MALI ZA IMPALA HOTEL ZAPIGWA MNADA, VIGOGO KUMI WACHUANA VIKALI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 жов 2021
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 29

  • @ramlazuber6038
    @ramlazuber6038 2 роки тому +2

    Mhhhhh maishaa hayaaa. Boraa kutafuta kidogo kidogo.

  • @peteryukunda9239
    @peteryukunda9239 2 роки тому

    Ucone matajiri ukatamani maisha yao,nyuma ya pazia kuna kakitu,mwishwe huaibika,julikana kwa Mungu co kwa wanadamu,Fulani ni tajiri ili iweje.

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому +3

    Subhannallah

  • @Chemba67
    @Chemba67 2 роки тому +1

    Rest in Peace Dr.SHIKA........TUNGEKUA NAE HAPA BILA SHAKA

  • @benjaminibirama6664
    @benjaminibirama6664 2 роки тому +1

    Daaaah safiii Sana'a axeee

  • @suleimankhamis8298
    @suleimankhamis8298 2 роки тому

    ama kweli what goes around comes around waliona raha kuwazulumu hawa watu leo watani zangu kapigeni mtori saaaafi kabisa wengine watapata somo hapo malipo ni hapa hapa ardhini

  • @dipletitus9967
    @dipletitus9967 2 роки тому +1

    Mfanyakazi ni mtu wa kumuogopa sana. Anakuja Kama kondoo mpole wakati anatafuta kazi lakini baadae anakuwa mbwa mwitu, mya advice try to stay humble people . So sad to impala family what a crise . Hii inauma nyie sikieni tu kwa watu

    • @linnusaloyce6559
      @linnusaloyce6559 2 роки тому +1

      Kaka hata familia zao kulala njaa inauma sn mzee lipa mishahara hutowe kufatwa

    • @dipletitus9967
      @dipletitus9967 2 роки тому

      @@linnusaloyce6559 it’s true broh lakini pia kama mfanyakzi unatakiwa kuwa Na win win situation Btwn wewe Na boss wako

  • @jamessanga7120
    @jamessanga7120 2 роки тому +1

    Hapo sawa

  • @wildlifeexperience5421
    @wildlifeexperience5421 2 роки тому +1

    Nice video

  • @omarymkungwa7657
    @omarymkungwa7657 2 роки тому +1

    Uyo mwenye miwani ndiyo mlithi wa dokta shika nini

  • @enickosanga4921
    @enickosanga4921 2 роки тому

    Kazi kweli kweli

  • @alamubravo512
    @alamubravo512 2 роки тому

    Dah

  • @laurenekavishe8385
    @laurenekavishe8385 2 роки тому

    Mungu akatende hata Sasa

  • @elianifaaluka4790
    @elianifaaluka4790 2 роки тому

    Mnauza vitu vya watu za nini kwanini wasilipe kidogokidogo nyie ndio mnafanya watu maskini zaidi Mungu atawaletea nyingine kwa njia nyingine chekeni wakati laana zitarudia watoto wenu

    • @linnusaloyce6559
      @linnusaloyce6559 2 роки тому

      Wewe ni moja wapo wakuzulumu mishahara na kufanyia malengo yko nn mbona umechukia ndg yngu haki ya hao wafanyakazi ingekuwa imetoka wasinge piga mnada wala kufatana wanafamilia zao ndg zao kila mmoja ana mahitaji tumia akili nife njaa na jasho lngu lipo kwako

  • @samwelmangi843
    @samwelmangi843 2 роки тому +1

    Vip Mzee wa 900 inapendeza

  • @panchovalentino5922
    @panchovalentino5922 2 роки тому +1

    Duuuu tumia hellaaaaaa

  • @robertmtiba6092
    @robertmtiba6092 2 роки тому

    Kwaio apo watagawana shngapi ngapi

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 2 роки тому

    Du. Huyo hatari

  • @verdianabanabi5943
    @verdianabanabi5943 2 роки тому +1

    Mhhhh

    • @musamsangi1610
      @musamsangi1610 2 роки тому

      Hivi hakuna utaratibu wa serikali kusaidia wawekezaji wasifilisike mpaka kufikia kuuza mali zao?

  • @Emmamusiccmb
    @Emmamusiccmb 2 роки тому

    *NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MUANGALIE VIDEO YA WIMBO UITWAO JE UTAVUMILIA KWA KUBOFYA PICHA YANGU APO PEMBENI NAAMINI MTAUPENDA 🔥🎶🔥🔥🔥🎶🔥*

  • @dmwood5431
    @dmwood5431 2 роки тому

    Bado waliokuwa wafanyakazi wa east African hotel, wa arusha ambalo ni jengo na Mali ya ppf,,,wafanyakazi wame zulumiwa penshen zao na muwekezaji huyo aliyekuwa akishirikiana na baadhi ya viongozi wa mfuko wa ppf..yapata miaka mitano sasa mambo baodo ni dana dana..

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 2 роки тому

    .