MANENO YA DIAMOND NA ALIKIBA, WAZIRI FA ATIA NENO, DIMPOZ NA ABDUKIBA WATUBU?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 58

  • @RumanyikaNicholaus-pr3jd
    @RumanyikaNicholaus-pr3jd Рік тому +13

    Hii inchi kuna wasanii wakubwa sana ommy dimpoz, alikiba, diamond, rayvany, hormonize, mbosso, zuchu, nand, mario, jaymelody, AYA majamaa yakiungana yakashambulia inch zingne Nigeria hawatupati yakashilikishana kwenye nyimbo wakawa wanapush wote shoo njee wanaalikana Nigeria hawatupati ila sasa wasanii wetu wivu kinyongo kibao moyoni mwaoooo

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 Рік тому

      😮Mhh so kwa wasani wetu chuko roho mbaya choyo

  • @dianamonyo1960
    @dianamonyo1960 Рік тому +16

    Na hio love song ya Kiba na Marioo ilipaswa iwe ya Abby Chams na Marioo Paula na Kajala walikataa Marioo asiimbe love song na Abby, sio mm nlisema ni Mange

  • @amsiabbas3809
    @amsiabbas3809 Рік тому +2

    ❤. Frida. Naee wamoto nilikua sijamuonaga kwa uso sijui kaolewa!!?

  • @hamadsalum5582
    @hamadsalum5582 Рік тому +3

    Naibu wazir Ainglie n Basat na Ney ili mzki upgwe nchi ichngmke

  • @rizikiabdalla2501
    @rizikiabdalla2501 Рік тому +7

    Huyo mwanamke wenu vido amekuwa mwarabuu 😁😁

  • @SamuDshira-xm9yn
    @SamuDshira-xm9yn Рік тому +4

    Frida yupo sexy sana.anavyo ongea na hayo macho .❤

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 Рік тому +4

    Vido congrats ! nakuona mbali keep it up👍👏👏from Qatar 🇧🇭

  • @Bin_Abel
    @Bin_Abel Рік тому +2

    Nawakubali💥

  • @Zuulito
    @Zuulito Рік тому

    Fifi❤️❤️

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 Рік тому +2

    Nyie watu mkopowa sana wallah cap yenu ikopowa san

  • @chiefndatu1895
    @chiefndatu1895 Рік тому +1

    Kweli nmeamini Simba akiwepo swala asogei

  • @RamaManyelez
    @RamaManyelez Рік тому +6

    Hata abdu akienda huyo sio alikibaa bifu letu lipo pale palee

  • @mzeemkaidi5337
    @mzeemkaidi5337 Рік тому +2

    Huyo jux ni m'nafki

  • @zuenahamoud1532
    @zuenahamoud1532 Рік тому +3

    Wasije kumpa sumu mondi bado tunamuhitaji

  • @othmanali7408
    @othmanali7408 Рік тому +3

    Milard is another level ..salute man

  • @johaali9959
    @johaali9959 Рік тому +1

    Yan mung awabarik napend san kapo ya daimond na omy

  • @dianamonyo1960
    @dianamonyo1960 Рік тому +7

    Alikiba anakijiba cha roho hawezi cheza enjoy

    • @JumaKuola-ir7zg
      @JumaKuola-ir7zg Рік тому

      Kiba hatakuti kiki,,waona tena Hana tabia zakitoto

  • @avituskatunzi1180
    @avituskatunzi1180 Рік тому +2

    Enjoying❤❤❤❤

  • @adamnassoro
    @adamnassoro Рік тому

    kweli hawa kenge wasanii wapo American

  • @dianamonyo1960
    @dianamonyo1960 Рік тому +5

    Mtu aniambie Simba na Dimpoz waligombania nn jamani

    • @scorasticaclement6308
      @scorasticaclement6308 Рік тому +2

      Dimpozi Alimletea Zarau Mond i Baada ya Kusemekeana Kuwa Katembea na Mama Dangote

    • @dianamonyo1960
      @dianamonyo1960 Рік тому +2

      @@scorasticaclement6308 Nani katembea na mama dangote

    • @khalidibero
      @khalidibero Рік тому

      Dimpozi alisema kapita na mama mond,mond nae akasema dimpoz aliwahi mtaka Dai kimapenzi.Yaani mondi ampalamie dimpoz.

    • @dianamonyo1960
      @dianamonyo1960 Рік тому

      @@khalidibero mmmh Aya, kwaiyo zuu na Dimpoz mtu na mke mwenzake 🤣🤣🤣bongo sihami mm

  • @angelantinda1009
    @angelantinda1009 Рік тому

    Apo uyo demu kanikela alipo sema nisichaguee silah ingekuwa yeye angefrah

  • @amanimapenzi571
    @amanimapenzi571 Рік тому +1

    Yaani huyu chibu hammumuwezi!!!! Mtatii kweli!!!!!!

  • @ramadhanmsangi4676
    @ramadhanmsangi4676 Рік тому

    Mechambua vizuri vita ni vita lakini mbona millard ayo unekani sura unashida gani

  • @helenkambi3918
    @helenkambi3918 Рік тому +7

    Ndio maana Ommy Dimples alilala na mamake diamond

  • @beatricemtui3766
    @beatricemtui3766 Рік тому

    Sijapenta milard kumuiva video bby

  • @MwanaSultan-t9k
    @MwanaSultan-t9k Рік тому +3

    Friday timu mondi

  • @francisjuly5761
    @francisjuly5761 Рік тому +2

    Et kutoka wizaran 😂

  • @fauziayassin7987
    @fauziayassin7987 Рік тому

    Huyu diamond wa hovyo sanaa cjui anasema nn😏

  • @tonymasy8872
    @tonymasy8872 Рік тому

    Nyie bifu na mondi limeisha? Tujue pia maan mna mu proud hatare

  • @sakinaomary7207
    @sakinaomary7207 Рік тому

    frida yupo biased

  • @josephmuchiri3180
    @josephmuchiri3180 Рік тому

    Tupo na BANDARI kenge nyie

  • @hassannzai1827
    @hassannzai1827 Рік тому

    Kwa Diamond apo

  • @abedomar5183
    @abedomar5183 Рік тому

    Huyu naibu waziri wa michezo Mwijuma cjui MwanaFa, mwehu tu hana lolote

  • @hakizimanamoosa1157
    @hakizimanamoosa1157 Рік тому

    Frida,milladayo,nawakubali kinoma
    Ici kipindi it number one

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 Рік тому +1

    ✌️❤️❤️🇹🇿🤝