WAMELAANIWA wafuasi wa Mwakasege, Mwamposa, kuhani Musa, Abiud Mbarikiwa nk msipofanya yote..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 231

  • @AllyMasterKitali
    @AllyMasterKitali 15 днів тому

    Tunakushuru sana mchungaji wetu kuwamsha watanzania haonimataperi makubwa yanaiba hadharani yamefanya watanzania nimazuzu kuwa usia udongo vitama masabuni kuwadanganya watu mikoro mikubwa mchungaji wetu warlike kabsa

  • @berthamwaitenda7207
    @berthamwaitenda7207 3 місяці тому +4

    Ifike wakati watumishi wa Mungu alie hai muhubiri ufalme wa Mungu ndilo agizo alotupa Yesu alipokuwa anarudi kwa baba ake mathayo 28:19,20.....muda ni mchache shetani anacheza hapo ili watu wengi wasipate injili ya ufalme wa Mungu na kuacha dhambi ila tuanze kuona watumishi wakijibishana wakirushiana maneno wapendwa waloitwa na BWANA KUTUMIKA MUDA NI MCHACHE TUKAZANE KUHUBIRI UFALME WA MBINGUNI kila mmoja atavuna alichopanda shetani halali anaona muda ni mchache ila watumishi kutwa kujibishana Mungu atusaidie

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  3 місяці тому

      Wazungu waliwaweza. Wamewaambia ukimwambia mtu awahurumie Waafrika wenzake sio injili ya ufalme wa Mungu ila mkisubiri hadithi za mateso walipoteswa wao ndio injili. Pumbavu

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 3 місяці тому +4

    Paulo mtu wa mungu alimchomoa simon yule mchawi miujoza yake yote ya kichawi wewe unasubiri nini acha maneno piga dua kama paulo mchungaji mwenye mikono yakichawi ing'okee!

  • @CRISENSIASHOKI
    @CRISENSIASHOKI 3 місяці тому +3

    Wee mtumishi nakupenda sana,, we umetumwa na MUNGU hakika,, zidi kuifanya kazi ya MUNGU kama ulivyoagizwa...

  • @davidkehogo3230
    @davidkehogo3230 3 місяці тому +1

    Ole wako wewe ujionaye upo salama na huku mguu wako ungali ktk shimo la kaburi 😢 wamelaaniwa wafuasi wako na wataambukizwa roho ya umbea na Masengenyo.
    Ndg fundisha Neno la Mungu swala la Uhariri Mungu hajakupa. Siyo kazi yako

  • @adelisupendo2417
    @adelisupendo2417 3 місяці тому +6

    Mwalimu Mwakasege
    Mwalimu wangu amenivusha ba kubwa sana nampenda

    • @K-go1qj
      @K-go1qj 3 місяці тому

      Zichunguzeni kila roho

  • @Samwelianaseti
    @Samwelianaseti 3 місяці тому +4

    Mwanzo mbarikiwa nilikuwa nakukubari lakini kwa sasa nahanza kukutiria mashaka kwa sababu unatafuta kutrendi kwa kuwasema wenzako vibaya sehem nyingine uko sawa lakini sehem nyingine unakosea

    • @Pendopasilika
      @Pendopasilika Місяць тому

      Endelea kumkubali Kama mwanzo isiwe na mashaka nae tunakoelekea utajua Nini alikuwa anafundisha Ni mtumishi wa MUNGU huyo

  • @ElisonguoShayo-hb2gs
    @ElisonguoShayo-hb2gs 3 місяці тому +5

    Review your calling mtumishi. Seek again the guidance of the Holy Spirit. Naona unaweza jiona sawa unavyowashambulia wenzake at the end of the day ukajikuta wewe ndio iko wrong.

  • @upendodickson897
    @upendodickson897 2 місяці тому

    Mweeeh mbombeli ghwa KYALA MALAFYALE GHWA KUMWANYA, mmenye ukuti ukolelighwe, ndie njobhepo itolo ukuti abhandu bhalinubhukunwe fijhooo, fyobhene bhikunfonda Kyala, ngusuma ukute ughwe ulumbilileghe nukwimba isya Jesu Kristi, nukwiputa ukuti Kyala aghanileghe na bhandu bhake. Usajighwe Nsajighwa

  • @sofiarabia7887
    @sofiarabia7887 2 місяці тому

    Yaani mimi namuamini sana Kuhani Musa ni msaada sana kwenye familia na bado tunamtegemea sana mungu akuonyeshe wewe unaewakashifu wenzio sio vizuri

  • @SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr
    @SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr 3 місяці тому +4

    Kamanda kiukweli MUNGU anajua kuwa unasema kweli mtu ambaye ajawai kuingia huko ndani atakuksoa tu bola wanyamaze ipo siku tu tutakuwa mbele yahukum ya Mzee wasiku

  • @georgekyando885
    @georgekyando885 Місяць тому

    Mbarikiwa mimi nakukubari sana kwa wote uliowasema ila kwa kumtaja Mwakasege na kumchanganya na hawa matapele wakubwa hapo sikuungi mkono hata kidogo.

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  Місяць тому

      Ni kwa sababu Mwakasege unajua ndio Mungu ili hali ndio mharibifu no moja wa maana ya Injili au neno la Mungu.

    • @georgekyando885
      @georgekyando885 Місяць тому

      @@Mbarikiwa_Mwakipesile sijasema Mwakasege ndiyo Mungu wangu ila ninakusikilizaga sana wengine unawakosoa na kuweka crip zao kwa upotoshaji wanaofanya. hebu nitumie na crip ya Mwakasege anayopotosha maana ya injili au neno la Mungu.

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  Місяць тому

      @@georgekyando885 karibu asilimia zote za mahubiri yake yanapotosha. Ila tukichambua wafuasi wake wa karibu (eidha ni kwa kutumwa nae) mnazisukuma mamlaka kuwa wasiojulikana. Pamoja na hayo tumechambua sana na tutachambua sana.

  • @MrBaraget
    @MrBaraget Місяць тому

    😂😂😂😂 umelaaniwa wewe mwenyewe 😂😂😂😂 alafu hiyo backup itaje kama unaubavu 😂😂😂😂

  • @rozijackson4467
    @rozijackson4467 3 місяці тому +2

    Ajidhaniaye amesimama na aangalie asije anguka
    Fanya wewe basi waige kutoka kwako ,kazi majungu tu ndo yamejaaa

    • @aeshraykidumars3668
      @aeshraykidumars3668 2 місяці тому

      😅😅😅 umenichekesh sana aisee nimajung kweli yanayo onekana apa kwawezake

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 3 місяці тому +4

    Gidio alivunja madhahu mbaya na kuziharibu hakuwaletea watu maneno yasikuwa na matokeo

  • @VivianMakokha-l8r
    @VivianMakokha-l8r 3 місяці тому +3

    Be blessed father Kenya tunakupenda sana baba

  • @SmilingApron-zw6ne
    @SmilingApron-zw6ne 3 місяці тому +1

    WOOOOOU, BARIKIWA SANA MPENDWA WETU SANA MBARIKIWA NA UMESHABARIKIWA KAAATTIKA JIMA. KUBWA LAKE YESU KRISTO.

  • @FlorahKafwila
    @FlorahKafwila 2 місяці тому

    Hila hili kanisaa duh ni changamoto but una dharau ko wenzio una waita madogooo😅😅😅😅😅 ko mwakasege naye ni dogo kwako hila una dharau mpaka zuna pitiliza.

  • @EmanuelIsaya-sg8bk
    @EmanuelIsaya-sg8bk 2 місяці тому

    Wewe mwenyewe ni pepo. Kanisa lako lako lastahili kufungwa.

  • @MonicaAlberty
    @MonicaAlberty Місяць тому

    jaman musiongelee vibaya watu mungu anatenda kupitia watu wake

  • @ezekielmkinga7773
    @ezekielmkinga7773 3 місяці тому +1

    Hakika tabia zao zinaonyesha kwamba wanamwabudu mungu gani maana ni wezi waongo wazinzi Wana roho mbaya wachafu Wana husuda wanafiki nk

  • @IsakaHosea-g9g
    @IsakaHosea-g9g 3 місяці тому +1

    Wimbo upo sahihi ila tatizo lipo kwenye kichwa cha habari,kwakusema wafasi wa abiud,mwakasege.wamelaaniwa,tatizo lipo hapo ndiyo maana watu wanacoment vibaya,ushauri kichwa kilitakiwa kukaa hivi=wafaasi wote wa wachungaji na manabii wasio tii sheria ya mungu wamelaaniwa.

  • @PascalMbwilo-vh5rn
    @PascalMbwilo-vh5rn 3 місяці тому

    Duuuh 🙌 mtumishi wa Mungu,,,🔥
    Lakini najarbu kuwaza kama wa shetani wanafanya makubwa hv ad watu wanawafuata and we know exactly YESU ni mkubwa kuliko shetani,, Kwa nn watumishi wake unaowaona wa ukwel hawafany kama hao unaona wa shetani? Je tuseme Mungu hana nguvu kama shetani? Au je nguvu za Mungu zna masharti magumu kuliko za shetan au je Mungu hajawapa watumishi wake nguvu nyingi kawapa kidogo??
    Najarbu kuwaza kama Mungu amekupa message uambie kanisa lake kuhusu kwenda mbinguni tu,,? Je Mungu hana meseji za how to become successful? Hana meseji mpya ya mambo yanayoendelea duniani ambazo manabii(unaowaona washetan) wanatuambia na vtu vnatokea,,au Mungu wetu has no time to those things? What he focus is twende mbinguni tu? Vp kuhusu maisha yetu hapa duniani kiuchumi kiafya kjamii kisiasa??
    @kikosikazichainjili me ukinipa jbu hapa ntaanz kukuelewa maana naona umefocuss in one well of salvation,,,leo IPM kesho mwamposa kesho yake shusho kesho tena kiboko ya wachawi now umeenda mbali zaidi mpaka mwakasege🙌😁
    Ukiiona hii coment naomba uweke vdeo kuijibu nielewe
    GOD bless you

  • @marieeduu3741
    @marieeduu3741 2 місяці тому

    Mchungaji mwema huakikisha amewakusanya kondoo wote wakaingia zizini na sI kuwatapanya kwa kuwapiga mawe.Ufahamu wa rohoni haupo.You need a quick deliverance.

  • @Producervbaddset
    @Producervbaddset 3 місяці тому +16

    WAFUASI WAKO SISI TUNAOUFWATILIA NDIO TUMELAANIWA MAANA TANGU TUNAKUFWATILIA HUJAWAHI KUTUFUNDISHA ZAIDI YA KUWASEMA WENZAKO KAMA YESU NA WATUMISHI WENGINE KWENYE BIBLIA WANGEKUWA KAMA WEWE MZEE SIJUI KAMA TUNGEKUWA HAPA😅 SISI NA KIKOSI KAZI TUMELAANIWA

    • @DanielYusuph-071
      @DanielYusuph-071 3 місяці тому

      Yesu na watumishi wengine wa kwenye biblia ya ukoo wako ?

    • @DanielYusuph-071
      @DanielYusuph-071 3 місяці тому +1

      Yesu na watumishi wengine kwenye biblia ya ukoo wako

    • @BerylSeer1
      @BerylSeer1 3 місяці тому

      Hahaha ​@@DanielYusuph-071

    • @EliaFrank-i7e
      @EliaFrank-i7e 3 місяці тому +2

      Hata siku ya mwisho atakapojizihirisha zaid waziwazi Mungu atatuma wajumbe wawili kuzuia wasimsikilize mnyama lakini watu watawakataa na mnyama atawaua na baada ya siku tatu Mungu atawakusanya watu bila kujua na hao mashahidi waliokufa watainuka na kupaaa tazama tetemeko kubwa litatokea na kujua watu wengi sana. Na hata Sasa hamtaamini hiki anachosema mbalikiwa wala amieli Wala gwajima wala wahubili wadogo wadogo hamtasikia Ila ukifa utatamani kurudi duniani ili uwakataze wasiwasikilize lakin utakua umechelewa amee

    • @joycedartus6903
      @joycedartus6903 3 місяці тому

      Kwahiyo wewe umelaaniwa au nd mlaani😂

  • @BillMesso
    @BillMesso 2 місяці тому

    Ila ABIUD USIMGUSE KABISA WENGINE HAO SAWA TUU, ILA ABIUD MISHOLI aiseeee huyo ndo mwamba na mwingine NABII HEBRON KISAMO... na mwingine NYISAKI CHAULA hawa watu usiwataje kabisa utalaaniwa wewe mbarikiwa...

  • @EvangelistJsolomonMkwata
    @EvangelistJsolomonMkwata 2 місяці тому +1

    Usitafute kosa kwa abihudi baba hapo umeweka chuki Mungu akusaidie

  • @Justinamwakajumba
    @Justinamwakajumba 3 місяці тому

    Laana haipo juu ya Kila aliye Mwamini Yesu Kristo maana alifanyika laaana Ili sisi tuwe baraka Yesu ,upendo wa Mungu sio kumlaani mtu baali ni kumbariki

  • @isaacsanga9707
    @isaacsanga9707 3 місяці тому

    Ni kweli wanaomchukia mtumishi wa Mungu mbarikiwa wanaweza wakajikuta wanaichukia na biblia maana hata akinukuu biblia watachukia kwa wajitathimini maana wanaweza kulaaniwa katika hilo.

  • @wilfredyhumphrey918
    @wilfredyhumphrey918 3 місяці тому

    Mwalimu mwakasege nakupenda MUNGU akawa adui wa adui zako

  • @IbuGang
    @IbuGang 3 місяці тому

    Jamani mbarikiwa anaishi kwa kukosoa wezake roho mtakatifu hayuko hivyo huyu aliyenaye ni mtakashari pole sana

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 3 місяці тому

    Ubarikiwe Sana na BWANA YESU KRISTO

  • @danielmakelemo2395
    @danielmakelemo2395 3 місяці тому

    Mmebarikiiwa amepewa huduma hiyo ya kuwakemea wajiitao watumishi wa Mungu na kumbe ni waongo.hii huduma ngumu sana na siku zote huwa Haina waumini wengi ila inatengeneza watu watakao simama Kwa ujasiri.kumbuka kwenye dhiki kuu watakao simama kama Mashaidi wa nyakati hyo watakuwa Nabii Eliya na Henock ni wachache lakini watasaidia kuokolewa wengi Kwa damu Yao na mateso.mbarikiwa simama na wito wako Mungu yupo na wewe

  • @EliaMhile
    @EliaMhile 3 місяці тому

    Mwakipesile kuna wakati unaongea point lakini kuna wakati unaongea pumba....
    Haya mbarikiwa pambana na injili yako ya laana

  • @samwelingasa1638
    @samwelingasa1638 3 місяці тому

    Unamsema sana Mwakasege anahubiri mafundisho ya Mwakasege anahubiri mafundisho ya kishetani thibitisha wapi na Abiudi unasema ni tapeli toa video kama ww ni mtumishi wa Mungu kweli acha kupotosha watu

  • @jerrysonbusega8161
    @jerrysonbusega8161 3 місяці тому

    Nakuomba uliepost hii video ufute mara moja lasiivyo nitajua chakukufanya huwez kumthalilisha mtumishi wa Mungu Mwalimu Christopher Mwakasege amehudumu kwa miaka mingi katika injiri hii Leo una mkashifu ivi unajielewa kweli

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  3 місяці тому

      Mtu mzima hatishiwi nyau. Hebu chukua hiyo hatua haraka. Mwana wa joka wewe.

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es 3 місяці тому +1

    Ukiona mtumishi unawatakia watumishi wenzako walaaniwe..umepotea katika wito wako roho ya shetani inafanya kazi ndani yako ole wako

    • @shukranimpomwa7460
      @shukranimpomwa7460 3 місяці тому +1

      Hiyo ni Biblia imesomwa jamani!!! Au kwasababu aliyesoma Ni mtu mnaemchukia?
      Kumbukumbu la Torati 27:26 Na alaaniwe asiyeyaweka imara maneno ya torati hii kwa kuyafanya. Na watu wote waseme, Amina.

    • @caljersilverhabor464
      @caljersilverhabor464 3 місяці тому

      Huskii amesoma bibilia?

  • @LydiaMuhoja
    @LydiaMuhoja 3 місяці тому

    MUNGU nuunganishe kiroho na huyu Mtumishi wako Mbarikiwa mwakipesile. Natamani sana ,sana.

  • @CollinsMacha
    @CollinsMacha 3 місяці тому +1

    Baba tupe makosa ya mwakasege kosa lake nini jamaniii mbona tunamwelewa mahubiri yake

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  3 місяці тому

      Hapo sijasema Mwakasege wala Abiud au Mbarikiwa wana matatizo, bali wafuasi wao au wanaosikiliza mahubiri yao, KAMA HAWAFANYI YOTE AMBAYO BIBLIA ILIAGIZA WAMELAANIWA. MBONA NIMESOMA MAANDIKO NDIVYO ALIVYOSEMA KATIKA KUMB 27:26, 28:15:66? Wanadamu Mbarikiwa mnamchukia na Biblia nayo pia mwaichukia kwa sababu imesomwa na adui yenu?
      Nabii, au mtume, au mchungaji au mcha Mungu anatakiwa kupinga na kukemea rushwa, mauaji, wizi, ufisadi, maonezi, dhuluma nk. Hiyo sio karama au kipawa cha mtu fulani kwa sababu mnasema ni mwinjilisti au ni karama yake. Imeandikwa hivi katika Mithali 8:13 Kumcha Bwana ni kuchukia uovu; Kiburi na majivuno, na njia mbovu, Na kinywa cha ukaidi pia nakichukia.
      Kisha IKAANDIKWA kuwa (2 Timotheo 4:2) lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
      Je, hapo imesema mwenye kukemea uovu ni huyo mnayemwita mwinjilisti tu? Au ni wajibu wa kila amchae Mungu?
      Nimeona wengi wenu mkionyesha kuwa mnafurahishwa sana na kuuawa kwa mwanangu na kufungwa kwangu gerezani kwa sababu ya kusoma maandiko yanayowakela. Anyway, endeleeni na sherehe ila kwangu huko ndio kuhubiri. Nimepatwa na yote yaliyonipata kwa sababu hiyo na kwa sababu hiyo niko tayari kwa yote mnayoyataka yanipate. Ila kila mtakaponiona kwa wimbo au mahubiri mtaona nikikemea hayo.

    • @asamwklkw
      @asamwklkw 3 місяці тому

      Elimu ya darasani na busara vina umuhimu mkubwa,, kwa kueleweka zaidi c ungesema wakwako pia ambao hawafuati yte biblia imeagiza wamelaaniwa pia

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  3 місяці тому

      @@asamwklkw rudia kusoma title utaona wafuasi wa Abiud, Mbarikiwa nk. Hiyo haijaandikwa leo.

    • @asamwklkw
      @asamwklkw 3 місяці тому

      Ata Biblia haijaandikwa leo

  • @RemiKim-yt5cl
    @RemiKim-yt5cl 3 місяці тому

    SASA MWAKASEGE AMFNYJE JMNI ..OLE WAKO AMNYOOSHEAE MTUMISHI WA BWANA KIDOLEE DUNIA IMEKWISHAAA😢😢😢😢😢😢

    • @EliaMhile
      @EliaMhile 3 місяці тому

      @@RemiKim-yt5cl Huyu amekuwa mpuuzi tu, badala ya kuhuburi injili ameamua kuchafua watumishi tu bila sababu za msingi.

  • @ExcitedFerryBoat-fc9fu
    @ExcitedFerryBoat-fc9fu 3 місяці тому

    Kukemea ubaya si dhambi kuyafichua maovu ili watu wafumbuke akili zao si dhambi upo sahii kabsa watu wanahubiri kinyume na mpango wa mungu wanamuhubiri kristo kwa hila ubarkiwe mtu wa mungu unatufundsha kuijua biblia na namna wanavyoipotoxha jamii

  • @Apostledanielsmith2543
    @Apostledanielsmith2543 3 місяці тому +2

    Upo kweli baba mimi nipo nyuma yako hapa Kenya

  • @Hopesimwinga
    @Hopesimwinga 2 місяці тому

    Wachungaji mbona mnapondanda ninyi kwa ninyi sisi tunajifunza nini

  • @jacquelineswai602
    @jacquelineswai602 3 місяці тому

    Hawa acheni kuwakashifu watumishi wa Mungu kwa sababu ya nguvu zenu za giza

  • @SokratesStallin
    @SokratesStallin Місяць тому

    Mbarikiwa umelaaniwa

  • @CharlesAthumani
    @CharlesAthumani 3 місяці тому

    Unapata shida wapi mtumishi wa MUNGU? Yote yametabiriwa lazima yawepo.. kazi yangu na Yako ni kuhubiri neno la uzima liokoe wale waliokusudiwa kwenye huduma yako sio kushambulia wengine.

  • @GladTolage
    @GladTolage 3 місяці тому

    Ubarikiwe kwa huu wimbo

  • @Mapitoyazamani-y7n
    @Mapitoyazamani-y7n 3 місяці тому

    Hii laana kwa kweli inatutafuna wengi, Mungu tu atusaidie.

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 3 місяці тому +1

    Viache vikuwe pamoja anakuja mwenye shamba mtumishi.awahurumii watu waache dhambi anasema kama mzinzi.poa alete sadaka tuko mwishoni

  • @AnethMushi-c3e
    @AnethMushi-c3e 3 місяці тому

    Huyu tutaotesha vijit tuone huduma ya nan itachipua

  • @jeckobass7502
    @jeckobass7502 3 місяці тому +1

    Mzeee UA-cam imeanza kumlipa nia kubwa nikuingiza ela UA-cam ndio maana vichwa vyaa habari vimekaa kichokozi😂😂😂😂😂

    • @shukranimpomwa7460
      @shukranimpomwa7460 3 місяці тому

      Sio kichokozi, hapo iko hivyo vivyo; ameambiwa yeyote asiye yaweka imala Maneno haya;
      👉👉Kumbukumbu la Torati 27:26 Na alaaniwe asiyeyaweka imara maneno ya torati hii kwa kuyafanya. Na watu wote waseme, Amina.

  • @Yesuninuru
    @Yesuninuru 3 місяці тому

    Wewe Unaishi kwa kuwakosoa Watumishi wa Mungu inaonekana ww una Matatizo Sana

  • @anjelinamwinga
    @anjelinamwinga 3 місяці тому

    Nakupenda baba mno yesu akukumbuke

  • @samwa9496
    @samwa9496 2 місяці тому

    Hunihamishi kabisa kwa Kuhani Musa

  • @mashakalupindo
    @mashakalupindo 3 місяці тому

    Mtumishi iogope hukumu ya kulaani wenzio usije ukahukumiwa maana mahubili Yako ni kuhukumu wengine tu.

  • @AllyMasterKitali
    @AllyMasterKitali 15 днів тому

    Mchungaji wetu hawao mwamposa taperi mkubwa

  • @EvangelistJsolomonMkwata
    @EvangelistJsolomonMkwata 2 місяці тому

    Wewe hapo umekosea kwa abihudi hapo umefananishwa na mbwaaa takataka

  • @MagdalenaMatiko
    @MagdalenaMatiko 3 місяці тому

    Kwanini asbh jioni ni maneno si neno Nilisema hv toka mwanzo huyu baba alishapigwa zamani,,alijaribiwa kwa mwanae ,ndipo ukichaa ulipoanzia,sasa hataki aende mwenyewe,anataka aumize watumishi wa Mungu ,asipotee mwenyewe,wew hubiri,kemea,ombea,hukumu mwachie alowaajiri,

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  3 місяці тому

      Hapo sijasema Mwakasege wala Abiud au Mbarikiwa wana matatizo, bali wafuasi wao au wanaosikiliza mahubiri yao, KAMA HAWAFANYI YOTE AMBAYO BIBLIA ILIAGIZA WAMELAANIWA. MBONA NIMESOMA MAANDIKO NDIVYO ALIVYOSEMA KATIKA KUMB 27:26, 28:15:66? Wanadamu Mbarikiwa mnamchukia na Biblia nayo pia mwaichukia kwa sababu imesomwa na adui yenu?
      Nabii, au mtume, au mchungaji au mcha Mungu anatakiwa kupinga na kukemea rushwa, mauaji, wizi, ufisadi, maonezi, dhuluma nk. Hiyo sio karama au kipawa cha mtu fulani kwa sababu mnasema ni mwinjilisti au ni karama yake. Imeandikwa hivi katika Mithali 8:13 Kumcha Bwana ni kuchukia uovu; Kiburi na majivuno, na njia mbovu, Na kinywa cha ukaidi pia nakichukia.
      Kisha IKAANDIKWA kuwa (2 Timotheo 4:2) lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
      Je, hapo imesema mwenye kukemea uovu ni huyo mnayemwita mwinjilisti tu? Au ni wajibu wa kila amchae Mungu?
      Nimeona wengi wenu mkionyesha kuwa mnafurahishwa sana na kuuawa kwa mwanangu na kufungwa kwangu gerezani kwa sababu ya kusoma maandiko yanayowakela. Anyway, endeleeni na sherehe ila kwangu huko ndio kuhubiri. Nimepatwa na yote yaliyonipata kwa sababu hiyo na kwa sababu hiyo niko tayari kwa yote mnayoyataka yanipate. Ila kila mtakaponiona kwa wimbo au mahubiri mtaona nikikemea hayo.

    • @shukranimpomwa7460
      @shukranimpomwa7460 3 місяці тому

      Basi hata Mungu ni KICHAA;
      Kumbukumbu la Torati 27:26 Na alaaniwe asiyeyaweka imara maneno ya torati hii kwa kuyafanya. Na watu wote waseme, Amina.
      Hapo ni Mbarikiwa anasema au MUNGU?? Uchizi tu.

  • @JanetMwaijumba
    @JanetMwaijumba 3 місяці тому

    Mwakipesile umesahau hata waumini wako upo kujadili mwamposa utakuwa London zako uko upo bz mitandaoni na mwamposa nachukua mzigo Kwa ajili yako nikuombee alafu usiangalie huyo Tu alie kufa tazama hata waliofunguliwa shetani

  • @JoshuaSamwel-j2k
    @JoshuaSamwel-j2k 3 місяці тому

    Yaan Mwakasege na Abiudi unawaweka kundi moja na hao wengine kina kiboko ya wachawi, mwamposa, IPM huko ni kuwakosea heshima na MUNGU atalipa nimeona mmoja ameuliza akajibiwa "wasio na mihemuko ya kishetan ndio wataelewa" msiwe mnachanganya watumishi feki na original katika kukemea

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  3 місяці тому

      Elewa wimbo umesema watu wote wasipofanya alivyoagiza Mungu wamelaaniwa. Je watu wote wanahubiriwa na huyo Mwakasege na Abiud wanafanya yote aliyoagiza Mungu? Acha ushabiki wa kizuzu

    • @ChristinaSanga-pl5jm
      @ChristinaSanga-pl5jm 3 місяці тому

      Utumishi mzuri ni pamoja na unyenyekevu kuzuia midomo isinene mabaya ikiwa nawe huna kipimo Cha utakatifu zaidi ya Mungu mwenyewe ndio maana Yesu alijibu kwa hekima kubwa akasema " Acha magugu na ngano vimee pamoja mnaweza mkang'oa magugu mkajikuta na ngano imeng'ooka " tafakarini Kwa kina

  • @LusajoKabuka
    @LusajoKabuka 3 місяці тому

    Huyu jamaa analana ndo maana anavaa nguo za ufungwa amefungwa milele majunguu na biblia hayakuhusu wewe wambiage haohao wa majungu wexmzako

  • @jamesmaths2296
    @jamesmaths2296 3 місяці тому

    Mchungaji Mbarikiwa neno la Mungu katika Warumi 14:4-6
    Neno la Mungu linasema:
    Wewe ni nani hata umhukumu mtumishi wa mtu mwingine? Ni bwana wake tu awezaye kuamua kama amesimama au ameanguka. Naye atasi mama kwa sababu Bwana anaweza kumfanya asimame. Paulo naye alipingwa sana na Wayahudi wenzake lakini alisimama katika wito wake. Katika Biblia hakuna mtumishi aliyepewa wito wa kuwasema vibaya watumishi wa Mungu

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  3 місяці тому

      Hapo sijasema Mwakasege wala Abiud au Mbarikiwa wana matatizo, bali wafuasi wao au wanaosikiliza mahubiri yao, KAMA HAWAFANYI YOTE AMBAYO BIBLIA ILIAGIZA WAMELAANIWA. MBONA NIMESOMA MAANDIKO NDIVYO ALIVYOSEMA KATIKA KUMB 27:26, 28:15:66? Wanadamu Mbarikiwa mnamchukia na Biblia nayo pia mwaichukia kwa sababu imesomwa na adui yenu?
      Nabii, au mtume, au mchungaji au mcha Mungu anatakiwa kupinga na kukemea rushwa, mauaji, wizi, ufisadi, maonezi, dhuluma nk. Hiyo sio karama au kipawa cha mtu fulani kwa sababu mnasema ni mwinjilisti au ni karama yake. Imeandikwa hivi katika Mithali 8:13 Kumcha Bwana ni kuchukia uovu; Kiburi na majivuno, na njia mbovu, Na kinywa cha ukaidi pia nakichukia.
      Kisha IKAANDIKWA kuwa (2 Timotheo 4:2) lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
      Je, hapo imesema mwenye kukemea uovu ni huyo mnayemwita mwinjilisti tu? Au ni wajibu wa kila amchae Mungu?
      Nimeona wengi wenu mkionyesha kuwa mnafurahishwa sana na kuuawa kwa mwanangu na kufungwa kwangu gerezani kwa sababu ya kusoma maandiko yanayowakela. Anyway, endeleeni na sherehe ila kwangu huko ndio kuhubiri. Nimepatwa na yote yaliyonipata kwa sababu hiyo na kwa sababu hiyo niko tayari kwa yote mnayoyataka yanipate. Ila kila mtakaponiona kwa wimbo au mahubiri mtaona nikikemea hayo.

    • @avelinaluoga9141
      @avelinaluoga9141 3 місяці тому

      @@Mbarikiwa_Mwakipesile acha kuchafua watu mtandaoni sasa umeweka picha zao ili iweje unataka vihela vya kulipwa utube yan ww ndomchumia tumbo mkubwa ndomana wivu kwa kila anayejaza watu

  • @cassianhaule3681
    @cassianhaule3681 2 місяці тому

    Hiii ndio injili inayo takiwa wewe na magembe chapeni kazi wapumbavu hawajui wanamtegemea mtu

  • @Peaceman-S
    @Peaceman-S 3 місяці тому

    Picha inaanza Single ina dakika 12:46 nomaaa sanaa hapa Khadija kopa akasome 🎉

  • @EsterJohn-yy8nh
    @EsterJohn-yy8nh 2 місяці тому

    Usihukumu usije kuhukumiwa

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 3 місяці тому +1

    Mbarikiwa mh naona ngoma inalia sana hii inaelekea kupasuka

  • @DeoMwampamba-ru3yo
    @DeoMwampamba-ru3yo 3 місяці тому

    Mbona yeye fanueli sedekia alikuwa anaimba bila kujibu anayokerwa na wanaomuudhi! Lakini ninyi! Munatupandikizia tu uadui kwa watu ili tuwe tunawapiga na kuwachukia na kuimba kwenu na kuhubiri kwenu"

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  3 місяці тому

      Fanuel Sedekia hakuwa mkuu kuliko Biblia. Aliimba nyimbo zilizoburudisha wazinzi na wezi

  • @DeoMwampamba-ru3yo
    @DeoMwampamba-ru3yo 3 місяці тому

    Mbona sasa wewe mbarikiwa kazi yako tu imekuwa ni kuwafuatilia watu na kuwajibu kila walilokukera nalo mambo ambayo yanaleta ugomvi na mapigano tu! Mungu akiwainua ninyi watu hamuwi wazuri tena mnabadilika pakubwa!.

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  3 місяці тому

      Ni kwa sababu injili na neno la Mungu lilikuja kwa ajili ya watu. Ama kwa nini wewe kazi yako ni kufuatilia Mbarikiwa?

  • @issayamsyani7842
    @issayamsyani7842 3 місяці тому

    ila Kumbuka wao hawakuwa maarufu kwa kushinda kuwasema watu mitandaoni
    Hukuwahi dhani kuwa Mungu anaweza kuwatumia hata wasio Fundisha Ubatizo kama wako
    Sasa Ungekuwa Mungu unge mfutilia Mbali kwa Bahati Mbaya haiko hivyo
    Uchungu tuu na Wivu

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  3 місяці тому

      Wewe hapa unamsema panya haumsemi mtu? Na wewe unatafuta umaarufu?

    • @issayamsyani7842
      @issayamsyani7842 3 місяці тому

      @@Mbarikiwa_Mwakipesile WE NI MCHOKOZI TUU ukikamatwa UNASINGIZIA HATA MITUME AKINA PETRO NA PAULO WALIWEKWA MAGEREZANI
      wakati wao si kwasababu za KUJITAKIA na KUTAFUTA KIKI kama wewe SAWA Kuna wakati upo sahihi ila sio KWAMBA UNAJUWA KILA KITU na hata UKIONYWA HUWEZI KUGEUKA KWASABABU YA KIBURI
      ILA WEWE NDIO UNATAKA UWE UNAONYA WATU ila wewe hutaki unahisi upo Sahihi kwa kila KITU
      Think again Man of God

  • @catherinechanda9630
    @catherinechanda9630 3 місяці тому +2

    Amen

  • @WilliamSomela
    @WilliamSomela 3 місяці тому +1

    MCHUNGAJI NATAMANI NIJIFUNZE MENGI ZAIDI NAOMBA NISAIDIE NAMNA YA KUFIKA KANISANI KWAKO NIPO DAR ES SALAAM

  • @salvatorymushi2038
    @salvatorymushi2038 3 місяці тому +1

    Sasa mtumish ...
    Kichwa habari hakiko sawa kabsa .....
    Kila mtu anadhambi ...hata nyie sio watakatifu ,,,,Neno la MUNGU linasema tukisema kwamba hatuna dhambi twajidanganya ,,,,kikubwa wewe hubiri kweli ,,,kemea,karipia ,onya ,ila sio kwa kuandika vichwa vya habari vya kijinga namna hiyo ...
    Yaaan unatupa ukakasi kweli ,,,,,ebu kemea dhambi na sio kuwataja watumishi wa MUNGU....wewe kila mtu kwako ni mbaya, Yup ni mwema kwako au wewe ndo mtakatifu peke Yako ??
    Angalia bna usiwalishe kondoo wako sumu ...naona unaandaa kizazi cha kupigana kimwili kabsa

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  3 місяці тому

      Hapo sijasema Mwakasege wala Abiud au Mbarikiwa wana matatizo, bali wafuasi wao au wanaosikiliza mahubiri yao, KAMA HAWAFANYI YOTE AMBAYO BIBLIA ILIAGIZA WAMELAANIWA. MBONA NIMESOMA MAANDIKO NDIVYO ALIVYOSEMA KATIKA KUMB 27:26, 28:15:66? Wanadamu Mbarikiwa mnamchukia na Biblia nayo pia mwaichukia kwa sababu imesomwa na adui yenu?
      Nabii, au mtume, au mchungaji au mcha Mungu anatakiwa kupinga na kukemea rushwa, mauaji, wizi, ufisadi, maonezi, dhuluma nk. Hiyo sio karama au kipawa cha mtu fulani kwa sababu mnasema ni mwinjilisti au ni karama yake. Imeandikwa hivi katika Mithali 8:13 Kumcha Bwana ni kuchukia uovu; Kiburi na majivuno, na njia mbovu, Na kinywa cha ukaidi pia nakichukia.
      Kisha IKAANDIKWA kuwa (2 Timotheo 4:2) lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
      Je, hapo imesema mwenye kukemea uovu ni huyo mnayemwita mwinjilisti tu? Au ni wajibu wa kila amchae Mungu?
      Nimeona wengi wenu mkionyesha kuwa mnafurahishwa sana na kuuawa kwa mwanangu na kufungwa kwangu gerezani kwa sababu ya kusoma maandiko yanayowakela. Anyway, endeleeni na sherehe ila kwangu huko ndio kuhubiri. Nimepatwa na yote yaliyonipata kwa sababu hiyo na kwa sababu hiyo niko tayari kwa yote mnayoyataka yanipate. Ila kila mtakaponiona kwa wimbo au mahubiri mtaona nikikemea hayo.

  • @dolvinshao6956
    @dolvinshao6956 3 місяці тому +1

    Mimi sidhani kama ni wivu ni mahubiri ya kumpeleka mtu mbinguni

  • @jorambranchofmud6299
    @jorambranchofmud6299 3 місяці тому

    Mimi nabarikiwa na abihudi misholi hasa nyimbo zake sinaendelea kunibariki wewe Endelea kumtukana ila mimi najua MUNGU amemuinua ili MUNGU atukuzwe na watu wamataifa kupitia nyimbo zake

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  3 місяці тому

      Hapo sijasema Mwakasege wala Abiud au Mbarikiwa wana matatizo, bali wafuasi wao au wanaosikiliza mahubiri yao, KAMA HAWAFANYI YOTE AMBAYO BIBLIA ILIAGIZA WAMELAANIWA. MBONA NIMESOMA MAANDIKO NDIVYO ALIVYOSEMA KATIKA KUMB 27:26, 28:15:66? Wanadamu Mbarikiwa mnamchukia na Biblia nayo pia mwaichukia kwa sababu imesomwa na adui yenu?
      Nabii, au mtume, au mchungaji au mcha Mungu anatakiwa kupinga na kukemea rushwa, mauaji, wizi, ufisadi, maonezi, dhuluma nk. Hiyo sio karama au kipawa cha mtu fulani kwa sababu mnasema ni mwinjilisti au ni karama yake. Imeandikwa hivi katika Mithali 8:13 Kumcha Bwana ni kuchukia uovu; Kiburi na majivuno, na njia mbovu, Na kinywa cha ukaidi pia nakichukia.
      Kisha IKAANDIKWA kuwa (2 Timotheo 4:2) lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
      Je, hapo imesema mwenye kukemea uovu ni huyo mnayemwita mwinjilisti tu? Au ni wajibu wa kila amchae Mungu?
      Nimeona wengi wenu mkionyesha kuwa mnafurahishwa sana na kuuawa kwa mwanangu na kufungwa kwangu gerezani kwa sababu ya kusoma maandiko yanayowakela. Anyway, endeleeni na sherehe ila kwangu huko ndio kuhubiri. Nimepatwa na yote yaliyonipata kwa sababu hiyo na kwa sababu hiyo niko tayari kwa yote mnayoyataka yanipate. Ila kila mtakaponiona kwa wimbo au mahubiri mtaona nikikemea hayo.

    • @jorambranchofmud6299
      @jorambranchofmud6299 3 місяці тому

      @@Mbarikiwa_Mwakipesile saww nimekuelewa inatakikana useme hawaambii watu ukweli ndo tujue ila tena title ya post yako pia ndo inafanya nikuelewe vibaya

    • @jorambranchofmud6299
      @jorambranchofmud6299 3 місяці тому

      @@Mbarikiwa_Mwakipesile lakini nimesikiliza maneno ya wimbo Ni mazuri sana na maonyo kwa wale ambao wamekataa kweli barikiwa

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  3 місяці тому

      @@jorambranchofmud6299 post ina maelezo madogo yanayofanana kinachomaanishwa kwenye wimbo.

  • @sirpaza8513
    @sirpaza8513 3 місяці тому +1

    Amelaaniwa mfuasi wa yeyote yule atendaye dhambi

  • @IsakaHosea-g9g
    @IsakaHosea-g9g 3 місяці тому

    Amen amen.❤❤

  • @RoseChacha-bp6yi
    @RoseChacha-bp6yi 3 місяці тому

    hivi Mungu analaani laani tuu..?

  • @msomajuma8811
    @msomajuma8811 3 місяці тому

    Kukosoa manabii na mitume mamilionea Uwe makini

  • @elizabethrichard7694
    @elizabethrichard7694 3 місяці тому

    Unavojikutaga we maraika au nimoja kati yawale wazee 24 me nakuona kama uchizi unakunyemelea tu

  • @AnethMushi-c3e
    @AnethMushi-c3e 3 місяці тому

    Sawa MKAGUZI

  • @AngelAfric
    @AngelAfric 20 днів тому

    😂😂

  • @YohanaMahimbo
    @YohanaMahimbo 3 місяці тому +1

    Kalaaniwa baba yako mzazi alie zaaa laaana ya kukosoa watumishi huna akili hata Kidogo

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  3 місяці тому

      Kwa hiyo unamlaani Mungu?

    • @Dianamwansasudddw
      @Dianamwansasudddw 3 місяці тому

      ​@@Mbarikiwa_MwakipesileMungu akurehemu maana una maneno mengi.

    • @emanuelmkama1325
      @emanuelmkama1325 3 місяці тому

      Mathew 24 ,inarhux au wew unatumia bible ipi ya keki nn??

    • @petromgaya1746
      @petromgaya1746 3 місяці тому

      Weka akiba ya matusi biblia haijaruhusu hayo

    • @joycedartus6903
      @joycedartus6903 3 місяці тому

      Yote hayo sijui kuchanganyikiwa 😂 ni machozi ya mama mzazi na watumishi wengine wanajitia hawaoni na bado hamjasema hapa

  • @Yesuninuru
    @Yesuninuru 3 місяці тому

    Wewe ndio wakwanza kulaaniwa

  • @BerylSeer1
    @BerylSeer1 3 місяці тому +1

    Aiiilili uwiiiii!!! Wimbo mzuri nimekatika Sana.

  • @isaacsanga9707
    @isaacsanga9707 3 місяці тому

    Walaaniwe tu sasa hata kama wakijizima data

  • @DAUDIMWAMBALASA
    @DAUDIMWAMBALASA 3 місяці тому

    ubalikiwe sana

  • @JESUSISLO891
    @JESUSISLO891 3 місяці тому

    Hebu nimabie Abiud pia amefanya nn

  • @DeodatusPhabian
    @DeodatusPhabian 3 місяці тому

    Mwakasege na abiud. Msiwachanganye na mabii.

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  3 місяці тому +1

      Hapo sijasema Mwakasege wala Abiud au Mbarikiwa wana matatizo, bali wafuasi wao au wanaosikiliza mahubiri yao, KAMA HAWAFANYI YOTE AMBAYO BIBLIA ILIAGIZA WAMELAANIWA. MBONA NIMESOMA MAANDIKO NDIVYO ALIVYOSEMA KATIKA KUMB 27:26, 28:15:66? Wanadamu Mbarikiwa mnamchukia na Biblia nayo pia mwaichukia kwa sababu imesomwa na adui yenu?
      Nabii, au mtume, au mchungaji au mcha Mungu anatakiwa kupinga na kukemea rushwa, mauaji, wizi, ufisadi, maonezi, dhuluma nk. Hiyo sio karama au kipawa cha mtu fulani kwa sababu mnasema ni mwinjilisti au ni karama yake. Imeandikwa hivi katika Mithali 8:13 Kumcha Bwana ni kuchukia uovu; Kiburi na majivuno, na njia mbovu, Na kinywa cha ukaidi pia nakichukia.
      Kisha IKAANDIKWA kuwa (2 Timotheo 4:2) lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
      Je, hapo imesema mwenye kukemea uovu ni huyo mnayemwita mwinjilisti tu? Au ni wajibu wa kila amchae Mungu?
      Nimeona wengi wenu mkionyesha kuwa mnafurahishwa sana na kuuawa kwa mwanangu na kufungwa kwangu gerezani kwa sababu ya kusoma maandiko yanayowakela. Anyway, endeleeni na sherehe ila kwangu huko ndio kuhubiri. Nimepatwa na yote yaliyonipata kwa sababu hiyo na kwa sababu hiyo niko tayari kwa yote mnayoyataka yanipate. Ila kila mtakaponiona kwa wimbo au mahubiri mtaona nikikemea hayo.

    • @saraphinalupenza7580
      @saraphinalupenza7580 3 місяці тому

      Mhhhhhh

  • @AnnaEndur
    @AnnaEndur 3 місяці тому

    Kama umemfikia mwakasege wewe hata sikuekewi jaman niache

  • @kikosikaziupdate
    @kikosikaziupdate 3 місяці тому

    Walaaaniweeeeee

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono 3 місяці тому

    Walaaniwe

  • @ElihurumaPeter
    @ElihurumaPeter 3 місяці тому

    Mtumishi wa MUNGU mwalimu mwakasege.Kosa lake ni lipi

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  3 місяці тому

      Hapo sijasema Mwakasege wala Abiud au Mbarikiwa wana matatizo, bali wafuasi wao au wanaosikiliza mahubiri yao, KAMA HAWAFANYI YOTE AMBAYO BIBLIA ILIAGIZA WAMELAANIWA. MBONA NIMESOMA MAANDIKO NDIVYO ALIVYOSEMA KATIKA KUMB 27:26, 28:15:66? Wanadamu Mbarikiwa mnamchukia na Biblia nayo pia mwaichukia kwa sababu imesomwa na adui yenu?
      Nabii, au mtume, au mchungaji au mcha Mungu anatakiwa kupinga na kukemea rushwa, mauaji, wizi, ufisadi, maonezi, dhuluma nk. Hiyo sio karama au kipawa cha mtu fulani kwa sababu mnasema ni mwinjilisti au ni karama yake. Imeandikwa hivi katika Mithali 8:13 Kumcha Bwana ni kuchukia uovu; Kiburi na majivuno, na njia mbovu, Na kinywa cha ukaidi pia nakichukia.
      Kisha IKAANDIKWA kuwa (2 Timotheo 4:2) lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
      Je, hapo imesema mwenye kukemea uovu ni huyo mnayemwita mwinjilisti tu? Au ni wajibu wa kila amchae Mungu?
      Nimeona wengi wenu mkionyesha kuwa mnafurahishwa sana na kuuawa kwa mwanangu na kufungwa kwangu gerezani kwa sababu ya kusoma maandiko yanayowakela. Anyway, endeleeni na sherehe ila kwangu huko ndio kuhubiri. Nimepatwa na yote yaliyonipata kwa sababu hiyo na kwa sababu hiyo niko tayari kwa yote mnayoyataka yanipate. Ila kila mtakaponiona kwa wimbo au mahubiri mtaona nikikemea hayo.

    • @Namtumbo
      @Namtumbo 3 місяці тому

      ​@@Mbarikiwa_MwakipesileAmina sanasana Barikiwa kama jina lako,msalimie mama na wapenda sana

  • @prosperitymaarifa3324
    @prosperitymaarifa3324 3 місяці тому

    lakn huyu jamaa ananikosha

  • @goldermeirshoo1228
    @goldermeirshoo1228 3 місяці тому

    KUMBE NAWE UNAWAFUATILIA, HONGERA KUWA MSHIRIKA WAO,HIVI KAMA WAMELAANIWA SHIDA YAKO NI NINI? ACHA WALAANIWE WEWE SI UWAAMBIE WASHIRIKA WAKO WASILAANIWE, MBONA KAMA UMEKAA KWENYE MLANGO WA KUINGIA MBINGUNI?

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  3 місяці тому

      Hapo sijasema Mwakasege wala Abiud au Mbarikiwa wana matatizo, bali wafuasi wao au wanaosikiliza mahubiri yao, KAMA HAWAFANYI YOTE AMBAYO BIBLIA ILIAGIZA WAMELAANIWA. MBONA NIMESOMA MAANDIKO NDIVYO ALIVYOSEMA KATIKA KUMB 27:26, 28:15:66? Wanadamu Mbarikiwa mnamchukia na Biblia nayo pia mwaichukia kwa sababu imesomwa na adui yenu?
      Nabii, au mtume, au mchungaji au mcha Mungu anatakiwa kupinga na kukemea rushwa, mauaji, wizi, ufisadi, maonezi, dhuluma nk. Hiyo sio karama au kipawa cha mtu fulani kwa sababu mnasema ni mwinjilisti au ni karama yake. Imeandikwa hivi katika Mithali 8:13 Kumcha Bwana ni kuchukia uovu; Kiburi na majivuno, na njia mbovu, Na kinywa cha ukaidi pia nakichukia.
      Kisha IKAANDIKWA kuwa (2 Timotheo 4:2) lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
      Je, hapo imesema mwenye kukemea uovu ni huyo mnayemwita mwinjilisti tu? Au ni wajibu wa kila amchae Mungu?
      Nimeona wengi wenu mkionyesha kuwa mnafurahishwa sana na kuuawa kwa mwanangu na kufungwa kwangu gerezani kwa sababu ya kusoma maandiko yanayowakela. Anyway, endeleeni na sherehe ila kwangu huko ndio kuhubiri. Nimepatwa na yote yaliyonipata kwa sababu hiyo na kwa sababu hiyo niko tayari kwa yote mnayoyataka yanipate. Ila kila mtakaponiona kwa wimbo au mahubiri mtaona nikikemea hayo.

  • @felisterandrew8741
    @felisterandrew8741 3 місяці тому

    Abiud kumbe anatatizo Alikuwa mchungaji wangu wakati nipo huko

    • @messiah-l4r
      @messiah-l4r 3 місяці тому

      Kichwa chat habari chako.
      WAFUASI WA MWAKASEGE MWAMPOSA, KUHANI MUSA, ABIUD
      WAMELAANIWA😭🙄
      Alafu unakana zaidi sana video zako zimewaonyesha manabii wa uwongo mfano kiboko ya wachawi akisema Kwa kinywa chake yeye akemei dhambi.😂😂😂
      Alafu unawaita ma dogo kwahiyo Mwakasege ni dogo🤔

    • @messiah-l4r
      @messiah-l4r 3 місяці тому

      ​@@Mbarikiwa_MwakipesileKama shomoro katika kutanga-tanga kwake, Na kama mbayuwayu katika kuruka kwake; Kadhalika laana isiyo na sababu haimpigi mtu.
      Mithali 26:2

  • @durangobasics6195
    @durangobasics6195 3 місяці тому

    Lol usajili 😂😂😂

  • @CRISENSIASHOKI
    @CRISENSIASHOKI 3 місяці тому

    Naomba nije nielekeze natamani nifike mbeya nipo dar es salaam...

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 3 місяці тому

    Dunia imekwisha. Purukushani hadi kanisani.

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 3 місяці тому

    ❤❤❤

  • @elihurumamushi2521
    @elihurumamushi2521 3 місяці тому

    wewe umefanya nini jipu mgogoni limepona wewe kila siku unakosowa serikali mara unakosowa watumishi wa mungu wewe nani hata uwaone hawa wanapotea wewe ni mjinga sana unamkashifu mwakasege mtu wa mungu ameubiri zaidi ya miaka 40 leo unasema alaaniwe mwamposa ameubiri zaidi ya miaka 28 wewe unasema amelaaniwe umelaaniwa wewe na uzao wako una heshima una adabu wewe

    • @petromgaya1746
      @petromgaya1746 3 місяці тому

      Weka akiba ya matusi na maneno hayo siku ya mwisho utatoa hesabu amina

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  3 місяці тому +1

      Hapo sijasema Mwakasege wala Abiud au Mbarikiwa wana matatizo, bali wafuasi wao au wanaosikiliza mahubiri yao, KAMA HAWAFANYI YOTE AMBAYO BIBLIA ILIAGIZA WAMELAANIWA. MBONA NIMESOMA MAANDIKO NDIVYO ALIVYOSEMA KATIKA KUMB 27:26, 28:15:66? Wanadamu Mbarikiwa mnamchukia na Biblia nayo pia mwaichukia kwa sababu imesomwa na adui yenu?
      Nabii, au mtume, au mchungaji au mcha Mungu anatakiwa kupinga na kukemea rushwa, mauaji, wizi, ufisadi, maonezi, dhuluma nk. Hiyo sio karama au kipawa cha mtu fulani kwa sababu mnasema ni mwinjilisti au ni karama yake. Imeandikwa hivi katika Mithali 8:13 Kumcha Bwana ni kuchukia uovu; Kiburi na majivuno, na njia mbovu, Na kinywa cha ukaidi pia nakichukia.
      Kisha IKAANDIKWA kuwa (2 Timotheo 4:2) lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
      Je, hapo imesema mwenye kukemea uovu ni huyo mnayemwita mwinjilisti tu? Au ni wajibu wa kila amchae Mungu?
      Nimeona wengi wenu mkionyesha kuwa mnafurahishwa sana na kuuawa kwa mwanangu na kufungwa kwangu gerezani kwa sababu ya kusoma maandiko yanayowakela. Anyway, endeleeni na sherehe ila kwangu huko ndio kuhubiri. Nimepatwa na yote yaliyonipata kwa sababu hiyo na kwa sababu hiyo niko tayari kwa yote mnayoyataka yanipate. Ila kila mtakaponiona kwa wimbo au mahubiri mtaona nikikemea hayo.

    • @RoseChacha-bp6yi
      @RoseChacha-bp6yi 3 місяці тому

      ​@@Mbarikiwa_Mwakipesile
      we unawalaani Mungu anatamani wabadilike.
      Mungu anampenda kila mtu, wewe unaombea mabaya yeye anaombewa na wengine.
      Hivi Mungu analaani laani tuu😢

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  3 місяці тому

      @@RoseChacha-bp6yi sio Mbarikiwa aliyewalaani ni maandiko (KUMBU 27:26, 28:15-68).

    • @Neema-m6s
      @Neema-m6s 3 місяці тому

      Sema walokole wengi wanapenda kujihesabia haki na hata wakitenda dhambi hawataki kuambiwa ukweli chapa injili Mbarikiwa.