AHADI ZA BWANA By: M. C. MABOGO
Вставка
- Опубліковано 6 лют 2025
- Karibu Utazame wimbo wa Tafakari
Mtunzi: M. C. Mabogo
Kinanda: Tumaini Swai(FM)
Sound Engineer: Ray Ufunguo
Director: Ray Ufunguo
Audio & Video by Rajo Productions
#kwayakatoliki #gospelmusic2023 #muzikimtakatifu #africangospel #catholicsongs #trending #viral #foryou
Nimependa sana wimbo
Karibu na endelea kuufurahia
Injili nzuri kupitia kwa nyimbo zenu
Karibu sana
Safi sana mabogo
Najivunia kuwa muumini wa dini ya romani katoliki ambamo kuna nyimbo nzuri hivi Mungu wape afya na nguvu waimbaji hawa waendelee kukusifu kwa nyimbo zaidi na zaidi nzuri nzuri
Ahadi zake zinatimia hakika
Amen
Huu wimbo unanibari sana daa jongeren sana wanakwaya 🎉🎉🎉
Asantee
Hongeren sn wanaboniface Kaz nzr ujumbe mzur pia
Asante sana
Wimbo nzuri sana❤
Tumshukuru Mungu wetu aliye hai
kazi safi watu wangu tuendelee kumsifu na kumtukuza Mungu wetu aliye juu
Hongera sana ndg zag kwa kazi nzr
MWANAFUNZI WETU ST.MAURUS CHEMCHEMI SECONDARY SCHOOL SUMBAWANGA
tunakupongeza kwakazi nzuri hii songa mbele kupambana uwezo unao
Wimbo unamafundisho manzuri
It's so nice song even i like the group songs though I don't know the language it's impressive may the almight bless your group thanks
Hakika ahadi za Bwana zinatimia kwa wakati ninakusubili Bwana utimize ahadi zako
Amen
Hongereni kwa kazi nzuri Mungu awabariki sana
Amen
Nywele Mungu hapendi kukoselewa
This is amazingly beautiful and inspiring, many blessings from Reddeer canada
Waah 🤗🤗❤️❤️❤️🔥
Composition+ singers + organist ❤❤
Kazi nzuri mnoooo🎉
Asante sana
KMB Mungu awabariki kwa kazi hii nzuri
Amina
Hongereni sanaaaa wapendwa. Mungu awabariki nyooteeeeee
Amina asanteee
@@tumainiswai_fm 👊
Nzuri nyimbo ,hongereni
Hongeren kwa kaz nzuri
Asante sana
It's a wonderful song to us 🙏🙏
Amen
Kazi nzuri wanabonifasi Sombetini arusha
Asante sana
Hongereni sana
Asante sana
Good!! Barikiweni
Amen
my all time choir❤❤❤ love you much my people
Big yes
Karibu
Safi sana hongeleni sana
Safiiiii
Asante sana ndugu
Hongeleni wimbo mzuri sana❤
Asante sana
Congrats Sisters and Brother's 💪
Thanks a million
Uimbaji hauna Shida ila kujiremba wapendwa nywele hizo ni chukizo wapendwa
Vdmate
❤❤❤❤❤❤😂
❤❤❤❤❤❤❤
Wimbo mtamu sana❤,, naomba mfuatilie wetu pia ua-cam.com/video/5A8_I3UqdYU/v-deo.htmlsi=GdYYc1TTIE53bYU0