Jamani nahisi raha sana kutizama hii movie maana mm n shabiki mkubwa wa kitale kama unampenda kitale usininyime like tafadhali sote kwa pamoja tufurahie hii movie❤❤❤🎉
Nimetok TikTok kuja kuicheki kwa kweIi ipo vizuIi sijuwi uko mbeIe hitakuwaje kwa sasa ipo ya 🔥🔥🔥 na uyu babu wa Aisha nampendaga sana yupo vizuIi kwenye kuigiza
Mashabik zako wanasifia tu kila kitu ata kama kibovu me niko tofaut kidogo, saiz utoaji wako wa epsode huzingatii kama enzi za maneno ya kuambiwa, saiz unatoa toa tu watu hawapendi afu hawasemi naomba kuwasemea tafadhali
@kapuf3438 mimi nimezungumzia ushindani katika soko la filamu tu maana kitale kazi zake ni nzuri sana, na pia vevo kazi zake nzuri pia, na wala sijasema kama vevo anashindana na kitale, kua mwelewa acha shobo
Mkali wa hizi kazi...at least sasa UA-cam imechangamka.. Kiongozi utakua ukiachia Kila wiki ama??? All imitators step aside,the ORIGINATOR IS BACK!!!!! Love from Doha +974
Hii Tupo Wote Bega Kwa Bega hadi Mwisho ….!!!
0733 999 999
Kama kweli vile😂sisi tupo na ww mpaka utakapotukimbia😊
@@Jasminadamu 🤣🤣🤣
kaka kitale me ombi langu ni kwamba at kam.umewek w2 wapya ila mm nawatak wale wa maneno ya kuambiwa asipungue at mmoja kaka usitufanyie ivo bro
Watoto wadogo wako kasi kaka ww legend usituangushe
Yec pamoja
Tiktok ndo imenileta huku jaman wangapi wameletwa na Tiktok huku like apa 😂😂😂😊
Mm apa ndy naanza😂😂😂
🎉🎉🎉🎉 Ht me😊
Nakukubari San mzee Wang wa walimwengu wabaya
Jamani nahisi raha sana kutizama hii movie maana mm n shabiki mkubwa wa kitale kama unampenda kitale usininyime like tafadhali sote kwa pamoja tufurahie hii movie❤❤❤🎉
Mzigo mpyaaaaaaaaaaaaaa.....
Gari limewakaaaa lets Gooo
Mbn mov aziish pak mwsh. Mfn binadamu at ujaelew mwsh
Kitale kazi nzuri sana kaka
Watching from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kazi nzuri mmetisha sana hasaa babu aisha tuko pamaja❤❤❤
Ubayaaaa ubwelaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥
mzee kama namkubar sanaaaaaaa sanaaa
Nimetok TikTok kuja kuicheki kwa kweIi ipo vizuIi sijuwi uko mbeIe hitakuwaje kwa sasa ipo ya 🔥🔥🔥 na uyu babu wa Aisha nampendaga sana yupo vizuIi kwenye kuigiza
Mm pia dear ndio natoka tictok now hadi sas ni nzur movie imechangamka 😂😂😂😂twende nalo sas hadi mwisho
@@ZulekhaIssa-o3x Tuko pamoja my friend mpk tuone muafaka wa hii movie
baba umerudi baba kazi zako hukoseii 🔥🔥🙌🙌
Nakubali sana dada asunta pambana
Yooooooo kazi nzuri hujawahi kuferi mkude Simbanamuona sauda chilla hapo Hana baya❤❤❤❤
Move nzuri mpovizur inatufundisha tunaisubili inayo fuata kitare unaga kanda mbovu piga kelelee kwa sauda wetu mama aishaaa
Sema kwenye kiingereza bdo angalieni vzr
Aibu kweli Mwandishi wa Tafsiri amekosea sana hadi Mwanamke anaitwa Mwanaume
Mzee kama 🔥🔥🔥
Kitalee kitalee kitalee ukoo vizuri sanaa tunakutanbuaa mzee kamee kameee una bayaaa🔥🔥nyooonii nyoooni uku mzgoo wa motoooo
Namwelewa sana mzee Kama
Uyu mzee anajua sanaa🎉🎉❤
Samahani Asante! boss hii kubwaaa sana 👊
Gud job kitale mkude simba hujawahi kuferi wewe ni noma sanaaa
Shukran sanaaa
Kwenye stori mi uwaga nakukubali sana mkude ujawahi kosea
The best swahili movie asikwambie Mtu mm sirudii movie zakibongo but this one i cana watch more than ten times...pls usituweke sana shabiki zako
Kitale usipo malizia hii kazi tunakufata hadi kwako tukichape fimbo kanzi nzuri sana ❤❤🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂unipitie tuende huki
😂😂😂by forc by fire😂😂😂
Kazi zuri maashallah 🎉🎉
Bro hii movie💥💥💥kali sana na story kali tupo na ww bega kwa bega allah akufanyie wepesi 🙏
Hongereni I say
Hamalizi nani ,hii tupo nae bega kwa bega had mwisho 😂,,tia like basi 😅
Hamalizi filamu huyu kitale ndio tatizo lake kubwa
Kabiisa
Mkali wa hizi kazi sauda chila umeupiga mwingiii mama kazi ni nzuri mnooo
Tuna anza wote na tuta maliz wote mung awa balik wote 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤗
Mashabik zako wanasifia tu kila kitu ata kama kibovu me niko tofaut kidogo, saiz utoaji wako wa epsode huzingatii kama enzi za maneno ya kuambiwa, saiz unatoa toa tu watu hawapendi afu hawasemi naomba kuwasemea tafadhali
Sasa ndio kwanza upo episode ya kwanza povu kibaooooo
@@hemedykayonko4109 ye mwenyew amekiri kwenye comment yake nadhan amenielewa nilichomaanisha afu ww amby hujanielewa I dont care about you.
Sasa Kama nimbovu mona unaangalia au ndo shobo😂😂
Pumbaaa + Pumba + pumba =Upumbavu...
Muache kitale wetu usimfokee😂
Naamini legend amerudi sasa clam vevo amepata mshindani halisi wa hizi kazi
Kitale ni namba ingine
Sema wabongo mnafel hapo tu Sasa apo VEVO kafikaje
Vevo alikwambia anashindana na kitale
@kapuf3438 mimi nimezungumzia ushindani katika soko la filamu tu maana kitale kazi zake ni nzuri sana, na pia vevo kazi zake nzuri pia, na wala sijasema kama vevo anashindana na kitale, kua mwelewa acha shobo
Mmeanza sasa kutaka kugombqnisha watu
Kitale hii husipoikamilisha utatukosea sana baba.
dah afadhal mmerudi jaman🎉🎉🎉🎉
Na mzee yetu Kama asante sana
KAZI nzuri tunategemea makubwa zaidi
Big up sana musa kitale
Oyooooo the legend is back💝💝💝💝💝💝💝💝🙋 iteni wenzenu hukoooooo
My kitale is back again
Kazi nzuri sana sauda chila Kavunja atali yni kaweza nimependa ...
Kazi kazi Kaka Mkude
Asante kitalee ubarikiwe sana kweli wale tunaowapenda nakuwaamini ndiyo maadui zetu 😢❤❤❤❤❤
Mmeanza vzr msije kutuangusha mwshon
Wawooo baada ya kitambo hatimaye mmerudi❤
Huu moto mzee wangu🎉
Uyu jamaa hamalizigi series zake...ila kichwa chake kinaweza ku2mika km mfano...🍿🍿🍿
Mzee kama nipo kwa hii movie juu yako❤❤❤🎉🎉🎉UNAJUA TENA UNAJUA TENA 🎉🎉🎉🎉
Mzigo mpyaaaa🎉🎉🎉🎉
Mwamba uyoo 😂😂😂😂 tenteeteeeh
Kazi n nzurii tena sana tu, ila punguzeni hyo miziki
Au nipo apa siendi popote 🎉 kitale mkude Simba ahsante sana 😊
Ostadh juma na musoma mmeliona ili dude kaliiiiiiii❤❤❤@musa kitale
Kazi nzuri ❤❤❤❤
Me ndonaanza kuangalia now jmn kazi nzuri
❤❤❤
Nakubali sana kitale move mzuli
Kazi poa sanaaaaa hongereni wote kwa ujumla
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤gooooooooooooooood job
🤝
Ma Shaa Allah 👌
Mzee kimaaa mwambaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Kazi nzur hongera sana
kazi iendelee 🎉
Sijawah kukuacha unajua sana ❤
Blaza binadam Mbona siyoni mwendelezo
Mkali wa hizi kazi...at least sasa UA-cam imechangamka..
Kiongozi utakua ukiachia Kila wiki ama???
All imitators step aside,the ORIGINATOR IS BACK!!!!!
Love from Doha +974
Semeni umetisha nakukubali sana damuyangu kazi mziri
MashaAllah kaka angu kazi nzurii saana..
Ndio kwanza nacheki hii movie,,nikali ama😊
Tambara 🔥 🔥
This is more than a series 🔥🔥🔥👊👊
Noma sanaaa
Kaka tuli miss kazi zako
Tuliotokea tiktok tujuane
Niko hapa wajina
Niko hapa
Nko nmejaa tele niliona t kipande nikapagaw
😂😂
Wakwanza kama unamkubali kitale gonga like yako hap
Hii kaka tuendelee nayo usije kutuacha njiani kali sana❤🎉
Sinah Shaka Nawe Kaka Kazi nzuri tuko pam0ja
Tikitok imenileta uku
wa 23 kukoment naomben like zangu 😅
Kaz nzur san kitale big up❤
Hongera sana kaka hujawah kosea kweny kaz yako MUNGU abariki kaz ya mikono yako 🎉
Lazi nzuri sanaa tunawaombeni muimalizie bac msituache njiani😢❤❤🙏🙏🙏
Kitale mtu mbadiii❤❤❤
Tuliokuwa tuna subiria...
Asante sana kitale kazi zuri alafu imetokea nyumba safi sana
Uyu mzee nae Kwan lazim acheuwe🤣🤣
nzuri mkubwaaa tunataraji mwisho bora
sawaa mjomba mkude tupo pamoja..🙌🙌
Umerudi shida bro haumalizi like hapa
Kweli huwa anaishia njiani
Hii itafka nwisho wadau
Yaani hadi leo sijui ile filamu ya BINADAM WABAYA imeishia wapi hadi leo kitale shuda yake ni hiyo
Dua Zenu Inshallah
Dua za nn move zko huwa hazina mwsho umepoteza mashabik weng sn@@KitaleMkudeSimba
Mzeee kmaa big up kwako nakukubali sna upo serious kweli
Noma mie move kali huwa nameza mate tu 🔥🔥
Hiki chuma kabisa Kali sanaaaaaaa
Hii ni bonge moja la dude kuwen wapole tu mtaelewa 😄🥰♥️ respect my brother kitale🤝
Iyi ndo funga mwaka 🔥🔥🔥🔥
Dua zenu
Kazi safi sna bro
Kaz nzur ongeza ubunifu na juhud sisi tupo na tutasaport kazi zako❤
Oy oy niajhee ndo nimeinza leo 😅
Safi sana kitale mkude Simba tuna ipenda
Kazi nzuri🥳
Mzee kama nampenda anaigizaga kama vile life. Big up mzee
Ila kitalee unajua bhnaaa godbless ur hustles❤❤❤❤❤
Wa kwnza jmniii
We mkude yanga😅😅😅
Mwaka tunafunga na . SAMAHANI AHSANTE
Sauda chillah umetisha sanaaaa❤
Tuko na ww🔥🔥