tangu binadamu wabaya iishie kati kati nilikisalika sana natumaini hii nayo itakuja kuisha aki nimeona mzee flani nikamiss team yenyu team kitale like zenyu tusonge n hili tambala linakuja
Jamaa unazngua kitale muvi Kali lakin huwa aziishi kama binadamu bonge la muvi lakin umeivungia pale 2mekuwa wa kusachi kama imetoka maliza muvi bro 2nakukbari xana big up kwa kazi Zako nzuri💪🏿💪🏿
we msenge hujawai kosea series zako shida yako humalizag na unachelewesha kutoa sasa sjui round hiiii umejipnga vipiiiiiiiiiiiiii ilaa Wwe ni The best Bro🙌🏾🙌🏾🙌🏾✊🏽
owaa kitale me ombi langu kwako naomba tu wale.wshiriki wa maneno ya kuambiwa asipungue.ata mmoja mwanet make ap naona wageni et me nawakubal san wale.washiriki wa maneno ya kuambiwa mzeihh
bana wew huelewek kabx n mzee wakutomaliz filam maneno yakuambiwa kati😂 binaadamu wabaya kati😂 yani wewe nimzee w kati kati😂 but wew n fundi kbx 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
UKIONA MOVIE HAIJAISHA MALIZA KWANZA HIZI HABAR ZA KUTUPA NUSU NUSU TUTAENDA KUKUSEMEA KWA BWAKILA NA UNCLE Wake Gonga like Kwa huyo father Baba Ake bakari
Tarehe 9/11/ 2024 Saa 11 jion
0733 999 999
Kittle hukoseagi kazi zako ttzo haziishi sjui unakwama wapi
Huuingi kwenye tuz kwasab humaliz movie bro ila unajua
😂😂 ❤ @@REALDREAMFILAM
😂😂 mm mwenyewe inabidi nicheke umeruka kaka mussa
Sema kaka naii usije ishia njiani kama zingine ban
Ujawahi kosea kwenye kazi zako shida ni moja Tu haziishi
Kabsaa
Nilivyo muona Mzee nkama tu nime jua kuwa hili dubwana ni Kari sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri kumaliza ndo tatz kaka lakn nakukubali sana brother❤👊🏾
Fundi karudi kazin welcome back bigwa wa story
Shafii brand Mo G weeh utaonaaaaaa tuuuh🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ambao mnasubili Kwa hamu filamu hiii gonga like apa
Nakupenda kutoka zamani niko apa Rwanda kigali tupatiye twengine series
Aloo kigali
Kali kabisa kweli naipenda japo haija toka nzambe😮😮❤
Wakuu nyie noma sana mnajua sana tunaomba tunaomba jamni kipande Cha tatu
tangu binadamu wabaya iishie kati kati nilikisalika sana
natumaini hii nayo itakuja kuisha aki nimeona mzee flani nikamiss team yenyu
team kitale like zenyu tusonge n hili tambala linakuja
Yatakuwa yaleyale
Jamani tuendeleze. Ep nyengine😢. Mbona mwatukoesesha utamu twataka kuona harusi ya dada Aisha 💃🏻🎉🎉
Duuuu Tunakusubilia Anco sema mnakaa sanaa hadi mnapotea sa hivi mnatakiwa kazi juu ya kazi...🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Jamaa unazngua kitale muvi Kali lakin huwa aziishi kama binadamu bonge la muvi lakin umeivungia pale 2mekuwa wa kusachi kama imetoka maliza muvi bro 2nakukbari xana big up kwa kazi Zako nzuri💪🏿💪🏿
the king is back now watoto wadogo watuachie uwanjaaa
SEMA WE JAMAA KUMALIZAGA SERIES AAAHH 🙌
Kitale unajua sana, Nakumbuka nilikuwa naifatilia sana MANENO YA KUAMBIWA 2019
we msenge hujawai kosea series zako shida yako humalizag na unachelewesha kutoa sasa sjui round hiiii umejipnga vipiiiiiiiiiiiiii ilaa Wwe ni The best Bro🙌🏾🙌🏾🙌🏾✊🏽
Nitawafurahisha Safari Hii
@ pia hakikisha epsod zina kuwa na dakik nyingi kaka
🧷🧷🧷
Oi respect 😮😮
Kaka tunaomba ujaribu kumalizia movie ju nyingi zimekwama katikati unatuacha njia panda sisi wapenzi wa kazi zako🙏🙏
owaa kitale me ombi langu kwako naomba tu wale.wshiriki wa maneno ya kuambiwa asipungue.ata mmoja mwanet make ap naona wageni et me nawakubal san wale.washiriki wa maneno ya kuambiwa mzeihh
tunasubili hii kitu mkude ipite maneno ya kuambiwa❤🎉🎉🎉
chumaaaaa...Ulipo nipo mpk kielewe🤸♂️🤸♂️🤸♂️
Usije ukazingua kk tupo mezan tunasubili ❤
Mpuuz mmoja tu....utaangalia na familia yako humalizi kaz
November 7 ni leo mzigo hatuuoni mkuu... Tunausubiri kwa hamu 😋😋😋
Ujawai kisea baba afazali ume rudi tena sa movie nyingine Kali
Dah mwendelezo
Movie zako nzur ila tatizo lako humaliziie movie mie sifatilie mpk nione yote imetoka maana itakuwa kazi ya bure
Hujawahi kosea kaka shida inakuja moja huwa humalizii kazi zako asa sijajua tatizo nini mkuu
Unakaz nzuri saana kaka kitale tena nakukubali sana ila tatizo humalizi shida NN broo
Tulikuw tunakusubr kwa hamu japo ulituacha njia panda kweny binadamu wabaya
Shida humalizi kazi unatukwaza hapo tu sisi mashabiki zako
Binadamu wabaya imeishiya wapi KITALE tunaisubiri BINADAMU WABAYA muendelezo wako KITALE🙏🙏🙏🙏
Haumalizi series zako
Mpka hamu ya kutizama inapoteaa 🤧
At least give us an update on the series "Binadamu Wabaya".. Much love from Malawi 🇲🇼🇲🇼
❤❤❤❤❤
Achia mzigo ila usiishie katikati👊
bana wew huelewek kabx n mzee wakutomaliz filam maneno yakuambiwa kati😂 binaadamu wabaya kati😂 yani wewe nimzee w kati kati😂 but wew n fundi kbx 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Oya kak tunasubil chuma hicho haujawah kukosea we ni fundi wa mafund bt tunaomba hii ifike final
Upo viziri ndugu kwenye kazi ALLAH akupe umri mrefu
Shukran sanaa ndugu
owaaa weee tulikumisi san kitale na jop lako naomb mwinyi mkuu asikosee at kam kakuhama
Toa mchezo huu mim ni team kitale tu muda wote.
Kuliko kuangalia series isoisha Bora nitazame jua Kali ya lamata
Kazi zako huwa ni babkubwa, Ila BINADAMU mbona uliiachia njiani?????
Binadamu wabaya imeishiya wapi KITALE tunaisubiri BINADAMU WABAYA muendelezo wako KITALE
Aweeeee . Kitawakaaaaaa
Binadamu wabaya imeishiya wapi KITALE tunaisubiri BINADAMU WABAYA muendelezo wako KITALE🎉
UKIONA MOVIE HAIJAISHA MALIZA KWANZA HIZI HABAR ZA KUTUPA NUSU NUSU TUTAENDA KUKUSEMEA KWA BWAKILA NA UNCLE Wake
Gonga like Kwa huyo father Baba Ake bakari
😂😂😂
movi bora ya mwaka nisha maliza
Wa kwanza jmn kama unamkubali kitale naomba like 10 tyu
Achia garika man tumechoka na vumbi la watoto wadogo huku youtube😅😅
Safi sana naisubiri kwa hamu
Wakwanza jaman like zangu
Kila saa nachungulia muendelezo ep 24 😂😂😂 hili dude ni Kali tuache utani, bro umeua.
Uwezo wa kuzitoa movie munao sana ila tu uwezo wakuzimaliza adi mwisho ndio hakunaga siheri musiwe munazitoa asa
Kitale master.
🎉🎉🎉🎉
nakubari kazi zenu
Move zako huwa nzur lkn hazifiki mpka mwisho
Mze kazi hAziishi ilo ndo tatizo tuuh
Tulikaa kinyonge sana
Maneni ya kuambiwa na binadamu wabay zote cjaona final zake na hta hii nazan utaishia njian t
Naunga HOJA mkon jitahid umalize ifke mwisho
Natokeya Congo ila uyu natukera kukata movie
Zenu haziishagi
Tatizo lako moja tu humalizi movie zako
Tatizo kumalizia ndiyo shida.
Binadamu 😢😢😢😢
Amalizagii filamu huyu jamaa
Wapi binadamu wabaya kitale bado nasubiri tu
Shida Haziishi Hizi
saw 2nasubir kiongoz
Rltatizo uzimaliziag unaishia njian
Kitale upo vzur kwenye story had kuigiza.. ila tatzo mwsho hazfki, mm had leo kinyamkela na binaadamu cjaelewa zimektikia wap
Tatizo humalizi... binadamu mbona hujamaliza? Au unadhan tumesahau
Haujawah feliz
😂😂😂😂 kama haujawah okota dhahabu basi kaka kitale umeokota dhahabu huyo mze kasisi nibonge la k9medy kavurugwa😂😂😂😂 naisubir kwa hamu
Tumechoka MOVIE ZAKO HUWA HAZIIISHI AISEEE
shusha mzigo tumekumisi
Tatzo kumaliza
Binadamu wabaya imeishiya wapi KITALE
Tatizo lako humalizi picha zako
Nasubiri kwa hamu
Unajua mno tatzo unashndwaga MWENDELEZO WA KUMALIZA KLE ULICHO ANZA
Kitale km ww umeshindw kuleta kipande cha tatu bas ivo move nitaimalzia mm maan ww unazingua 😂😂
Kitale unakuwa humalizii movie zako inatufanya tunakosa shauku ya kuangalia movie zako sababu tunajua haziishi...
Inaanza Lin hii filamu kaka
Namba 7 mzeee unauweka
nipe nafasi kaka
Leta kitu icho cha wazee wazima mkude
Kubababake NAINGOJA
Its my Birthday hyo siku🎉
Lakin mbona hamumalizi series
Twaisubilia
Inatoka kila juma ngapi kitale?
Tatzo znaishia kat
Kwani 19 ndio mwishi wa hii movie jamani au ni mm sielewi
Tunaitaka seemu ya kumi na moja
Ya kumi na SITA inatoka lini???? Kaka musssa??