Mwijaku baba bora wa familia hongera kwa hilo utafika mbali zaidi ya hapo mpende mkeo mpende mtoto jali familia uwezi kuwa maskini baraka zitakufata kila eneo wanaume wengi hili wamefeli ndio maana hawapati rizki za kutosha akioata fedha kwa mchepuko unafunga milango ya baraka jali familia kwanza utaheshimika maisha yako yote
Akili Kubwa Sanaa Mdogo Wangu ALICE.... Hehima Kubwa Sana Shemeji Yangu MWIJAKU.... Mazungumzo/Mafunzo Mema na Bora Sanaaa... Keep It Up The Good Job. Salute Mdogo Wangu ALICE....
Na mm pia nimepata short clip kwenye reels fb, nikaja UA-cam kupata full interview. Mwijaku ananifurahisha na mkewe jamaa Yuko funny napenda km hivi hata mke wake anapenda mwijaku alivyo
Alice the queen, you are so intelligent and romantic lady,mwijaku you are smart chawa,nawapenda Sana,mumenufanya nitarudia Africa kuowa, UK wazungu suwatu, you guys are inspiration for all African s,,,,, insha'Allah
Masha’Allah yaani mwijaku you made me realise how smart you are and ALLAH kakujaalia mke mwema ALLAH akutunzie 🤲🏼🩵🌹
Mwenyezi MUNGU Mwingi wa Utukufu Nakuomba Uendelee Kuilinda na Kuibaridi Hii Couple ya Mr & Mrs MWIJAKU......
Mdada anaongea vizur i like it😊
Mrs Mwijaku🙌🙌🙌 She is Genius
😢nimepata somo 🙏🏿 🎉I appreciate this life & love 😘❤
Tunaomba the LOVE STORY ya NENGA na NANDY😊
Huyu dada kuna kitu kanifundisha hongera sana Dc umepata mke
Nimejifunza mengi. Thank you Mr. & Mrs. Mwijaku for sharing your love story.
Kumbe Mwijaku ni mtu safi daaaah ivi ndio naelewa kama kazi ndio inamfanya apayuke mtandaoni😂😂,,,,nimewapenda❤
Kwa kweli
Haya ndo maambo ya kujifunza sasa leteni wa wengine tuendelea kujifunza🥰🥰🥰
Mwijaku anampenda sana mke wake .... na anawivuuu
Mwijaku baba bora wa familia hongera kwa hilo utafika mbali zaidi ya hapo mpende mkeo mpende mtoto jali familia uwezi kuwa maskini baraka zitakufata kila eneo wanaume wengi hili wamefeli ndio maana hawapati rizki za kutosha akioata fedha kwa mchepuko unafunga milango ya baraka jali familia kwanza utaheshimika maisha yako yote
Akili Kubwa Sanaa Mdogo Wangu ALICE.... Hehima Kubwa Sana Shemeji Yangu MWIJAKU.... Mazungumzo/Mafunzo Mema na Bora Sanaaa... Keep It Up The Good Job.
Salute Mdogo Wangu ALICE....
Mwijaku bro unamke🙌hii podcast 🔥🔥🔥🔥
You guys are so smart and blessed ma sha Allah,Allah awaongoze tu ktk njia yake❤❤❤🤲
BONGE MOJA LA CONTENT 🔥🔥🔥🔥
These are the type of women we men need, more love 😍 bro frm🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tupo uku Kenya pia 🇰🇪
Watched a short clip of this on TikTok and i just had to come get the full jist so soft spoken the language is just so soothing to my ears 😊
Na mm pia nimepata short clip kwenye reels fb, nikaja UA-cam kupata full interview. Mwijaku ananifurahisha na mkewe jamaa Yuko funny napenda km hivi hata mke wake anapenda mwijaku alivyo
Mke mwema na ni mzuri pia
Jamani!! Loooove this podcast & the couples wanavyojielewa/ elewana/ wanavyojieleza.. keep finding 🔥 couples like this
broo umetisha unamke mkar nawatakia maisha marefu❤❤❤❤❤❤
Huyu dada yupo tofauti sana na vile nilivyokuwa namwona,anajielewa sana na anaakili.......
Love this podcast, Mr&Mrs Mwijaku nikikuwa natamn kuwa kama nyie 😊
Mwijaku ni mtu mzuri sana hilo mm najua hata baba levo ni mtu safi pia ila kazi zao ndio shuhuli
Kweli kabisa👌
True👌
Wanaonekana tu wanamioyo safi sana hawa watu.
Lazima uji shetue mkono uende kinywani
Alice the queen, you are so intelligent and romantic lady,mwijaku you are smart chawa,nawapenda Sana,mumenufanya nitarudia Africa kuowa, UK wazungu suwatu, you guys are inspiration for all African s,,,,, insha'Allah
All I seen just you expose your life and your secret, does it’s 😊
Mwamba komaa na uyo mwana mke smart sana uyo mwana mke mwijaku ase broo mw/mungu ailinde ndoa yako kaka
❤Mwijaku tunakukubali sana ndgu yte, MashaAllah mungu awadumishe ndoa ynu
Hahahaha the DC is more fire
Nachoweza,kusema mwijaku is lucky to have this woman
Nmejifunza mno .... God bless ur union
Soon hii content inaenda mainstream media coz Ni kubwa sna
Beautiful family nmejifunza kitu❤🥰🇰🇪
What an amazing podcast 😍🙌🏽 love the way they speak to each other.
Hongereni nawatakia mema
Masha'allah Mwijaku good content
Good life my bro mwijaku
😅😅😅😅 Really hii inaweza tumika kama therapy ❤❤
Alice the cute one of best female in this country 😅😅😅
Mwijaku hongera sana una mke!mke mwema mtu humpewa na Bwana.
I love this woman❤
Your love story is very inspirational.❤
Mashalah wanaonekana wanapendana na wanabondi nzur Sana na chemistry nawishi Sana na mim nipate mtu mwenye Bondi kama Hawa..
Ayo Maisha Ni Ya Sanaa Kuishi Hivyo Unatakiwa Muachiani Yani Kila Mmoja Awe Huru Na Kujitambua Tu
Sasa Wanawake Wengi Mna Vivu Mbaya Ndio Tatizo
Huy mwab ban kunawakati ukimwangalia unawez ona kam punguan ila nijamaa ambay yup vzr sn mung akubarik sn kijn
Nimependa hiyo sitoli yen Hadi lah San nimewapena mwijaku na mke wako mko poa
Mwijaku mchawi uyo dem mzuri kampataje mambo ya kigoma hayo uchawi 2
This is DC MWIJAKU kipenzi cha watanzania 🇹🇿
Kenya pia tunamkubali mwijaku mashallah
Mnapendeza sana muishi umilele
Beautiful❤❤❤❤❤❤ naipenda hii couple
Ha😂 mwijaku broo umetisha
Da!! Napenda watu wanaopendana kamahivi bekanahepy namimipia
Mtu wa maaana kabisa huyu 😂😂😂
beautiful beautiful beautiful
This is good brother mwijaku big up sana 😂😂😂😂
Mkeo mpole sana
Mdada mzuri
Love is beautiful
Level ❤❤❤
Couple nzuri ya kuyiga❤❤
very proud mr mwijaku
Allah awatunze❤
Kwaio moment ya menina alice haijakukwaza alaf naona mwijaku anakulazimisha uitaje ila unairuka maana anauliza mpk anafumba macho 😂😂😂😂😂😂 50:30
😂😂,😂😂😂 kwaiyo Mwinjaku anaona sifa alichokifanya na menina anataka mkewe aelezee😂😂😂
@@aminathaabubakarmasoud565wamefanyaje
😂😂😂😂@@aminathaabubakarmasoud565
Mwanamke mzuri sna huyu❤❤❤
Sana aisee
Wow unamke mzuri Mwijaku kumbe uko powa love from UK ❤❤❤❤❤❤❤ na mimi na mme wangu tungekuwa hivio😂😂😂
Mutakua ishalah
So beautiful wallah❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
I see me in her❤
Nice story
Nimeipenda
Eti ungekuwa kuwa umeolewa na mpogoro unawaza kulima😂😂😂😂 mwijaku shenzi sana😂😂😂
umetisha xn kk mwijaku
Kwan kaz ya sorun sio ya mahana hachen zarau
I love it the story
Mwanamke mstarabu sana
I'm so inspired
Big ❤ from 🇷🇼
Big up be blessed❤❤❤
Dada huyu anahakili sana
Watu wa maana kabisa
It's good podcast
Umenifunza dada❤❤❤❤
mwijakuuu😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 mtu wa maana kabisa
Mwamba naona katukia kwenye sauti la utu uzima yani. Appreciate mr
😂😂😂😂 mwijaku kidume umenifuraisha sana kaka yangu
Dada anasauti nzuri
Good job bro keep going ❤
alice nime mpenda mweee kanifundisha kitu❤
Family ❤❤❤❤
Waleten gabo na mkewe😅
Halaf kunawatu wanaamin kwamba mapenz ya Facebook ni uongo tu
Hiki kipindi KIZURI Sana ndo kipindi changu PENDWA siku zote
Badae utaliskia hili libwana oooh mimi ni muislam wa peponi 😢 Hanagalia hawa waislam katika miezi mitukufu sasa.
Mtu wa maana kabisa😂😂😂😂😂😂😂
Mwijaku mkorofi hata kwamuonekano 😂😂
Impressive
❤❤❤ sana
In Mathematical Love
😅😅😅
Much love from cassypool 😅😅😅
Mwijaku 😂😂😂😂
Nakuweka hewani weye
Mwanamke anaakili nyingi sn huyu Mwijaku umepata mke
She absolutely brilliant
Mwijaku anamke mzurii Sanaa mashallah ❤
😂😂 mwajaku🙌🙌