26 Haki za Binadamu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 бер 2016
  • Aman Thani anaelezea maonevo waliopatishwa wananchi wa Zanzibar. Wanamapinduzi wameuwana wenyewe kwa wenyewe. Baada ya miaka yote hii hapana faida yoyote ya mapinduzi.

КОМЕНТАРІ • 14

  • @charlesbibombe2301
    @charlesbibombe2301 Місяць тому

    Hongera Sana mzee kwa kuongea unachokikumbuka. Hakika Maovu hutendeka gizani, lakini mwisho hujulikana kwenye Nuru

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 5 місяців тому

    ✌️👊👍。

  • @nassorali4564
    @nassorali4564 2 роки тому

    Mzee amani upo juu ya mstari hakika

  • @hajisuleiman2770
    @hajisuleiman2770 6 років тому

    Alla.akuzidishie.kheri

  • @hashilfarahani4024
    @hashilfarahani4024 3 роки тому

    Shukran kwa somo

  • @asiasalimkapalato7463
    @asiasalimkapalato7463 5 років тому +1

    Nafatilia sana

  • @charlesbibombe2301
    @charlesbibombe2301 Місяць тому

    Kuna haha ya utawala Zanzibar kuwaomba radhi wahanga wa mateso. Huyo mzee anakumbuka kila kitu, na hii Ni imeandikwa

  • @hajisuleiman2770
    @hajisuleiman2770 6 років тому +2

    Sheni.mpakakujamba.aomberuhusa.halafueti.nrais.rais.rahis

  • @charlesbibombe2301
    @charlesbibombe2301 Місяць тому

    Matatizo Kama hayo kwenye jamii huisha kwa kufanya maridhiano na kuombana msamaha. Viongozi wenu wajiandae kwa Hilo.

    • @HassaniMzee
      @HassaniMzee День тому

      Wengi waliotendewa uovu huo wameshatangulia mbele ya haki msamaha aombwe nani

  • @xinyingmiao4996
    @xinyingmiao4996 3 роки тому

    Where is diria now on 2021