Naomba mnisaidie kunijibu hili swali huyu mzee anaishi nchi gani??!! mana hawa jamaa hawakawii kukutafuta wakakupoteza.
Hongera mzee
Allahu Akbar madhalim wakubwa hawa Allah aliwatpiga mihuri mpaka wakafikia pahali kila wavoadhibu watu wanahisi hawajafikia wanavotaka
Baada ya kupata uhuru kulikuwa NA serekali ya halali ilichaguliwa NA wazanzibari
Hivi wako wapi kwakibri chao ?
He was my father Hamad Nassor masouud who betted after fyuu das has did
Diria alikuwa ni nani? Msaada
Malipo yapo kwa Allah
Nafikiria salitawaliwa na kibri wapinduzi walijifanya waungu watu lkn si haba wameshafika mbele ya mola wetu
JAMANI MZEE HUYU ME NAMPENDA SANA,ANA KIPAJI SANA CHA KUELEZA MAMBO,KIFASAHA
True story
No
Huyu mzee ni muhimu sannna ktk kuijuwa historia ya kweli ya Zanzibar
لاغالب الا الله
😭😭😭😭😭
]KY hi
Wazanzibari waliteswa sana kupenduliwa NA kutekwa NA tanganika wewe ukingia Google youtu.be stini NA ine inasikitsh sana