Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
Mt.Kizito Makuburi walivyohitimisha Misa Takatifu Jumapili ya 13 Mwaka A| 28 June 2020
Вставка
- Опубліковано 27 чер 2020
- All our voices to our Lord God the creator of the universe.We will not stop,THE GLORY AND GREATNESS IS WITH HIM forever and ever,Amen.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: / hurudigital
Hawa wanaweza fanya mtu ahamie Tz sauti tamu sana,choir master mchangamfu ajabu.A really proud of you nikiwa Kenya.
naomba mrekodi huu wimbo please! @Fabian Mutayoba kazi kwako!
My all time best choir, this what marks a beginning of my day,listening to your songs gives me peace 🤍,amazing voices and coordination 🖤🤍❤️💚
From Nairobi 🇰🇪 🇰🇪
Karibuni Kenya mtuimbie kidogo jamani, sauti nzuri sana
Wimbo.mzuri naomba title ya wimbo huu
Kwaya yangu pendwa...Mungu aendeleze karama hizi
zakaria ur a good choir master👍
Mungu awabariki katika uinjilishaji wenu hakika mko vizuri sana hongereni
waa sauti nzuri sana kutoka tanzania.Mbarikiwe sana.
lively service.. barikiweni..nawapenda sana wanamakuburi
aki kama si kuendea utawa mimi ningeoleka tu Tanzania ili nijiunge na kmk..you are amazing people...may God always bless you ...one day at a point in time I must sing with you beautiful choristers..much love from kenya
hahahahahaaa. Yote ni mazuri. Karibu Tanzania
Wonderful heavenly voices. Huo wimbo wa kwanza unaitwa aje na umerecordiwa na choir gani
Great choir. The band is exceptional. Their joy is palatable! So fortunate.
THIS CONDUCTOR IS AMAZING. I remember conducting in Nairobi (St. DonBosco Upper Hill) it was always such a great blessing to sing for the Lord. I surely miss Choir.
Mungu azidi kuwabariki wanakwaya wetu, hongera pia kwa organist
Hongeleni saaana wanakwaya wetu Mungu awabariki na kuwapa afya njema muendelee kupihubir neno lake kupitia uimbaji...Hongera sana kaka Zakaria ulianza uimbaji miaka mingi tangu ulipokuwa kijana mdogo kanisa LA Mt Katharina was Siena parokia ya Mkuu hadi Leo wenzio twazeeka Ila wewe bado kijana.. Big congrats
My choir! my choir! The best!..the best!!...Wishing you God's blessings...we wish this Corona comes to pass!!..."Simama"
Hongereni kwa utume.
By God's grace I will visit you in Dec. and join the choir in praising God. Nawapenda sana. Greetings from Germany❤️
Huyo mtoto anaepiga kinanda ni talent from God through his parents
congrats to Benard and Matilda for raising this kid to this level.
👏👏👏👏👏👍👌
Hongera sana waimbaiji.
🙏🙏🙏🙏Mbarikiwe zaidi na zaidi
Waoh these so amazing, wish to join you
Nitasimama na imani na Yesu atakuwa na mie.....
Zach lymo ✌✌✌✌✌
best choir master
Very nice song
to be,God bless you abundantly
Zach +gerald 🥁...🔥🔥
Eliezer Nzota bless u
🔥
Salute kwenu. Mmeimba vzr sana
I LIKE THE MORALE THE CHOIR IS HAVING. BE BLESSED. THANK YOU FOR BLESSING US WITH GOOD SONGS
Nawapenda sana nikija nyumbani lazima nije kusali makuburi hata kama nakaa mbali na uko
barikiweni sana wanamakuburi... you're really smart in every thing..choir master pewa zawadi..I love how you always do it...may God always bless you kmk..nawapenda sana..mnapendeza
You guys never disappoint
Keep it up.
May God continue blessing you and taking you to bigger heights
Such talented and amazing choir .....i like it..piano ,those drums mm plus the master...good work.
Am blessed
huyu mpga kinanda jaman daaaah,,,,VINNY MUKASA Nishiida
Huyo mtoto wa mukasa Mungu ambariki sanaa
Kama nyie mngekua kinywaji basi ningewakunywa asubuh,machana,jion na usku 😘😘😘 nawapenda sana daima,mlinifanya nkaja Dar and nkja tena lazma nifike Dar kusali Misa nanyi
Watching frm ur great nation Kenya.....
simama daima. Yesu yuko nawewe..
I'm always proud of you guys. Your voices blesses me.
I miss you guys
Kwaya masta ujue nimelelewa Safi sana
you guys are really talented.Am blessed
You guys are amazing. Now that your voices of praise are already over the roof, please concentrate in simple worship songs...zile zenyewe we can sing along. Wimbo wa kwanza mzuri sana.
What's the name of this young choir master? I admire how he conducts I need someone to invite me There after Corona amazing voices😍😍😍😍😍😍😍
Lucy mwangi anaitwa zacharia
He has got married hahahaaaa
ntakupeleka namjua
OHHHH WOOOOUUWW WELCOME
@Lucy Mwangi..I too love his determination...I watched him being interviewed..he's humble being a graduate..just check wimbo inaitwa NGOJA NICHEZE...
Namiona kaka zakafia na madoido yake me jiko tabata kisiwan mtoto wa makuburi
Kazi Nzuri sana wana Makuburi. Naeza upata wimbo wa kwanza?
Lovely😘😘😘Is that guy singing soprano?😂😂
Alto
Wimbo unaitwaje jamani
Hii walituficha...i wish i know it
name of the song?
Mko Tanzania wapi hasa, Daresalam au wapi, inbox +254700691112
Tupo Dar Es Salaam Parokia ya Mwenye Heri Anuarite- Makuburi
Steve Stivoh tuko Dar es Salaam
Ubungo External near Mabibo hostels
Karibu
Daaah mmenifanya niwe nakaja kusali makubuli
I am a Cameroonian, resident in the US. This is my best choir. Love you guys so much. Watching you all the time. I thank God for you all. I love the choirmaster and the drummer playing the large white drum. Love how the choirmaster brought his son on the podium. Awesome choir. God bless you all. God bless Africa. Praying for your choir.
Hongereni sana. God Bless you all dear parishioners.
Safi sana, niliikosa hii jana