NENO LA UZIMA. By Shimanyi FM (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 5 сер 2024
- Karibu Utazame wimbo wa Neno la Uzima, unaotukumbusha Kusoma na Kulitafakari Neno la Mungu katika Biblia Takatifu(Injili ya Yohana 1:1)
Mtunzi: Shimanyi FM
Sound Engineer: Ray Ufunguo
Director: Mdete TM
Audio: Rajo Productions
#holybible #kwayakatoliki #gospelmusic #africangospel #rajospecial #trending #viral #foryou
Kwani nyie Mt.Boniface Askofu na Shahidi Sombetini ni lazima nyimbo zenu zote ziwe nzuri!😂😂😂 mbona kila mkitoa lazima iwe hit song jaman!😊😊😊
Huyu Swai kila akikaa kwenye kinanda lazima nchi iburudike!!!❤❤❤
Huyu Mdete akitoa movie zake lazima kila mtu atake kuwatch😂😂😂
Aki mtakuja kutuua kwa raha sisi❤❤❤
Ni bwana anatutendea😂
Ni MUNGU PEKEE TUNAMTEGEMEA
Sifa na utukufu ni mungu tu
Mungu anatenda miujiza yake kupitia nyimbo❤
Bila kumsahau mtunzi wa nyimbo akiwa Ni shimanyi🔥
🎉 Audio na video quality 💯
Hongera sana kwa Rajo Productions na Video Director Mdete TM
Mdete 💥💥💥💥
Najivunia kuwa mkatoliki❤❤❤❤❤❤
Hongerani wapendwa wanakwaya wenzangu. Wimbo Mzuri ❤
Tamu kwa kweli..sauti zimenyooka na maneno yenye kutia moyo..midundo yavutia hadi utatamani kucheza bila kuona haya
Amen
Nimeupenda huo ushirikiano, Ray,Swai,Mdete na pia Shimanyi... Moto sana.
Asante sana
😅 lovely I like it
Bonifasi mmetishaaaaa
Asante sanaaaaaa
Ni Mungu tu jamani
Hongereni sana mmeimba vizuri mpaka mnatsha penda sana hii
Karibuuuuu
Wow sound engineer ❤100%😂
Kabisa
Ray ni sheeedah!
Wimbo mzuri sana hakika tumebalikiwa
Amen
🔥
Happy to see my classmate worshiping Christ wholeheartedly 🙏 🙏❤❤
🎉
Wonderful
Kazi nzuri sana, video quality, sauti nzuri sana. Hongereni sana kwa utume uliotukuka!!
Mwenyezi Mungu atukuzwe, nasi tutakatifuzwe🎉
Amen
Amen
Amen
Wow u sang so nice congrats all choir members. Iam proud of u mom I appreciate u(Anastanzia)😘😘
A combination of greatness. Kazi safi
Asante sana
Aminaaaaaa
Hongereni sana kwa wimbo mzuri. Nimebarikiwa sana kwa huu wimbo
Amen
Nice song, creatively done, congratulations singers.
Thank you so much.
Hongereni sana wamakwaya wetu,kuimba ni kusali mara mbili.
Hamjawahi kutuangusha,sauti nzuri na tamu zilizojipanga.
Mmeupiga mwingi watu wetu wa nguvu ninyi.
Mungu aendelee kuwapa nguvu,afya na uzima, muendelee kumuimbia Mungu zaidi.
Amen
Amen
Safi sana🔥🔥🔥
Asanteeee
Congratulations...i love you for your good work
Thanks much for your love ❤
Karibu tunakupenda pia
Mt. Boniface Mungu azidi kuwabariki sana
Amen mtu wa Mungu
Safi sana,, hongereni ❤❤❤
Asante sana
Mimi Niko Rwanda nawapenda sana mungu abapongezeye baraka
Amina
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤🎉🎉
Kwa kweli, melody zako ,huwa tamu sana @shimanyi.
Hongera sana Shimanyi
Kabisa na Mungu ambariki sana
Hongereni sana wimbo uko motoooo🎉🎉
Asanteeeeee
❤❤❤❤❤❤Nice
Thanks and welcome
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Watching nikiwa Kenya,Mwalimu shimanyi congrats for your good work,Naomba kutumiwa hiyo score
Mtafute Tumaini Swai 0756308654
wanabonifasi hoyeeeee
Hoyeeeeeeeeeeee
❤❤
Hongeren sanaa
Asante sana
🔥🔥🔥you made my day,nice vocals
Asante sana
Hongeren san
Asanteeeeeeee
Mh mmeinlisha vyema barikiweni pendeza sanaa❤
Karibu
Amen
Kazi nzuri sana nimebarikiwa
Amen
Amen
🕊️🔥🔥🔥🔥
Asante
Hongera kaz nzur mno❤😊
Asante sana
Asante sana
Moto❤❤🔥🔥💕💕
may the lord protect and shade you more lights as you continue in this ministry of spreading the word of the lord
Amen
Mnajua ni sweet criminal offence kuweka mdete na Swai Kwa pamoja sasa angalia mtaniweka niwe chizi🤣🤣🤣halafu wanakwaya wametulia ajabuuuu© heaven material 🤣🤣🤣siku moja mtatoa wimbo mshtuke Yesu amerudi kuimba na kusifu
⛹️♀️
😅😅😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂
Karibu katika utume
Mziki ichezwe sasa😂😂
Swai🔥🔥🔥🔥🔥
Karibu sana Monique
Acha Mwenyezi Mungu ainuliweeeeee
Kazi nzuri xna kwakwl tujipongeze
Asante sana
Tunamshukuru Mungu
Wimbo mzuri
Asante sana
Asante sana
Hongereni
Asante sana
Write words on the screen please
Noted