MAMBO 4 YAKUFANYA MWANAUME AKUKUMBUKE.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 518

  • @Beatricemgaya-m3x
    @Beatricemgaya-m3x 6 годин тому

    Asante kwa somo zuli mimi mpenzi wangu niliamua kumpotezea nikabadilisha adi namba baadae nikakuta ameanza kunitafuta adi kwandugu zangu asante sana kaka

  • @IreneDavid-s5p
    @IreneDavid-s5p 17 днів тому

    Asante sana kaka kwa elimu nzuri nimejifunza kitu

  • @MariamMariamrashid
    @MariamMariamrashid 2 дні тому

    Asant bro umenifungua masikio

  • @SaraMsawila
    @SaraMsawila 6 місяців тому +2

    Thanks brother kwa ujumbe wako mzur xana umenifungua ki2 flani ambacho siku najua ❤❤❤

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  6 місяців тому

      Karibu katika darasa langu la whatsapp tujifunze pamoja🤝 0659152333

    • @VailethNzowa
      @VailethNzowa 6 місяців тому

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  6 місяців тому

      @@VailethNzowa Karibu katika darasa letu la whatsapp tujifunze zaidi na kushauriana😊🤝 0659152333

  • @PhilomenaFransis
    @PhilomenaFransis 23 дні тому

    Asante kaka nimejifunza kitu hapo Mungu akubariki

  • @marrypeter7488
    @marrypeter7488 7 місяців тому +13

    This is very true ata wangu nikimnuniaa baadae ananitftaa kwa hili nimevuka kwakwel😊😊

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  7 місяців тому +1

      Good

    • @StevenEdison-eq5nd
      @StevenEdison-eq5nd 4 місяці тому +1

      Mi pia

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  4 місяці тому

      @@StevenEdison-eq5nd Karibu katika darasa langu la WhatsApp tuendelee kujifunza mengi pamoja, na kushauriana mambo mbali mbali. 0659152333.

  • @JoyceMichael-e7z
    @JoyceMichael-e7z 2 місяці тому +3

    Ahsante kaka kwa ushauru mzuri nimejifunza kitu

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  2 місяці тому

      @@JoyceMichael-e7z good nafurahi kusikia hivyo

  • @HappyJumanne-k6z
    @HappyJumanne-k6z 5 днів тому

    Wow ushaur mzur San kaka umenifungua ubongo wang

  • @aishaabdahh1957
    @aishaabdahh1957 7 місяців тому +4

    Shukran kaka kwa ushauri mzuri mnoo wallah nimejifunza

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  7 місяців тому

      Karibu saana, na usiache ku subscribe🙂

  • @happinesssupila
    @happinesssupila 6 місяців тому +3

    Asante sana naanza leo kutekeleza

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  6 місяців тому

      Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝

  • @ummibabysalim9522
    @ummibabysalim9522 Місяць тому +1

    Asante kwa ushauri kaka nimejifunza kitu 🎉❤

  • @BabySulley
    @BabySulley 6 днів тому +1

    Ya kweli hayo

  • @mayahgomez
    @mayahgomez Місяць тому

    Asante baba ,kwa mafunzo nimekuwa mjinga sana ila sai mmmh Pembe zimetokana

  • @NizaLuka-gi8hf
    @NizaLuka-gi8hf 3 дні тому

    Ahaaaaa!!🎉 yako kaka

  • @HassanHaji-q3w
    @HassanHaji-q3w Місяць тому

    Asante kaka

  • @asiamatitu6456
    @asiamatitu6456 6 місяців тому +1

    Thank you bro 🙏 ,hio ni noma

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  6 місяців тому

      Karibu katika darasa letu la whatsapp tujifunze zaidi na kushauriana😊🤝 0659152333

  • @Maurinemenza
    @Maurinemenza 8 місяців тому +4

    Thnks alot kaka umenisaidia sana bro 🤜🤜🤜🤜

  • @MariamAbuubakar-e5o
    @MariamAbuubakar-e5o 11 місяців тому +5

    Asante kaka kwa kunifunguwa kichwa

  • @NeemaPaschal-y2g
    @NeemaPaschal-y2g 2 місяці тому +2

    Dah asante saaan nashukuru kwa ushauri wako nimejifunzaa kitu

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  2 місяці тому

      @@NeemaPaschal-y2g good👏

  • @DianaAgonza
    @DianaAgonza 6 місяців тому +15

    Akili za kuambiwa,,changanya na za kwako

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  6 місяців тому

      Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝

    • @ByuriDotla
      @ByuriDotla 5 місяців тому +1

      HAhaaa

  • @ZeeyZeey-c9x
    @ZeeyZeey-c9x 6 місяців тому +1

    God bless🙏

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  6 місяців тому

      Karibu katika darasa langu la whatsapp tujifunze pamoja🤝 0659152333

  • @pendolema6038
    @pendolema6038 5 місяців тому +4

    Asante ,mwaka huu naolewa jmn😂😂💃💃🧖‍♀️

  • @bernadethachristopher
    @bernadethachristopher 8 місяців тому +7

    Mubaba huwa nakuelewa sana..
    Huwa hukosei kabisa kwenye ishu za ushauri..mi nimejinza na nitaendelea kujifunza kwa maana kwa sasa naishi kwenye njia zote.. ubarikiwe sana

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  8 місяців тому

      Asante sna mpemdwa🙏

  • @NeemaSaidi-ql7lt
    @NeemaSaidi-ql7lt 6 місяців тому +2

    asante❤❤

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  6 місяців тому

      Karibu katika darasa langu la whatsapp tujifunze pamoja🤝 0659152333

  • @InoJohn-p3u
    @InoJohn-p3u 3 місяці тому +1

    Asante kaka nitajaribu

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  3 місяці тому

      @@InoJohn-p3u Ila jaribu kama utaona yeye ameanza kukupuuzia

  • @AquilinahSamuely
    @AquilinahSamuely 3 місяці тому +1

    Asante kwa ushauri mzury

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  3 місяці тому

      @@AquilinahSamuely fanya kama ukiona yeye hajali kuhusu wewe Ila kama anakujali na kukukumbuka usifanye.

  • @LucyMnyawami-l6x
    @LucyMnyawami-l6x 3 місяці тому +1

    Asante ka2 nmekuelawa

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  3 місяці тому

      @@LucyMnyawami-l6x fanya kama ukiona yeye hajali kuhusu wewe Ila kama anakujali na kukukumbuka usifanye.

  • @Barakamuhunda
    @Barakamuhunda 9 днів тому

    Mapenz bn

  • @MwanamisiAli-w4k
    @MwanamisiAli-w4k 8 місяців тому +3

    Shukran Kkngu God bless you

  • @LovenessRichadi
    @LovenessRichadi 2 місяці тому +1

    Nimepata kitu asante

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  2 місяці тому

      @@LovenessRichadi good💪

  • @febostanyika1821
    @febostanyika1821 6 місяців тому +3

    Asante kak mana du kunawanaumme wanavibuli sana hasa akijua unampenda

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  5 місяців тому

      Karibu kutazama video yangu mpya

  • @afsamimi2780
    @afsamimi2780 6 місяців тому +1

    Shukran kka,Mungu akujaze kheir

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  6 місяців тому

      Amina🙏
      Karibu katika darasa letu la whatsapp tuzidi kujifunza pamoja na kushauriana zaidi.. 0659152333😊🤝

  • @ScholaMalale
    @ScholaMalale 5 місяців тому +3

    Yani ww kaka nimekupenda sana Axante kwa ushauri

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  5 місяців тому

      Karibu sn mpedwa😊. Na nimepost video mpya karibu utazame.

  • @neemarevocartus8119
    @neemarevocartus8119 3 місяці тому +1

    Me ngoj nijarib ❤

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  3 місяці тому

      @@neemarevocartus8119 fanya kama ukiona yeye hajali kuhusu wewe Ila kama anakujali na kukukumbuka usifanye.

  • @RehemaLaizer-y2c
    @RehemaLaizer-y2c 2 місяці тому +1

    Asantee sana

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  2 місяці тому

      @@RehemaLaizer-y2c karibu

  • @DelilaKazamaso-bq4hy
    @DelilaKazamaso-bq4hy Рік тому +4

    Asante sana Kaka 🙏🙏🥰

  • @aminabeatrice7521
    @aminabeatrice7521 7 місяців тому +7

    Walai hi nidawa nzuri sanaa imenisaidia alidhani namshobekea sanaa kwavile yeye ni hundsome ikawa anajivuta sana nkaja nkakanyagia saii niyeye nakol ama anitext anitagute yeye bila hivyoo mi sina shuhuli nayeye nashukuru mungu imenisaidia

  • @fatmarashdi3547
    @fatmarashdi3547 4 місяці тому +1

    Ahsantee kaka kwa ushauri

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  3 місяці тому

      @@fatmarashdi3547 fanya kama ukiona yeye hajali kuhusu wewe Ila kama anakujali na kukukumbuka usifanye.

  • @judikadzo8712
    @judikadzo8712 4 місяці тому +1

    Asante sana

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  4 місяці тому +1

      Karibu katika darasa langu la WhatsApp tuendelee kujifunza mengi pamoja, na kushauriana mambo mbali mbali. 0659152333.

  • @myTanzanianplate
    @myTanzanianplate 7 місяців тому +2

    Knomaa....nimekuelewa sana

  • @ruciawinchislaus9424
    @ruciawinchislaus9424 6 днів тому

    Wakola tata

  • @فاطمةفايز-غ1غ
    @فاطمةفايز-غ1غ 3 місяці тому +1

    You have saud it all.thanks.

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  3 місяці тому

      @@فاطمةفايز-غ1غ thanks 🙏 😊

  • @LucyMusenya-h1w
    @LucyMusenya-h1w Місяць тому

    True thanks

  • @MarthaHitra
    @MarthaHitra 5 місяців тому +2

    Kaka Asante Yani me ndo pigo zangu hz ata wiki mbili namalza hasipo nitafta fresh akinitafta pia fresh Sina papara

  • @Jackline-je4lj
    @Jackline-je4lj 6 місяців тому +2

    Nmekuelewa naitaji kujaribu

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  6 місяців тому

      Karibu katika darasa letu la whatsapp tujifunze zaidi na kushauriana😊🤝 0659152333

  • @AdelphinaHaule
    @AdelphinaHaule 6 місяців тому +1

    Asante kaka kwa somo zuri mungu akubariki sana

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  6 місяців тому

      Amina mpendwa🙏.
      Karibu katika darasa letu la whatsapp tuzidi kujifunza pamoja na kushauriana zaidi.. 0659152333😊🤝

    • @AdelphinaHaule
      @AdelphinaHaule 6 місяців тому

      Asante sana kaka ​@@mbekitv693

  • @bidalambwans-to9yd
    @bidalambwans-to9yd 4 місяці тому +1

    Shukran sana kakaa❤

  • @Hadija-i8z
    @Hadija-i8z 2 місяці тому +1

    Ahxant kwa ushaur🎉🎉🎉🎉

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  2 місяці тому

      @@Hadija-i8z karibu sn

  • @Zuhuranadadoita
    @Zuhuranadadoita 5 місяців тому +1

    Asante saaana asehe kwa madin

  • @AngelShedrack-q4u
    @AngelShedrack-q4u 5 місяців тому +2

    Kumbe mm nakuwaga na karo kihere here eeee nmejifunzaaa brooo shukran dr brother

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  5 місяців тому

      Karibu sna😊👏. Nimeweka video mpya karibu kutazama

  • @shamsaramadhan5283
    @shamsaramadhan5283 6 місяців тому +1

    dah yaniiii😢😢😢 hadi najiona najipendekeza jaman laaaaaa

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  6 місяців тому

      Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝

  • @ElidaMwandupe
    @ElidaMwandupe 4 місяці тому +3

    Ushauli mzuli sana nimeufata naona kabisa ndoa inaniusu❤

  • @rachelsimbeye9637
    @rachelsimbeye9637 5 місяців тому +5

    Ngoja nijaribu

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  3 місяці тому

      @@rachelsimbeye9637 fanya kama ukiona yeye hajali kuhusu wewe Ila kama anakujali na kukukumbuka usifanye.

  • @salmakiti1517
    @salmakiti1517 7 місяців тому +2

    Yote uliyo sema mm ndio niko hivyo jamani anipenda kumbe asante mkaka😂❤

  • @LilianMmbone-v2z
    @LilianMmbone-v2z 3 місяці тому +1

    Shukran

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  2 місяці тому

      @@LilianMmbone-v2z karibu

  • @KaviraMbimbe
    @KaviraMbimbe 5 місяців тому +2

    Kaka mungu a ku bariki

  • @LovenessImanuel
    @LovenessImanuel 3 місяці тому +1

    Asante sana ,mbona atakoma

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  3 місяці тому +1

      @@LovenessImanuel fanya hivyo kama utaona hakupi kipaumbele tu. Ila kama anakulumbuka vizuri na kukujali haina haja yakufanya hivi, lakini pia uwe tayari kwa matokeo, kwa maana kama hakupendi na hauna umuhimu kwake basi atatumia hiyo kama sababu ya kukuachana ama na yeye atakaa kimya pia kwasababu hauna umuhimu kwake. Ila kama anakupenda başı mambo yataenda vizuri. Kuwa tayari kukubali ukweli.

    • @MerlinaKubadesha
      @MerlinaKubadesha 3 місяці тому +1

      Fresh😂😂😂

  • @PendooEvody-nv4xm
    @PendooEvody-nv4xm 4 місяці тому +1

    Ngoja nijaribuu na mimi kaka anguu

  • @ChristinaGomisi
    @ChristinaGomisi 4 місяці тому +2

    Hiii ni tabia Anguu kabisa na inasaidiaa sana

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  3 місяці тому

      @@ChristinaGomisi but usiizoee😀

  • @KaitaniEdimundi-lm9yz
    @KaitaniEdimundi-lm9yz 7 місяців тому +1

    Nimeipenda

  • @nataliaananias5613
    @nataliaananias5613 7 місяців тому +5

    Mm nilijaribu kufanyaivyo,miez3 sasa hajanitafuta,naona ndio tumeachana kiivyo

    • @grice2075
      @grice2075 7 місяців тому

      😂😂😂😂

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  6 місяців тому +1

      Vizuri umepata majibu mapema

    • @tiffahdevivah
      @tiffahdevivah 6 місяців тому +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @tiffahdevivah
      @tiffahdevivah 6 місяців тому +1

      Hata me imenikuta mweee😂😂😂😂

    • @NaimaKhamiss
      @NaimaKhamiss 6 місяців тому

      😅😅😅😅

  • @MaryamMzee-l1b
    @MaryamMzee-l1b 2 місяці тому +1

    Maryam mzee

  • @MsooJadee
    @MsooJadee 5 місяців тому +1

    Aki ahsante ❤

  • @samiraissa7434
    @samiraissa7434 5 місяців тому +1

    Asante kwA ushauri

  • @NasratOmary
    @NasratOmary 8 місяців тому +1

    Asanteee kw ujumbe mzuri ❤❤

  • @LenaKen-h7v
    @LenaKen-h7v 4 місяці тому +1

    Thnkx bro 😊😊

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  4 місяці тому

      Karibu katika darasa langu la WhatsApp tuendelee kujifunza mengi pamoja, na kushauriana mambo mbali mbali. 0659152333.

  • @LaylatyMkali
    @LaylatyMkali 6 місяців тому +1

    Asante Sana my

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  6 місяців тому

      Karibu katika darasa letu la whatsapp tuzidi kujifunza pamoja na kushauriana zaidi.. 0659152333😊🤝

  • @Irenestevene-c1o
    @Irenestevene-c1o 7 місяців тому +1

    Upo sahihi Sana kaka

  • @winilucas
    @winilucas 2 місяці тому +1

    Asantee❤

  • @JoshuaTenga
    @JoshuaTenga 2 місяці тому +1

    🙏🙏🙏

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  2 місяці тому

      @@JoshuaTenga bless😊🙏

  • @chokinare8737
    @chokinare8737 5 місяців тому +6

    Wongo mtupu kutowasiliana vizuri n madharau hata boss unashika simu haraka ju unamheshimu

  • @linethgozberth
    @linethgozberth 2 місяці тому +1

    ahsant sana umenfunza pia❤❤🎉🎉

  • @gracekasongo9181
    @gracekasongo9181 6 місяців тому +1

    Courage vraiment mon père🙏🙏🙏

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  6 місяців тому

      Karibu katika darasa letu la whatsapp tuzidi kujifunza pamoja na kushauriana zaidi.. 0659152333😊🤝

  • @FurahaRuwa
    @FurahaRuwa 4 місяці тому +1

    Asante sana kaka

  • @Aminanganisya
    @Aminanganisya 5 місяців тому

    Nitafany hivy jamn yupo mbli bc mm ninashauku kila mda nimpigie . Fundsh zuri kazi inaaza leo asante

  • @MariamAbuubakar-e5o
    @MariamAbuubakar-e5o 11 місяців тому +2

    Asante kaka kwa kunifunguwa kichwa maana mm hiyo zangu

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  11 місяців тому

      Hongera sn mpendwa 😀👍

  • @TausiMfaume-ge5es
    @TausiMfaume-ge5es 2 місяці тому +1

    Nimekuekewa kaka na huko sahihi

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  2 місяці тому

      @@TausiMfaume-ge5es asante sn

  • @Biira-l5r
    @Biira-l5r 5 місяців тому +1

    Thank you dear ❤

  • @ezekielsanare
    @ezekielsanare 4 місяці тому +1

    Nitajarib

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  3 місяці тому

      @@ezekielsanare fanya kama ukiona yeye hajali kuhusu wewe Ila kama anakujali na kukukumbuka usifanye.

  • @Maurinemenza
    @Maurinemenza 8 місяців тому +4

    Kama mimi hapa nikiona text hvi pap ndio hyo mmi nareply 😢kwanzia sahi siezi rudia tena thnks bro umenisave sana❤❤❤❤❤

  • @christinambowe2331
    @christinambowe2331 4 місяці тому +1

    Ngoja nianze leo

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le 11 місяців тому +70

    Mimi mwanaume alinambia pia siwez kuishi bila ya yeye, kwakua nampapatikia, namnyenyekea kla siku, ila sahiv nimeacha mwez wa pil huu sahiv sjamtafta na yeye hajantafta mpaka Leo.

  • @FLORAKYABARA
    @FLORAKYABARA 2 місяці тому +1

    Asante

  • @LucyJosephat
    @LucyJosephat 6 місяців тому +2

    ❤❤❤

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  6 місяців тому

      Karibu katika darasa letu la whatsapp tuzidi kujifunza pamoja na kushauriana zaidi.. 0659152333😊🤝

  • @AaAs-u8i
    @AaAs-u8i 5 місяців тому +1

    Thanks bro❤❤

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  5 місяців тому

      Karibu kutazama video yangu mpya

  • @MarianaKayoka
    @MarianaKayoka 6 місяців тому +1

    Ooooh thanks brother

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  6 місяців тому

      Karibu katika darasa letu la whatsapp tuzidi kujifunza pamoja na kushauriana zaidi.. 0659152333😊🤝

  • @jenifasoka9031
    @jenifasoka9031 3 місяці тому +3

    Za kuambiwa changanya na za kwako

  • @shabanikitula645
    @shabanikitula645 6 місяців тому +1

    Hii yakwanza naipenda ilimfanya mtu akajitambulishe bila kupenda

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  6 місяців тому

      Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  6 місяців тому

      Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝

  • @RufaidaAbdi
    @RufaidaAbdi 7 місяців тому +1

    Asante cause ni serious issue

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  7 місяців тому

      Karibu saana, na usiache ku subscribe🙂

    • @JuliaW-z4h
      @JuliaW-z4h 7 місяців тому +1

      Waoh fantastic

  • @LarmaTuyisenge
    @LarmaTuyisenge 3 місяці тому +1

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  3 місяці тому

      @@LarmaTuyisenge ❤️

  • @monallyliay8364
    @monallyliay8364 5 місяців тому +3

    Wangu toka ameenda njee ajanitafuta ana kaz kumwambia mdg wake anisalimie kwel mapez hayoo jamannn

  • @JullyIsoyi
    @JullyIsoyi 6 місяців тому +1

    Asante kwa sana kwa hekima kaka🎉

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  6 місяців тому

      Karibu katika darasa letu la whatsapp tuzidi kujifunza pamoja na kushauriana zaidi.. 0659152333😊🤝

  • @Nnietechnology
    @Nnietechnology 6 місяців тому +2

    Lkn mbona nyie ni kama mnatuchanganya jamani😢wanaume wenyewe hawana huruma hawa, unampenda unamjali lkn na wao wanatafta wa kumjali na kumpenda😢, nilijaribu kufanya yote hayo lkn aliishia kucheat tu kunidanganya😮

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  6 місяців тому

      Karibu katika darasa langu la whatsapp tujifunze pamoja🤝 0659152333

  • @MegaNasri-bv7tc
    @MegaNasri-bv7tc 5 місяців тому +1

    Asante sn

  • @LakiaAlly
    @LakiaAlly 3 місяці тому +1

    Acha kupotosha wenzio

  • @HusnaSalvatory
    @HusnaSalvatory 2 місяці тому +1

    Asnte kaka

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  2 місяці тому

      @@HusnaSalvatory karibu sn

  • @JanethMichael-y8u
    @JanethMichael-y8u 8 місяців тому +1

    Asante kaka kwa ushauri wako

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  8 місяців тому

      Karibu sn mpendwa, pia usisahau kusubscribe

  • @suzanbegas4139
    @suzanbegas4139 8 місяців тому +1

    ASANTE SN 🙏🏼 Hi Nikweli kabisa 💯🎯✔️ Jana nimefanya yote hayo

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  8 місяців тому

      Good 👍🙂

    • @RestutaFesto
      @RestutaFesto 4 місяці тому

      @@mbekitv693 Aiseeeeeeee
      Baraaaaaaatup

  • @gracekasongo9181
    @gracekasongo9181 6 місяців тому +1

    Jambo papa asante kwamashauri zako❤

  • @Paul-y3c
    @Paul-y3c 9 місяців тому +2

    Hilo sawa kabisa