Hi!! my fancy thanks for following my content to all platforms be blessed!! youtube.com/@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL?si=8L-iW9FDTvqXzZET UA-cam onerpm.link/818041537428 Song= ULIYONITENDEA KUHESABU SIWEZI DIGITAL PLATFORMS SKIZA DIAL *811*117# OK onerpm.link/392578501032 SONG: NAOMBA MBINGU ZIFUNGUKE DIGITAL PLATFORMS SKIZA DIAL *811*457# OK ±254799200738 HIZI HAPA NYIMBO 50 ZA UPONYAJI -link below gusa hapa chini listen all. ua-cam.com/video/6ZlC5yQ5AOg/v-deo.htmlsi=aMw5gZvAJzIdF06u BEST CONTENT
song- MOYO TULIA Lyrics:by sifaeli mwabuka Haloow naongea nanani? ×2 CORUS: -mimi ni yuleyule anayepiganiwa na Mungu mwenzangu nani? -mimi ni yuleyule anayehurumiwa na Mungu mwenzangu nani? -mimi ni yuleyule anayetetewa na Mungu mwenzangu nani? -mimi ni yuleyule anayelindwa na Mungu mwenzangu nani?×3 VERSE 1: Mahali nimefika namshukuru Mungu yeye ni ebeneza!!!! Hivi nilivyo mimi namshukuru Mungu wangu yeye ni ebeneza! - Mimi si yule wa jana niliyekuwa nikililia ooh asante baba!! -mimi si yule wa jana niliyekuwa wa kukataliwa ooh asante baba! -mimi si yule wa jana niliyekuwa matopeni ooh asante baba! -mimi si yule wa jana niliyedharauliwa na wengi ooh asante baba!! -mimi si yule wa jana niliyeitwa kauka nikuvae ooh asante baba! Nani mwenzaguuu!!!! VERSE 2: ooh moyo wangu moyo wangu tulia ooh Mungu yuko na wewe ooh moyo wangu moyo wangu tulia bado mungu yuko na wewe! ooh moyo wangu moyo wangu tulia Mungu hajakusahau! -Acha wakudharau wewe nyamaza Mungu yuko na wewe moyo -wakuone hauna maana kwenye maisha yao bado Mungu yuko na wewe -wakushushe mavumbini moyo wakusahau kabisa Mungu anakuona moyo×2
My story now since 12 this month I'm passing through difficulties,,mimba kutoka kwa boma haikuelewi ni ngumu, finally after miscarriage I was being told by husband's family and husband that I have did abortion 😢😢😢😢the thing I have never put in my mind,,I need lord now,my heart is bleeding alot of pains
My neighbors will choose between loving this song or relocating to other hoods because am going bring the roof down coz they wanna know am not of yesterday's, be blessed man of God
Wow what a powerful massage atukuzwe mungu niko ambae niko,utukufu wa mungu uzidi kuonekana nani yako,napenda nyimbo zako sana,licha ya kuwa mwimbaji pia naomba mungu atukutanishe siku moja tufanye collabo God bless you so much. SHALOM 🙏
Hi!! my fancy thanks for following my content to all platforms be blessed!!
youtube.com/@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL?si=8L-iW9FDTvqXzZET UA-cam
onerpm.link/818041537428
Song= ULIYONITENDEA KUHESABU SIWEZI DIGITAL PLATFORMS
SKIZA DIAL *811*117# OK
onerpm.link/392578501032
SONG: NAOMBA MBINGU ZIFUNGUKE
DIGITAL PLATFORMS
SKIZA DIAL *811*457# OK
±254799200738
HIZI HAPA NYIMBO 50 ZA UPONYAJI -link below gusa hapa chini listen all.
ua-cam.com/video/6ZlC5yQ5AOg/v-deo.htmlsi=aMw5gZvAJzIdF06u BEST CONTENT
😅🎉
Japo mambo magumu Moyo tulia,,,naomba likes 100 nitulie 😢🇰🇪🇰🇪
song- MOYO TULIA
Lyrics:by sifaeli mwabuka
Haloow naongea nanani? ×2
CORUS:
-mimi ni yuleyule anayepiganiwa na Mungu mwenzangu nani?
-mimi ni yuleyule anayehurumiwa na Mungu mwenzangu nani?
-mimi ni yuleyule anayetetewa na Mungu mwenzangu nani?
-mimi ni yuleyule anayelindwa na Mungu mwenzangu nani?×3
VERSE 1:
Mahali nimefika namshukuru Mungu yeye ni ebeneza!!!!
Hivi nilivyo mimi namshukuru Mungu wangu yeye ni ebeneza!
- Mimi si yule wa jana niliyekuwa nikililia ooh asante baba!!
-mimi si yule wa jana niliyekuwa wa kukataliwa ooh asante baba!
-mimi si yule wa jana niliyekuwa matopeni ooh asante baba!
-mimi si yule wa jana niliyedharauliwa na wengi ooh asante baba!!
-mimi si yule wa jana niliyeitwa kauka nikuvae ooh asante baba!
Nani mwenzaguuu!!!!
VERSE 2:
ooh moyo wangu moyo wangu tulia ooh Mungu yuko na wewe
ooh moyo wangu moyo wangu tulia bado mungu yuko na wewe!
ooh moyo wangu moyo wangu tulia Mungu hajakusahau!
-Acha wakudharau wewe nyamaza Mungu yuko na wewe moyo
-wakuone hauna maana kwenye maisha yao bado Mungu yuko na wewe
-wakushushe mavumbini moyo wakusahau kabisa Mungu anakuona moyo×2
Barikiwa ndugu Sifaeli unanibariki
Amina asante sana
Hii Ni message yangu ,, Mimi si Yule nlitharauliwa kitambo nahurumiwa Na Mungu ..WOW! Huu wimbo lazima ufike 1million 🙏🙏
Barikiwa sana mtumishi ni kweli mimi ni yule yule ninayetetewa na Mungu ujumbe mzuri sana sana hongera kwa kazi nzuri sana
Amina asante sana barikiwa
asatea baba❤❤❤❤❤💓💓💓💓💓💓💓💓🏂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 napeda hudumaa Yako unani baliki sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nakushukuru asante sana barikiwa sana
Nabarikiwa sana nyimbo zako❤❤❤Amina
Ameeeen Ameeeeen kubwa hello mwenzangu nani mimi ni yule ninaye tetewa na Mungu
Kazi safi ❤❤❤❤❤
Amina
Halooow ! Mimi ni Yule anayepiganiwa na mungu 🙏🏽🙏🏽
Nyimbo nzuri wamkomesha mahadui 🙏🏽🙏🏽
Haloooo
Another one from my favorite artist,asante sana Sifaeli,nimeupenda mno...nimebarikiwa
Good job brother sifael mwambuka 🇰🇪😭😭❤❤❤
Amen mkuu kwa wimbo nzuri🎉🎉🎉🎉
Keep up hii song aki 🙏🙏🙏 inanikumbusha mbali nimetka
Nashukuru sana mtumishi wa mungu kunikumbusha mmi niko na mtetezi baraka tele
Amina asante sana
Oooh God,barikiwa🙏
Amen
Nyimbo zko ndugu ygu huwa zinabariki moyo wgu🙏🏻
umeguza moyo wangu na kunipa imani maishani
Amen asante sana barikiwa sana
Napikaniwa na mungu.napena nyimbo zoko sana.mungu ananilinda
Amina asante
Amen amen Hakika Natentewa na Mungu kaka Lai bwana Akuinuwe. Nabarikiwa Sana na yimbo zak.
Amina asante sana uzidi kubarikiwa
Wewe ni Yule Yule uliyeitwa Na Mungu mwezako Nani ❤❤❤❤❤❤❤
😭😭😭😭😭ata Mimi niko na Mungu sikumoja ata nikubuka👑👑👑
Amina
hello sifael mimi naitwa evans lichuma mimi ni mwipaji wa yimbo za injili naoba unisaidie unishike mkono
Ubarikiwe Sana Sana nyimbo zako zinanibariki mno
Mimi ni Yule Yule anayepiganiwa na mungu..a big tune ..be blessed man of God.
Keep it up brother mungu mwema azidi kukuweka utupe chakula Cha sikio❤
Amina asante sana barikiwa
Waooo MUNGU akubariki sana MTumishi wa MUNGU Kwa wimbo mzuri sana
my favorite song yanipa matumaini sana
Repeat mode activated.....tulia moyo wangu
Wimbo mzury sana
Amina asante sana
Wimbo wa baraka sana mtumishi wa mungu good message
Thanks again ❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Mungu akuwongeze nguvu mutumishi Wamunyu tunakupendasana❤❤❤❤❤
Oh,God,nimedhaharuliwa na madeni zangu,God remember me,
Amen 🙏🙏🙏 moyo tulia ijapokua mambo ni mengi Mungu yuko nawe
huu wimbo ukosawa
Jamani. Mungu😢anaupedo Leo. Anatupesote☎️📞aminaa❤
Hakika
Barikiwa ndugu yangu...endelea kufanya kazi safi yake bwana yetu Yesu christo
Amina asante sana ❤
❤❤❤
Waa huu wimbo umeniguza 😭😭😭wacha mungu akubariki Kaka nikiangalia mahali nimetoka na mahali nimefika kweli ni Mungu tu
Mungu akubariki sifael
Amina asante sana
Mungu sikia kilio changu nimelia Kwa Muda mrefu,,,,this song has touched me 😢😢🙏🙏
Amen be blessed more
My neighbours will choose between loving this song or relocating to another hood cus it's definitely gonna be on repeat.
Amen be blessed more
😀😀😀
Huu wimbo ni baraka kwa maisha ya wengi moyo tulia be blessed bro 🙏❤️
Nyimbo Tamu sana
Mungu akubariki mtumishi wa mungu umenifariji sana kupitia ujumbe wako
Am happy to the most favorite follower 👣from Zambia🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Amen asante sana
Mungu akubarikiwe moyo wangu Tulia 😢😢😢🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦
Naupenda Sana huu wimbo hallow naongea na Nani Mimi ni Yule Yule anayepiganiwa na Mungu
Keep up the good work mr... Kazi safi... God bless you 🙏🇰🇪🇨🇦❤️❤️❤️🙌
Amina asante sana barikiwa
Utukufu kwa Mungu .ubarikiwe sana kwa kunitia moyo kupitia wimbo huu.
Good work sifaeli
Napenda wimbo zako hua zinanipa hope
Tulia unaenda mbali.!!...Kenya...watamu.
Umetisha mtumishi hakika unastail pongez
Hakika mheshimiwa
My Fevourite mwabuka tunawasuport sana huku Kenya na nyie pia mtusurport tufike mbali ❤❤❤ am also gospel singer
Amen
Moyo wangu tiulia Mungu yuko nawe we. Alleluia! ❤
Wow wow wow wow this song is touching.nyimbo zako zinaniinua Sana Aki uzidi kubarikiwa Sana kutuita nguvu
❤❤ barikiwa Sana nyimbo zoko ninzuri sana zinafundisha Sana,
Jambo napitia Mambo mengi yakuumiza moyo wangu,lakini kupitia Kwa mwenyezi mungu,moyo wangu unatulia
Napenda sana nyimbo zako zinanitia nguvu mungu azidi kua na wewe ❤
Amina nakushukuru asante
Mimi ni yule yule anayehurumiwa na Mungu🙏, barikiwa sana Mtumishi wa Mungu.
Asante Mungu BABA🙏The Alfa And Omega🙏❤❤❤❤❤❤❤❤
My story now since 12 this month I'm passing through difficulties,,mimba kutoka kwa boma haikuelewi ni ngumu, finally after miscarriage I was being told by husband's family and husband that I have did abortion 😢😢😢😢the thing I have never put in my mind,,I need lord now,my heart is bleeding alot of pains
O nosso Deus é poderoso. Mesmo não entendendo a língua, ainda assim estou entronizado com a eternidade através dos teus louvores. Amém!
Wow!singing this song from gulf country,,,❤moyo wangu mungu anatupigania tulia
Barikiwa
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL amen,mchungaji
Wow nice song wueeee mungu akubariki mtumishi wa mungu
Mimi yule yule amebarikiya na mungu
Amina mtumshi Kazi yako ni njema
Me ni yule yule ninaetetewa na Mungu
Nyimbo zako zina ubako na niza kunjenga be blessed mtumishi wa mungu
Huyo mama na sket fup mapaja nje!watasema mimi mshamba
Nyimbo zako zote zina ujumbe na upako sana kaka twakupenda Kenya🇰🇪🇰🇪
Asante Mungu mahali nimefika ni wewe Mungu
Umebarikiwa mtumishi 🙏
Mungu badili tuu historia yangu🙏
NYIMBO zako nzuri sana zinanibariki sanaa
Mungu akuinue unavyoinua mioyo ya wengi
Amen,,,the song is encouraging, and strengthening my faith,me si yule wa jana❤❤❤❤❤❤ 🇰🇪
Thanks for your support. Be blessed. Don't forget to subscribe, comment and share
The voice is voicing with vibe I'm from Kenya, thanks mtumishi
Amen be blessed
❤❤❤❤❤❤
Huu wimbo ni baraka kwa maisha ya wengi mno ## MOYO TULIA
Amina ubarukiwe Zaidi
Nice
naoba uni saidie mimi ni artist kwa UA-cam naitwa Evans lichuma
Mwabuka pata like zote from Kenya twakupenda saaaana 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏(moyo tulia kwa mangumu ya Dunia 🙇🏿♀️🙏🏿💯💯💯💯
Mm si yule wa jana 🙏
Hongera sana❤😂
sifaeli unanibariki sana bro ❤❤❤❤
Mimi ni yuleyule 🙏🙏
Amen 🙏 🙏 🙏 ❤❤❤
Wow wow! Utakuwa wimbo wangu wa pili ukitoka Mimi Ni Nani! Mungu akubariki na kukuinua kwa kuinua wengine kwa nyimbo za faraja na neno la Mungu
Amina asante sana baba nakushukuru
Ubarikiwe sana mtumishi wa Yehovah Mungu wetu
Amen
My neighbors will choose between loving this song or relocating to other hoods because am going bring the roof down coz they wanna know am not of yesterday's, be blessed man of God
Amen thanks 🙏
Ameni ubalikiwe sana mtumishi wa Mungu 🔥 🔥
Woo ,Top notch 😊😊, 😊 Than you God 🙏 i know through this song ,my life is going to change 😊🥺
Amen be blessed more
Moyo wangu tulia ,,,a blessing song mtumishi wa Mungu❤
Huu wimbo umeniguza moyo❤
Baraka tele nikiwa Nairobi Kenya, ameeeeeeen 🙏 kaka Sifael❤❤
Wimbo mzur umenifariji moyo
Wow what a powerful massage atukuzwe mungu niko ambae niko,utukufu wa mungu uzidi kuonekana nani yako,napenda nyimbo zako sana,licha ya kuwa mwimbaji pia naomba mungu atukutanishe siku moja tufanye collabo God bless you so much. SHALOM 🙏
Amina Karibu sana
Nimebarikiwa
Amen 🙏🙏🙏
Mimi si yule wa Jana
More grace man of God
Amen thanks
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL ningekua na uwezo ningekualika kwa kongamano kanisani mwezi huu lakini IPO siku Mungu atatenda
Mimi ni yule yule ninaetetewa na MUNGU ❤❤❤❤❤❤
Be blessed
Best Music to listen to. I'm grateful and congratulations
Bro in Christ Jesus,what can i say again?just👏👏👏👍🇺🇬🙏🙏🙏