"WANANCHI WAPEWE CHAKULA BURE | CHAMA CHANGU HAKINA FEDHA | TUVUMILIANE" HASHEEM RUNGWE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 29

  • @songombingo108
    @songombingo108 5 днів тому

    Mzee ana hoja. Asikilizwe haraka sana tena leo leo😂😂

  • @mucky_perfume_store
    @mucky_perfume_store 7 днів тому +4

    MZEE RUNGWE ANA KITU TUMUANGALIE😂

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 7 днів тому +3

    Napenda sana kumsikiliza huyu mzee, japo anachekesha sana!.

  • @kalizabongo255
    @kalizabongo255 7 днів тому +1

    Charlse amecheka sana leo 😅😅😅

  • @NajmaNajmakimweri
    @NajmaNajmakimweri 7 днів тому +4

    Kumuhoji huyu mzee ni kipengele

  • @Salhamohamedimwampagatwa
    @Salhamohamedimwampagatwa 6 днів тому +1

    Mtangazaji naomba nionganishe nauyo mzee mimi naitaji kujiunga nachama cha chauma naitaji nijue utaratibuwake napmba uniunganishenae

  • @Desireyakubu
    @Desireyakubu 7 днів тому +1

    Nikweli kabisa huyu Mzee yuko sawa kabisa mimi huwa najiuliza kwanini wazee wetu walifukuza wakoloni ilihali hatujafika kiwango cha kujitawala sisi wenyewe angaliya sasa tunavo hangaika

  • @MsabahAli-d6u
    @MsabahAli-d6u 7 днів тому

    Mzee namkubali sana maana si chawa wa ccm ana msimamo na anajua anachokifanya

  • @TheNativeAfricans
    @TheNativeAfricans 7 днів тому +2

    bonge la interview hili na huyu mzee anajibu maswali kwa ufasaha sana.

  • @jumayussuf6786
    @jumayussuf6786 7 днів тому

    Lissu au mbowe wahoji please

  • @kinanaissango3492
    @kinanaissango3492 7 днів тому

    Huyu mzeee ni mkongwe sana kwa siasa

  • @husseinpatel2956
    @husseinpatel2956 7 днів тому

    One on one 🔥🔥🔥🔥

  • @ngangamtheboss9242
    @ngangamtheboss9242 7 днів тому +1

    Mzeee bhnaaa atupe wali

  • @HassanHassan-pe7kj
    @HassanHassan-pe7kj 7 днів тому +2

    ILA SIASA BHAN HUYU MZEE ALISEMA AKICHAGULIWA MASHULENI NI UBWABWA TU NA BAHARI YA HINDI ITAHAMIA DODOMA 😅😂

  • @timothykaiza327
    @timothykaiza327 6 днів тому

    Huyu mzee anaongea ukwel, na hiyo ya vyakula shulen na hospitalin kwa wanaoishi ulaya wanafahamu ndio iko hivyo. Huwez umwa na Unaweza vipi upate chakula.

  • @HassanHassan-pe7kj
    @HassanHassan-pe7kj 7 днів тому

    tupitisheni sera yabubwabwa tule biriani kila mwisho wa week😅😅

  • @karimuzuberi-nt3ki
    @karimuzuberi-nt3ki 6 днів тому

    Hahhah ubwabwa ni muhimu

  • @kelvinmasungakilunguja7539
    @kelvinmasungakilunguja7539 7 днів тому +1

    😂😂😂anajiamin mzee wa ubwabwa alafu anajibu Kwa ufasaha Kwa akili kubwa

  • @Mohd-wl1tc
    @Mohd-wl1tc 7 днів тому

    Ubwabwa ni lazima hashim

  • @petermilol2104
    @petermilol2104 7 днів тому +1

    Mkuu tunahitaji utufanyie mahojiano na Mwabukusi

  • @SanguleSalih
    @SanguleSalih 7 днів тому

    Watu zamani walikuwa wachache

  • @samuelseverua
    @samuelseverua 4 дні тому

    Ubwabwa ni lazma! Kati ya vyoooote, hili ndio muhimu

  • @mucky_perfume_store
    @mucky_perfume_store 7 днів тому

    MZEE WETU RUNGWE

  • @fahamnitwahir9249
    @fahamnitwahir9249 7 днів тому +2

    Mzee rungwe ungemuuliza huyo mwandishi ataje hayo mazur

    • @omarmwalimu92
      @omarmwalimu92 7 днів тому

      Hawa ni waandishi maroboti uwezo wao ni kusifu tu hawana uwezo huo,too weaker to reasoning,Mzee yuko smart na kama angetaka kujifunza,mzee ana madini

    • @fahamnitwahir9249
      @fahamnitwahir9249 7 днів тому

      @omarmwalimu92 amekazania mazur ya awamu hii,anatk mzee atoe sifa

  • @tallaskitundu1232
    @tallaskitundu1232 7 днів тому

    😂