuita shokoraa walai nimetamani kumjibu ila nimefikiria ajitambui na ajui anachokisema nimemuachia mungu2 kamaulivomuachia wewe nakupenfa sana kakangu anayekusema vibaya kwamaisha yako uliyopitia mungu atamjibu we pambanatu🎉🎉❤❤

  • @blackmandoppa5938
    @blackmandoppa5938 2 роки тому +2

    Am happy for you on your determination keep Working forward
    Kama ilivo '' mungu anabariki kazi ya mikono ya anayetafuta Kwa haki na Imani ", usiwai choka bro man muda upo sana.

  • @kidydee5044
    @kidydee5044 2 роки тому +2

    Sure kaka mungu hawachi mja wake

  • @mpategift9158
    @mpategift9158 2 роки тому +3

    Everything is gonna be ok dogo sammy..trust the process and believe in God 💪💪

  • @SamsonMutethia-hd3hi
    @SamsonMutethia-hd3hi 7 місяців тому +1

    Pole bro mungu die mpeanaji

  • @chanibusker
    @chanibusker 2 роки тому +1

    Bro #itahappen🤞🏾
    Tuishi kwa Imani

  • @jackboy_ke3122
    @jackboy_ke3122 2 роки тому +2

    Song of the week in the streets of kisauni keep winning brother

  • @Queenlatifah-pc8ii
    @Queenlatifah-pc8ii Рік тому +1

    God have plant tour life do not give up keep going one day you will be star trust yourself and make sure you pray my hero I know you can make. Our prayer is with you 🙏🙏💪❤️🕊️🎉🧑‍🎤🌎

  • @smartmarketltd
    @smartmarketltd 2 роки тому +1

    Blogger approved it. Biiig talent good vybe

  • @sanourabeiby6711
    @sanourabeiby6711 2 роки тому +2

    Touching Story 😭

  • @xesphobic_avoh
    @xesphobic_avoh Рік тому +2

    Big up gee #mtondia ❤️

  • @KubwaStudios
    @KubwaStudios 2 роки тому +13

    Never Give Up

    • @Rajabnyamawi
      @Rajabnyamawi 2 роки тому

      International music bigger up @Kubwa Studios.

  • @ramzahke.
    @ramzahke. 2 роки тому +2

    Really motivating brow I love the spirit hata mimi nang'ang'ana nifike ulipo keep on stunning brow 🤜🤛💥💥💯 napenda mziki zako

  • @violetmajani5969
    @violetmajani5969 2 роки тому +4

    Very impressive keep going

  • @spaceonedigital254
    @spaceonedigital254 2 роки тому +1

    Pambana💥💥💯

  • @q-pesamswazi1456
    @q-pesamswazi1456 2 роки тому +2

    Touching

  • @muhammadathman8402
    @muhammadathman8402 2 роки тому +7

    Story ya kwako na yangu zinafanana...bro keep going na usikate tamaa anymore...changamoto hukuza mtu so zikitokea njiani pigana nazo usizitoroke...yote juu ya yote angalia watu wanaokuzunguka,chuja wasiokufaa wagande wanaokufaa ukimbilie malengo yako...fanya yote lakini ibada muhimu na pia kama mama yupo na ulikula nae msoto usimuache kabisa pita nae kokote wakati wa njaa na starehe...#stayfocus bro utasimama unapopataka sijaona mombasa kama wewe bro take it from me

  • @kocharotkt
    @kocharotkt 2 роки тому +1

    Keep pushing brother 💪 uwezo mwingi sana

  • @juliodiatosofficialaccount3183
    @juliodiatosofficialaccount3183 2 роки тому +2

    Kijana💪💪💪🎶🎶🎶🎶🎶

  • @anthonychamanga5812
    @anthonychamanga5812 2 роки тому +2

    #CHAMANGA.Never give up bro nakuombe sana 🙏

  • @don-maleen
    @don-maleen 2 роки тому +2

    Go hard broo Die hard 💪💪💪itajilipa broo

  • @SalmiyLoveOfficial
    @SalmiyLoveOfficial 2 роки тому +1

    Broooo you got a sad 😭 story inshaallah one day yes 🙏🙏🤲🤲🤲🤲

  • @chilupamapesa5455
    @chilupamapesa5455 2 роки тому +1

    Feel you bwouy...STROOOONG

  • @peterodhiambo6648
    @peterodhiambo6648 2 роки тому +1

    Big up bro,usikate tamaa

  • @lamimahofficial5667
    @lamimahofficial5667 2 роки тому +1

    😥😥😥keep going...kila hatua dua

  • @MOTHERFLOWERS385
    @MOTHERFLOWERS385 2 роки тому +5

    BRO TUNASHKURU KWA LADHA YA SANAA UNAYOTULETEA 💯💯💯💯SO FAR THIS IS THE FIRST ARTIST DOCUMENTARY IN COAST .keep up the Good work

  • @senneutrally
    @senneutrally 2 роки тому +1

    inspiration story,,,God bless you uzidi kutuandalia mziki mtamu ,,,nakuaminia sana

  • @chandabai366
    @chandabai366 2 роки тому +2

    Echo Keep going Bro

  • @saidmambo2721
    @saidmambo2721 Рік тому

    Big up sanaa br ...keeep burning

  • @abualytv3720
    @abualytv3720 2 роки тому +1

    Unaweza bro keep on pushing we all behind you soon dunia itakutambua 💪

  • @c.bkeketv5397
    @c.bkeketv5397 2 роки тому +3

    Keep moving Braza....the future is brighter 💪

  • @HUBBY2587
    @HUBBY2587 2 роки тому +1

    Kweli umegusa ndipo kakaa

  • @kingmossaic254
    @kingmossaic254 2 роки тому +8

    The Story is so touching.... 😭
    God's time is always the best....... 🙏🙏🙏....
    You got the ability to do more great things.....

  • @mcsam254
    @mcsam254 2 роки тому +1

    Kizuri kizuri....Somo u are and Inspiration to many u do what is called music...Mungu akuzidishie I always listen to this song when am down and I believe my home people are talented and you are one of them...h

  • @lifewithdogule8630
    @lifewithdogule8630 2 роки тому +1

    Nimevutiwa na stry yako bruh

  • @Dir_Iman
    @Dir_Iman 2 роки тому +1

    Keep pushing kaka

  • @br4udaaah908
    @br4udaaah908 2 роки тому +3

    Very impressive

  • @TOKALBEATS
    @TOKALBEATS 2 роки тому +6

    Echo nakujua personally... Safari yako ya mziki na life yako... Nakumbuka ukiniambia unaacha mziki miaka kadhaa iliyopita... Iliniuma sana nakumbuka pia nikiwa hali kama yako wakati huo lakini kila kitu kina muda wake.. Tia bidii saii venye umepata watu na team ya kukuamini... Mziki ajira bro... Kipaji uko nacho, umepewa moyo wa you kutokata tamaa... Nakuombea sana 🙏🙏🙏

  • @rokobiznessofficial5530
    @rokobiznessofficial5530 2 роки тому +1

    Weka energy zaidi usiwahitishwa

  • @townkidallnight
    @townkidallnight 2 роки тому +2

    Keep it up bro

  • @n.t.pblackmedia5710
    @n.t.pblackmedia5710 2 роки тому +1

    Iko moto broo

  • @madevujnr1326
    @madevujnr1326 2 роки тому +1

    Nakubali bruh

  • @kenneysojajr5744
    @kenneysojajr5744 2 роки тому +1

    It's like my story bro u my look alook

  • @LexanderPeter
    @LexanderPeter 2 роки тому +2

    🔥🔥🔥🔥🔥💯✊

  • @TheAntonyJuma
    @TheAntonyJuma Рік тому +3

    Gods Blessings.... We love you Echo

  • @jimmyforrester1583
    @jimmyforrester1583 2 роки тому +1

    Nimewatch movie kwa banda moja hapo kazonzo itwalo navijeza. I believe in trusting the process.. I believe in you Echo.. big up. You are a Star ✨ on own..dogo Sammy

  • @rahuljustin001
    @rahuljustin001 2 роки тому +1

    Great story bro.
    Kweli Unaweza 💫

  • @kenstarmusic0012
    @kenstarmusic0012 2 роки тому +1

    Keep on going brother.We shere same story brother ipo siku yetu brother.God is feithful bro.Belive and pray.
    #peaceandlove

  • @jaymapesa
    @jaymapesa 2 роки тому +2

    Keep grinding bro ..nakuaminia🙏⚡⚡

  • @ommytizeclassic1732
    @ommytizeclassic1732 2 роки тому +1

    Never give up broo echo

  • @Rajabnyamawi
    @Rajabnyamawi 2 роки тому +1

    Dogo unaweza.

  • @shakespearewauswazi8866
    @shakespearewauswazi8866 2 роки тому +1

    Keep going

  • @maylovelove254
    @maylovelove254 2 роки тому +3

    So touchy😢😢😢 We gon Be oright wenye tunapitia Alot yet Put on a smile😊

  • @prezzoke
    @prezzoke 2 роки тому +7

    Everything is possible through God... Keep pushing Bro... Your future is bright... You have the potential... Patience is everything in life...

  • @martinewehu254
    @martinewehu254 2 роки тому +1

    Unako kwenda kufupi G

  • @nico_turas
    @nico_turas 2 роки тому +1

    Story touchng

  • @kubwamedia
    @kubwamedia 2 роки тому +1

    Keep going my bro Mungu yuko pamoja nawe

  • @nelsonrunya4686
    @nelsonrunya4686 2 роки тому +1

    Mungu wetu sote. Never give up🤲

  • @mzairenature8797
    @mzairenature8797 2 роки тому +1

    Unaweza

  • @sophiejoel1444
    @sophiejoel1444 2 роки тому +1

    Nevr Give up

  • @luckymaxi254
    @luckymaxi254 Рік тому +1

    Salute Kaka

  • @n.t.pblackmedia5710
    @n.t.pblackmedia5710 2 роки тому +1

    Inapendeza broo

  • @Kaz.qay18
    @Kaz.qay18 2 роки тому +2

    God is always with you bro all you dreams will all come true.....big up bro more love and support from this side brother 🔥🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾always praying for you

  • @FatmhF.15ksa199
    @FatmhF.15ksa199 11 місяців тому +1

    Fatuma❤❤❤

  • @wttz1873
    @wttz1873 2 роки тому +1

    Namuona Sodii

  • @TREE6IXTY
    @TREE6IXTY 2 роки тому +7

    God Is The Greatest. Keep trusting in Him. 🙏🙏

  • @fatmajuma8620
    @fatmajuma8620 2 роки тому +14

    Remember Everything you've been praying for, is on its way 🤗.. Never GIVE UP !! Trust in God ❤️ all shall be well ✨

  • @nashonnashkal7946
    @nashonnashkal7946 Рік тому +1

    This is impressive

  • @flidhamiermier3635
    @flidhamiermier3635 2 роки тому

    Ooooooh bby umenifanya ady nilie pole qwa uliopitia lkn kumbuka aliye juu kawaida haachi mja wake and I pray 🙏 to God azidy kkuinua ili waliokucheka na kkdharau wajue qwamba Mungu upo na n mueza wa yote.

  • @alimjahid2353
    @alimjahid2353 2 роки тому +1

    Characteristics of a lion Echo254 na ww ni Shujaa ....I salute you bro , #Echo254

  • @OFFICIALPASCOLE
    @OFFICIALPASCOLE 2 роки тому +1

    🙏🙏God azidi ku bless bro

  • @GladysGladysSidi
    @GladysGladysSidi Рік тому +1

    Wacheni sheria ichue mkago wake

  • @mpategift9158
    @mpategift9158 2 роки тому +1

    I know this family very well...sammy inawezekana haunikumbuki coz i left you a little boy...but nakuombea bro one day Mungu atakuinua bro

  • @jembelashamba1571
    @jembelashamba1571 2 роки тому +1

    Utafika mbali Ameen

  • @nogabwoycomedian3287
    @nogabwoycomedian3287 2 роки тому +1

    🔥🔥🔥🔥💪💪💪🙏🙏

  • @mtotothuma7429
    @mtotothuma7429 2 роки тому +1

    Never Give up one day yes

  • @tabletopromiseofficial
    @tabletopromiseofficial 2 роки тому +1

    Tab-Ray Brothers Music was here

  • @officialreyclassic1873
    @officialreyclassic1873 2 роки тому +1

    Never give up