EXCLUSIVE: BINTI MREMBO ANAYEKULA NA KUFUGA MENDE/KILO MOJA ELFU 70/NI WAZURI KWA WANAUME

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 468

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 роки тому +40

    Subhanaallah najickia kutapika jmn uuuuwiii tz vituko haviishi

    • @hamidaala2832
      @hamidaala2832 2 роки тому +4

      ASTAGHAFILULHAH..ALHA.ATUNUSURU.HUYU.HATA.NGURUWE.ANAKULA.SI.KWAUCHAFU.HUO.ALHA.AMETUJAALIA.NEEMA.NYINHI.YABITOWEIO

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 роки тому +8

      mie hata waseme wanazuia kufa sili

    • @Assam8885
      @Assam8885 2 роки тому +1

      @@heyumi2340 😂😂😂🤑🤑🤑

    • @aishaukuthymwanachahaya4511
      @aishaukuthymwanachahaya4511 2 роки тому

      🤣🤣🤣😃😃

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j 2 роки тому +1

      Nahisi hanaaakili vzr

  • @hawamanirambona3039
    @hawamanirambona3039 2 роки тому +38

    Akisema mende zinaongeza nguvu Za kiume,aki ya mama wanaume wote watakula

  • @sharifaselungwi3912
    @sharifaselungwi3912 2 роки тому +25

    Nnavyoogopa Mende na nnavyoona kinyaa Aki ningekua nimepanga nyumba Moja na ummy ningeondoka nikaacha ata hiyo Kodi yanguuuu😭

  • @thureyaseif7143
    @thureyaseif7143 2 роки тому +35

    Jamani unanifanya nitapike uchafu jamani ndio watu wakapata maradhi yasiojulikana maradhi ya ajabu

  • @KhaletaniyaQueen
    @KhaletaniyaQueen 2 роки тому +8

    SubhannaAllah chefuuu

  • @fatmashaban5186
    @fatmashaban5186 2 роки тому +30

    Huyu dada sio mzima

    • @farhatomar7495
      @farhatomar7495 2 роки тому

      Mmhhh nahisi itakua ivo mende tangulini akaliwa mambo hyo wenyewe wakorea China Thailand n.k sijui Tanzania mambo hyo yametokea wapi huu siuchafu lakn

    • @aminaathman2525
      @aminaathman2525 2 роки тому

      Huyu dada ni mgojwa wa akili

  • @ritakibwana2850
    @ritakibwana2850 2 роки тому +22

    Daah! hio nigani tena for sure,mtu ale mende siuchafuu huoo! jamanii makubwaa..

  • @happyjey8345
    @happyjey8345 2 роки тому +11

    Wote mnao mtukana umi ndio mnaongoza kuumwa bila ha kuwala hao mende mmuache halazimishi MTU kwenda kununua jaman lakin yule mwenye uhitaji ndio atamfata

  • @husnayahya5070
    @husnayahya5070 2 роки тому +17

    Kula anakula yy kichefuchefu napata mimi loh!

  • @zeddydaqueensy4612
    @zeddydaqueensy4612 2 роки тому +54

    Hawa watu wa kula wadudu wasio liwa ndio wanaleta maradhi kama corona aki siwezi kula

    • @aminakipande5645
      @aminakipande5645 2 роки тому +5

      Kweli kbsa hata njaa ifike Dunia siwezi kula

    • @joycenyundo3489
      @joycenyundo3489 2 роки тому +1

      Aki watatumaliza hawa

    • @radhiasalum7156
      @radhiasalum7156 2 роки тому +1

      😃😃😃

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 2 роки тому +2

      Hakuna maajabu ya kula mende, ni sawa na kula senene au kumbikumbi. Bora kuwala kuliko kuwaua na kutupa

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 2 роки тому

      @@timothmwakakusyu4563 duh

  • @abrahmanabdallah8479
    @abrahmanabdallah8479 2 роки тому +13

    Hatari tuliona jamii ya wachina kula mende ila sasa bongo 😁😁😁😁 Haya munaokula senene sasa mujarubu na mende

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 2 роки тому +5

    Huyu hayuko sawa kiakili MENDE 🤦🏿‍♂️🤦🏿‍♂️🤦🏿‍♂️🤦🏿‍♂️🤦🏿‍♂️🤦🏿‍♂️🤦🏿‍♂️🤦🏿‍♂️

  • @ishasuleiman2977
    @ishasuleiman2977 2 роки тому +8

    😳😳😳itakuwa ana damu ya kichina uyu sio bure😥

    • @anwarabeid2091
      @anwarabeid2091 2 роки тому

      Mende anakula biriyani😂😂 na sisi binadamu tuta kula nini😫🗣️ am watching from Qatar

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 2 роки тому +6

    Kuna mtu aliweza kuishi chini ya ardhi kwa kula mende. Kwa siku 41 kula mizizi, vyura na mende.

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 2 роки тому +5

    Allah ametupa vitoeo vingi sana lakini c mende sijui hili lidada kabila gan jaman

  • @shedrackmsuya9767
    @shedrackmsuya9767 2 роки тому +3

    Congrate ww fanya kazi imradi pesa inaingia

  • @hassanismail3786
    @hassanismail3786 2 роки тому +2

    Hongera sanaa dada ummy kwa ubunifu, nami nataka kuwa mwanafunz wk!

  • @emilymideva8783
    @emilymideva8783 2 роки тому +8

    OMG haki dunia inamambo

  • @joejux1380
    @joejux1380 2 роки тому +3

    Mbona dada mwenyewe yupo kama mende na anawala wenzie😁😁😁

  • @arafakhatibu4035
    @arafakhatibu4035 2 роки тому +6

    Ila huu ugumu wa maisha huu🙆

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 2 роки тому +9

    Very knowledgable about her business kudos Ummi👏👏

  • @josephguerino7416
    @josephguerino7416 2 роки тому

    She's mastered her skills, beautiful

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 2 роки тому +5

    Asee duniani Kuna watu Wana mioyo. Mie hao Nile ..nahisi nitatapika mpaka nguvu zipotee

  • @famitoissanawanda1696
    @famitoissanawanda1696 2 роки тому +23

    Huyu dada mwenyewe kafanana na hao mende

    • @sitiabubakar2892
      @sitiabubakar2892 2 роки тому

      😂😂😂😂😂😂

    • @kiamelody8901
      @kiamelody8901 2 роки тому

      🤣😂😂😂😂🤣🤣🤣

    • @asiatairo8266
      @asiatairo8266 2 роки тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 duuh Kwa mtindo huu corona haitoishaaa

    • @samiaalriyami3488
      @samiaalriyami3488 2 роки тому

      hahaaa

    • @datycurties1364
      @datycurties1364 2 роки тому

      Du😂 ni atari ana fanana na mende😂😂😂🤣🤣🤣😂😂🤣🤣😂🤣😂🤣

  • @teddymatisha6781
    @teddymatisha6781 2 роки тому +2

    Congrats ummy

  • @edmundbuberwa153
    @edmundbuberwa153 2 роки тому

    Hongera kwa kazi, Ummy. Mawasiliano yako tafadhari/Simu.

  • @abn8331
    @abn8331 2 роки тому +9

    Kuwafuga kwa chakula cha mifugo sio mbaya lakini mtu kula mende ni uchafu na fedheha,hadi dini zimekataza huo uchafu kuliwa,siwezi hata kumgusa huyo dada,natapika jamaniiiiíii huku.

  • @sitiabubakar2892
    @sitiabubakar2892 2 роки тому +6

    Mmmh....like serious mende... Wee... Dada hainiingii akilini hapana😢

  • @GudgudInformer
    @GudgudInformer 2 роки тому +2

    Hongera akeh

  • @husseinsalimmaula4254
    @husseinsalimmaula4254 2 роки тому +3

    Ila hapa kwetu hakuna Sheria inayozuia mtu kula kitu Fulani kwa io kila mtu ana haki ya kula chochote isipokua hairuhusiwi kumlisha mtu asichokijua bila rizaa yake kama yule alielisha wenzie mishkaki ya mbwa bila kujua wanakula nini kwa io kwa Sheria ummy yupo sawa.

    • @hussnabakary3507
      @hussnabakary3507 2 роки тому

      Sheria ta kuzuia kitu cha kula ipo ktk iman yako ivo iman ndo itakuruhusu kipi ule kipi usile

  • @ydtv9167
    @ydtv9167 2 роки тому +1

    Biashara nzuri sana hiyo China hongera Dada kwa kujiongeza

  • @poshndawa9367
    @poshndawa9367 2 роки тому +3

    Yelewiiii

  • @fatumaligome4584
    @fatumaligome4584 2 роки тому +4

    Duh ama kweli bongo vyuma vimekaza mendr tena mmh

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 2 роки тому +6

    Haaa mi akipita tu kwenye chakula basi naona mvurugiko wa ubongo na utumbo sasa wewe unakula kabisaaa🤑🤑🤑

  • @jackiekimario9324
    @jackiekimario9324 2 роки тому +5

    Sasa Kama Mende 1 ni sh 1000,Mende 70 Ni elfu 70 je Hao Mende 70 wana uzito wa kilo 1?

  • @noorynmohammedy6063
    @noorynmohammedy6063 2 роки тому +5

    Ndomana uso wako umekomaa Kwa kujilazimisha uzoee kula mende mpk umezoea ssahv kuwala

    • @Atb300
      @Atb300 2 роки тому

      😂😂😂

  • @edgarnandonde48
    @edgarnandonde48 2 роки тому

    ngoja niwaambieni kitu mende ni sawa na yule samaki anaitwa kambakoche au dagaa kamba .kuanzia radha hadi madini yanayopatika kwa hao niliosema ni sawa na mende kwa tuliosoma sayansi tutaelewana hapa 👏👏👏👊👊👊

  • @tamashanyerere1448
    @tamashanyerere1448 2 роки тому +2

    Mende na kumbikumbi au swaha na senene vitamini vyao ni sawa

  • @habibahibrahim1798
    @habibahibrahim1798 2 роки тому +1

    Mmmh hapn hii to much

  • @michaelipius2660
    @michaelipius2660 2 роки тому +1

    Mm nakula vizur San

  • @wansibho554
    @wansibho554 2 роки тому +2

    Jamani kwa ujumla, Mende mchafu jamani unakulaje sasa💔

  • @safariadrien5348
    @safariadrien5348 2 роки тому +6

    Eti biashara akaende China uko ndipo ndugu zake walipo.kula mende sio uthamaduni wa MTU mweusi

  • @mosesfrancis3946
    @mosesfrancis3946 2 роки тому +8

    Mungu wangu. Du. Njoo uchukue kwangu wengi

  • @hollocolletha6519
    @hollocolletha6519 2 роки тому +3

    Haya maisha yanawachanganya watu mpk kufunga mende hakuna mende msafi jamani ndo maana anakaa kwenye vitu vichafu wewe dada wewe ona ATA aibu.

  • @gibsonkitwaro953
    @gibsonkitwaro953 Рік тому

    Watu kama hawa ndo watu serikali inatakiwa kuwasupport kwa ujasiri na kujitoa katika fulsa hadimu kama hizi.

  • @evancekimath7405
    @evancekimath7405 2 роки тому

    So nice...!!

  • @elishaworkout6116
    @elishaworkout6116 2 роки тому +1

    Nimempga mmoja jan na daftar ad alizmia

  • @patrickmfundiri8669
    @patrickmfundiri8669 2 роки тому +2

    Kumbukeni kuna mende wa chooni na mende wa kufugwa .wanafaida nyingi mwilini bao kama zote

  • @J4UPro
    @J4UPro 2 роки тому +1

    Halafu hakana shule et pratiko badara practical

  • @HassanAli-vy3kb
    @HassanAli-vy3kb 2 роки тому +7

    Dada mwenyewe ana nyele za mende😀😀😀

  • @barakandalawa2095
    @barakandalawa2095 5 місяців тому

    Hatare hii

  • @josephjohnmagesa8256
    @josephjohnmagesa8256 2 роки тому +4

    Mendeee anakula maviii tumboo limejaaa maviii ya watuuuuu 🤣🤣🤣uchafuuu

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 2 роки тому +29

    Nimeletewa kumbi kumbi leo ,, nikawa nasita sita kuwatafuna ,,, baada ya kuona hii video tayari nishawamaliza wote na saani nimelamba..

    • @abn8331
      @abn8331 2 роки тому +4

      Niliacha kabisaaa kula kumbikumbi sababu ya kufanana na mende

    • @jaelwarombo8429
      @jaelwarombo8429 2 роки тому +1

      😂😂😁

    • @faydam6062
      @faydam6062 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 роки тому +2

      mie toka nizaliwe sijawhi kula kumbi kumbi hata kumshika siwezi

    • @credo7837
      @credo7837 2 роки тому

      @@heyumi2340 🤣🤣🤣

  • @mukhtaryussuf4969
    @mukhtaryussuf4969 2 роки тому

    Mende mende tu sio mzima uy

  • @hangiibrah5848
    @hangiibrah5848 2 роки тому +1

    Nime ipenda sana

  • @asiayusuph6899
    @asiayusuph6899 2 роки тому +20

    Huyu dada ukimchunguza vizur akili zake haziko sawa

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣hata kile iringa kwa wala mbwa wapo watu wanafuga mende na kuuza na wao wanakula

    • @simoncharles683
      @simoncharles683 2 роки тому +1

      Wewe ndo huna akili vzur unahtaji elimu ndogo tuu usifikilie mende wako wa washroom hao n special cockroaches hawana magonjwa kabsaaaa

    • @salmahabdallah7203
      @salmahabdallah7203 2 роки тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂anazo bhana sema itakuwa ana asili ya kichina

    • @elizabethkristine6651
      @elizabethkristine6651 2 роки тому

      😂😂😂😂😂😂

    • @juniorsmart2483
      @juniorsmart2483 2 роки тому

      @@simoncharles683 mpuuuz

  • @mohammedmhina3973
    @mohammedmhina3973 2 роки тому

    Hongera ummy wa jina wa wife wang keep it up

  • @josephjohnmagesa8256
    @josephjohnmagesa8256 2 роки тому +6

    iii duniaaa inawatu waajabuuuu

  • @allytz4765
    @allytz4765 2 роки тому

    Yuko sawa

  • @soundstereorecod1
    @soundstereorecod1 2 роки тому +1

    mamae acha ujinga wadada

  • @mwanah3643
    @mwanah3643 2 роки тому +2

    Kula ana Kula yy roho natibuka mm

  • @qwqw1665
    @qwqw1665 2 роки тому +2

    Huyu hata nyama yabina damu pia anakula chefu yani hufaihata naurembo wako

  • @bmbnndailylife2096
    @bmbnndailylife2096 2 роки тому +1

    Ukitaka mende njoo mozambiq

  • @deodatusrweyongeza2880
    @deodatusrweyongeza2880 2 роки тому

    Uyu Dada kifo cha mende kimempanda kichwan

  • @mariammachumu05mu26
    @mariammachumu05mu26 2 роки тому

    Mungu anakuona

  • @abdulbagayan614
    @abdulbagayan614 2 роки тому

    Mhhh mende unakula bora nisiendelee kusikiliza wala kuangalia naona kama nitatapila saivi

  • @maryamabdallah847
    @maryamabdallah847 2 роки тому +1

    Achen unafki mbona nguruwe mwala na tena wanakula takataka nakubleed juu...sembuse mendeee

  • @adijashaban4793
    @adijashaban4793 2 роки тому +1

    Jamani My sister njo kwangu zipo nyingi zinanikera mno

  • @officialmadylove4418
    @officialmadylove4418 2 роки тому +3

    Dh" huyu mdada mbona nimroh unakulaje mende

  • @nadiaamisha2958
    @nadiaamisha2958 2 роки тому

    Nachokijua ni kifo cha mende hayo mengine hayanihusuuuuu

  • @saumukaisi7003
    @saumukaisi7003 2 роки тому

    Mmmmh naweza kufuga kilakitu lkn siomende

  • @feyfarid0448
    @feyfarid0448 2 роки тому +1

    Hata katika vitabu vya dini mungu haja. Andika kma mende chakula

  • @emmanueloinoth
    @emmanueloinoth 2 роки тому +3

    Pumbafu mchaga og ety andaa Tsh 10000😂😂😂

  • @kellyspecter2490
    @kellyspecter2490 2 роки тому

    shoga panua biashara weka na panya chura mijusi paka waambie zinasafisha vizazi na nguvu za kiume utakuwabtajiri🥺

  • @totmohammed6430
    @totmohammed6430 2 роки тому +4

    So mzm huyu ndomana tunaambiwa tz tunaongoza kuwa na Mataila kwahali hiii wacha idadi iyongeze ya vichaaa

  • @abdulbagayan614
    @abdulbagayan614 2 роки тому

    Loooh wanaenda mpaka chooni hao mende

  • @ndayikezececile2762
    @ndayikezececile2762 2 роки тому +1

    Naomba niulize huyo Mende wa 1000 wakula tuu au kunadawa ndani yake mbona mm siwezi 😢😢

  • @christinemangaza6303
    @christinemangaza6303 2 роки тому +2

    Anasura kama izo izo Mende khaaa cheeefuuuu 😏😏😏

  • @alexorango5133
    @alexorango5133 2 роки тому +1

    I love her confidence in what she's doing. At least she has ventured into something that can give her money. Ila tu, I'm still worried about health problems that may be caused after eating those insects.

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho 2 роки тому +12

    Huyu anaonesha kaishi China.. 😂😂

  • @mussamc641
    @mussamc641 2 роки тому +1

    Mh .mende mende tu hata awe wa kizungu

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 роки тому +2

    Aende china huko kwa wezake

  • @mawazopeter3484
    @mawazopeter3484 Рік тому

    Hii nibaraa 4:27

  • @nassersalim3408
    @nassersalim3408 2 роки тому

    Jamn

  • @igirukwishakanadege5335
    @igirukwishakanadege5335 2 роки тому +1

    Yesu WE dunia inaishs

  • @wazirmlogi7532
    @wazirmlogi7532 2 роки тому

    Huyo dada siyo mrembo bali ni milembe

  • @faydam6062
    @faydam6062 2 роки тому +1

    Mwisho wasiku tutafanya biashara hata ya mavi

  • @ivymuthamia8234
    @ivymuthamia8234 2 роки тому +1

    Kenyewe kanakaa tu kamende

  • @michaelsaimonmuhojamichael8430
    @michaelsaimonmuhojamichael8430 2 роки тому

    Tanzania siami.

  • @jenniferlucas338
    @jenniferlucas338 2 роки тому +2

    Chiinekeee🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️

  • @suzanfelix8065
    @suzanfelix8065 2 роки тому

    Umejitaidi kujieleza mwenyewe 🤗🤗

  • @deborabrown2114
    @deborabrown2114 2 роки тому

    Yesuuuu

  • @beatriceatieno9113
    @beatriceatieno9113 2 роки тому

    😂😂😂😂😂 mshakiki mbili you make my day.

  • @ladytatu2139
    @ladytatu2139 2 роки тому

    Ale mwenyewe tu

  • @thamaratally8320
    @thamaratally8320 2 роки тому

    Good idea for busines

  • @wizkidayo390
    @wizkidayo390 2 роки тому +2

    Nyie nihame dar niende wapi 😂😂😂🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️

  • @jumashukani8472
    @jumashukani8472 2 роки тому

    Uyu nikimuona natoroka mbio asinishike, then siwezi kumkiss ngoo

  • @zeshsulesh6084
    @zeshsulesh6084 2 роки тому +1

    Mimi na mende adui

  • @zedi254
    @zedi254 Рік тому

    Mende moja ni 52.7ksh

  • @salimmohamed6434
    @salimmohamed6434 2 роки тому +1

    Mwambie Akuje Huku niko nao Kibao