HUYU MAKONDA AMESHINDIKANA/ AONGOZA MSAFARA WA LAND ROVER FESTIVAL ARUSHA/ TAZAMA ALICHOKIFANYA!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 102

  • @LusekeloSikaponda
    @LusekeloSikaponda 2 години тому +11

    Natamani siku moja ukalie kiti cha uraisi hakika we ni mwamba wetu japo haupo mkoani kwetu kila nikiangalia crip zako moyo wangu unafalijika sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 3 години тому +6

    DUH HUYU MWAMBA SIKU AKIWA RAIS NDO TUTANUELEWA VIZUR AKIR MING SANA❤❤❤

  • @Anoldi-yj7mf
    @Anoldi-yj7mf 41 хвилина тому

    Hongera sana mkuu wa mkoa wangu natokea arusha Ds mwamba wa kaskazini piga kazi nimeipenda ito❤❤❤❤❤❤❤

  • @erickrichard7372
    @erickrichard7372 2 години тому +12

    Makondo nakukubali sana katika viongozi ninao wapa heshima na kuwapenda huyu ni namba moja

  • @NIMRUDIMKAMA
    @NIMRUDIMKAMA Годину тому +2

    Mungu akubariki kwa u ubunifu na kipaji chako Mr makonda

  • @EVANCEVEDASTO-l7c
    @EVANCEVEDASTO-l7c 2 години тому +10

    Mi mwenyewe kusemanaukweli waga nakukubali sana makonda hakika wewe nimwamba atae kataa mwacheni naushamba wake

  • @MarioNdanzi-kp9hp
    @MarioNdanzi-kp9hp 2 години тому +3

    huyu mkuu WA mkoa ni mjanja Sana Mungu ampe maisha marefu

  • @boychidu
    @boychidu 41 хвилина тому +1

    🎉🎉🎉MAKONDA HANA BAYA BINAFSI NAMKUBALI SANA HANA MBWEMBEE BODA BODA INATOSHA THANKSGIVING

  • @jokhamohammed976
    @jokhamohammed976 2 години тому +3

    Hongera sanaaa makonda

  • @charleselijah-vq3hq
    @charleselijah-vq3hq 2 години тому +3

    Hakika we ni Kiongozi. Mwenye ubunifu mikubwa sana. Kongole Mweheshimiwa Poul Makonda chapa kazi tu na Kazi iendelee

  • @brianboniface1347
    @brianboniface1347 Годину тому +2

    I wish to be in Arusha

  • @yohanagalusi619
    @yohanagalusi619 Годину тому +2

    Kama unamuona Kodaboy kwenye nafasi muhim baadae kwenye nchi hii weka like hapa

  • @sondamachafu1348
    @sondamachafu1348 2 години тому +4

    Kijana hongera sana mawazo mapana

  • @JohnSumlek
    @JohnSumlek Годину тому +1

    Hongera sana mkuu ❤❤❤❤❤❤pokea maua yako

  • @agapemwasomola.777
    @agapemwasomola.777 Годину тому +2

    Huyu Makonda ni Rais wa hii nchi siku za usoni.

  • @MaulidNdunda-cl3gz
    @MaulidNdunda-cl3gz 45 хвилин тому +1

    Makonda almasi ya kipekee sana Arusha siku akitoka haitakuja kama hii

  • @OliverThomas-z9c
    @OliverThomas-z9c 27 хвилин тому

    7:46 umetisha ndg hahaaa umeiona coment kweli

  • @esthersissamo1120
    @esthersissamo1120 Годину тому +1

    Nimeipenda Mungu akulinde sana akupe afya njema Makonda

  • @JosephKulwa-rc7en
    @JosephKulwa-rc7en 59 хвилин тому +1

    Huyu jamaa anakiri ya kipekee hakika kuongoza watu sio nguvu Mungu amsimamietu

  • @upgo6112
    @upgo6112 Годину тому +8

    Kiongozi anaelindwa na wahuni

    • @nahlaaasidee1848
      @nahlaaasidee1848 Хвилина тому

      Utabaki ivoivo na chuki zako.
      Na viongozi wako waunga ushoga.

  • @MaulidNdunda-cl3gz
    @MaulidNdunda-cl3gz 50 хвилин тому +1

    Makonda akili nying sana na Yuko site safi sana mkuu wa mkoa

  • @MSHANASimon
    @MSHANASimon Годину тому +1

    Makonda Ana akili nyingi sana,Sema wanamzuia kutumika zaidi,MUNGU ATAMSAIDIA

  • @BeniSimon-y6y
    @BeniSimon-y6y 2 години тому +6

    Lengo lake ni kuingia Hela Kwa wageni waliokuja kwenye hii furusa

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh Годину тому

      kweli kbs wajinga watazani ni festival pekee ila hela hapa zimeingia sana!

  • @sundaystanley5322
    @sundaystanley5322 3 години тому +3

    Makonda 🎉

  • @HappynessLukumay
    @HappynessLukumay 27 хвилин тому

    Sikuwepo lakini nimecheka Sina mnavu hahahahaaaa

  • @ijumaprimus
    @ijumaprimus Годину тому +1

    Makonda ni mashine tofauti kabisa yule anafaa popote

  • @innocentchristopher7571
    @innocentchristopher7571 2 години тому +3

    Tume enjoy sn

  • @innocensiapius
    @innocensiapius 2 години тому +2

    Kweli dunia hii ina watu
    Wangekuwa 5 tuu Tz ingechangamka
    Viongozi wengine kutwa na visuti maofisini anahama mkoa hadi mkoa watu hata hawamfahamu.

  • @francismigongwa4146
    @francismigongwa4146 2 години тому +3

    Uongozi ni kipawa siyo usomi kiĺa la heri mh Makonda

  • @hancemagembe6260
    @hancemagembe6260 2 години тому +3

    Makonda makonda

  • @HappynessLukumay
    @HappynessLukumay 27 хвилин тому

    Saa ngapi ningecheka hivi?

  • @MaguguStore
    @MaguguStore Годину тому +1

    Makonda shikamooo

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS Годину тому +2

    Legend

  • @JosephjonasSimon-v9n
    @JosephjonasSimon-v9n 31 хвилина тому

    Mamba mwamba

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 2 години тому +8

    Uongozi ni karama na ubunifu anaokupa mungu makonda kapewa lema analazimisha uongozi.

    • @sundaystanley5322
      @sundaystanley5322 2 години тому

      @@michaelndilima6210 umenena vyema

    • @warakawayohana2896
      @warakawayohana2896 Годину тому

      Kiongozi anatengenezwa hapewi

    • @sundaystanley5322
      @sundaystanley5322 Годину тому

      @@warakawayohana2896 kama ndio hivyo basi huyu makonda anafaa,maana katengenezwa tokea uvccm

    • @iddrashid7054
      @iddrashid7054 33 хвилини тому

      Mzee wa kupinga soon atakuja na hoja zake kwamba Msafara umechafua mazingira

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p 2 години тому +2

    Makonda tunaomba ugombee basi uraisi jamani tutakupa kula nyingi sana yaani natamani uwe rais

  • @NicksonGeorge-e2j
    @NicksonGeorge-e2j Годину тому +1

    Natamani mama s amwachie kijiti cha uraisi

  • @musamusa6213
    @musamusa6213 Годину тому +1

    Bgp makonda tunakupebda uwe kiongozi wa watanzania wote sio Arusha to wapizani wanasubili itokee bahati mbaya wafe watu Ili waaze pa kusemea.

  • @hozamussa89
    @hozamussa89 Годину тому +1

    Makonda ni zaidi ya Mkuu wa mkoa 😅😅😅

  • @innocentchristopher7571
    @innocentchristopher7571 2 години тому +2

    Leo chuga kwel ilikuw festival

  • @NassoroHaji-i8k
    @NassoroHaji-i8k 2 години тому +1

    Mr land rover

  • @kessysenga8700
    @kessysenga8700 41 хвилина тому

    Huyu ndio raic wa janjaro ara chuga namkubali kinyama

  • @HappynessLukumay
    @HappynessLukumay 25 хвилин тому

    Sasa ni shindano la toyo au land Rover? Inafurahisha

  • @fuhanansiankini853
    @fuhanansiankini853 8 хвилин тому

    Ninzuri nainapendeza sana ila kamaunahusika na skendo zozote zinazo endelea jua kunawakati utafika utawajibikatu kwakutamani vilivyo mbele kabla yawakatiwake

  • @VisentJohn-r3r
    @VisentJohn-r3r 2 години тому +2

    Nakukubali makonda nibalaaa kweli haya wanafiki karibuni kwenye dawati

  • @BakariMtangenange
    @BakariMtangenange 20 хвилин тому

    Ufisadi ufisadi ufisadi ccm achane kutumia vibaya kod ,etu

  • @loserian-mj1gj
    @loserian-mj1gj Годину тому

    Sijasikia lema Leo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @JumaMartin-e4v
    @JumaMartin-e4v Годину тому

    Yaaani huyu akija kuishika nchi walah watanzania tumuombe mungu uhai hii nchi itakuwa yaneema.anetembea na bodaboda kuongoza msafara wa maredrove huyu ndie rais jaman akimaliza mda tu mama samia hatuhitaji hatakupiga kura akabidhiwe kiti cha urais apitishwe bila kupingwa

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 52 хвилини тому

    Mkoa Wa Kitalii Kwaivo Uwekezaji Utakua Mkubwa Wazungu Watakuja Wengi Vijana Watanufaika Kwasasa Wengi Watamuona

  • @norobo205
    @norobo205 52 хвилини тому

    Mwakan tuje na v8 festival

  • @rithaurassa
    @rithaurassa Годину тому

    Mungu aturehem jamani

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 2 години тому +4

    Piga kazi makonda

  • @VeryMnyakiwele-j1p
    @VeryMnyakiwele-j1p Годину тому +1

    Yaani wewe hata wanaokuongelea hakika umewatupa mbali una fikra zinazoishi

  • @MSHANASimon
    @MSHANASimon Годину тому

    Yaani huoni faida yake hata kwa biashara za hoteli na vyakula,huoni sura ya utalii hapo???

  • @RajabuNuru-vq6nn
    @RajabuNuru-vq6nn 3 години тому +2

    Kwel mwamba ameiteka kijij

  • @NicolausMgosi-sz5qv
    @NicolausMgosi-sz5qv 30 хвилин тому

    Sio bure kufanya jambo hili ana ndoto Kwa ajili ya hayo magari sio mtakujakukumbuka maana take nn

  • @FucianeBulemo-nd4wc
    @FucianeBulemo-nd4wc Годину тому

    Vp mapato ya nchi yameingia

  • @EmmanuelMhando
    @EmmanuelMhando 2 години тому

    Mafundi wa land-rover watapata deel mpya za kazi(network)

  • @rosejohn8494
    @rosejohn8494 16 хвилин тому

    Mwamba cku hizi kama kapoa hvi

  • @section8ight174
    @section8ight174 Годину тому

    The ROAD TRAFFIC ACT (Tanzania Mainland)
    Section 39 (3) & (11)

  • @MogelaNdasa
    @MogelaNdasa 7 хвилин тому

    Mtu aliyekoswa kazi kukifanya mwema kumbe boya tu

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo 2 години тому

    🎉few books syndrome

  • @HarunaShabani-hy8mx
    @HarunaShabani-hy8mx 2 години тому

    jaman huyu makonda ni mtu gan jaman amaa kweli mungu amempa karama za uwongoxi

  • @MSHANASimon
    @MSHANASimon Годину тому

    Yaani faida yake huioni

  • @ShabaniMustafa-n8h
    @ShabaniMustafa-n8h Годину тому

    Sifa mama ya ujinga

  • @arthurmagwagu7689
    @arthurmagwagu7689 2 години тому

    Yaani kama nawaona wale visokolokwinyo wanavyoumia na wanatamani mwamba afe 😂😅
    Mamaaee zenu mtateseka sana ndio kwaaaanza mwamba anawasha taa

  • @JumaMartin-e4v
    @JumaMartin-e4v Годину тому

    Shida itakuwa kwa wavivu wapigaji madili waonevu wasio wajibika hao watapigwa spana bila kutia hata glisi na wanaomba usiku na mchana mwamba asipewe nafasi yakuwa rais mana wanajua nini kitaendelea huko mbele 😂😂😂😂😂

  • @OttoChiduo
    @OttoChiduo 3 години тому +2

    Yuko wapi yule mtabiri fake? Ooh makonda hivi.. vile..eti Arusha hatoiweza ! Hatakaa ??...

    • @twalibulomy-cd4zd
      @twalibulomy-cd4zd 2 години тому +1

      Yuko mahali anarembua Kama zuwena wa diamond. Anaangalia kwa wivu.

    • @VisentJohn-r3r
      @VisentJohn-r3r 2 години тому

      Watabiri ninjaaaa ww

  • @drdd774
    @drdd774 2 години тому

    Mji umeisha changamka

  • @janetkisuke7462
    @janetkisuke7462 Годину тому

    Tunasubiri siku ya wanawake wa arusha na mashidano ya magari😅inandaliwa😂

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x Годину тому

    Huyu mwamba ni mjanja anacheza na akili za watanzania akajificha ili asikie watu watamsemaje
    Mtanzania anakiu ya kutatuliwa KERO zake yeye anafanya hivo ili awaaminishe nimwema watu wengi wanapotea kwa kukosa maarifa huyu jamaa alipigwa marufuku kuingia marekani maana mauaji amehusika nayo sana

    • @ajiaally3269
      @ajiaally3269 Годину тому

      tuambie mmoja ya aliyeeauwa hta mbowe muuwaji .kwani marekani mbinguni toka amekataliwa kuingia marekani kapungukiwa nn .

  • @AbuodSeleman
    @AbuodSeleman 3 години тому +1

    alaf kavaa full kombat chadema

  • @hancybrouwn5032
    @hancybrouwn5032 2 години тому

    itanichukua muda kuelewa faida ya iko kitu kwakwel

    • @donking-d4t
      @donking-d4t Годину тому +1

      Na hutakaa uelewe daima, nyie ndio wale waaalim walifanya kazi ya Ziada kuwafundisha darasani

    • @EnockNanyaro-lk1zi
      @EnockNanyaro-lk1zi Годину тому +2

      Mapato Kwa wagen wa nje na hotel zimeingiza wafanyabiashara wameuza na kutangaza utalii

    • @ajiaally3269
      @ajiaally3269 Годину тому

      Waulize watu wa arusha na wafanysbiashara wao wanajua hzo faida ss ww hta mia una unataka kujua ina faida gani

    • @anethmollel6564
      @anethmollel6564 41 хвилина тому +1

      Jiongeze kidogo tu, ni utalii tosha ,wale wenye sheli magari kujaza mafuta ,hoteli zinajaa, vyakula,vinywaji,

    • @smartonlinetv5144
      @smartonlinetv5144 23 хвилини тому

      Pia kushiriki hilo onesho ni pesa huwezi kuingia tu Bure bure so pesa imeingia

  • @SalimSalimu-z5c
    @SalimSalimu-z5c 3 години тому +4

    Mkuu wa mkoa Hajavaa herment yeye na dereva wake Tz yetu inamambo?

    • @twalibulomy-cd4zd
      @twalibulomy-cd4zd 2 години тому +2

      'herement' ndo nn Mwandiga?. Peleka kichwa Kama pumbu LA lema.

    • @SalimSalimu-z5c
      @SalimSalimu-z5c 2 години тому

      @@twalibulomy-cd4zd Umetoka akwa p ddy Mbwa wewe

    • @twalibulomy-cd4zd
      @twalibulomy-cd4zd 2 години тому +2

      Lisu ndo anapenda kw p didy. 2025 CCM watawatembezea pumbu chadema wote.

    • @romwaldoamsi2783
      @romwaldoamsi2783 Годину тому

      Hongera🎉❤

    • @lukafbbwebelof3874
      @lukafbbwebelof3874 Годину тому

      Ladba amesahau kwa sababu ya furaha ya sherehe ya Festival😂😂

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 3 години тому +1

    Lego Lake nn jamaa

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 2 години тому +2

      Lengo lake 1.Kuongeza mapato katika Jiji la Arusha kwani gari zote hizo zitakwenda sheli kwa ajili ya kununua mafuta na hapo ndipo kodi kwa serikali itapatikana kupitia njia hiyo. 2.Ongezeko la watali kwa kipindi hiki, kwa baadhi ya watu kutoka mikoa mingine kwenda kuangalia tukio hilo na hapo pia kodi itapatikana kwa kuongezeka watu mahotelini na nk.

    • @smartonlinetv5144
      @smartonlinetv5144 26 хвилин тому

      Pia kushiriki hilo onesho ni pesa, huwezi kuingia tu Bure bure so pesa imeingia hapo.