I like to say, don't repeat content. some of the contents in today's video are the same as a couple of days ago. soo please don't make unnecessary length videos while you can deliver a short video with relevant information at that time.
Unateseka ukiwa wapi? Kumbe Wazungu wanafuatilia? Hongera ila Africa Ina lugha zake inatia aibu kwa Mwafrica anaeishi Africa kutumia Kifansa,Kichina,Kiingereza ndani ya Bara la Africa Ni Utumwa
Maelezo ya Mkurugenzi na mengine (kilosa station) kwenye post ya leo yamechukuliwa kwenye kipindi kilichorushwa siku 8 zilizopita. Footage zitunzwe vizuri.
Hiyo station ya Dar imekua kama sehemu ya maonyesho (Museum). Siku reli ikikamilika, hilo jengo linaweza kuwa limechakaa. Mtangazaji jaribu kurusha habari mpya, kila mara yale yale tu, au ndio midadi ya reli mpya? Imebidi ni skip video, I watched the whole program within 3 minutes, same content over and over again.
Mwenyewe angekuwepo kusingekuwa na longolongo kama hivi, alieanzisha alijua nini anafanya na ungekuta mradi umefikia sehemu nzuri tofauti na sasa.
I like to say, don't repeat content. some of the contents in today's video are the same as a couple of days ago. soo please don't make unnecessary length videos while you can deliver a short video with relevant information at that time.
Yule ambae hajaona kipande ulichoona wewe kilichojirudia ataona kupitia video hii.
Perfect
Unateseka ukiwa wapi? Kumbe Wazungu wanafuatilia? Hongera ila Africa Ina lugha zake inatia aibu kwa Mwafrica anaeishi Africa kutumia Kifansa,Kichina,Kiingereza ndani ya Bara la Africa Ni Utumwa
Maelezo ya Mkurugenzi na mengine (kilosa station) kwenye post ya leo yamechukuliwa kwenye kipindi kilichorushwa siku 8 zilizopita. Footage zitunzwe vizuri.
Hiyo station ya Dar imekua kama sehemu ya maonyesho (Museum). Siku reli ikikamilika, hilo jengo linaweza kuwa limechakaa. Mtangazaji jaribu kurusha habari mpya, kila mara yale yale tu, au ndio midadi ya reli mpya? Imebidi ni skip video, I watched the whole program within 3 minutes, same content over and over again.
Mbona silioni Maktaba ya mko Kagera
Vipi vinajirudia Kila siku au hakuna kazi feild?
Tunamtaka Ben mwanantala
Hacha kuwa na rongorongo mmeshaanza kuniboa