Ray yaani wewe ni very rare species, one of the endangered species of roman catholic musical geniuses,,, uko vizuri sana kwenye kinanda na kwa utunzi pia, audio iko vizuri sana na video pia, MUNGU wa mbinguni akulinde na kukubariki milele
Jamani jamani😋 Hongereni Sana kwaya ya Mt. Yosefu Mfanyakazi MUNGU awabariki Sana kwa kazi nzuri! Kuna mama mmoja jamani huwa ananibariki Sana kwenye kwaya yenu 🥰
This song Blesses my heart in a very big way. I pray that God continue to inspire and use you to spread His Gospel to the world. Yosefu Mtakatifu Utuombee Kwa Mungu.
Wimbo mtamu hakika narudiarudia kuusikiliza....
Mbarikiwe Sana kwa sauti zenu nzuri. Mungu awape nguvu ya kusambaza upendo wake kwetu binadamu
Huu wimbo wabariki moyo wangu Sana. Akhsante Sana Kwa nyimbo zenu nzuri. Mtakatifu Yosefu Utuombee Kwa Mola.
Hongera Sana, sauti zimetulia,👌 Roho Mtakatifu aendelee kufanya kazi katika utunzi wenu..
Hakika huu utunzi umetulia hii ndiyo Romani Catholic Mungu akubariki kanisa letu well done Kaya
Hongereni sana Kwaya ya Mtakatifu Yosefu Mfanyakazi. Wimbo unatafakarisha
very Good chama langu jipya done done ingawa mm simo
Ray yaani wewe ni very rare species, one of the endangered species of roman catholic musical geniuses,,, uko vizuri sana kwenye kinanda na kwa utunzi pia, audio iko vizuri sana na video pia, MUNGU wa mbinguni akulinde na kukubariki milele
Hongeren sana Kwaya ya Mt. Joseph mfanyakazi.. kazi nzur sana 👏👏👏
Rajo Production well done 👌
Hongereni sana kwa kazi nzuri, Mungu awe pamoja nanyi.
Kazi imeonekana na imependeza mnoo. Mungu awabariki sana
Naupenda sana huu wimbo ,na Hongereni Waimbaji
Mpiga kinanda, kwaya master pamoja na wengine sauti zimetulia, mmeimba vzr
Hongereni Jamani
Nice looking also
Kwaya ya Mt.joseph kijenge Arusha hakika mambo yamekaa vz sana
Hongereni sana wimbo mzur
Tuwape maua Yao.
Hello my dear brother and sister, nice work and may God continue be with you people, it's me Kelvin Lawrence from mama Lula
Mungu azidi kuwabariki zaidi.... Yosef mfanyakazi ni somo na msimamizi wa kwaya yangu pia nimeupenda sana wimbo huu..
Hongereni Sana mungu azidi kuwabariki 🙏
Kazi nzuri
Jamani jamani😋
Hongereni Sana kwaya ya Mt. Yosefu Mfanyakazi MUNGU awabariki Sana kwa kazi nzuri!
Kuna mama mmoja jamani huwa ananibariki Sana kwenye kwaya yenu 🥰
My patron saint at my SCC . We're celebrating him today. St Joseph pray for us🙏
Huu ni wimbo uko na baraka tele Asanteni 😊
Wimbo mtamu jamani naomba nota
I nice song@Ray the skills and talent are on another level kudoz!
Naomba mziki wake kindly,,,
Good work!👏👏👏👏
Rajo productions never disappoints💁♀️.
Thank you 🙌
Nice song congratulations.
wimbo mzuri sana. mbarikiwe sana
Hongereni Sana wana Yosefu..... KMJ kijenge.....
Asanteee
Kazi nzuri hongereni sana
Hakika wimbo mtamuuuu, hongereni nyote
Asante sana
Spiritual choir very attractive in my soul if Am sick always.good.
Kazi poa sana
Wawoooo hongereni mnooo watumishi......Mungu awabariki sana ❤❤❤❤❤❤❤
Wimbo mzuri sana...
Wow! Asanteni kwa wimbo huu mzuri wa Somo wenu. Wimbo huu unatusaidia sote kusali vizuri kwa huu mwaka wa Mt. Yosefu.
Pongez kwa kazi nzuri hakika ni mwaka wa Yosefu
asante sana
Ndugu Ray_You are a rare musical genius.I thank God for you.Stay humble and work for God
Hongereni kwa kazi nzuri nimebarikiwa mno....Mungu awabariki KMJ Kijenge
Aminaaa
Hongera sana@Ray
This is great piece.
Kindly naomba mziki wake.
Hongereni sana wapendwa
Hongereni sana na Mungu awabariki.
Amina nawe pia
Mungu azidi kuibariki parokia yetu pendwa kwa utume mwema
Wimbo.umetulia.vzr.hongera sana
Heko kwenu
Jamani hongereni sana kwa wimbo mzuri sana!!
muziki mzuri sana,, Mt. Yoseph utuombee kwa Mungu🙏
Kazi safi 🔥🔥👍
Asantee
Kazi nzuri sana
Kazi Nzurii Sana Familia ya Kristo 👏🔥🔥
Hongera wimbo mzuriii…mbarikiwe sana🙏🙏🙏🙏🙏
I love this song🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kazi nzuri Sana Wana wa MUNGU
Sala na kazi iendelee, maombi tosha kabisa. hongera
Nalia ninapoimba wimbo huu ... I feel the message
Wimbo wenye kuleta furaha, matumaini na ujasiri wa kiimani
Hongereni sana
Padre comrade nakuona ...gatuna
Jamani wimbo umenigusa sana❤❤🙏
Hongera sana@rajo productions
Wow wow💓💓 God bless you
Kazi njema Sana St. Joseph. Pongezi pia kwa Ray ufunguo kwa utunzi bora sana
Asante ...
@@kwayayamt.josephmfanyakazi2842 Beautifully sung.
This song Blesses my heart in a very big way. I pray that God continue to inspire and use you to spread His Gospel to the world. Yosefu Mtakatifu Utuombee Kwa Mungu.
Hii kwaya naipenda sana jamani sijui nisemeje , Mungu azidi kuwaongoza najua hii CD iliuzwa sana kwa wimbo huu
aki ya nani hii imenibeba uongo baya .... waaaat tamu sanaaaaaa
RAJO hujawah kosea! Be blessed!
kabisaa
Mmependeza jaman pia 😁❤️ na wimbo uko poa .Mungu awabariki wote kwa kazi yenu nzuri😊❤️
Asante mno
So beautiful, i love the interloods
Wonderful
Rey so genius
Well done KMJ Kijenge....Kazi nzuri Rajo Productions👌
Asante sana
Asanteeeee kijenge nilikuwa Pao sana nikiwa apo kanisan mwaka 2022
Am blessed sauti tamu
Hongereni sana kwa wimbo mzuri mungu awabariki sana kwaya ya mt. Joseph kijenge🙏🙏🙏
Wimbo mtamu sana, God bless you all
my brother Constantine God bless u with ur team❤️
Kijenge petro and paulo🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Hao wakaka wanaimba vizuri mno
Napenda hii wimbo sana;
Kwaya nzuri uimbaji umepngwa vizuri.
Pray for us ooh st. Joseph ❤❤❤
Safiii
Asante
Sauti kweli zimetulia sana mungu awabariki ktk huduma yao hiyo
Kama kawaida kazi swafii
Asante Sana
❤❤❤Saafi saana
Wimbo mzuri sana! Sauti zimetuliaa 👏🏼👏🏼👏🏼
amina
Agustino yupo kwenye hiyo kwaya
Hongereni sanaa wanakijenge.....kmj
Kongole ziwafikie wanakwaya wote kwa utume mungu awabariki azidi kuwajaza roho mtakatifu
What a beautiful song....... big up kmj we will support you. ....
Sure it's a nice song and prayers St. Joseph pray for us
Mt.Yosefu Utuombee 🙏
I love this song
Mungu akubariki na kazi zako👏
Ujumbe mwema❤❤❤
Wimbo mtamu Sana ..
St. Joseph, pray for us
Please someone to translate for this song in English ,is so nice
Asanteni sana, huu wimbo inatuliza 🙏
Mubarikiwe na mungu
Ray all over 🎺🎺
Waaooh 🤗🤗❤️❤️❤️🙏❤❤❤