MBARIKIWA AMTETEA KIBOKO YA WACHAWI KUHUSU KUFUNGIWA KANISA? NINI ANACHOKITA KWA SERIKALI?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 147

  • @florencemushi6561
    @florencemushi6561 3 місяці тому +6

    Ahsante Mbarikiwa. Huyu mgeni angeitwa aelekezwe kwa sababu ni dhahiri hajui details.
    Kihaki kuna mtu kupewa onyo hata mara mbili.

  • @WinifridaNshunju
    @WinifridaNshunju 2 місяці тому +4

    Ubilia watu waokoke cyo kuzungumzia wenzio unanikera sana kiroporopo ww tuu unafiki ww tuu roho baya ni ww tuu uzalilishaji ni ww tuu mungu akupe hekina ya kimungu ili uweze kunene yaliyo mema

  • @RashidNgunyale
    @RashidNgunyale 3 місяці тому +2

    Mtumishi wa Mungu tunakuamini sana kufutwa au kutofutwa SI msingi wa utumishi Imani unayo itetea SI Imani Bali ni uovu usipoteze muda nyakati hizi za uovu tuwssaidie tutashindaje nyakati hizi za uovu

  • @RizikiShayo-h4e
    @RizikiShayo-h4e 2 місяці тому

    Amina

  • @MSELAWAYESU-ld1oh
    @MSELAWAYESU-ld1oh 2 місяці тому

    Huyu pasta.namwelewa sana.anajilipua sana.na ukweli unamgharimu sana.ila ukweli utabaki ukweli tu.Ubarikiwe Baba.Meseji Senti.Mungu na akulinde.umeanzisha vita kubwa sana.

  • @PriscaNzegenza
    @PriscaNzegenza 3 місяці тому +8

    Unafiki utakumaliza wewe falisayo omba Mungu akupe upako watu wataka injili yenye. Udhihirisho siyo harakati

  • @ValentinLuísMualabo
    @ValentinLuísMualabo 2 місяці тому +3

    We achana na Mwamposa kwani Mwamposa analazimisha?? si unanunuwa mwenyewe tu!!! mnafiki tu.mwamposa Oyeeeeeee na Hakuna wa kutufungia Arise and Shine.

  • @NabiiMwita
    @NabiiMwita 2 місяці тому

    Subiri yesu anakuja

  • @hidayambega5127
    @hidayambega5127 2 місяці тому

    Lkn pia kila jambo lina mwisho huwezi jua chini ya kapeti kulikua na nn

  • @AgnessAkko
    @AgnessAkko 3 місяці тому +2

    We mtu acha usumbufu bhana usituchoshe na porojo zako! Hongera serikali Kwa uamuzi mzuri

  • @RehemaKasanga-vu5nj
    @RehemaKasanga-vu5nj 2 місяці тому

    Waacha Hao ni Majembe ya Mungu wambinguni Mwaposa Suguye Acha kuchokoza vita na Mungu wewe hubili unacho kuweza Habali za mafunue ya Watumishi wezio Hayakusu Mwachie Mungu Aliye wapa hayo mafunuo Kikubwa Tu watu tunapona kutumia Maji ya upako mafuta ya mpenyo Maji ya ubavuni mwa Yesu Kristo Bac wewe Piga kelele weee Hatukomi Kwenda Hadi Yesu Kristo nimerudi

  • @FanuelMsingi
    @FanuelMsingi 2 місяці тому

    Kaka mhubiri Yesu acha kupambana na huduma za watu

  • @GodwinBuberwa
    @GodwinBuberwa 2 місяці тому

    Jamani imeandikwa njia Ile ni nyemba mba Bali Ile ya uzima ni ya uzimani,

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co 2 місяці тому +1

    Serikali msiwapevibali wanamaneno ya kutisha mara humaliz siku tisa asante

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co 2 місяці тому

    Namshangaa sana mbarikuwa u gejua asili yako ungenyamaza din biashara upagani nao din usimguse buldoza anajesh kubwa litakumeza utajuta

  • @HeppyRafaeli
    @HeppyRafaeli 3 місяці тому

    Baba yetu Mbarikiwaaa na jina lako! Mungu akubariki sana Kaka yangu. Uko sawa sanaa Dogo wetu wanamuoneaaa sana. Wapo wanaomuonea wivu kisa anajaza Waumini. Lazima ajaze wanamkubali anhekuwa mmbaya hakuna mtu angekaa kanisani

    • @FrancoiseMashimango
      @FrancoiseMashimango 2 місяці тому

      Ubarikiwe sana baba, mbarikiwa wewe uwa na kupenda sana kwa sababu ndani yako uwangi mnafiki, ila watanzania wote wengi wao ni wana fiki. walimfungiya kwa sababu ni mcongo kwa sababu wako wengi wachungaji Tanzania ni matapeli tena majambazi sugu lakini mpaka sasa wako a makanisa yaho awaja fungiwa. Poleni sana kwa wa Tanzania kwa izoroho zenu za ukaidi na ubaguzi

  • @JoshuaIjengo
    @JoshuaIjengo 3 місяці тому +3

    We mchungaj sasa unahubiri nini kwa watu wako mbona sikuelewi kichwa cha somo hapo ni nini?

  • @angelyolam9528
    @angelyolam9528 2 місяці тому

    Mungu tusaidie huko duniani wanapeana sumu kanisan wachungaji wanatoa sumu kywani mwao twende wapi sasa ili tupate pumnziko? Ya watu wanapoona haya mnawachangaya hawajui wafiate yupi? Tazama hata waganga wa kienyeji wewashimda ninyi watu wa mungu?
    Wako kimya na shetan wao, kwakelele hizo mungu hapendi, na kwa sasa hakuna hekima ya mungu bali ni wivu wa sadaka

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co 2 місяці тому

    anahoji shanga ushoga
    Mbele ya kadamnas kiboko umejisau

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co 2 місяці тому

    Sura mbaya et nabii hendsam boy. Unajiamin usipake mkorogo wala siyo uongo hujasingiziwa na yule wazir jee manabii wote wapiga ramli alafu wanapiga vita waganga nakubali simliz ya mchungaji filipo

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 2 місяці тому

    Mbarikiwa hubir neno la Mungu acha mengine yakupite kila ck wewe nikuwasema hawa watu mm naona uache fanya yako hiz kaz tuwaachie wanasiasa

  • @mr.sangaellies5110
    @mr.sangaellies5110 2 місяці тому

    Tangu nimfahamu mbarikiwa mdomoni mwake jina la mwamposa ni kubwa kuliko kulitaja jina la Yesu

  • @elishaLukumay-ug4fx
    @elishaLukumay-ug4fx 2 місяці тому

    Sasa Mtumishi unapataje ujasiri ya Unaunga uharamu huo ya Kuhubiri Kuzimu mkono,badala yake kushukuru serikali kwa walichofanya,je kama wapo wengine ambao wapo kama huyo Si ungetoa hoja kwamba serikali chunguzeni na huyu ,duuuu Watumishi Mungu Anawaona😢😢😢

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co 2 місяці тому

    Mbarikiwa funga kalomo huon haya unamtetea mtu ambaye anavaa glops mkonon kaungua na mkorogo anahubir pumba neno gan linaruhusu kuharibiu ngoz shenz kabisaa😅

  • @hidayambega5127
    @hidayambega5127 2 місяці тому

    Hilo Nikweli kabisaa wamemuonea kaka wa watu

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co 2 місяці тому

    Anatafunwa na dhulma ya jasho la wanyonge

  • @AishaShaban-x4m
    @AishaShaban-x4m 3 місяці тому +1

    Kweli wamemuona

  • @PauloMwitawaingari
    @PauloMwitawaingari 2 місяці тому

    Serekali haina dini ,je imejuaje kwamba yuko kinyume na dini ya kikristo ,pili inaingilia je mambo ya dini ,wamuache maana sasa ni kuchagua ,maana injili ya kweli inahubiliwa lakini watu hawaitakii ,mbali wanashangilia mazingaombwe ,uwafanyeje waachwe ,watakutana na mwokozi ndipo watakapojuta na kushangaa .

  • @OmarOmar-vf9dv
    @OmarOmar-vf9dv 2 місяці тому +1

    Ukwel mtu unenayoo japo wengi wetu Ni viziwi na vichwa vigumu

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 3 місяці тому +1

    Nikweli. Mfungie nahao wegine

  • @FlorahKafwila
    @FlorahKafwila 2 місяці тому

    Me naweza nikasema wew ni mvivu wa kumtafta Mungu na ndo maaana umekaa kuwasema wenzio na wanao kukusikiliza ndo maana na wao wamekaalia majungu tu

  • @RastaSuma
    @RastaSuma Місяць тому

    Biblia ni biashara kama zingine watu wanapiga hela.

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 2 місяці тому

    Huyu Kama hatumii gongo,labda anakula UNGA,hayuko sawa kabisa.

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co 2 місяці тому

    Serikali yamwamposa kampontya mwanangu kupitia redio kaharisha shanga bure usiogope amini tena mtoe mwamposa mdomoni

  • @gloryjulius2665
    @gloryjulius2665 2 місяці тому

  • @RehemaKasanga-vu5nj
    @RehemaKasanga-vu5nj 2 місяці тому

    Aisee Kutetea Kiboko ya wachawi hatukatai lla usiongelee na wengine Mbona Watumishi Mmejawa na chuki na wivu hivyo

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co 2 місяці тому

    Siku zote baya moja hufunika maxuri yote

  • @NeemaChawala-kz2ob
    @NeemaChawala-kz2ob 2 місяці тому

    Mbona wenzako hawakusemi muache mwamposa wivuhuo

  • @StanleyVitus-yy4ed
    @StanleyVitus-yy4ed 2 місяці тому

    Wewe na hao wengine moto unawahusu

  • @SarahKamuanyamukenji
    @SarahKamuanyamukenji 2 місяці тому

    😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢sisi tunalia tu sana

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co 2 місяці тому

    Serikali nimekubalu sana kuona jicho la pili asirud kabisa na majitapo yake kaz kupiga vijembe watumish wa mung yy ndy zaid umeona kutozahad milon tano wenye magar ndy fahar yako acha tamaa mbaya acha tamaa mbaya

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co 2 місяці тому

    Kuliko kwenda kuchanjwa chale bora upako buku laklo la mafuta na maj sbb ya. Urofa

  • @GracSiwale
    @GracSiwale 2 місяці тому

    Hubirini injili umbeya hauna sit kwenye safar ya mbngum

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 2 місяці тому

    Acha unafiki hubiri neno la Mungu,unatutia aibu wakristo loo,mwili wa kristo ni mmoja,acha kelele km kichaa,kasome biblia mbaguzi mkubwa wee una wivu na roho mbaya,acha fitina,mnatutia aibu sana wakristo,acha ushetaniiii

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co 2 місяці тому

    Acha unFiki wwbaba mwamposa hana hayo kiboko anadhalilisha manabii wote wa mchongo ni waganga wa kienyeji

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co 2 місяці тому

    Ww baba umepewa rushwa na kibokoo acha ukuda

  • @EdiltrudesMbonde
    @EdiltrudesMbonde 2 місяці тому

    Basi itakuwa na Mbarikiwa nae ni rafiki wa yule Mchawi

  • @FanuelMsingi
    @FanuelMsingi 2 місяці тому

    Nasema hubiri injili achana na watu

  • @dorotheachami4044
    @dorotheachami4044 2 місяці тому

    Mbona wakristo mnapigana vita wenyewe.duu acheni haya mambo

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co 2 місяці тому

    Unadhani ingekuwa mranzania ndy kafanya hayo kongo waas wangemmaliza arud kwa wako gowanaijeria matapeli tz tu amke bigapserikali

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co 2 місяці тому

    Nabii gan anahasira mama samia usikubali mke wake amfuate kongo k

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co 2 місяці тому

    Chokoza vita kwa mtume mwamposa na suguye nadhan umerogwa injili imevamiwa

  • @OLIVERMBWILO-fx6cy
    @OLIVERMBWILO-fx6cy 2 місяці тому

    Kazi ipo sio kw mgongano huu mmh

  • @FelisterLigazio-mw3hh
    @FelisterLigazio-mw3hh 3 місяці тому

    Duh! Mbarikiwa sasa sikuelewi

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co 2 місяці тому

    Tusiogope amini tena mwamposa msimguse kabisa

  • @MbarikiwaKilumile
    @MbarikiwaKilumile 2 місяці тому

    Mmh

  • @HamadAdam
    @HamadAdam 3 місяці тому +4

    Jodevi, mwamposa, kuhani Musa, suguye, gwajima, kakobe, mallisa, Joakim kimanza, mzee wa upako wote hawa ni matapeli hakuna mungu hapo. Ni wafanyaniashara waliojificha kwenye kanisa kutapeli na kuibia watu.

    • @PeterMahona-zd3oz
      @PeterMahona-zd3oz 3 місяці тому

      Nao wafungiwe pia niwalewale tu

    • @Churchofecclesia
      @Churchofecclesia 2 місяці тому

      Makenge nyie, someni maandiko wapumbavu nyie mnaongea msichokielewa

  • @EdwardZakaria-z8q
    @EdwardZakaria-z8q 2 місяці тому

    Wotehao niwachawi wote wafungiw

  • @EmiliMwamlima-e4e
    @EmiliMwamlima-e4e 2 місяці тому

    W

  • @StellahMsyani
    @StellahMsyani 2 місяці тому

    Mweee mwakipesile haeleweki amesimamaje na Mungu anaemtumikia Jamani nyeee

  • @HemediSalumu-d7k
    @HemediSalumu-d7k 2 місяці тому

    Tuna muomba rais Samia suluu amfungulie nabii kiboko ya wachawi

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 2 місяці тому

    Wivu utakuua mchana kweupeeeee.

  • @dorotheachami4044
    @dorotheachami4044 2 місяці тому +1

    Hubiria watu Neno la Mungu Mchungaji

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co 2 місяці тому

    Wiz mtupu

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co 2 місяці тому

    Wivu atamfikia mwamposa ,suguye kuhan musa ni madharau ya kiboko hana siri ww mwehu et

  • @PerepetuaMasanja
    @PerepetuaMasanja 2 місяці тому

    Tuachie baba yetu kuhani musa baba lao

  • @SalomeJackson-c1y
    @SalomeJackson-c1y 2 місяці тому

    MIMI NI MUUNI WAKWE MUNGU NITUMAINI LANGU. KIUKWELI WA MUNGU HUYU MBARIKIWA NILIKUWA NAMUELEWA SANA LAKINI SASA ANABADILIKA SANA ROHO WA MUNGU AMEMTOKA SIKU HIZI AMEKUWA MNAFIKI SANA.

  • @SandraJackson-b6u
    @SandraJackson-b6u 3 місяці тому

    uyu kwanini asirudi jera manake mdomo wake umezid ulivomzidi kumsema mwamposa umenikela kuhani musa nae afungiwe mwamposa hana mambo hy

  • @rockcitynative9985
    @rockcitynative9985 3 місяці тому +1

    Uko sawa.

  • @HeppyRafaeli
    @HeppyRafaeli 3 місяці тому

    Kama kumuona pesa mnaona ni kubwa hajalazimishwa mtu kwenda ! jamani!

  • @NursamiaKiligaliga
    @NursamiaKiligaliga 2 місяці тому

    Pambana na ari yako unapenda kufatilia yawenzako

  • @MaryMwenda-k4i
    @MaryMwenda-k4i 2 місяці тому

    Wakristo tupendane ili tumuone mungu

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 2 місяці тому

    Nawewe ni MTU wa kuzimu,ndio maana wachawi wenzako wakikamatwa unapiga kelele,Freemason we we,koma kuchafua watu,shoga wewe😊wewe

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 3 місяці тому

    Kwa hiyo mwamposa awe anakojoa kwenye chupa ili atoe Bure? Mbarikiwa unazengua, Unaongea TU umefatilia kwa kina sababu za kufungiwa kiboko ya wachawi? Issues sio maji Wala mafuta, We una wivu, Wtz hatuna Ubaguzi Kiboko ya wachawi Kuna Mambo kidogo arekebishe.

  • @MwanaidhMary
    @MwanaidhMary 2 місяці тому

    Wewe mtumishi wamungu mda gani unaponya watu mda mwingi unabishana tuu vipi mtumishi mwamposa babalao mponyaji wa.kweli anamaneno bali anaonyesha vitendo tuu

    • @zawadimwaibako4065
      @zawadimwaibako4065  2 місяці тому

      @@MwanaidhMary njoo uone alivyotuponya zaidi ya nyie mnao piga lamli chonganishi

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 2 місяці тому

    Hawauzi ushahidi unayo?

  • @hellenanzowa7589
    @hellenanzowa7589 3 місяці тому

    Huyu anahangaika na makanisa ya wenzake alafu anajita mchungaji fata yako acha kuwasema watu roho mbaya tu

  • @IreneUrio-r2k
    @IreneUrio-r2k 3 місяці тому

    Acha na kuhani Musa! Wewe ingia kwenye kumi na nane zake kama hujatolewa nje dk 90 mchezo unaisha

  • @Bless-sk8uv
    @Bless-sk8uv 3 місяці тому

    Yani huyu.mchungaji ana tatizo fyuuuu ila mwamposa hua anakunyima usingizi sana na bado atakunyima hadi kunya😅😅😅

  • @fridamwakipamba4292
    @fridamwakipamba4292 2 місяці тому

    Mbarikiwa acha mawenge kama nguvu ya Mungu huna kauze makatapera tukuyu.😂😂😂😂

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co 2 місяці тому

    Mwanzo alikwenda sawa kajisahau na ulinz bod gad mh nenda kongo uwe rais

  • @naomifrancis631
    @naomifrancis631 3 місяці тому +1

    Mwamposa anakunyimaga usingizi sana mr kigeugeu!😄😄😂

  • @AmandablancaavitMassawe
    @AmandablancaavitMassawe 3 місяці тому

    Mchochezi mkubwa huyu baba.. Moyo wake umejaa chuki... Uchonganishi serikali na watumishi wa mungu......

  • @EzekiaNgimba
    @EzekiaNgimba 2 місяці тому

    Uyu bwana ni wivu unamsumbua

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 2 місяці тому

    Kiboko afunguliwe acheni uonevu tanzania

  • @HeppyRafaeli
    @HeppyRafaeli 3 місяці тому

    Farisayo mwenyewe inawezekana huna hata dini ni Mpagani. Unachofurahia Injili kufungwa umepata nini kama sio ushetani yu na giza la moyo

  • @JanetMwaijumba
    @JanetMwaijumba 3 місяці тому +2

    Unapepo ww

  • @majaliwamsigwa6206
    @majaliwamsigwa6206 3 місяці тому +1

    Hilo ndo somo la leo

  • @DianaLyimo-be7yp
    @DianaLyimo-be7yp 3 місяці тому

    We nimlaaniwa sio mbarikiwa

  • @StanleyVitus-yy4ed
    @StanleyVitus-yy4ed 2 місяці тому

    Matapeli waakubwaaa nyie

  • @renatus5687
    @renatus5687 2 місяці тому

    Mwakipasile ana genge kubwa la watu wasio jielewa maboya kabisa

    • @zawadimwaibako4065
      @zawadimwaibako4065  2 місяці тому

      Wanaojielewa huji kuwakuta wakihangaika kwa kucoment kwa watu wasiojielewa

    • @renatus5687
      @renatus5687 2 місяці тому

      @@zawadimwaibako4065 nyny ni mazimwi ya mwakipasile tena mko kama misukule maana jamaa linawaendesha kama mbwa

  • @koniasalingo2165
    @koniasalingo2165 3 місяці тому

    Sasa wewe hizo namba zanini hapo kama sio walewale

  • @AbuuSwafwaan
    @AbuuSwafwaan 3 місяці тому +1

    Nyinyi mshaumia na dini yenu ya mchongo

  • @ConsalvaMumbara
    @ConsalvaMumbara 2 місяці тому

    Nawewe ufungiwe

  • @AverinaShirati
    @AverinaShirati 3 місяці тому

    Kiboko wachaw anashilikiana na serikali Sana kawapa polis gar kagawa madawat kajenga barabara buza kagawa majiko ges mamablishe wajane kawapa mitaji hio sio connection

  • @gloryjulius2665
    @gloryjulius2665 2 місяці тому

    Wakristo wapendane bana

  • @SamweliMango
    @SamweliMango 2 місяці тому

    Pumbavuuuu

  • @GraceKazi-z8d
    @GraceKazi-z8d 3 місяці тому

    Looooohhhhhh

  • @IreneUrio-r2k
    @IreneUrio-r2k 3 місяці тому

    Wewe Bado ni mchanga wa Imani , kuhani Musa hafananishi na mtumishi yeyote , mafuta na mji yapo husomi. Biblia ndio maana , kuhani Musa ni mwonaji, natoa watu kwenye uchawi wewe mbona usifanye kazi anayofanya yeye tujue na wewe ni bingwa kama kuhani Musa!

  • @MichelOmbaOKITO
    @MichelOmbaOKITO 3 місяці тому

    WEYE MWAKIPE SILE MIMI MIMU GANGA APA CONGO LUBUMBASHI MUTOTO WAKO ANA SEMA KAMA KIBOKO YAWA CHAWI DOMINIQUE APELEKE AMANI CONGO KWENYE KUNA VITA