"KAMA WAMEWEZA KUCHOMA KARIAKOO, KUNA SIKU WATAKUJA KUCHOMA IKULU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 3

  • @taylorkasitu3819
    @taylorkasitu3819 7 днів тому

    Punguzeni kununua magari na misafara ya mabilioni ya fedha,ok fedha za madini ,utalie na mauzo ya nchi za nje zinaenda wapi mnazungumza fedha ndogo za madafu,

    • @IsakaNicholaus
      @IsakaNicholaus 7 днів тому +1

      Pia matumizi mabaya ya fedha mama anafanya sana . Hela anatoa hela kwenye magoli afu ategemee watu waone pesa inatumika vizuri. Hauwezi kulipa Kodi afu ziende kutumika kwa vitu unnecessary. Hizo hela alizotoa kwenye mamipira afu hospital hazina groves unadhani haiui moyo wa kulipa Kodi !? . Nina wasi wasi sana siku tukija kuambiwa deni la taifa tutamwaga machozi 😢

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 7 днів тому

      Mnateseka baashi yenu wakristo hatari huyu Mama kwa Uongozi wake bora mpaka mpaka aje kumaliza mda wake mtakuwa mumeumia sana na maradhi yasioambukizika mtakuwa mnaongoza​@@IsakaNicholaus