SIMBA DAY: FULL HIGHLIGHTS: SIMBA SC 6 - 0 VITAL'0 - 22/08/2020
Вставка
- Опубліковано 30 лис 2024
- Tazama namna Simba ilivyokamilisha wiki ya mabingwa kwa kuichapa Vital'O ya Burundi kwa mabao 6-0 kwenye mchezo wa kirafiki uliopigwa katika dimba la Mkapa.
#SimbaDay #SimbaDay2020 #SimbaSC
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz
jo 🇰🇪tuseme tu ukweli entertainment na sports tz wako level nyingine wanapenda vya kwao sana bigup
Safi sana ukweli usemwe
Am a Kenyan lkn Naisupport Simba... Na Tanzania imetushinda sanaaa upande wa Ligi za ndani
wakenya wanachezia Simba??
Kumbe na kenya kuna timu inaitwa simba 🙄🙄
wewe uliskia wapi.. ama uko na Kenya ingine
@@samaritanherald75 yeah wapo
@@surayakhan3955 Kwani mtu akisema yeye ni mkenya na anasupport Man utd, hiyo inamaanisha Man utd ipo Kenya???? 🤣🤣🤣🤣Be logical
Ndevu za suna na sio za kalantin tena duuh ni shidaaaaaa niachie like ya nguvu moja
Naomba like zenu kwa anayerudia marudio Kama mimi
Hii Simba inakwenda kurudi 2024/2025 kwa uwezo wa Mungu
Hakika Jasiri haachi asili huu msimu ujao kombe linatua msimbazi
Amen
Ya kijinga sana hii, nafasi zaid ya kumi kipindi cha kwanza na hamna gori siujinga
Umejuaje ata mm naiona
Wa kwanza mimi like zenu apa wanasimba wote
Ata ikawa ya sika sisi atujui
Au ya sita tunaju kuwa nikibonde kwetu
Simba ilikuwa ya moto jaman ,naipenda ,nitaipenda kwa Raha na shidaaa ubaya ubwela
Hii ilikua Simba ya ubaya ubwela ❤❤
Simba rahaa jmn uto wataisoma another level, first eleven atakayoitumia sven hii hapa mfumo 4-3-3
1 manula
2 kapombe
3 tshabalala
4 ame
5 onyango
6 mkude
7 morison
8 bwalya
9 mugalu
10 chama
11 mickson
Like jmn na mnaweza kunirekebisha simba nguvu moja
Wapizani kazi munayo
Upo sahihi Mwamba
Hata akpumzka Mugalu tumuweke ZUCHU bado watakufa nyiiiingi
This is zimba🐆🐆 gonga like twende pamoj
Bernad Morison we ni htari kbisas hongera sana unajua kutesa mpaka kero ,penda wewe sana unavyocheza tu dah 😍👍👍💪
Chama kubwa Simba sports club 🙏
Hapo Kagere&Konde boy hujawaona😃😃😃
Wanao watch 2021 tujuane
Chama angeingzwa kpnd cha 1 wangeoga meng hawa watu,,
Chama nakutakia kila la kheri uko morroco
Tutakumiss sana ur da best ever in afrika,,
Hope ma team simba will do da best in coming season of 2020)2021
i love simba sport club
😋😋😋😋Kwa simba hii 🐒fc wajipange kwa kweli
Huyu bwalya ni nyookoooo kila pasi jiwe simba tumejipatia bonge la jembee bwalya mmoja mukoko sitaa 💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿 #anotherlevel
Daaaaa nikiikumbuka hii Simba 🥲🥲
Like za Bwalya kama umemuelewa uyu mtu daah 😂😂😂
Mmb
asante AZAM kwa highlights ndefu
Joe has never disappointed playing football. He is real gem 💎 and has taking to higher hight... kudos Joe.
Onyango is very fantastic player
Mungu pekee ndo atanitenganisha na simba lakn siyo wanadam
Simba on 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hyu bwalya akicope vzr,hli balaaa lingne
Good performance of simba
Mtangazaji anatishaaa anaongea mpaka Kiarabu safi sanaaaaaa
Charabu hajui nimemusikia
Iddi salum kidedea ulamaa uyo
Safi Sana Simba hoyeeeeeeeeeee
Jmni simba wakicheza ni Raha tupuuuu , naipenda hii timu yangu mpka naumwa kbisa dah
Yanga tutakaa sana...haya majamaa yashatutangulia..
Simba sports club big time Africa 👊
Simba🔥🔥🔥🔥🔥
Timu ya Vital'o nzuri sana, Ingecheza na yanga ndo mngewajua vzr
Shenz
Mpenja we kibokoooo hayo maneno duuuh 💪😀😀
Nakubali chama langu sapraiz yeyoooo.
Chezea Morrison I love simbaaa
Sipati picha siku watakapo cheza pamoja,Bwalyason, Miquison,Chamason na Morrison.🔥🔥🔥🔥
Hlf pale mbele ht asimame ZUCHU sawa tu.
Hio siku itakua big show
Simba kama simba
Chama kama chama ,the brain
Ila huyu tripple C Mungu anamuona.
Hahahaahahah
Haswaa
Simba nguvu Moja💪
This is simba brother
Jaman goli la chamaaa shikamoo marahaba simba raha jaman
Mmetukera tu kupiga campeni uwanjani hilo tu ndo mmerukwaza ila kila kitu fleshi
Aloina 2021 gonga like
Pasi upendo wa agape simba raha sana😂😂😂😂
Naipenda simb
2024... NAKUMBIKIAA ENZIII
Huyu Bwaliya!! Ni tatizo jingine Simba sc
Naipenda simba kufa kwang
Jamn hiii mechi naikumbuka sanaaa ilikua hatarii
Simba hatari
Sana wanatupa raha sana
Team BM3 tujuane ..
Simba SC very good
Hii simba ilikuwa mwana ukome😂😂🙌
Nice Simba fo every body
Simba nguvu moja
Simbaa hii iki tolewa kimataifa jmn...
Mungu asaidie tufike mbali
@@aminatanzanya7475 Amen
M
Mmh
Simbaa nomaa xanaaaa
Nani mwingine anagalia mechi hhi tarehe 27/7/2023
Simba ya msimu huu ni moto
simba simba simbaaaaaaaaaaaaa
Bwalyaaaaaa!! Yajayo yanafurahisha, uko tayari?
Ndio nipo tyr
Simba baba lao
Kama umeielewa Simba piga keleleee
Yaaaaaaaaa goood game
Ongera simba nguvu maja
AZAM TUNAWAOMBA MUIWEKE MECHI NZIMA UA-cam.
Sisi na wao liniii
18 mwezi wa 10
Vizur hii ndioo zana ya nguvu moja
Kama tim dhaifu nyie vyura mlipigwa ngapi na simba 4G
Daaaaaaaaahhhh Kama nawaona uto wanavyoteseka
Ukisikia waite waite ujue onyango kaliamsha dude 😆😆😆mpenja mungu akuweke miaka mia baba
Mambo vp
Ukiwasikia Marisson Miquioson ,chamason ,na Bwalyson kimbia uvunjike miguu ni hatari sana simba hawa kwenye kucheza pasi na chenga hizo sasa dah penda mno my timu
Kama kocha ameshaona kitu kati ya Bwalya,Morrison na Bocco dah sema mimi yanga ila hii simba Tamu wajuba
Asantee Kaka kwa kuiyelewa simbaa
Vizur kwa kusema ukwel
@@janethgood9213 . Me see
Sasa anatakiwa uamke
mo nakuomba baba simba ishike milele
Nimekubali
Nimerejea tena kumuangali bwaliya
Asante Sanaaa chama langu la SIMBA 🙏 kwetu soka kwao majungu 😂 😂
Mupira wa Burundi ume kwisha 1990 -1994 Burundi ilikuwa juu sana
Another level
Nikimuangalia Rally bwalya naona kabisa kuna kiungo mwingine ndani ya nchi hiyo hiyo anajua sana anaitwa OBISON CHISALA fundi sana
Happy vp wadau Simba txha xana eee
Huyu fraga Noma Mpaka Beki
😍😍😍
Pamoja mwamba
Nakumbali,mwamba
Kama aupendi simba jinyonge
Mpo vzr
Simba ninoma mamaee
Simba hiyoooooooooo
Noma san sisi haooooo simba yet
Nan mwngne anae angalia 7/01/2024
Lkn manyani Fc mkumbuke mmegongwa 4 je nyie ni wazuri au wabovu ?? Acheni unyani kuweni watu wenye uwelewa
Golikipa amebaki anaumia moyo tuu Baraka mpenja anamaneno hatr
Mngu atuangalie simba hii ilikua mottoooo
Simba 💯 💯 🔥🔥🔥
Simba safi
Tanzaniy 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️💘😍😘
Kwan mama ivyo
Huyu Fraga sjui kwao maisha ni magumu....yeye kla mechi anaon km anachez na Yanga! Hhhhhhhh!
😂😂😂😂😂
Jamani 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
anakata umeme tu 😄😄😄😄
Umemxahau alivyokukatia umem FA
Tukutane tena kwa ngao ya jamii
Simba nikiona itachukua Gor mahia players wote na sasa hawatakua na pinzani East Afrika
Gor is the best thats why we pick from the best
@@jacklinejames1050 thats true