Wimbo mzuri sana na ujumbe mzuri. ❤❤❤. Asante kaka Ray kwa kutunga wimbo huu. Ubarikiwe sana tena sana . Na wanakwaya mmeutendea haki. Mbarikiwe sana. Kaka Ray, Mungu akutie nguvu ya kuendelea kutuinjilisha na nyimbo nzuri
Jamani jamani jamani, Wimbo huu eeeh umeimbwa vizuri mno. Hata malaika na watakatifu wote wamejumuika nanyi katika Wimbo huu kumwimbia Bwana Wetu mfufuka
i can't find words to express my feelings,just waooooooh!!!!waoooooh!!!!waooooooh!!!!!Ray Ufunguo kama kawaida,the Blessed Boy ever. be blessed all of you singers.🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Ray ufunguo man..bro you're talented..Asante kwa kipaji chako Cha utunzaji na uimbaji na upigaji wa keyboard ⌨️🎹..ubarikiwe kaka mkuu milele na milele Amina..Kenya twakuinamia
Kazi nzur sana... Hongeren sana👏👏👏👏
I wish one day to be in Tanzania nione rajo production
Hongereni kwa ujumbe mzuri wa Pasaka
Ngome Imara na kwaya Imara pia hongereni sana marafiki zangu.... Mungu awabariki sana katika utume wenu
Ameshinda mauti tuimbe halleluya
Hongereni sana wana Kijenge kwa uinjilishaji imara. "Yesu ngome Imara" Alleluya
Sauti ya keanza mko vizuri
Ni furaha tele kwa ushindi. Wimbo mzuri. Mavazi maridadi kabisa
Bwana YESU apewe sifa zoooote.
Hongeren sanaa sanaa 🎉🎉🎉🎉respect sanaa Mungu awaongoze zaidi katika uimbaji,wimbo piaa mzuri mnoo 💕❤💕💕🙏🙏🙏
Asanteni kwa suport yenu Mungu awabariki sanaaaaaa na bado kuna mambo mazuri yako njiani kuja so please stay tuned
Ayeyeyeyeee...🎉🎉🎉🎉🎉 nawapenda sana ❤ Saudi nzuri sana 👍👍🙏🙏🙏 Mungu aendelee kuwapa hiyo kibali waimbaji
hongereni sana KMJ KIJENGE mko vizuri........
Hongerani sana kwa wimbo mzuri nina Imani na kazi zenu Mungu awatuze
Hongereni sana kz nzuri 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Tunazidi kukombolewa na nyimbo zenu tamu Sana, indeed Jesus is Risen, kazi nzuri RajoPro,Mungu Awazidishie Baraka nyingi kwa kipaji chenu👏👏👏👏
Asante karibu Sana Kwa nyimbo Bora na nzuri
Wimbo mzuri sana na ujumbe mzuri. ❤❤❤. Asante kaka Ray kwa kutunga wimbo huu. Ubarikiwe sana tena sana . Na wanakwaya mmeutendea haki. Mbarikiwe sana. Kaka Ray, Mungu akutie nguvu ya kuendelea kutuinjilisha na nyimbo nzuri
Jamani jamani jamani, Wimbo huu eeeh umeimbwa vizuri mno. Hata malaika na watakatifu wote wamejumuika nanyi katika Wimbo huu kumwimbia Bwana Wetu mfufuka
Hongereni Sanaa 💯💯Wimbo mzuri
Àhsanten MUNGU awabariki ❤❤❤
i can't find words to express my feelings,just waooooooh!!!!waoooooh!!!!waooooooh!!!!!Ray Ufunguo kama kawaida,the Blessed Boy ever.
be blessed all of you singers.🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Ee yesu uwe ngome imara katika maisha yangu🤲🏼🤲🏼
Jamani kijenge mnanikosaga mbaya nakuona mdogo angu Debora hongera
Nyimbo nzuri. Hongereni
Wonderful . Great job. You have made my Easter. Thank you🎉❤
Hakika mmeimba vizuri. Yesu ni ngome imara
Good job Ray congratulation
Nice song, mmeshangamka san
Wooow nyimbo nzuri alafu mmechangamka kiukweli keep it up
Mbarikiwa sana, Yesu n Ngome Imara tumekombolewa tuimbe haleluya; Amina
Oooh , what a wonderful show ! !
St Joseph Mufanyakazi choir , thank you so much for this lovely performance.
May God bless your work.
Nimependa ujumbe wenu kaz nzur
Hakika yesu ni ngome imara, hongereni Kwa utume
Kweli kafufuka hallelujah hyo binti video ikianza kajua kupendezesha nyimbo na mmeimba vzur
Aloooo hakika nyimbo tamu sana hii. Hongereni sana. Nimeshare na kusubscribe kila kona ninayojua big up sana
Mungu awabariki Yesu ni ngome imara,,,,aleluya
Hakika nyimbo iko vizuri sichoki kuisikiliza naiona familia ya mlacha pia nimefurahi kuwaona mko vizuri 🥰😍
Wimbo mzuri sanaaa! Na wana kwaya wamependeza na mmecheza vizuri ! 👏🏽👏🏽
Mungu awabariki sana nyimbo safi kabisa Yesu ni mhome imara
Hogeren Sana kwaya ya mtakatifu joosefu mungu awabariki muendele kutoa njimbo nzur
Wimbo umetungwa ukatungika. Sauti nyororo
Me dancing this song in class since Monday😍😍. My week's mood. Thank you so much! God bless you and keep you. Mob love from Germany!
Ongereni kwa staili yenu nzuri na wimbo wenu ni mzuri sana mbarikiwe sana
Ray u never disappoint... Good job
Nyimbo Nzuri 💯💯
nice sana
Kazi Nzuri wapendwa
Solo sauti mungu alikupa akunemeshe
Wimbo mzuri San nawapongeza sana Wana kwaya wa kanisa letu
Woow ❤️ nice song hongera sana
Waaaah Wimbo mzuri sana❤🎉
Hongereni sana, may God bless you always as your serving Him through music.
Ngome imara kweli kweli kafufuka aleluya
Mmependeza Sana dada anaetokezea video ikianza kapendezesha. Zaidi na nyimbo iko vzuri Amina
Waooooo wimbo mzuri sana Mungu awatunze mzidi kutuinjilisha🙏🙏🙏
,👍👍saf san ray ufunguo nakukubali sana mwamba napenda kazi zako brooo
Lit ✨✨ happy Easter 🙏
Nyimbo nzuri na mmependeza
smarter
Thanks Jesus, you have blessed my heart. This is reall music enjoying every beat every word.
Wimbo mtamu huu
I love that song
Wow the song is splendid. And blessing …Hongera sana Ray F n Kwaya nzima
Mungu awabariki
This song is powerful
Amina
Mbalikiwe xana waimbaj nimevutiwa xana uyo wimbo ❤
Moto kama pasi
Amen! Nimebarikiwa sana wimbo mzuri umetulia Mungu awabarikiwa kwa kazi njema
Yeye ni Mwamba na Ngome Imara kweli kweli!! Alleluia.❤😂🎉
Mubarikiwe sana
What a masterpiece.... With lots of love. From Kenya
Ray ufunguo man..bro you're talented..Asante kwa kipaji chako Cha utunzaji na uimbaji na upigaji wa keyboard ⌨️🎹..ubarikiwe kaka mkuu milele na milele Amina..Kenya twakuinamia
Utunzi mtamu sana, Mungu awatunze
Nice song
Nice one
Hakika yesu ni ngome imara
Wimbo wangu pendwa huu,hongera kwako mtuzi na waimbaji kiujumla, hauchoki kuusikiliza
Work well done,
Congratrats
Queen 👑 chalz
Asanteni sana....wimbo huu unanibariki tena zaidi❤💯
Mmenibariki sana❤
Ahsanteni sana
Very beautiful song. Sauti nzuri na tamu sana hongera hongera
Hongereni sana kwa kazi nzuri. Mbarikiwe!
Hongera sana kaka
Like that song when I heard it it's like am in heaven kweli yesu ni ngome imara
nice song
unanibariki sana
Wanderful voices, keep up
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
💥💥💥
Nota zapatikana wapi?
Amen🎉🎉🎉❤❤
Good song nahitaji copy yake
❤️♥️♥️♥️❤️♥️♥️♥️
🙏🙏🙏🙏
😅😅😅😅😅😅😅
Vp
Amina
Nice song