KINGEREZA CHA MWIJAKU, BABA LEVO NA JOTI KWENYE MEZA YA MABALOZI, WAZIRI MKUU HOI KWA KICHEKO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 75

  • @jastinmbena1959
    @jastinmbena1959 11 місяців тому +11

    Watu wawili ambao wamefanikiwa kuleta uchawa adi serikalini😂😂

  • @piniellaizer-t7b
    @piniellaizer-t7b 11 місяців тому +4

    mtaalamu sanaa Mr Kassim Majaliwa

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 11 місяців тому +6

    Hensi said enginier a.k.a mr genius appriciation sana brother

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 11 місяців тому +19

    Inginia HERSI akili nyingi......GSM ni GROUP OF COMPANY

  • @CopperBelt
    @CopperBelt 11 місяців тому +1

    Tanzania nchi ya amani sana mnapendana sana na Endeleeni kuitunza amani yenu hamna ukabila na hamna udini na hiii ndo imewafikisha hapo

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 11 місяців тому +7

    Yan Kumbe Mwijaku Mpak Kingereza Unajuw

  • @hydo8027
    @hydo8027 11 місяців тому +16

    Hizi milioni milioni inakuwaje me ata laki sina😢😢😢😢

  • @tukuyufm
    @tukuyufm 11 місяців тому +16

    Tanzania kuna vijana kweli.

  • @evamwambapa5251
    @evamwambapa5251 11 місяців тому +11

    Jaman hizi hela wangekuwa wanachangia vitanda vya wa mama uko hospital za serikali km mange anavolalamika wamama wanazalia chini na kula kitanda kimoja watu wawili doh

    • @shundisammir8084
      @shundisammir8084 11 місяців тому +1

      Kila mmoja na mawazo yake.Weee unawaza madawati,kuna mwenzako nae anawaza matibabu.
      Hivyo elewa,kama wangechangia hili,kuna wengine wangelalama tuchangie lile.Ishi na msimamo wako kuwa,kila kitu kinakwenda kwa mipango ya wanao liona kwao,narudia "KWAO"ni la muhimu kwa wakati huo.

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 11 місяців тому

      Kuna mama mmoja alichukua mafuta ya gharama kubwa akampaka Yesu Kristu miguu yake. Lakini mwanafunzi wake mmoja kwa unafiki na wivu akamshutumu huyo mama akidai ni heri angeuza mafuta hayo na fedha wakagawiwa maskini. Bwana Yesu akajibu kwamba mama huyu.katenda jambo lililo jema, kwani ninyi maskini mnao siku zote! Tusije tukafikia mahali tukalalamikia hata michango ya harusi tukidai ingekusanywa vikanunuliwa vitanda hospitali I. Kila jambo la kijamii Lina umuhimu wake.

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 11 місяців тому

      Kuna mama mmoja alinunua mafuta ya gharama kubwa akampaka Yesu Kristu miguu yake. Mwanafunzi wake mmoja kwa unafiki na wivu akamshutumu huyo mama akidai ni heri angeuza mafuta hayo na fedha wakagawiwa maskini. Bwana Yesu Hali akijua unafiki wake akasema mama huyu katenda jambo lililo jema, kwani maskini mnao miongoni mwenu kila siku. Kila jambo litendekalo katika jamii lina umuhimu na nafasi yake. Vinginevyo tutalalamikia hata michango ya harusi tukidai ikanunue vitanda hospitali I!

  • @omanmct135
    @omanmct135 11 місяців тому +9

    Mwijaku anachekesha sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ManenoMmbucwa
    @ManenoMmbucwa 11 місяців тому +9

    Yaani nyie Ndo kituko cha mwaka inchi nawasomi wote hao munashidwa kubuni taratibu za kuwapa raia kipato munakalia upumbavu tu Kama uhu

    • @jamesdismas4884
      @jamesdismas4884 11 місяців тому

      kaka unawaza kama mim 😂😂😂😂😂

  • @Dipeson700
    @Dipeson700 11 місяців тому +3

    Nyie mnaskiliza joti lakin, karia kaingia chini ya siti🤣🤣🤣

  • @methewbuzuruga-eg8oz
    @methewbuzuruga-eg8oz 11 місяців тому +2

    Kama ccm mmechemka hivi ili mambo yenu yaande swa lazima muwalete mwijagu na baba levo maanake chama hakina nguvu tena kinatembelea rime

  • @Freedom_fighters898
    @Freedom_fighters898 11 місяців тому +3

    Kama nchi tunasafari ndefu sana. Hakuka u -serious kwenye mambo ya serious kabisa! Very shame

  • @Mastoryy
    @Mastoryy 11 місяців тому

    Wewe mimi naahidi Baku jero tu!!😮 Aiongezeki

  • @robertzamani5612
    @robertzamani5612 11 місяців тому +8

    Natamani siku Moja ingefanyika harambee kama hii ya kuchangia madawati ya wanafunzi katika shule zetu tungepunguza tatizo la wanafunzi kukaa chini

  • @vero57
    @vero57 11 місяців тому +5

    Babalevo tumbo hiyoo 😂😂

  • @Omy-dou
    @Omy-dou 11 місяців тому +5

    More genius majinu ya enginear nkukubal sana

  • @mikemutabuzi3665
    @mikemutabuzi3665 11 місяців тому +7

    Joti video za kucheza umama zinakushuka, Pambana na joti Dume madili yamwagike, Achana na ujike kupitiliza, Watz kama so Africa, zile zinatushusha.

  • @wycliffemuchika8635
    @wycliffemuchika8635 11 місяців тому +3

    Request them please ask them to have something

  • @godfreykarata3710
    @godfreykarata3710 11 місяців тому +6

    Mwijaku apana😂😂😂

  • @aymanbahdela9
    @aymanbahdela9 11 місяців тому +3

    Karia hatumuoni apa 🤣🤣🤣 4:27

  • @hassansaul7098
    @hassansaul7098 11 місяців тому +1

    JOTI, eti karia kaingia chini ya siti😅😅😅😅😅

  • @mellahbrain295
    @mellahbrain295 10 місяців тому

    😂😂😂😂😂 yes yes of course

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 11 місяців тому

    Weee joti huna ADABU HUYU NI WAZIRI MKUU KILA UKITAMKA TAMKA CHEO CHAKE KAMILI MAANA WE KILA UKITAJA UNAMKATISHA ATI MUHESHIWA WAZIRI. sasa waziri wa nini muwe na Adabu. Huyo siyo mtoto mwenzio

  • @JacobMarton-bb5nd
    @JacobMarton-bb5nd 11 місяців тому +2

    aliemuona karia chini ya meza amtoe. .. ila joti hapana

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 11 місяців тому +1

    Sasa mbona km wanalazimishana kuchangia

  • @giztony2009
    @giztony2009 11 місяців тому +3

    If we have an any representative here hili jinga linasemaga lina degree mbili halafu haliwezi kusema sentensi moja ya kingereza!poor mwijaku

    • @jdanny497
      @jdanny497 11 місяців тому

      Hii nchi wajinga ni wengi that's why una ona upumbavu mwingi

    • @YoshuaSeverino
      @YoshuaSeverino 11 місяців тому +1

      Kwa hiyo kuwa na degree mbili ndio anyoshe kiingereza vizuri? Kwani ni mtaalamu wa lugha ya English? Elimu yake imemfanya awe mbunifu na kupata kipato kizuri sana hata cha kuzidi maprofesa wanaojua kiingereza

  • @petermando917
    @petermando917 11 місяців тому

    Sasa watu wanachangia alf majitu yanakuja kujamba uwanjani

  • @JumaOmary-ou3oc
    @JumaOmary-ou3oc 11 місяців тому +1

    Machawa wakitetea ugari😅😅😅

  • @chingychingy2066
    @chingychingy2066 11 місяців тому

    Nchi aiko serious ii

  • @Faustine_Charles
    @Faustine_Charles 11 місяців тому +3

    Joti anashindwa kutofautisha sehemu inayohitaji comedy na inayohitaji protocal. Tatizo ni elimu.

    • @yusufmwangichannel6692
      @yusufmwangichannel6692 11 місяців тому

      Wewe ndie elimu huna. Kwenye mchango kunaitaji comedy ili kuwachangamsha na kuwachekesha walio hudhuria ili we rahisi kutoa mchango wakiwa na nyuso za furaha, unless uwe ni mchango wa mazishi au mchango wa mgonjwa na bado pia hapo watu watachekeshana

  • @christinanickson2163
    @christinanickson2163 11 місяців тому +5

  • @ernestgeorge8412
    @ernestgeorge8412 11 місяців тому +1

    Hizi ni nyakat za mwijaku na B levo majumba joti pumzika tuu maana naona unatumia nguvu nyingi Sana kuchekesha hauna mvuto kwa sasa kaa pembeni tuu

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 11 місяців тому +5

    😂machawa wakimaliza kuchangisha wamepata za kwao 50 m😂

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 11 місяців тому +8

    Ndio watanzania na mambo tunayopenda kuyaona 🚮

    • @patrickKitambo
      @patrickKitambo 11 місяців тому +1

      Kwel ni aibu sana na ujinga hali ya juu... Nchi yenye rasiliamli nying kama hii inachangia michango kwaajil ya timu

  • @nacetsiringa1334
    @nacetsiringa1334 11 місяців тому

    Mbona SIMBA sijawaona😅😅

  • @ManenoMmbucwa
    @ManenoMmbucwa 11 місяців тому +2

    Munatuweka haibu mnooo

  • @AnnoyedMarsh-ex9xx
    @AnnoyedMarsh-ex9xx 11 місяців тому

    wengine wanarazimishwa

  • @sitimohd2136
    @sitimohd2136 11 місяців тому

    Mwijaku😂

  • @JULIUSMASANJA-f2l
    @JULIUSMASANJA-f2l 11 місяців тому

    MILADI AYO NAOMBA NAMBA YA BABA LEVO.KUNA ISHU BINAFSI YA FEDHA. SHAKAZA KIBAHA

  • @tyronemofekeng7152
    @tyronemofekeng7152 11 місяців тому +1

    Hawa jamaa ujinga wao unawasaidia

  • @David-s6y8k
    @David-s6y8k 11 місяців тому +1

    Sasa Zile digre za mwijaku nizanini kweli !

  • @drmussa1220
    @drmussa1220 11 місяців тому +7

    ua-cam.com/video/N-RAOUGx_Yg/v-deo.htmlsi=4y49PV8sKnWQbZPY
    MAAJABU YA MTI WA MNAZI
    ua-cam.com/video/N-RAOUGx_Yg/v-deo.htmlsi=4y49PV8sKnWQbZPY

  • @aziza9093
    @aziza9093 11 місяців тому +1

    Hiyonifujabaf😅😅

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 11 місяців тому +2

    Ss mnaona uchawa unavolipa

  • @richardmagaka9525
    @richardmagaka9525 11 місяців тому

    Mtafute karia hadi apatikane kazi kupigapiga faini tu watu na timu afu yeye anaishia mitini zote anazofainisha anataka azijengee kwake tu

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 11 місяців тому

    Hapo mmekula shavu

  • @philemonmagesa5548
    @philemonmagesa5548 11 місяців тому

    Ni mchango wa nn ndugu zangu???

    • @FatumaMohamedi-t6t
      @FatumaMohamedi-t6t 11 місяців тому

      Ni timu za taifa znazofuzu kwenda mashindano ya nje km taifa star waogeleaji wakimbiaji n.k.

  • @samuelcharles3796
    @samuelcharles3796 11 місяців тому +1

    😅😅😅😅😅

  • @mussatete2618
    @mussatete2618 11 місяців тому +1

    😂😂😂😂

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 11 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @IzackThomas
    @IzackThomas 11 місяців тому

    Hahahaha

  • @lilyshayo761
    @lilyshayo761 11 місяців тому

    Du

  • @christinanickson2163
    @christinanickson2163 11 місяців тому +1

  • @chazyjacks673
    @chazyjacks673 11 місяців тому +1

    😂😂😂

  • @ShedrackDamiani
    @ShedrackDamiani 11 місяців тому

    😂😂😂😂