Kazi nzuri,waigizaji wote mahiri,muongozooo mzuri,hadithi nziri sanaaaaa ile muendelozooo kwa harakaaa,musikawie,,,twasubiri kwa sanaaa,,,,,,,,,,,tamthilia zako nzuri,mr kitaleee,nakufatiliaaaaaa,,shukran,,,,watching from kenyaaa,,,naombaaaa mnitumie kwa youtube download,nipate kuinakili na kuiregelea kuitazama tenaaa,naomba kwa kila ep ya muendelezooo huuu mnitumie ,,baada ya kuuiachilia kweni mtandaoniii ,,shukran,,,
Mussa kitale uwezo wako uliobarikiwa na mungu wa kuandika movie naandika hii comment huku machozi yananitoka episode mbili tu zinatosha kuodhihirisha wewe ni kipaji cha aina gani bro mm nimekunyooshea mikono wakina clam wanaandika lakini bro kitale 🙌🙌 nataman ningemjua aliokufundisha hizi protocal za kuandika movie
Inawezekana brother mussa ndugu yangu kwa maana me pia nilifikiria kuandika story hii kw kiingereza ila 7bu ameshatafsir acha nimpe maua yake,,saluti brother
Toa Maoni Yako Hapa
👇👇👇
0733 999 999
Vipande vifupi sana inabidi tuwe tunapata vipande 2 kwa siku
Hakikisha unaimaliza hii mzee maan hua unaishia njian siku zote
Anaeandika hayo maneno ya kiingereza ajitahidi kujua matumizi ya (she,her,hers,he,him,his).
Dakika ni chache kaka move aivutii ila ni ❤kali sana
Isiishie njiani hii tupo nanyi hadi mwishoo ❤ allah awawezeshe pia
Tunaosema kitale asipomaliza hii mpk mwisho ndo tutakuw mwisho wakumfuatiliya series zake tuungane hapa kwapmoja💪💪💪😎
Kwan ww umetumwa ama vp punguza shobo kwenye kazi za. Watu mfyuuuu
Sawa
Na kweli, maanake anatengeneza series nzuri afu zinaishia hewani
Shega
Haswa
Huyu babu yake aisha alikuwa kiboko tangu kwenye maneno ya kuambiwa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Huyo mzee namkubari had kesho
Maneno ya kuambiwa ilionekana kama itaendelea lakini kimya had leo
Tunawaitaji sana ma babu kama hawa mungu nitunzie babu yangu 🙏
Kabisa
Huyu mama ake Aisha anajua saaana likes za mama Aisha hap jamani ❤
Wanaoamin kwamba aisha atajifungua salama weka makopa❤❤❤
Aiseee yan ni mm kabisa uyo aisha anayo pitia
Hakika dunianii hii mmmh Allah atulinde na mabaya tyu ya walimwengu
Huyu babu aisha namp❤nda san anajua mkap anakera 🎉anabusara san mashallah ♥ mungu akupe maisha marefu babu inshalaah ❤
❤❤❤
❤❤❤
Ameen❤❤
Binadamu.....SHIKAMOO😢😢😢...Mtu aanakuua huku anakutazama usoni🙌😭😭😭
Du jamani hivi kumbe tunaishi na watu hawapendi kabisa kutuona da unacheka na watu kumbe ni wana roho mbaya zaidi hata ya shetani😢😢
Kabisa mtihani kwa kweli😢
@@IreneMsiletn zaidi ya sana ndo binaadamu lkn mungu pekee ndo anolipa😢
Kumbe movie nzuri sio lazima ichezwe na mastaa ona hii kazi Wana vipaji hasa
@kitale mwambie huyu Mzee SANADI rai wanampenda sana 👏👏👏 MNAFNYA VZURI 🎉🎉🎉🎉🎉
Wakongwe wa binadamu wabaya...Leo tupo samahani Asante...
Mimi hapa mjukuu wa mzee kama naomba like
Mko vizuri kiukweli nawapenda bure 💕💕
Kama unamkubali babu yake Aisha chapa like Moja apa😂😂
Mzee Kama hashindwi 😅
Nampendaga sana sura ya upole ila anahatar
Namkubali sana❤🎉
Kazi nzuri sana🇹🇿
Asilimia kadhaa vifo vya wajawazito husababishwa na wachawi .funzo kubwa hili.
Da ila binadamu wabaya nyie😢😢
Ndy Kwan uwongo,,,tena wanakuwa wengi,,kukupeleka hospitalin,,,daaah sem mungu anawaona sana,,😢😢😢
Kabisaa mung hatusimamie uzao wetu
Apa sasa nimeridhika kama hii serious kali sanaaa salute kwako bro👐👐👐👐👐👐👐
Kitale kanzi nzuri mauwa yako🎉🎉🎉
Huyu mzee namkubali sana hachezewi ovyo ovyo na washirikina
😂😂😂🤣
Nami nataka kuwa hivyo😅
Kabisa😂
Anaachiaga njiani kwani??
Hakikisha unaimaliza hii kitale. Tafadhali
Kazii nzurii sanaa bradha..usichelewe kutuekea episodes mzee..kazii safii sanaa..tulikua twatamani kazi kama hizi
Mama Aisha alikuwa mama mwenye nyumba yangu bi sauda
Upload episode mbili mbili bradha kazi nzuri
Hii ni noma sana kama igeria ❤❤❤❤❤❤ kitale na team yako mnatakiwa mkaishi nigeria muwanyooshe❤❤❤
UKweIi usemwe2 uyo bint hanayemchunguIia mama Aisha hanaroho mbaya kwa kiIa movie yupo kwenye worng hause uyo semeni sikipendi ... Yupo kwenye hause girl simpendi khaaaa chefuuu😏😏😏🙌
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂
Kabisa ilikw najiuliza namkumbuka wapi tn anakutafuna alaf anakupuliza😂😂😂
Jameni watu wangu ni movie anacheza io part anafanyanga perfect kabisa apewe 🎉🎉🎉la kwake😂
aiseee daaah mkomnoz umerud sas kitalee on fireee🔥🔥🔥 hapa bando langu sas ni sawa kabisa kuisha
Namkubali sana mzee kama
Saaana mzee anajua mpka anajua tena
Sema huyu Mzee anaweza saaaana kuingiza❤
namkibali sana babu yake aisha kazi nzur❤❤
Mahari Ep 2 is now out Karibu kutazama usiache kutuwekea maoni Yako
🙏
ua-cam.com/video/dzhV0QS0MK4/v-deo.htmlsi=BExG9ALwS4_43hJk
Kazi nzuri nawapenda 🎉🎉🎉❤❤
Salute mwanangu #kitale👏👏 hii umeuwa
Hyu mzee kama anajua ad bas me namkubari mnooo
Hongera broo
Hii movie kali sana big up kitale❤🎉
Wow kazi nzuri bac kitale utumalizie hii isiwe kama binadamu
Napita tu 😊
Kongore director mashoti ❤ na mzee namkubali sana
Nionyeshen kwa huy babu ni kamkomesh anae mlog mom wang 😅😢😢😢😢😢
Napenda movie zako sana ume tisha sana❤❤
Dah izi ndo move zangu ninazopenda hongeren sana kw kazi nzuri
Kazi nzuri,waigizaji wote mahiri,muongozooo mzuri,hadithi nziri sanaaaaa ile muendelozooo kwa harakaaa,musikawie,,,twasubiri kwa sanaaa,,,,,,,,,,,tamthilia zako nzuri,mr kitaleee,nakufatiliaaaaaa,,shukran,,,,watching from kenyaaa,,,naombaaaa mnitumie kwa youtube download,nipate kuinakili na kuiregelea kuitazama tenaaa,naomba kwa kila ep ya muendelezooo huuu mnitumie ,,baada ya kuuiachilia kweni mtandaoniii ,,shukran,,,
😂😂😂 oya huyu mzee achezew kizembe 🙌
movie n nzuriii sana 😍😍
Babu wee hufiki tuu mpaka naumia mm binaadamu hawafai yaani nawaogopa
kazi nzuri sana, ila huyu mzee anakaribia kunikera ,, siku ya pili leo hafiki Zahanatii
Ndo utamu wa movie....wataka afike haraka ndo movie iishe au🤣🤣
Ndio alivyo hata kwenye maneno ya kuambiwa 😂😂😂
@ haha ataharibu sasa kule😂🙌🏼
@ haha ataharibu sasa kule😂🙌🏼
@ 😂😂😂 sema aongeze dk bn ziwe ata dk30
❤❤❤❤❤❤❤❤ unatuendesha sana hisia zetu.
Hiii safi hatukai mpka tusahau kama kawaida siku si nyingi mzgo huoo👏👏
R.I.P Mzee Jengua angekuwepo mngejua utamu wa samahani Asante
Nakubali sana kitale kazi zako❤
Kazi ni 🔥🔥🔥 Sasa karibu utatuacha solemba
Mzee kama big actor hajawai kuniangusha namkubali sanaaaaa from mozambique 🇲🇿🇲🇿
Iviii ktalee iii Akili untoaga wap
Kitale hongera ndugu yangu.nakuuaminia .hii nikaali.❤❤❤
Babu yake Aisha noma sanaaaa🎉
Zone zurih mbel isije ikawa kam binadamu kitaleeh iishe hii 🙌🙏
Movie kalii sanaaa hiiii Kitale hakikisha unaimalzia hii
Mussa kitale uwezo wako uliobarikiwa na mungu wa kuandika movie naandika hii comment huku machozi yananitoka episode mbili tu zinatosha kuodhihirisha wewe ni kipaji cha aina gani bro mm nimekunyooshea mikono wakina clam wanaandika lakini bro kitale 🙌🙌 nataman ningemjua aliokufundisha hizi protocal za kuandika movie
🔥🔥🔥 unajua kaka
Kazi imebamba hongera sana kittle namuona sauna chilli hapo ndani ya nyumba
Waaap shafiii daudaaa😂
Noma🔥🔥🔥🔥
Oyaa wee hii kazi ni hatar sana inasisimua sana aisee kazi nzur kitale
Semeni nakuaminia umetisha upo shapu 💪💪💪
Hili dubwana hatar sana🔥🔥🔥🔥
Nakubali jamani Kali kama maneno ya kuambiwa umetisha kk
ALLAH akupe uwezo zaidi na zaidi,kazi nzuri sana!
Maa shaa Allah ❤❤
Gumlasenga we mzee hatari sana aiseeee 😂😂😂😂😂😂 eti funga fundo moja tu
Nimeipenda Sana kitale mkude mavi
Team ya production pongezi Kwenu❤❤❤❤❤
Kazi nzuri mzee kama
Naanza kujifunza kitu kwa binadamu ...Kitale big up
Mzee kimaa unawezaaaa babaa huna bayaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kazi nzuri sana
Anaitwa kama Ramadhan Kama❤
Mzee Anajua Anajua Ten❤
nzuri mno kaka nmejifundisha kitu hapa
Umejifunza nn
Kazi nzuri hatar sana unatisha
Ukituachia njiani kama binadam wabaya tuna kuloga nawewe kama aisha 😂😂😂😂
Tuna wakubali sana wote mkishiriki wote na mzee wetu Leo tumepata kukuona tena hua anakukubali sana
Shikamoo Mzee Kama 😢🙌... episode ya 3 please ❤
Inawezekana brother mussa ndugu yangu kwa maana me pia nilifikiria kuandika story hii kw kiingereza ila 7bu ameshatafsir acha nimpe maua yake,,saluti brother
😂😂,
Kazi nzuri hongereni
Kazi nzuri sana walah
WAKWANZA LEO KAKA KITALE😂😂😂
Haya mnaomba likes namm naomba likes kaka KITALE unipini📌📍😅 😅
Hongera kitale mungu azidi kukuzia kipaji chako
funzo kubwa sana hili sio kila mtu wa kumuamini
Mzee kama 🔥🔥🔥
Ni nzuri jamani hadi Raha
Dah kitale shikamoo kaka🙌🙌🙌🙌🙌
Brother samahani towa namba 3 Brother mzigo mkubwa sana uuu
Napenda sana part za baba bakar, nani mwegine amemjua boss wake na Kai tujuane🙋♀️🇰🇪 much luv.
Mzee Kama ni master wa master.
Movie nzuri sana amjawahi kuni angusha nawaku bali kinoma🙌🙋
Mm mgeni ila maua yenu 🎉🎉
Babu yake Aisha, 🙌🙌🙌.
Kazi nzur kitale ni mkongwe wa hizo kazi
Mzee kimaa❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Movie nzuri sana
Next