This has been my best song for two months now,always emotional and in tears😢😢 while listening to this song. Mungu azidi kuwabariki zabron singers for this amazing song na azidi kuwatia nguvu na mzidi kuwa baraka kwa watu through your songs
Kwanini sasaumesimama mbali nami bwanaaa mda mwingimmi najiisi mi mpweke jiziilishe mii nikuone nakuitaji bwaana nibariki sasa ukijibuu maombiii yanguuuu
Wow 👉👉 ntasubiri Na kusubiri sitachoka Kwa maana nishasemezana na ww Kwa maombi 🙏🙏 nashukuru hata Kwa majaribu Kwa maana unasababu ya mm kuishi Maisha kama Haya 🙏🙏,,, you guys you are my best ❤️ blessed always 🙏🙏
Kumuelewa Mungu wakati unapitia changamoto ni jambo gumu sana, ila Mungu wetu habadiliki kutokana na matukio, yeye ni yule yule jana, leo na hata milele. Yeye ni mwema tu siku zote, changamoto inabaki kwetu kuamini hekima Zake. Mungu awabariki sana Zabron Singers.
Naomba nikushukuru kwa niaba ya Zabron Singers,yaani ninauona upendo wa Mungu ndani ya moyo wako,ujue wewe ni mmoja kati ya waimbaji wazuri na ninazielewa sana kazi zako. Ni mara chache muimbaji mwenye hatua kama yako kufuatilia kazi za wengine na kuwatia moyo ktk kazi zao Nimejifunza kitu toka kwako Mungu aendelee kukuinua na kukubariki zaidi. Binafs ninabarikiwa na nyimbo zako pia#Vashoncee
Nashukuru kwa roho aliyemzungumzia mtunzi na mwandishi wa wimbo huu...wimbo wenyewe wazungumza na roho yangu moja kwa moja. Na sio kwa nyakati fulani, lakini kila wakati.
Huu uwimbo mzuri uli kua ume jificha wapii ndio Nina uwona leo September 14th 2024?🎉hongera sana kwa ujimbe mzuri na sauti nzurii "nimesha semezana na wewe kwa maombii"safi sana wacha pia mimi nisubiri bila kuchoka
Nimeshasemezana nawe kwa maombi.Nitasubiri nakusubiri sitachoka.Ujibu,usipojibu...nitaelewa maanake wajua, Mungu,mbona niishi maisha kama haya.God bless the singers
Zaburi 37:29-34 nitasubiri mungu, hallelujah hii wimbo umeingiana vizuri na Hali yangu umenitia moyo na kunikumbusha niwe mwingi wa shukrani kwa mapenzi ya MOLA..Bwana awajaze tuzidi kumtumikia kwa nyimbo AMEN & AMEN
I wish everyone would listen to this song. I'm always encouraged. The first time I watched this song I just shed tears. Glory to Jesus Christ for such wonderful singers
Asante Mungu kwa yote liwe zuri au baya kwa Mungu yote ni sawa Ni maumivu makali sana bila Mungu dah ni ngumu kupokea au kukubali Mungu asiwaache azidi kuwa faraja 😢😢😢
It's true God's time is the best...no matter what I will keep on waiting for the right time 🎉🎉🎉 nice song my special choir.... continue to be strong and praise him through your lovely songs😢❤
Asante MUNGU kwa yote uliyoruhusu katika maisha yangu! Kwakweli Unasababu ya sisi wanadamu wote kuishi maisha uliyoamua sisi tuyaishi!! Mbarikiwe sana Zabron singers kwa mbaraka huu mzuri mfike mbali. Amina
Huu wimbo unanitia moyo! Nilalapo na niamkapo!! Lazima niusikize na niuimbe! Mungu ndiye tu wa kuambia shida zetu kwa maombi. Mungu na atuzidishie imani tosha kiasi kwamba tuseme na tuamini kweli asipojibu,ni kwa sababu anajua linalotufaa kwa wakati fulani. It's not easy to say "God I will patiently wait upon you Lord!! "
Nimeona baadhi ya waimbaji walishindwa kujizuia kulia. Wimbo huu unanigusa sana na huniliza kila ninapousikiliza. JP nakuombea Mungu azidi kukubariki ili ukawabariki wengine Nitasubiri na kusubiri sitachoka.
Eemwenyez mungu nakuomba ktk huu wimbo unipe hitaj la moyo wangu nimechoka maisha y kudhalilika na kutokuthaminiwa na mtu mmoja najua atakuwa sio chaguo langu lkn moyo hautak kutoka kwake japo bado ananidhalilisha lkn bado ntasubir baba naamin wakat wako n wakati sahihi ntapata wa kufanana na mm na ntasahau machungu yote nikiyopita " nanaomba unisamehe kwa dhambi zangu mm binadam sijakamilika😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏
Wimbo umenibariki sana. Angalizo moja tu kwa aliyeandika lyrics, ninadhani "Majaribu" yanayomaanishwa kwenye wimbo huu ni "TRIALS" na si "temptations"'. Mungu awabariki!
Huu wimbo ulitufariji sana wakati wa kumuuguza mama yetu Kwakweli huu wimbo ni alama maishani mwetu.Mama alilala lakini kwa tumaini kubwa sana kupitia wimbo huu
HALLELUIYA BLESSINGS....ZABLON SINGERS MUNGU WA ISRAELI AWAINUWE NAKUWABARIKI ZAIDI MUNGU UNA SABABU MIMI KUISHI MAISHA KAMA HAYA USIPOJIBU AUKIJIBU BADO WEWE NI MUNGU KWANGU MILELE
a beautfull song to relief and comfort when somebody undergoes challences that can not be over spoken,He/She also loose hope and happyness in life but no one to tell the problem ooh but their is only one comforter JESUS ajibu asi jibu tunaelewa ajabo kawia atatufidhilisha shida zetu............ZABRON SINGERS thanks for the song am relieved alot
2024 mwezi wa kumi mko wapi jamani 👋👋 much love from Kenya ❤️❤️🙏❤️🙏
Mungu ni mwema kwangu juu ya uhai na Tena sabato ya mwezi huu wa kumi nilibatizwa...nitatembea na huyu Mungu milele na ata milele🙏🙏🙏
@@Jesca-b2j Amen and amen my sister 🙏🙏
nimeshasemezana na wewe kwa maombi🙏🙏🙏🙏🙏🙏
And God listened and gave me a job ❤
Hee wimbo wa Kugusa namna hii imekuaje nausikia na kuuona leo 2023 April 21?I’m Blessed.Halleluyah
kiukweli sikuwahi kusikia kabla ila nimesikia nimeponywa nimebarikiwa sana na nimevuka mahali,..Mungu awabariki sana kwa kaz nzuri
This has been my best song for two months now,always emotional and in tears😢😢 while listening to this song.
Mungu azidi kuwabariki zabron singers for this amazing song na azidi kuwatia nguvu na mzidi kuwa baraka kwa watu through your songs
Kwanini sasaumesimama mbali nami bwanaaa mda mwingimmi najiisi mi mpweke jiziilishe mii nikuone nakuitaji bwaana nibariki sasa ukijibuu maombiii yanguuuu
Wow 👉👉 ntasubiri Na kusubiri sitachoka Kwa maana nishasemezana na ww Kwa maombi 🙏🙏 nashukuru hata Kwa majaribu Kwa maana unasababu ya mm kuishi Maisha kama Haya 🙏🙏,,, you guys you are my best ❤️ blessed always 🙏🙏
Kumuelewa Mungu wakati unapitia changamoto ni jambo gumu sana, ila Mungu wetu habadiliki kutokana na matukio, yeye ni yule yule jana, leo na hata milele. Yeye ni mwema tu siku zote, changamoto inabaki kwetu kuamini hekima Zake. Mungu awabariki sana Zabron Singers.
Naomba nikushukuru kwa niaba ya Zabron Singers,yaani ninauona upendo wa Mungu ndani ya moyo wako,ujue wewe ni mmoja kati ya waimbaji wazuri na ninazielewa sana kazi zako.
Ni mara chache muimbaji mwenye hatua kama yako kufuatilia kazi za wengine na kuwatia moyo ktk kazi zao
Nimejifunza kitu toka kwako
Mungu aendelee kukuinua na kukubariki zaidi.
Binafs ninabarikiwa na nyimbo zako pia#Vashoncee
@@japhetzabron1881 jamani wapi niwapate nami nijiunge nanyi, 0767178981 muda wowote nitafika
God bless you keep up brothers and sisters for that remission because we are living in difficulties time and keep preaching since we are end times
Ameni asante sana💔💟
amina mubarikiwe sana zabroni kwawimbo muzuri umenitowa machozi wimbohuu nasubiri mubarikiwe sana tena sana
MUNGU anayo sababu mimi kuishi maisha haya ntasubir tena ntakusubiri utajibu BWANA YESU ❤
MUNGU awapeni Moyo mkuu Wana Zabron singers Katika kipind hiki kigumu...... Faraja ya kweli awape Roho Mtakatifu 😢
Mungu wangu naomba uwatie moyo watoto wako wanapopitia wakati mgumu😭😭😭
Nashukuru kwa roho aliyemzungumzia mtunzi na mwandishi wa wimbo huu...wimbo wenyewe wazungumza na roho yangu moja kwa moja.
Na sio kwa nyakati fulani, lakini kila wakati.
i am leaving this comment to remiind me the tears and what i have told my GOD
Here with you
Amen 🙏
Huu uwimbo mzuri uli kua ume jificha wapii ndio Nina uwona leo September 14th 2024?🎉hongera sana kwa ujimbe mzuri na sauti nzurii "nimesha semezana na wewe kwa maombii"safi sana wacha pia mimi nisubiri bila kuchoka
Pamoja pia mimi nauona leo😢😢
Upo Kam mim namim ndo nauona
Hata mi ndio naipata,,,,and at the perfect time🙏🙏I thank God for directing me here...
Wimbo juu hunipa fataja kila wakati maana nimepitia mengi maishani mwangu....😢
Katika wimbo Mungu alinitetea nao ni huuu siwezi sahauuuu ....Mungu yupoo aiseee
Nabarikiwa sana kila nisikiapo huu wimbo mungu awabalik sana zabron single lakin pia mungu awatie nguv kwa wakat huu polen sanaa
Kuna wati ni apitia magumu Hadi nijiuliza mungu ukowapi kwani umenisahau😢😢😢😢😢
Hii nyimbo naipenda Bure nikikubuka mm alipoanga nikiwa mtoto mdongo ,inanifudisha kitu
Nimeshasemezana nawe kwa maombi.Nitasubiri nakusubiri sitachoka.Ujibu,usipojibu...nitaelewa maanake wajua, Mungu,mbona niishi maisha kama haya.God bless the singers
Ewe Mungu wetu wape faraja hawa wandugu na familia ya ndugu wetu marehemu MARCO during this time of sorrow and grief. 😭😭😭😭🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸right here
Mungu wewe una sababu ya mimi kuishi maisha yangu hata nijapopita ktk magumu najua wewe upo hautaniacha nikuite madamu wewe upo unapatikana Amina
Mung wewe una sababu ya Mimi Kuishi maisha yangu hata nijapopita ktk magumu najua wewe
Wimbo huu nimelia Sana nimeusikia nikiwa na magumu moyoni nimejikuta ninalia na kufarijika.
Mungu awajali azid kutia nguvu sikuzote familia ya zabllon
Kwa hakika, ujumbe ni mzuri na uimbaji unaogusa mioyo. Mungu awabariki katika kazi ya Kristo
Zaburi 37:29-34 nitasubiri mungu, hallelujah hii wimbo umeingiana vizuri na Hali yangu umenitia moyo na kunikumbusha niwe mwingi wa shukrani kwa mapenzi ya MOLA..Bwana awajaze tuzidi kumtumikia kwa nyimbo AMEN & AMEN
Amen
Amen
I wish everyone would listen to this song. I'm always encouraged. The first time I watched this song I just shed tears. Glory to Jesus Christ for such wonderful singers
This song gives me hope to keep moving even when seems not okay. There is a God worth waiting for. Much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tu y55hhj55jvhjjllllkbbbjkkkkkjjjjjj
n
ikweli Mungu ana sababuya sisi kuishi Maisha haya Ee,,,Yesu tufute machozi ..nmebarikiwa jamani Zabron singers mbarikiwe.
mbarikiwe sana nawapenda kwa uimbajj wenu
Hakuna aijuaye kesho yake Mungu tusaidie tuwe na mwsho mwema 🙏😢
Asante Mungu kwa yote liwe zuri au baya kwa Mungu yote ni sawa
Ni maumivu makali sana bila Mungu dah ni ngumu kupokea au kukubali
Mungu asiwaache azidi kuwa faraja 😢😢😢
Zabron singers wana masharti magumu, hakuna kusuka nywele
Nitasubiri kwa sababu nimesemezana nawe kwa maombi bwana wangu na sitachoka🙏
It's true God's time is the best...no matter what I will keep on waiting for the right time 🎉🎉🎉 nice song my special choir.... continue to be strong and praise him through your lovely songs😢❤
Huu wimbo umenitia nguvu kabsa Mungu awabariki Sana watumishi nimebarikiwa
Amina
Nawapenda sana Zabron,wimbo huu ndo unaomaloza MB zangu, nabarikiwa mno mno Mjngu awatunze muimarishwe zaidi katuka utumishi wenu
I listen to this song 3 times each day. Be blessed Zabron Singers.
am blessed hata kama tunapitia magumu tusikose tumaini
Mingu bariki kwaya hii...huu wimbo unagusa maisha tena unaleta faraja kujuwa kusubiri majibu ya maombi
Winbo unanguvu sana,wimbo wa maombi na shukrani,,ataasipojibu nitaelewana 🙏🙏🙏
Inasikitisha wapendwa lkn tujipeni moyo mungu awe mfariji mwenu😢😢😢😢😢
Hakika Mungu aendelee kuwatia nguvu katika kipindi hiki kigumu,,mbele yeye nyuma yake sisi.R.I.P our lovely
Hakika huu wimbo umeniguza moyo wangu mpaka nimetoa machozi,Amen and Amen
Asante MUNGU kwa yote uliyoruhusu katika maisha yangu! Kwakweli Unasababu ya sisi wanadamu wote kuishi maisha uliyoamua sisi tuyaishi!! Mbarikiwe sana Zabron singers kwa mbaraka huu mzuri mfike mbali. Amina
amen
Kwa kweli hilo ulilosema, na Mimi ndilo nililojifunza. Ubarikiwe KWA meseji nzuri.
"Nimesha semezana nawe kwa maombi"
Very powerful song,,,God bless you all.
My All time Favorite Song from Zabron Singers 🙏🙏🙏🙏 Nawapenda saaana na Mungu azidi kuwatunza
00
Wimbo Umenigusa Sana sana Mungu awabariki sana nimewapenda sana Toka Nairobi
Amina
hawa ni dhehebu gani aisee nimebarikiwa Amina Amina Amina.
ni wasabato.barikiwa
nashukuruni sana
Amina mungu awabariki
Mungu awabariki sana katika kazi nzuri ya kueneza injili kwa njia ya nyimbo
Huu wimbo unanitia moyo! Nilalapo na niamkapo!! Lazima niusikize na niuimbe! Mungu ndiye tu wa kuambia shida zetu kwa maombi. Mungu na atuzidishie imani tosha kiasi kwamba tuseme na tuamini kweli asipojibu,ni kwa sababu anajua linalotufaa kwa wakati fulani.
It's not easy to say "God I will patiently wait upon you Lord!! "
MUNGU una sababu nami katika maisha haya usiponijibu nitaelewa Ahsante MUNGU. na endelea kuwapigania hawa watumishi wako
Nimeona baadhi ya waimbaji walishindwa kujizuia kulia. Wimbo huu unanigusa sana na huniliza kila ninapousikiliza. JP nakuombea Mungu azidi kukubariki ili ukawabariki wengine Nitasubiri na kusubiri sitachoka.
The song keep.on coming to my minds tonight just to know it was talking to me about the death of my auntie...its well God rest in peace Njeri
Nashukuru hata Kwa majaribu....MUNGU una sababu Mimi kuishi maisha kma haya. Nafarijika sana kwa wimbo huu na hakika MUNGU anisaidie nisikate tamaa
Kila kitu kinachotokea katika maisha yetu kina sababu mbele za Mungu
Eemwenyez mungu nakuomba ktk huu wimbo unipe hitaj la moyo wangu nimechoka maisha y kudhalilika na kutokuthaminiwa na mtu mmoja najua atakuwa sio chaguo langu lkn moyo hautak kutoka kwake japo bado ananidhalilisha lkn bado ntasubir baba naamin wakat wako n wakati sahihi ntapata wa kufanana na mm na ntasahau machungu yote nikiyopita " nanaomba unisamehe kwa dhambi zangu mm binadam sijakamilika😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏
Barikiwa sn ni wimbo mzuri sn unarudisha tumaini na kutumia moyo sn
I feel blessed, Utunzi na uimbaji ni wa kipekee sana 🙏🙏 Thank You Zabron singers for this Special Gift 🎁
Ukijibu Mungu nashukuru
Usipojibu nitaelewa Mungu
Daima niko nanyi, nafrahia kubarikiwa na nyimbo zenu nzuri nazinanibariki kila siku Mungu awabariki siku zote.
amina ubarkiwe pia
@@ZabronSingers amina.
MUNGU ni mwema kwa nyakati zote na tunapaswa kumwamini iwe wakati wa raha au shida MUNGU atabaki kuwa MUNGU tu,,ubarikiwe sana zabron singers
Polen Jmn wapendwa Mungu awatie nguvu Jmn siyo rahisi
Mmbarikiwe sana zablon singers ..Mungu hatawaacha mtumikien kwa bidii...tunawapenda sana
Come through for those who are through difficult times Lord. Thanks for comforting words.
I love this song much, despite the situation God will always be there for us
Hizi nyimbo zenu nyingi zinagusa maisha yangu hakika nitasubiri sintachoka ajibu asijibu nitaelewa maana yy anajua sababu
Nawapenda Sana Wana zablon singers.na wala msife moyo mungu ana sababu kwa yote letu ni kumshukuru kwa yote
Wow 👌kwel Mungu Ana sababu mm kuishi maisha kama haya nice song b blessed Servants of the most high God 🙌
This small madam is going far kumtumikia mungu kuna manufaa sana mungu ampeleke viwango vya juu
M.Mungu Awe Nanyi Siku zote Wimbo Mzuri Sanaa nimefarijika
Mbarikiwe Sana Wapendwa kwa Huduma Yenu... Nimebarikiwa Mno
Hakika naZuUnika sana sana yaan kipindi napitia makalibu nataman nitoweke dunian hapa ila huu wimbo unanitia nguvu
Dah Mungu azidi kuwapigania kazi nzur Sana Japheth sauti yako nzur Sana
Sante
Mungu ni mwaminifu
Fireeeee
❤❤@@japhetzabron1881
Mungu azidi kuwabariki na kuwainua,hakika nawapenda sana, Wimbo mzuri umenifariji, Be Blessed Friendly.
Ameni
Tuko pamoja sana Mama Magita
Tukupenda pia
Amen
Barikiweni sana kwa wimbo unaotia uvumilivu katika majaribu
Mbarikiwe vijana ktk bwana,huu wimbo unanifanya niwafatiliee wasabatoo
Nasubiri nitakusubiri sitachoka,nimeshasemezana nawe kwa maombi,ukijibu usipojibu nitaelewa😢😢😢
amen
Wimbo umenibariki sana. Angalizo moja tu kwa aliyeandika lyrics, ninadhani "Majaribu" yanayomaanishwa kwenye wimbo huu ni "TRIALS" na si "temptations"'. Mungu awabariki!
This is a very touching song especially times like this... God give you strength my people. Love you big. ❤
MUNGU wambinguni akawe kiongozi wenu wapenwa😢🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu hachunguziki hatakidogo
Mungu awabariki muendelee kuimba nyimbo za kutubariki na kutupea matumaini.
Mungu awabariki sana huwa mnanibariki sana kwa nyimbo zenu natamani cku moja tuonane pale angani tukaimbe wimbo Musa na Mwanakondoo
15/9/2024 kwa mara ya kwanza nimeusikiliza wimbo.. MUNGU asante kwa neema yako kwangu
😢😢mbona siwezi download 😢 take heart
Inatakiwa hekima ya mbingu ndipo umwelewe Mungu,barikiweni
Ujumbe mzuri saaaaaana, napousikiliza wimbo huu nafarijika sn.
Mungu awe nasi sote.... jamani Mungu awabariki sana na pia tumwachie yote yeye ni mwingi wa rehema na utukufu
Mungu ampee mke wa marehemu nguvu
wacha mungu aitwe mungu wakati wa shinda na wakati wa raha abaki kuwa mungu asante kwa wimbo mzuri sana
Nyimbo zenu safi sana ahsante Kwa sauti nzuri yesu awe nanyi milele na milele Amina
“Usipo jibu au ujibu ntaelewa” Mungu una sababu..
Amina,hakika IPO sababu kuishi maisha haya.mbarikiwe kwa wimbo mzuri
Huu wimbo ulitufariji sana wakati wa kumuuguza mama yetu
Kwakweli huu wimbo ni alama maishani mwetu.Mama alilala lakini kwa tumaini kubwa sana kupitia wimbo huu
Nawapenda Sana zebron choir Mungu awabaliki kutoka RWANDA
It's sad but jipeni nguvu wana zablon singers mungu pekee awape faraja wakati huu mgumu poleni sana
daaah wimbo ni mzuri sana Mungu azidi kukubariki na kukupa afya njema
HALLELUIYA BLESSINGS....ZABLON SINGERS MUNGU WA ISRAELI AWAINUWE NAKUWABARIKI ZAIDI MUNGU UNA SABABU MIMI KUISHI MAISHA KAMA HAYA USIPOJIBU AUKIJIBU BADO WEWE NI MUNGU KWANGU MILELE
Today of days🥺😭❤
I needed to hear this.😭😭
Blessed be the name of the Lord
Amina mbarikiwe sana kwa ujumbe wa kinabii Mungu aendelee kuwainua 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
a beautfull song to relief and comfort when somebody undergoes challences that can not be over spoken,He/She also loose hope and happyness in life but no one to tell the problem ooh but their is only one comforter JESUS ajibu asi jibu tunaelewa ajabo kawia atatufidhilisha shida zetu............ZABRON SINGERS thanks for the song am relieved alot
Mungu ajuwa yote Ila IKO mbali sana
Kipaji unacho Mungu aendelee kukuongoza.
Amina