Huo mwka wanaosema tulikuwa juu wamesahau hatushinda michezo nane mfululizo wao wanachoona ubora ni zile goli tano ndo unapogundua mihemko mingi kuliko uhalisia
Hata Yanga itafungwa Sana , kwani huoni kama wamechoka?? Mechi za back to back pia zinachangia ,so ukisema imeshuka hujakosea hawachezi kama mwanzo. Mbona mmeisema Simba Na walalamiki kihivyo, shida Yanga kufungwa hawataki ,lakini Huu Ni mpira unadunda .
Mnaosema yanga imeshuka kiwango hv hamuoni kma ligi ya mwaka huu tofauti ya mwaka Jana timu zimesajili na kila timu inapambana usitegemee kuona goli tano kma za mwaka Jana
Mashabik wa simba lazima wafurahi team yao simba imeshinda kuwapa furaha sas waache furaha tuwape kutok kwny team yetu ya wananchiii😅 Yanga ni bora mutake musitake mpk sas tunaongoz ligi kiume zaid
Yaani timu ina wachezaji wengi katika timu za taifa, wanahenya huko halafu kwenye ligi wanapangiwa timu top teams mfululizo (kila baada ya siku 2) na TFF ili washindwe! Acha T. Stars watolewe wapate pa ku recover!
Mfumo wa kutaka Dube ndo hawe mfungaji mtihani sana bora hile yanga yoyote mchezaji alie kwenye nafasi hashinde Dube ndo yule yule wa Azam hamna kitu kiukweli
Mpenja kiukweli ukitangaza mpira kote kote nitafanya bidii nisikilize , unatisha baba ,sauti ya radi, najuwa kuna fitina sana usitangaze mechi fulani fulani ,lakini baba ukikaa kwa kipaza sauti tuna enjoy baba. Endelea kutukera yeyote atakayekosea wewe tupia tu neno la ladha tamu ya mpira
Ahmed ally umemuharibu mpenja
😂😂Kabsaaaa
Ukweli ni kwamba yangu kwa asilimia fln imeshuka kidogo a
Haijashuka kiwango . Manchester inafungwa isifungwe yanga lamsingi inaongoza ligi kwamaana hio iko vizuri
Hata hiyo Man U imeshuka
Kabla ya mechi mlikuwa mnaongea hivyo?
Tunasaidiwasan namarefa
Yanga hiiiiiiiiiy imefungwajeeeeeeeee
Yanga wakifungwa huwaga wanatafuta sababu nyingi za kujikingia kifua wakubali tu kiwango chao sahiv kimeshuka
Ukweli hii sio yanga tunayoijua yamwaka jana
Kweli kabisa , ile kwani huogopi imeshuka .
Kikubwa ubingwa mengine ni matokeo ya mpira
Simba na yanga wakionana tena uchezwe mpira wa uwanjan yanga anafungwa
Wachezaji wa Yanga wametumika Sana msimu huu.kwenye timu zao Taifa
Mi naona wamerizika na maisha na c vinginevyo tuko hapa yanga wakipata wachezaji wenye uchu na maisha utanambia
Jana zimepoteza tim 2 duniani ambazo tangia ligi zao zianze hazikupoteza mechi yoyote ndio zimepoteza jana
Hii ya kwetu haikuwa inapoteza kwa makosa ya kibinadamu ya marefa sio kwa ubora wake pekee
Alie shuka kiwango anaongoza ligi wabongo bwana yanga tam💚💛💯
kuongoza ndio nini
Sio sababu
Kumbe ata wewe umewaona
Kipindi hiki ata mashujaa huwa anaongoza
Huo mwka wanaosema tulikuwa juu wamesahau hatushinda michezo nane mfululizo wao wanachoona ubora ni zile goli tano ndo unapogundua mihemko mingi kuliko uhalisia
Mpenja unakosea wimbo bola ni mnyama alikiba
Ila kila mtu anauhuru wakupenda kile kaona yeye😅
Wimbo bora ni huo anaosema Mpenja, wewe na familia yenu tafuteni wimbo wenu usituchoshe
Man city anapigw madrid anapgwa barca anapgwa ya yanga inakuaj ajabu
😂😂😂mpenja atangaze mechi ushinde la sivyo utamuona mbaya😂😂😢
Simba watafungwa tuu tena sale ndio nyingi
Hata Yanga itafungwa Sana , kwani huoni kama wamechoka?? Mechi za back to back pia zinachangia ,so ukisema imeshuka hujakosea hawachezi kama mwanzo. Mbona mmeisema Simba Na walalamiki kihivyo, shida Yanga kufungwa hawataki ,lakini Huu Ni mpira unadunda .
Inafungwa kwa nusu wachezaji
Na alikiba umemueka wap
km yanga imeshuka kiwango na.anaongoza ligi bas hao wengn viwango vyao vipo chin zaid
Mnaosema yanga imeshuka kiwango hv hamuoni kma ligi ya mwaka huu tofauti ya mwaka Jana timu zimesajili na kila timu inapambana usitegemee kuona goli tano kma za mwaka Jana
Mashabik wa simba lazima wafurahi team yao simba imeshinda kuwapa furaha sas waache furaha tuwape kutok kwny team yetu ya wananchiii😅 Yanga ni bora mutake musitake mpk sas tunaongoz ligi kiume zaid
Alikiba ndio wimbo bora,, Mnyama
Nimeliwa data zangu bure ... legendary wa habari leo kiwango sufuri
Yaani timu ina wachezaji wengi katika timu za taifa, wanahenya huko halafu kwenye ligi wanapangiwa timu top teams mfululizo (kila baada ya siku 2) na TFF ili washindwe! Acha T. Stars watolewe wapate pa ku recover!
Uko sahihi ni mipango ya tff ili tupoteze
Kubar kataa iri apo aripo yanga atashuka tuuu wanayanga mjiurize tim yenu ikokwenye wakati gani yanga kiwango kinazidi kushuka
Hata nyie timu yenu itashuka tu kuangalia ya Yanga ya kwenu yanawashinda
Kakijana kapige kazi kasije na umbea umbea wa rick media caption na video ni tofauti ile media noma😂😂
wempenja siwasimba fungadomo lako unaongea nini tuachie yanga yetu kwendauko
Gamondi ameishiwa mbinu
Unaifungaje???😂😂😂😂
Yanga yangu mbovu
Eti yanga ameshuka kiwango na.kafungwa goli moja 2 na yupo kileleni nyinyi mafara
Waambie makorokoro ao
kama hamtashituka mtakuja kulaumiana yanga fc
Walifungwa Ata na mwaka Jana, tuweni makin hii yanga nais wametaka tuwachukulie poa,
Mfumo wa kutaka Dube ndo hawe mfungaji mtihani sana bora hile yanga yoyote mchezaji alie kwenye nafasi hashinde Dube ndo yule yule wa Azam hamna kitu kiukweli
Mpenja ni fara2 hajui
Mokolo watateseka sana wamepakatwa mara nne na Yanga nabado watagongwa tene naona wanjifariji kwa azam kuifunga Yanga
Sawavtu ila Kuna punguzo la ubora linaonekana
nyimbo bora ice cream ice cream straw bary ice cream
😅😅😅😅 ila wew
Halafu wewe hatutakiututangazie mechi zetu
Nilijuaga huyu jamaa ana akili kumbe Dunduka tuu
Wameshuka 😂😂😂
Mpenja kiukweli ukitangaza mpira kote kote nitafanya bidii nisikilize , unatisha baba ,sauti ya radi, najuwa kuna fitina sana usitangaze mechi fulani fulani ,lakini baba ukikaa kwa kipaza sauti tuna enjoy baba. Endelea kutukera yeyote atakayekosea wewe tupia tu neno la ladha tamu ya mpira
Ni Bora 2 afungwe
Walivo geukia ukuta walikuwa wana muwaza pididi yanga ni wafuasi wa pdd
Akili hamnazo timu kufungwa imeshuka kiwango wajinga kweli mkasome
Wimbo wakiba ndo unatisha kumbe mpenja bado hujui nyimbo nzur
Yanga hajashuka aliyeshuka kiwango ni Coach ndio maana wanatumia u🤪chawi
Unabaya mpenja
Kumbe ni kweĺu mpenja ni mnyama
Kuna ya king munyama
Acha maneno mengi nenda kwenye mada
Mpenja fala na cjui nani kamwambia atangaze mechi zetu
Kwan ww shabik was tim gan
Shida tunalazimisha Dube afunge, hamna kitu pale
UBAYA UBWELA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
yanga haina ishu hata mechi ya simba haikuwa poa mechi na costal haikuwa poa pia
Shamba wewe kufungwa mechi moja imeshuka kiwango wewe nishabiki wa upande wapili
umeshuka wewe kiwango utaifananisha na smba yako mgetufunga nyie simnge tembea uchi fulaha ya Azam inawausu
Uyonmpenja bwege nikibaraka wakolo huyo ety yanga imeshuka kiwango , wakati mpira unamatokeo matatu kwani yanga sio timu mpaka isifungwe acheni ufala nyinyi , alafu duniani timu kubwa zinafungwa 4 alafu maisha yanaendelea mtakufa nawivu yanga bingwa❤ tena izo porojo zenu hazitusumbui , kwani wimbo wetu nyinyi unawausu nini kumbe unawauma nabado.
Kushangaaa hovyooo
Mpenja wewe ,na hicho kidude kimeng'ang'ania , hakitaki kuchomoka mpaka mkubwa anaathirika
Mzubae na kirere chenu mtashushwa tuuuu
Chapati😂
😢acha longo longo
Channel yako imeshuka viwango pia lishuhulikie hilo
Kwel kabisa kocha yuko vizuli yanga atuna mfungaji tuliangalie hilo
Mupenja kumbee musengee tuuuu
😂Kama wewe tu 😂ubaya ubwela ❤