KIBONDE Alijua ATAKUFA Akaacha WOSIA, Baba, Mtoto Wasimulia

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • KIBONDE Alijua ATAKUFA Akaacha WOSIA, Baba, Mtoto Wasimulia
    Global TV imefika nyumbani kwa Aliyekuwa mtangazaji wa kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Marehemu Ephraim Kibonde, maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar na kuzungumza na Baba mzazi na mtoto wa kwanza wa marehemu Kibonde....
    Baba mzazi wa Kibonde amesema ni kama mwanae alikiona kifo chake kwani mara ya mwisho alizungumza nae akiwa hospitali muda mfupi kabla ya mauti kumkuta na akamsisitiza sana Baba yake kuwaangalia wajukuu zake yaani watoto wake watatu ambao amewaacha...
    Aidha Mtoto wa kwanza wa Kibonde anayeitwa Ephraim naye ameongeza kuwa hatomsahau baba yake kwa jinsi ambavyo alikuwa mchapakazi na mara ya mwisho alipowasiliana nae alimwambia kuwa anajiandaa kurudi Dar...
    Mwili wa Kibonde umeingia Dar es Salaam jana ukitokea mkoani Mwanza ambapo ndipomauti yalipomkuta...
    Kibonde anatarajia kuzikwa keshi Jumamosi Machi 08, katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar...
    #RIPKIBONDE
    www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
    globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

КОМЕНТАРІ • 320

  • @manjumpoto165
    @manjumpoto165 5 років тому +43

    SUBHAANALLAH inasikitisha, inahuzunisha, inatisha WALLAH🤔🤔🤔 INSHALLAH MUNGU awakuze vyema watoto, babu yao na familia kwa ujumla awape nguvu. INNAALILLAH WAINNAILAYHI RAAJIUN 🙏🙏🙏🙏

    • @hadijaangura6572
      @hadijaangura6572 5 років тому +2

      pole babangu MUNGU awape nguvu familia kwa wakati huu mgumu

    • @marialaurent3224
      @marialaurent3224 5 років тому

      Mungu awatie nguvu katika majozi

  • @24habari
    @24habari 5 років тому +14

    Mtoto wa kibonde ana kifua ni mvumilivu na jasiri , pia ni mwerevu.
    Jitahidi sana kuwaangalia wadogo zako na angalia focus kama alivyokuasa mzee wako.
    Gundua hazina yako na itumie hiyo kujikwamua kimaisha. Kile alichokiacha Baba kitumie kwa manufaa yako na wadogo zako kwakuwa hazina yako ilipo ndipo na moyo wako ulipo. Pole sana mdogo wangu

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 5 років тому +30

    Mwanaume ni mwanaume tu itabaki Kuwa hivyo💪 Mungu azidi kukupa nguvu mwanangu na akubariki wewe na wadogo zako Amiin🙏

    • @fatumaomary3926
      @fatumaomary3926 5 років тому +1

      Mwanajuma O Mahundumla bora anaelia kuliko aliopo ivo maumivu hapo ni makubwa ndo manaa unasikia mtu presha yn mtu unaamia unashindwaa kutoa chozi maumivu ya ndan mabaya snaaaa

  • @miriammbula2021
    @miriammbula2021 5 років тому +19

    Junior wewe ni mwanaume wa kipekee katika familia just be strong and set a role model to your younger sisters na mungu akupe uwezo na hasa katika kipindi hiki kigumu xana rip kibonde

  • @elminakalunga4030
    @elminakalunga4030 5 років тому +6

    Ephraim Junior una sauti kama baba yako Ephraim Senior! Be strong and take care of you Siblings and Grandparents. God give strength to the children.

  • @belezymashauri2274
    @belezymashauri2274 5 років тому +7

    Junior......ur super strong brother.....mungu huyu wa mbinguni tunayemuamini akupiganie siku zote katika maisha yako.......Nakupenda 😍

    • @zamamuuhamisi6654
      @zamamuuhamisi6654 5 років тому

      Pole sana dogo mungu akupe ujasiri ktk kipindi hiki

  • @janethwandi9742
    @janethwandi9742 5 років тому

    Poleni sana familia ya E. KIBONDE. Mwenyezi Mungu awape nguvu, imani, na tumaini. Naomba msimuache MUNGU.

  • @emmanuelmwaka6070
    @emmanuelmwaka6070 5 років тому

    Amen baba Mungu ndio kilakitu katika maisha yetu

  • @lilianestephanie7881
    @lilianestephanie7881 5 років тому +27

    My brother junior your very strong.God bless you in your life bro..Nakupenda😍😍

  • @sarahwanjala6601
    @sarahwanjala6601 5 років тому

    Baba pole sana maneno yako yanabusara sana baba yangu kweli inauma sana ila yote nimipango ya Mungu tupo pamoja nawe baba katika musiba huu

  • @giovannygracious3434
    @giovannygracious3434 5 років тому +1

    Ephraim aunt yangu!! Ulitaman aamke alipolala umwambie sasa nimekuelewa baba!! Pole aunt Mungu yupo mpo salama

  • @sarahrajabu9812
    @sarahrajabu9812 5 років тому

    Pole sana mwanangu mwenyezi mungu awape moyo wa subra na wadogo zako mwanaume ni mwanaume mwenyezi mungu awakuze salama Inshallah

  • @dianafrank4740
    @dianafrank4740 5 років тому +1

    Pole baba ni mapenzi ya mungu na mungu akutie nguvu na umwamini mungu

  • @arafahassan8391
    @arafahassan8391 5 років тому +1

    Mtangazaji ovyooo,Pole mdogo wangu,Mungu awatie nguvu.R I P Kibonde.

  • @noronhacompanylimited5370
    @noronhacompanylimited5370 5 років тому

    Pole sana Ephraim, kijana mwenzangu umenionesha ujasiri wa hali ya juu!

  • @rehemamsuya2263
    @rehemamsuya2263 5 років тому

    Pole baba sisi wote ni wa Mungu na kwake tutarejea,,ila mtangazaji unaboa sana na maswali,Baba nimejifunza kwako

  • @gracemanase2013
    @gracemanase2013 5 років тому

    poleni sana wana familia,hakika Baba umeongea Neno la msingi kabisa,duniani tunapita tu tunahitji kufanya tathimin ya Maisha kati yetu na Mungu maana hatujui siku wala saa tutakapotwaliwa.Mungu atusaidie tuwe na hofu sana na Mungu

  • @aminajuma2981
    @aminajuma2981 5 років тому

    Pole sana baba yangu poleni

  • @jackycharles6419
    @jackycharles6419 5 років тому

    Pole sana baba

  • @kokujuko4706
    @kokujuko4706 5 років тому

    polen wafiwa mungu awajalie hekima ma upendo wapumzike kwa amani.

  • @stellahmutheu9249
    @stellahmutheu9249 5 років тому

    Babu ana maneno mazuri nadhani atakuwa mmoja wa mashahidi wa Yehovah: Mungu azidi kuwafariji

  • @imaniamani7671
    @imaniamani7671 5 років тому

    Pole mdogo wangu Mungu akupe nguvu na faraja

  • @secylovenessadaa4245
    @secylovenessadaa4245 5 років тому

    Pole familia Mungu awatie nguvu kipindi hiki kigumu

  • @mwanzalimajmashimba
    @mwanzalimajmashimba 5 років тому

    Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu, poleni sana tuko pamoja, tumuombee ndg Kibonde Mungu ampumzishe kwa amani.

  • @evajoymanyama2294
    @evajoymanyama2294 5 років тому +3

    Poleni sana aiseeee inaumaa kifo chake kinafanana na chababa angu ivyooo ivyooo yaniiii mtu anaenda msibani ukouko nae anaumwa nakupotezaa maishaaa 😷😷 😷kifo chake kimeniuma sanaa kimetonesha kidonda kilichokua kinapoa

  • @nelsonbernadtz3737
    @nelsonbernadtz3737 5 років тому

    Pole kwa family ya kibonde na kwahuyu mtangazaji wa global

  • @emmanuelbonifas3517
    @emmanuelbonifas3517 5 років тому

    mungu aendelee kuwa faraja yenu poleni sana na msichoke kuwaombea wazazi wenu dua kwa mwenyz mungu

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 5 років тому

    Junior ameniliza kwa kweli Daaa, halafu unanjuwa kujieleza nikikuangalia nalia tu. be strong boy.

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 5 років тому

    Amina Babu Mungu atawapa nguvu

  • @roidatadey8656
    @roidatadey8656 5 років тому

    Poleni sana watoto wa kibonde na familia kiujumla

  • @aminamgaya7511
    @aminamgaya7511 5 років тому +4

    Pole ephraim baba angu mungu akupe nguvu inshaalah

  • @tulaveyamsuva5129
    @tulaveyamsuva5129 5 років тому

    Ni pengo kubwa sana katika jamii poleni sana wana familia wa kibonde

  • @kulwaseif6156
    @kulwaseif6156 5 років тому

    Pole sana kijana Mungu awatie nguvu

  • @khadijanyoni2457
    @khadijanyoni2457 5 років тому

    Pole junior efrahim mungu awatie nguvu wewe na wadogo zako

  • @maryndosi2280
    @maryndosi2280 5 років тому

    polee sana babaangu Mungu awatie nguvu

  • @juliethkigalamtima4671
    @juliethkigalamtima4671 4 роки тому

    Pole Baba

  • @habibaraphael8006
    @habibaraphael8006 5 років тому

    Pole sana

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 5 років тому

    Poleni sana baba na watoto mungu awape nguvu kwenye kipindi hichi amiin.

  • @sakinamubaraka1246
    @sakinamubaraka1246 5 років тому

    BABA JASIRI UMEJIKAZA KIUME MASHAA ALLAH

  • @reginawitacha7921
    @reginawitacha7921 5 років тому

    Poleni familia kwa hii stuation inauma sana kwakwel

  • @benedictaman936
    @benedictaman936 5 років тому +73

    Mtangazaji nafikir huna taaluma vizuri ww, haiwezekani mfiwa una mhoji zaidi ya dakika kumi halafu maswali ya hovyo tu

    • @jackiejackie1272
      @jackiejackie1272 5 років тому +2

      Yani anaboaaaaa huyu mtangazaji

    • @lushilemmanuel768
      @lushilemmanuel768 5 років тому +2

      Huyu mtangazaji uchwara kumbe umeliona

    • @benedictaman936
      @benedictaman936 5 років тому +1

      @@jackiejackie1272 yaani wanatafuta viewers tu

    • @benedictaman936
      @benedictaman936 5 років тому

      @@lushilemmanuel768 ingekuwa ni kwetu wangenikoma hawa unawafurumsha na mawe

    • @nataemsuya
      @nataemsuya 5 років тому +2

      Watu hawana taaluma na pia huruma hawana, mtoto anajikaza tu, Lakin ana maumivu makali.

  • @rosemaiko9405
    @rosemaiko9405 5 років тому

    Mungu awatie nguvu

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 5 років тому

    Dah polen sana Mungu awape nguvu

  • @madinanoor2505
    @madinanoor2505 5 років тому

    Dogo yiko powa sana pole kwa kupoteza mzazi wako Mungu awatiye nguvu kwahici kipindi kigumu

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 5 років тому +2

    Pole mdogo WANGU Mungu atawapa nguvu

  • @mrishomindu4231
    @mrishomindu4231 5 років тому

    Pole sana mtangazaji taaluma imekuacha mbali mno mkuu ikimbize tena labda utaifikia. R. I.P Kibonde.

  • @sarahrajabu9812
    @sarahrajabu9812 5 років тому

    innaillah wainnailayh rajiun Poleni sana familia inasikitisha sana

  • @mohammedabdallah6390
    @mohammedabdallah6390 5 років тому

    Daaaah......mtangazaji rudi shule yaani hujui mpka umepitiliza

  • @kaundimemwinyi6644
    @kaundimemwinyi6644 5 років тому

    poleni sana watoto wangu Mmungu atawalinda na kuwakuza pole sana baba Mmungu kapenda

  • @furahandelwa7900
    @furahandelwa7900 5 років тому +11

    Mungu akusaidie mtt uongoze ndugu zako Maana umeshakuwa sasa

    • @shumishatry4305
      @shumishatry4305 5 років тому

      Pole sana mdogoangu mungu akuongoze katika mtiani huo mzito

  • @shiraann632
    @shiraann632 5 років тому

    Poleni sana mola ailaze roho yake pema peponi na awape nguvu kipindi hiki kigumu;mungu alitoa na ametwaa 🙏

  • @heriethkisese1407
    @heriethkisese1407 5 років тому +16

    Mtangazaji rudi shule kasome tena umenikera sana...

    • @MrEve1975
      @MrEve1975 5 років тому

      kabisaaaaaaa my dear anauliza maswali ya ajabuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

  • @kkali2000
    @kkali2000 5 років тому

    poleni sana familia ya kibonde

  • @merrynancesimoni2728
    @merrynancesimoni2728 5 років тому +1

    Yupo strong Kama baba yake jamani ila anaumia ndani ya moyo pole brother mungu awatie nguvu kwakweli 😭😭😭😭

  • @geegasper5224
    @geegasper5224 5 років тому +5

    Jamn ata Kama Ni utandawaz now days Bt this is too much..mtangazaj unaulizaje wafiwa maswal kma Haya tena wakat msiba bado kbsa jmn Daaah... That's not good 😡😡

  • @charlittotarimo519
    @charlittotarimo519 5 років тому +8

    Duuuuuuh kwelii huyu ni Ephraim kibonde Jr

  • @kadogooinn9151
    @kadogooinn9151 5 років тому +1

    Pole sana bro,naamini baadaye unaweza kuwa kioo cha jamii baada ya kupitia magumu yaliyokupata.MUNGU atakusaidia

    • @jullymkwabi5318
      @jullymkwabi5318 5 років тому

      Kadogoo Inn Mungu hatakuacha amini Kila saaKila siku Mungu ni mwaminifu.

  • @shashulingenju9305
    @shashulingenju9305 5 років тому +30

    Swali nisilo lipenda linaulizwa na mtangazaji et mumeupokeaji msiba hilo swali watangazaji muliache Jaman msiba unauma

    • @MrEve1975
      @MrEve1975 5 років тому

      Asante kwa kulisikia swali la kukeraaaa na la kijingaaaa kuliko maswali yooote niliyowahi kusikia mtu aliyesomea utangazaji anamuuliza mfiwa

    • @mariamkimweri6247
      @mariamkimweri6247 5 років тому

      Yan inaboa kwakwel,hv wanadhan watasema tumepokea kwa kicheko?waandishi uchwara

  • @marrylema4828
    @marrylema4828 5 років тому +8

    jamani wamemcndikiza ruge kwa ndege na yeye anarudishwa na ndege akiwa haongei inaumiza kweli kifo hakina huruma

    • @stellaloves9879
      @stellaloves9879 5 років тому +1

      Wanaonekana walikuwa wanapendana Sana na Ruge

  • @superwomanmwenyeheri.1367
    @superwomanmwenyeheri.1367 5 років тому +8

    Poleni wafiwa....

  • @faridaabdallah7620
    @faridaabdallah7620 5 років тому

    Polesana kijana jikaze mungu mungu atakubariki

  • @maryamjey6340
    @maryamjey6340 5 років тому

    Poleni sana ndugu zetu wa Tz. Allah awarehemu waja wake

  • @oliviamboma1347
    @oliviamboma1347 5 років тому +1

    Ni kumshukuru mungu kwa kila jambo napenda sana ulivyo strong maan najua wewe ndo wa kuwakumbatia wadogo zako mungu akupe nguvu zaidi ya kustahimili Mapito yote may he rest in peace amen

  • @tabithadaniel7364
    @tabithadaniel7364 5 років тому

    Mungu aendelee kukupa ujasiri

  • @sakinaomar301
    @sakinaomar301 5 років тому

    Inallilah wainaillah rajiur poleni sana wafiwa

  • @nancynanjala5704
    @nancynanjala5704 5 років тому

    Pole Sana mdogo Wangu take heart and take care to your young sisters

  • @agathaphoteen350
    @agathaphoteen350 5 років тому

    Mungu awatie nguvu wafiwa

  • @jastinmsera9557
    @jastinmsera9557 5 років тому

    Pole sn man Mungu akutie nguvu

  • @ramadhaniomari8537
    @ramadhaniomari8537 5 років тому

    pole sana mdogo wangu

  • @shamsahassan2586
    @shamsahassan2586 5 років тому +7

    maahallah kijana una moyo wakiume mungu akupe nguvu ulee wadogo zako inshallah

  • @suziecutecute6274
    @suziecutecute6274 5 років тому

    Mungu awape nguvu kipindi hiki na milele

  • @jescanyakulinga1084
    @jescanyakulinga1084 5 років тому

    Poleni sana na msiba

  • @asteriamkumbo9198
    @asteriamkumbo9198 5 років тому

    mungu awatie nguvu katika majonzi mlio nayo

  • @alisaalis9218
    @alisaalis9218 5 років тому +1

    Kwa kweli mungu alituficha siku na saa,poleni sana wanafamilia

  • @elizabethchuwa8056
    @elizabethchuwa8056 5 років тому

    Mwenyezi mungu awatie ngv ya kuweza kulibeba Hili, na ampe pumziko la milele Kaka yt ameeeen

  • @samsondecoman983
    @samsondecoman983 5 років тому +1

    Uyu chali nimafya kinoma ase, pole sana msela angu.

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 5 років тому

    Jamaniii MUNGU awape nguvu sana,Mungu awafariji Hakika,awafute machozi

  • @rahmahairun4564
    @rahmahairun4564 5 років тому

    Mungu ailaze roho yake mahala pema pepon

  • @jayratumaulid582
    @jayratumaulid582 5 років тому +7

    Daah 😭 😭 😭 Allah awatie nguvu katika kipindi hichi kigum mlichokipitia watoto

    • @maida2710
      @maida2710 5 років тому

      Mungu wape nguvu kwenye wakati ngumu n.a. pia mungu ailaze roho yake mahala pema peponi nasi tuko nyuma yake asamehewe makosa yake

  • @asiaally3105
    @asiaally3105 5 років тому

    Pole baba mungu akupe nguvu

  • @chistinawallasch2827
    @chistinawallasch2827 5 років тому

    Pole sana kijana, You have to be strong men.

  • @ironefacemsovela4504
    @ironefacemsovela4504 5 років тому +6

    Mtangazaji bora ukalime maswali gn ayo?

  • @nusaibahassan5842
    @nusaibahassan5842 5 років тому

    🤔Duuuh So Sad Wallah 😭😭😭Allah Awape Nguvu Kwa Wakati Huu Mgumu Inshaallaah

  • @daudidaudi7398
    @daudidaudi7398 5 років тому

    poleni xana wana family

  • @happygirl5141
    @happygirl5141 5 років тому

    Pole cn brother mungu akukumbuke

  • @mimah1547
    @mimah1547 5 років тому

    Allah akufanyien wepesi......inshaallah

  • @aishaaisha7032
    @aishaaisha7032 5 років тому +1

    Pole sana junior

  • @8019bm
    @8019bm 5 років тому +1

    Pole kijana.
    Mtangazaji jamani.
    Eti utamkumbuka baba ako kwa lipi?, Ulijisikiaje?Maswali gani haya. Waacheni wafiwa watulie, subirini kutangaza ratiba ya msiba n.k.

  • @angelerasto4316
    @angelerasto4316 5 років тому

    pore kaka mungu nimwema akupe nguvu waree wandogoxako

  • @masoudgonje9167
    @masoudgonje9167 5 років тому +2

    Presenter,Ungefanikiwa kuona walau japo Demo version yangu Moja hyo ya mwaka 2010 wakati nasotea Chance ya hicho unachokifanya,naamini unge tupa Mic chini kwa kishindo kisha ukarudi KujiSearch upya.yaani Kifupi nakupa 13% meaning ¡,kuwafuata wafiwa na Kuwahoji 7%¡¡: Kwenda Kuwafariji Wafiwa (kama alivyosema Mzee Sam) 5%¡¡¡, Kuwasha Camera 1%. Wenda shule ipo lakini Talanta ni No!

  • @gracemwanjabala8073
    @gracemwanjabala8073 5 років тому

    hiii familiaaa mungu ariiumbaa wanamaumiv makrii lakin huwez kuyatambua kwa kuwatazam usonii maumivu yaoo

  • @AliMohamed-kd1uc
    @AliMohamed-kd1uc 5 років тому

    Pole sana jamani

  • @tumajuma6917
    @tumajuma6917 5 років тому

    Kijana upo strong sana ,mtangazaji boyaa sana mtu amefiwa unamhoji mda mrefu tena maswali yakijinga😏

  • @nasrahcute4278
    @nasrahcute4278 5 років тому +1

    najua unapitia wkt mgumu japokuwa umejikaza ,,,daaah polen sana atimaye mmebaki yatima jmni kifo hichi,,,,

  • @maisarahakizimana7074
    @maisarahakizimana7074 5 років тому

    Pole Sana efraim be strong

  • @lilianluhasi311
    @lilianluhasi311 5 років тому

    Baba pole sana, ila kuna mchungaji yupo hapo anasema anaweza kumrudisha hajafa, mwombe amrudishe

  • @josephinekessy4134
    @josephinekessy4134 5 років тому

    Mungu awape nguvu wafiwa, haswa watoto.

  • @sophicatesalim9757
    @sophicatesalim9757 5 років тому +1

    Mungu awe nanyi wanangu mungu akupe ujasiri huo huo na nguvu uweze kutunza dadazako

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 5 років тому +24

    Dogo una akili sana unajua kuzungumza licha ya matatizo,ila Mungu mwema

  • @zulekharajabu7440
    @zulekharajabu7440 5 років тому +8

    Aisee watangazaji ,,,wa siku izi mpoje hv hamjui question za kuulza kuendana na tukio ,, mrud mkachukue kozi tena jaman& punguzen maswal yasiyo na msng