UJENZI WA SGR MWANZA - ISAKA, ZEGE HALILALI, KAZI INAENDELEA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 21

  • @bakarirajabu3783
    @bakarirajabu3783 2 роки тому +4

    Hongera Sana mama na serekali yako ama kweli kazi iendelee

  • @jacobomgaka8360
    @jacobomgaka8360 2 роки тому +3

    Furaha yangu ni kuona njozi zikitimizwa Mungu ibariki Tanzania

  • @sabbob574
    @sabbob574 2 роки тому +3

    Asante for bringing this. Kweli kazi inaendelea. Hongera TRC

  • @NDEWARA
    @NDEWARA 2 роки тому +3

    Big up TRC. Big up Raisi wetu mpendwa Mama Samia. KAZI IENDELEEE

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 2 роки тому

      Magufuli alisaini mkataba wa RELI hii huko Chato Akiwa na waziri wa mambo ya nje wa China. Huyo mama anatoka wapi hapo?!

    • @NDEWARA
      @NDEWARA 2 роки тому +2

      Pole sana Mimi raia. Jambo usilolijua litakusumbua sana. Anayejenga hiyo reli sass ni Magufuli?

    • @brianm3160
      @brianm3160 2 роки тому

      @@NDEWARA Roho inamuuma mama anapiga kazi💪

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 2 роки тому

      @@NDEWARA hahaha anajenga uko uko aliko

  • @kiliantereba6502
    @kiliantereba6502 2 роки тому

    Safi speed ni nzuri na msimuliaji yuko vizuri kiswahili chake, muendelee hivyohivyo

  • @mkude
    @mkude 2 роки тому

    Hongera mama Samia suluhu na hongereni TRC kwa usimamizi mzuri.

  • @michaelpaulo5639
    @michaelpaulo5639 2 роки тому

    Hongera ajira ipo

  • @shijankwabi4843
    @shijankwabi4843 Рік тому

    Helloo

  • @kiliantereba6502
    @kiliantereba6502 2 роки тому

    Kwa hiyo ben mwanantala mlimfukuza? Mbona slikuwa anatangaza reli vizuri sana

  • @hajiiddi1085
    @hajiiddi1085 2 роки тому

    Weka video tuonekisha sauti iwe kama background!

  • @kamalofanuel8120
    @kamalofanuel8120 2 роки тому

    Nimeanza kumpenda Samia wacha tuone

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 2 роки тому

      Na utazid kumpenda maana uyo mama ana msimamo sana tna Sana mtamuelewa 2

  • @jumamnumbwa9483
    @jumamnumbwa9483 2 роки тому

    Anafaa kwenye siasa huyu ana kipaji

  • @ramadhanhussein3464
    @ramadhanhussein3464 2 роки тому

    Hivi mradi ukiisha hizo nyumba watakaa akina nani, maana mkandarasi na wafanyakazi watakuwa washamaliza nakuondoka?

    • @richshayo4924
      @richshayo4924 2 роки тому +1

      Wanaweza kaa watumishi, wafanyakazi, mafundi, askari. Fire, watu wa kutoa huduma mbalibali kwa ajili ya services inahitaji watumishi wa Aina mbalimbali

    • @vfacilitator8398
      @vfacilitator8398 2 роки тому

      Ni kweli. Mara nyingine serikali inatoa kambi kama hizo kwa taasisi za serikali, kama vile Chuo cha Waalimu, Chuo cha Wauguzi, Kitivo Kishiriki cha Chuo Kikuu, au hata nyumba za watumishi wa serikali wa Wilaya.

  • @manish-fp1fb
    @manish-fp1fb 2 роки тому

    Ujinga ni pale unazungumzia kipande cha 5 alafu unaonyesha na video za kipande cha 2.