Kambi 14 za kitalii zafurika Maasai Mara
Вставка
- Опубліковано 30 кві 2024
- Kambi 14 za kitalii zimefurika Maasai Mara
Juhudi za uokoaji zimesaidia kuwaokoa watalii 40
Mto Talek ulivunja kingo zake Maasai Mara
Watu 179 wamefariki kutokana na mafuriko nchini
Uopoaji wa miili ya waliofariki Tana River unaendelea
Barabara ya Kedong-Suswa imefungwa kufuatia mafuriko
❤❤❤❤🎉🎉🎉
Wageni mnaokoa na ndege😂 wenyeji kula ngumu😢
🏃♀️➡️
Watalii ndio wenye pesa 😢ndio mana wanaokolewa wenyeji kuleni chuma icho Kenya kumbe bado iko chini ya utawala wa uingereza 😮
Watalii wanaokolewa na helicopters
Wakenya wa kawaifa wanaokolewa na mungu😮😂