Balaa la RUBY Kwenye Tuzo, Malkia wa Nguvu 2019

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • LIVE: Balaa la RUBY Kwenye Tuzo Malkia wa Nguvu 2019
    NI katika kilele cha Tuzo za malkia wa nguvu zinzofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere ambapo wanawake mbalimbali watapokea tuzo kulingana na vitengo vilivyoandaliwa ambapo mapema katika tuzo hizo tayari aliyekuwa miss Tanzania 2004 Faraja Nyalandu Kota amepewa tuzo ya mwanamke ambaye ni mwamasishaji.
    naye mwadada anayefanya vizuri kwenye mziki wa bongo fleva RUBBY amekuwa miongoni mwa wasanii walitumbuiza katika TUZO Hizo za malkia wa nguvu.
    #MALKIAWANGUVU
    www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
    globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyh

КОМЕНТАРІ • 69