Professor Jay Feat Alikiba - CALLING (Official Audio)
Вставка
- Опубліковано 10 гру 2023
- #Calling #ProfessorJay #Alikiba
Calling by Professor Jay Feat Alikiba (C) 2023
Calling OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
BoomPlay: www.boomplaymusic.com/share/ar...
MKITO: mkito.com/artist/1111
iTunes: itunes.apple.com/us/artist/pr...
Spotify: open.spotify.com/artist/1Q5oC...
Dezeer: www.deezer.com/us/artist/4096310
Written & Performed by: Professor Jay & Alikiba
For Bookings: ProfessorJaytz@gmail.com
Follow Professor Jay on:
/ professorjaytz
/ professorjaytz
/ professorjaytz
Kama wewe shabiki kweli wa professor Jay weka like hapo chini❤❤❤.
Jamani alikiba ni msani wa kuigwa da kanikosha moyo wangu kwa kuamua kumsapoti kaka etu
Sanaa kakaa 💐👑
Ndio Kaka yetu jeshiii❤
😂😂SUBIR SIMBA LA MASIMBA ATOKE MAREKANI YEYE MMOJA NIKAMA ELUFU MOJA ANAMCHAPA NA MAMILION HALAFU ANACHAFUA MITANDAONI MWEZ AMA WIKI HAWAZAG SIMBA NDIO MTU WA WAKUIGWA SIO KIBA 😂😂😂
Nani kakudanganya kuwa alikiba ni msanii wakuombwa kwa professor? Kiba ni mdogo!
Anaga majivuno
She calling @ Alikiba hio chorus umeme @ hit imepenya 2030❤@ nipe like King @jay
Hata likes 10 sipati kwel .....i love this from Kenya
Lazi safi
Binadam ndo inatakiwa kuixh kama ivooo ukiona mwenzako kaanguka basi jitahidi kumuinua kw namna yoyote ileee🎉🎉🎉🎉🎉
Namkubali Ali kiba jaman mm mpaka nashindwa kuongea ❤
Kama umerejea kuskiliza zaidi ya mara 2 hii nyimbo weka like
10 times❤
Alikibaaaaaaaaaaaaaa 📌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
King kibaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wakongwe wa music wamekutana katika calling naombeni like zao na coment zao 💯💯❤❤❤🔥🔥🔥
Tulio rudi hapa baada yakutoka kuona jinsi walivyokuwa nahimade kwenye account ya king kiba🔥🔥
Jamani Alikiba Ni Msani Wakuhigw Amewez Kumsupport Legend Kweny Kipind Kam Hiki Mungu Awape Maisha Marefu 🎉🎉🎉🎉
Huyu alikiba mbona anaimba sana what a beautiful song 🎵 😍 ❤️
Akili nyng sna nanyi ndo wasanii wa kidunia tunapata mafunzo mazr toka kwenu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿 akili kumkichwa
ebwana kaka kingkiba ukarikiwe kaka AMEN umefanya kitu kilicho bora haijawai tokea hongera sana kaka we love you❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤
asante mungu mwenyezi kwa zawadi hii ya uzima leo umewakutanisha wanamziki wakongwe nilingojeea ushirikiano wao kwa muda mrefu namuona jpm kwa mbali asante mungu wimbo huu unaponya miohoyo yenye majeraha R I P JPM
Ndani ya wimbo huu kuna sehemu wamegusa maisha magumu saaana niliopitia mpaka chozi lime dondoka😭😭😭 now na mshukuru Mungu sio mbaya
RESPECT WIMBO BORA KBS 🙏🙏🙏
Hakika mungu ni mwema sauti ya mh/brother professor jay imerudi tena
Alikiba forever ❤
Alikiba ameshindikana vibes vocals 🔥
I have the feelings for this song😭😭it has taken me back to my childhood time when I went through thick and thin with my mum......😢😢😢
Alikiba ni kiumbe kingine sana ongera sana prof jay
Kaka alikiba tangu nianze sikiliza mzk maishan mwang had now naumr26 hakika maishan mwang nakupenda Sanaa kaka angu ww ndo msaan Wang kwa mda wote dunian I love My brother 🎉🎉🎉🎉🎉mungu akupe maisha merefuu my brother ❤❤❤❤
Vigogo wawili, kazi nzuri wazee wangu
Tunaomuombea pr J azidi kuimarika ki mziki na ki siasa gonga like❤
Gonga like kama umemkubali j na kiba
Hamornize..... diamond will always be your Idol.....you can't change that fact,he gave u life....from Kenya
Nakubali sana alikiba big up @professorjay
Alikiba still king of our hearts Professor Jay recognize it ❤❤❤
Aaaah kweli nimekubali Kazi profesa umerikavaa 1❤❤ brother
Sauti kama inarudi hiv keep going mwamba
Huyu kibaa ni lasilimali ya taifa tuitunzee 🔥🔥🙌
Mungu ni mwema jaman profess kaamka tenaa hakika wakumshukur ni Allah.pekee❤❤🙏🙏
Ngoma ya kufunga mwaka kwa wapambanaji wote🙏🙏
❤❤❤wasani wangu wa mda wote ndio hawa Prof na king ❤❤na mumeeleweka sana msg imefika sio kuimba amapiano bila ujumbe wowote much respect legends
Much respect legend❤
Hyo chorus!🙌🙌 Kiba Noma!
Alikiba The King professor Jay sàuti yako naomba mungu anipe kipaji Kama yako ili ili niweze kuchana❤❤
🎉🎉🎉 mashallah Family
Hivi nasikia kasharudi kwa sauti yake kama ilivyo zamani ongera sana baba mkuu
Miambaa🔥🔥🔥🔥
Noma,Prof ni mgodi unaotembea kakutana King ni hatari,Calling✊
This is a living song ....listening to it so many times lets share this song ...lets do justice for it
Boonge la Ngoma mkubwa sauti yake imerejea kama zamani god is great
Bonge la Ngoma. Inanikumbusha ile ngoma ya Alikiba #Yatima
Mulemule Kaka Ila zote Ni kalii
Tuliwoipenda hii ngoma tujuwane
Oya tupo
Prof Jay has a natural talent😊
👍👍👍 As in ... He does it so Well even Simba naturally Stays Out of His Way 😂😂😂
Ahsante mzee wetu jay.... Unatufunza sana wanao .
Bongo flavor Original ❤❤❤❤
Alikiba weeee kwa vocal hauna mpinzani Tz 😢 tu es un artiste qui chante avec émotion force à toi et longue car c'est l'Afrique qui gagne on est ensemble 🇨🇩 RDC ❤
Professor Jay,unakumbuka ulimwambia alikiba afute vumbi kiti,Leo amekuwa wakwanza kukusapoti . Thanks 🙏 my brother 👑 King kiba
It was just a punch line, pia Kiba na Prof wanafanya aina tofauti ya miziki,, hakumaanisha Kiba
Watu wanakumbukumbu mweeeh😂😂😂😂😂
Kwan ilikuaje nikumbushe ety😢
@@user-gx8gm7bi6z Kwenye wimbo wa Professor Jay unaoitwa 'KIBABE' kuna mstari unasema...
"Usiponiskia leo jua kesho narudi,,
Mwambieni mfalme wenu siti yangu aifute vumbi,,"
Ngoma inayosema.futa fumbi.kiti Ile inamuhusu jamaa yule wa mji
Big shout outs for staying to the basics of rap...old school vibes for life
I get sound of old school
Noma sana bonge la ngoma...Hakuna mapenz humo
#Professor wa Bongo flavor ft #King wa Bongo flavor
Ukisikia msanii ni kioo cha jamii ndio hii.
Na kazi ya msanii ni mbili tu
1.KUBURUDISHA JAMII
2.KUELIMISHA JAMII
So ukisikiliza hii song UNAPATA ELIMU KUBWA na huwezi toka bure
Hivyo basi nikupongeze my big brother #ProfessorJay kwa ujumbe mzuri kwa jamii
Pia big up kwa my brother #AliKiba kolas tamu..
Best vocals.... alikiba👑i u always inspire us bro💪😊😊😊😊 Ur always the best appreciate that ... The inspirator of the young legends 🤗✅🔥🔥🔥
King kiba hii ndio style ya muziki niliyokupendea nayo, melody za hali ya juu, pia naskia back vocals vizur yaani hapa ali umefanya vizur mno
Prof & prof. King & King.💪
Kiba you did it smart 👈😇
Jay you did it as a leader!
To me! You guys live longer ❤️
Ngoma imeniliza sana hivi😢, imenikumbusha maisha ya kulelewa na mama wa kambo.
Listening to this song 😢😢😢as I was raised by a step mother, and now am the one teaching her children even though they divorced with my dad😢😢😢😢
King Kiba jamani chorus iyi nzito kabisa ❤❤❤❤
i missed this kind of melodies
Alikiba avec tes belles mélodies tu rends mon cœur fort j'aimerais ta belle musique pour toute ma vie suis congolais précisément dans la ville de Goma
Hili ngoma asilimia kubwa yaongelelea maisha niliyopitia
Masikini jy nakuombea upate afya njema ili urudi barabara ni Mungu ni muweza wa yote Amina
I'm Proud Of You My Two Legend Good Meesage For Us We Appreciate Your Talent My 🤴Kings 🤴
Favorite songs 😍😢 wimbo wenye uzitowake jumbe mungu mwema professor back again kwenye utawala wako 🙏🙏👑🎵
Legendary ft legend, old school on new version. What a song
Nafanya kuirudia rudia hii nyimbo. Pamoja na ukongwe wao hawakuwai kufanya collabo na sasa wamekuja kuua kabisa 👏👏
wimbo umenigusa sana ✊🇧🇮
Moja ya ngoma Kali zimewahi kutolewa kwenye industry ya bongo kuhusu hustle za watu aisee ni hii
Congratulations big bro Prof Jay, Ali Kiba & Harmonize 👏🏿👏🏿👏🏿
Ukisikiliza Kwa umakini inafunza Kwa kweli
@@KasubiArexanderProfessor hajawahi kufel
Kingkiba
Mais uma vez bomba 💣 na rua 🇲🇿🇲🇿🇲🇿.
Alikiba Eu gosto muito das suas músicas
Ele e bom mesmo❤
Nc song congratulations 4 this 2 legend
hii ndio maana halisi ya kuwa kioo cha jamii
uishi maisha maref alikiba, professor J bado upo San mungu akujaalie nguv
Utu kwenye UTU wake of course #KingKiba ana UTU sana. I salute you my brother #Professor_Jay
Legends Hiphop and Bongo flava ❤ always on top KingKiba Prof Jize
Much love from kenya 🇰🇪🔥♥️
Hii nyimbo nifaraja kwa wale wote tunao haso 🙏🙏🙏 eshima kwenu jy na ak
Kiukweli Hii Nyimbo Inatia Sana moyo Sana Hapa Sasa Ndoto Yangu Imekamilika Nilitamani Kuipata collaboration ya Hawa Malegendary #King & #Prof 🎉🎉🎉
I would like to take this moment to sympathize all people passing through a hard time, after December you're all going to see the miracles in your life, I love y'all
Amen
AMEN
Ame
Amen, one love from Kenya
Amen
Sjutii Kuwa Kings Music❤
Mashallah professor jize sauti imerudi nifuraha kubwa sana hii
Professor one legendary musician that made me fall in love with hip hop/ rap despite illness you still give it your best ....I salute u.....Ali Kiba the king hapo sawa...love from kenya
truly, this song seems to be dedicated to me cuz from A to Z related to my life story 😭😭😭😭
Oooh! Very sory the same to me but just forgive and let Love lead
Sory my brother
Me too😢
❤❤❤❤king saut kama saut
Tears out of my eyes unanikumbusha Yale mateso nimepata kupambania Elimu .
Tutawasapoti wote thank you sana
Hii chorus kali sana respect kiba ukuweka kinyongo ulikunjua roho
Like za kutosha kama wewe kweli ni mshabiki wa mziki mzuri gonga like ya nguvu kama unamkubali Professor jay mwana msolop wa ganza
King kiba killed 🙌
The King 👑 kiba I like you too much
King wa hip hop akiwa na king wa bongo flava , wimbo mkubwa sn
🙏 Thanks for this Wonderful sound of old school vibes. Longtime we miss this…King k. Always a killer on corus ✋
Professor jay and King kiba may You live Long ili muendelee kutuletea Burudani na Elimu kwa wakati mmoja...Big up bros..❤
❤❤❤❤nimeipendaaa sanaaa wafalme wa bongo fleva❤❤❤❤
Calling.. njoo mm na ww na professa na wengine tusaidie wale wenye dhiki ya kweli, magonjwa magumu, na mitihani migumu yote. Naamin hii foundation itafanya makubwa sana. What a song, what a chorus. Fireeeee
melody Kama izi King 👑👑 zina nifany a narudia nyimbo mara zote
Hapo kwa rhyming sensible words no one comes close to Professor Jay despite the age
Mzee wa mitulinga🔥🔥🔥
Mungu Awasaidie pia mungu mmpe maisha marefu king kiba