YALE NISIYOWEZA BWANA ANAWEZA-OFFICIAL VIDEO=SIFAELI MWABUKA SKIZA-CODE*811*41#
Вставка
- Опубліковано 28 чер 2023
- #sifaelimwabuka #254799200738 #yalenisiyoyawezabwanaanaweza
Music by sifaeli mwabuka performance YALE NISIYOWEZA BWANA ANAWEZA (©) MWABUKA MEDIA LTD 2024
Subscribe for more official content from Sifaeli:
/ sifaelimwabukaofficial
Listen to Sifaeli mwabuka
UA-cam: / sifaelimwabukaofficial...
Audiomack: sifaeli mwabuka
Apple Music: sifaeli mwabuka
Spotify: open.spotify.com/artist/1o3pL...
Boomplay: sifaeli mwabuka
For more information booking Sifaeli mwabuka
: WhatsApp+255769553055
call. +254799200738
Email: mwabukamedia@gmail.com
©2024 MWABUKA MEDIA LTD,all lights reserved
Wimbo mzuri sana wa kujitia moyo❤ who plays more than five times kama mimi
me tooo!!! 😭
asante kwa mda wako kutazama ujumbe huu
Mungu azidi kukuinua mtumishi wa Mungu.
Wimbo mzur sana Yesu azidi kukuinua❤❤❤❤❤❤
Mtumishi ukweli Mungu anaweza.Zach Mwimbaji mwenye tulikutana Thawabu primary school Kayole Kenya
Sifa na utukufu kwa Mungu
Any Kenyan here.. Be blessed man of God always wen I'm down your song heal me.. God remember me true this song 😭😭🙏
Kupitia huu wimbo napokea hitaji la moyo wangu, amen amen ameeeen❤
Kweli huu wimbo mzuri wa kunitia moyo mungu anawesa
May the name of the Lord be praise 👏 🙌 🙏 asante sana kwa huu wimbo lenye mafunzo❤
Hakika,yale nisiyoweza,bwana anaweza na ameweza, Amen. Wakenya majaribu yamekua mengi lakini Mungu ataweza.
Amen 🙏 sana . Ni kweri yale tusioyaweza sisi Bwana anaweza
Kenya 🇰🇪 Bwana Mungu Tushindanie...Africa Twakuhitaji
Yale nisioweza bwana anaweza amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏🙏🙏🙏 hakika wimbo huu umenibari sana na kuniguza
Amen mtumishi barikiwa sana
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN MUNGU APEWE SİFA Hallelujah
Hallelujah 🙏 anaweza (Bwana) kabisaaaaaa!!.
God bless you man of god
Hallelujah ...nisiloweza anaweza❤❤❤❤
Amen huu wimbo umenitia moyo nilikuw naangaika sina kazi
Wimbo huu unanibariki sana,barikiwa....
powerful and very encouraging song
Ukweli Yale nisiyoyaweza bwana anayaweza ahsante ubarikiwe
Yale nisiyoweza bwana anaweza nice nice song...wimbo mtamu umenitoa machozi....
Wimbo huu una ujumbe barikiwa sana ndungu...na naomba maombi kwako mungu ananijua zaidi...
Mungu anatupigania sana wakati sisi hatuwezi
Nina barikiwa sana naposikiliza wimbo huu ambao ni wabaraka kwangu
Amen mungu akubariki sana ndugu, kazi nzuri sana
Bwana. yesu Asifwe kumbe umefika Kwa Luyia Nimefurai Sana.
Nimebarikawa sana na nyimbo hii na hata nyingi zilizo pita natamani Mungu akipenda nipate hata kufanya kazi na wewe
Ni kweli, yesu anaweza kwajambo nisiloliweza, AMEN and AMEN mungu akubariki kwa kazi njema bro
amina
SEMPRE irmã Isabel campuma❤❤❤❤❤❤
Mungu najuwa utanitendea hii mwezi
Amen 🙏🙏 a very good song.........yenye siwezi mungu anaweza
Hii wimbo inaniguza na Tena inanihariki especially the message it encourages
Nimependa nyimbo yako na ndio mana nikacheza kwa hisia ktk hii vidio naamini nime vaa husika vizuri sana humu mungu ana weza sana
Ameni.Bwana.anaweza
Wimbo wanibariki kila itwayo leo
Amen 🙏
Kwa kweli yale nisiyoweza Bwana anaweza yote
Barikiwa sana kaka Kwa kazi yako Kwa ajili ya huduma ya Mungu
Our God bless this man of you...mzindishie kibali akusifu
Amina Yale nisiweza bwana unaweza
bonge la hit juu ya hit umebarikiwa mtumishi
Tuwe na maminifu kwa bwana tusiyo yaweza kwa akima zetu bwana anaweza yote glory be to God bless you so much brother bwana anaweza yote tusiyo weza sisi wanadamu🙏🙏🙏🙏
Yale nisiyoweza Yahwe anaweza
Kazi nzuri anaweza yote🙏🙏
Ubarikiwe Sana mtumish wa bwana naomben supot yenu na mim natamn kuwa kam muimbaj mkubwa
barikiwa sana brother
Amina.... yale nisiyoweza Bwana anaweza . .
Mark 10:27 thank you Jesus
Tunakupenda Sana mwabuka nice songs
Hii nyimbo imenibariki leo🙏🙏🙏
Wimbo mzuri sana wiki haipiti bila kuusikiliza
Mungu aendelee kubarika huduma yako Mtumishi,nyimbo zako no baraka kwangu na zinanifariji.
Samson From Burundi
Aminaaaaaasa sifael
Nice Song,It's Only The Lord Our God Who Has Power Over all,Amen.
Eeh!Bwana wewe unaweza
Waaaah! Nasikianga tu huu wimbo sijawai ona video yake. Leo ndio imekuwa siku yangu nimejifunza mengi hapa. Mungu akubariki sana mwana wa mungu. From Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 bungoma county.
Ujumbe mzuri sana ubarikiwe Mtumishi
Akika nizilo weza bwana anaweza amen amen
Barikiwa mtumishi MUNGU akuinue zaidi
Yale ni silo weza bwana anaweza🎉🎉❤❤
Amen 🙏 Mungu azidi kukuinua
Nikweli anaweza ndio maana siogopi
God bless you Brother
nikweli anaweza barikiwa sana mtumishi
umebariki wengi vile umezuru taifa letu Kenya Mungu akubariki 🙏🙏
Wimbo mzuri sana .
Barikiwa
Mimi na mke wangu tunapenda kuskia nyimbo zako huwa zinatubariki sana....Na atamani kuimba na wewe jee unaweza
Tanzania is the best leading gospel singer barikiwa sana bwana Sifaeli
Kazi nzuri sana mtumishi wa Mungu
Binadamu hawawezi kukubeba lakini yeye Anaweza
Very uplifting.manze unajenga moyo
Amen and Amen anaweza bwana yesu
Tunashukuru Mungu kwa kumsifu Mungu na roho yako ,ubarikiwe Mtumishi, Mungu anibariki nami pia
Video
Very powerful praise and worship song,,am in teep payer sababu ya wimbo huu...thank you sifaeli
Nyinbo hi ina ni l'ETA kwenye mbavu ya Mumba wangu! Ubarikiwe sana jamani
Anaweza kweli naamini ubalikiwe sana
Amen mtumishi wa Mungu hakika ni Mungu pekee anaetuwezea.
Thanks for your support. I appreciate it... Mungu akubariki sana nakushukuru mno usiache kufuatilia kazi zangu. Subscribe and share with others
Huu wimbo unibariki sana
Amina
Woow vizuri kabisa
Blessed tune.Only God❤️🙏
Be blessed
Asant sana Mtumishi ujumbe ni mzr mno... MUNGU azidi kukuinua
Barikiwa Rohomtakatifu asidi kuinua huduma yako yaimbaji.
Wimbo wenye baraka kweli
Mbarikiwe sana
Thank you for this beautiful song asante
amen be blessed more
Very inspiring.God bless you man God
Wimbo mzuri umenigusa sana moyo wangu ni kweri Mungu anaweza
Bwana anaweza yote❤
So inspiring, indeed Yale yametushinda ni Yesu tu anaweza. Barikiwa
May The Lord Bless you, your songs are from God
Be blessed
Mungu akubariki sana kwa ujumbe mzuri
Amen mungu anawezayote nimushindi ❤
Anaweza bwana, tunabarikiwa
Amen akika bwana nawasha🙏🙏
Amen anaweza bwana
I slept late because of this song,,reminds me my past history,, l got emotions when I remember where God has helped me and my children, let's practice faith and patience everything is possible to God
Kweli bwana anaweza
Yes good video
Praise be to God, Amen
May the good lord whom uses you to pass the message grant you long life, good health and more wisdom so that we get closer to God through your message. Stay blessed the oracle of God
Kaz mzuri brother ya Ngoma tamu🎉🎉🎉🎉
Be blessed
Kweli yesu anaweza yote
Hakika mungu akubaliki sana yale yasio wezekana bwana anweza nice song ❤❤❤