Mungu akubarki saaaan Paul makonda akika mimi Yatima sina baba mama nae yuko mbali na mimi sina chakusema kbs Asante Asante Asante mungu akupe maisha marefu zaidi na mama yet mama Samia Suluhu Asahan mungu Awabariki ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉😢😢💪💪💪💪💪💪
So sad 😔😔 😔 nimelia sana... ila wewe ni mtoto wa kiume tena ni jasir sana Mungu akuwezeshe kwenye masomo yako... asante Mama Samia, asante Poul Makonda ila kama Makonda usingeteuliwa na Mama haya yote tusingeyajua Mungu awape maisha marefu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Huyu dogo akija kua mtu mkubwa atakua mtu mwenye kujali sana familia yke ana moyo y upendo sana atakaeolewa naye ajuwe atakua amepata mumee w kweli mwenye kujali masilaii
Waandishi wa habari waheshimiwe sana jamani' kazi kubwa sana wanafanya bila waoMakonda asingemuona huyu mtoto' MUNGU Kampitishia kwa waandishi wa habari kisha Makonda
Wewe ni malaika mungu akukuze vyema mm kama dada ako nimejisikia uchungu sana e mungu wng maisha ya hivi tusaidie mungu wetu,nimelia kwa uchungu najua nilichopitia wazazi wangu lkn sitachoka kuomba mungu🤲 mungu ibariki hii family na wasome pia
😢😢😢😢😢😢huu mtoto kaniliza sana mungu amkuze vyema nipenda alivyosema ameyakubali maisha yake yani kaniliza mimi kama mama imenipa uchungu kweli na mungu awalipe waliojittolea kumsahidia na atafika mbali ni jasiri sana manshallaah
Usisahau kumshukuru yule mwandishi wa wasafi alie kuoji, maana bila yule makonda na samia wasingekuona. Pia umtukuze mungu kwa kuigusa serkali na mioyo ya watanzania kwa ujumla.
Mungu ambarikisana yule mwandishi wa wasafi aliekuoji mtoto usimsahau yule, maana bila yule hata makonda asingekuona, pia umshukuru alie wagusa watu wote hao.
Pongezi kwa serekali yangu na Chama kwa kumuona mtoto .kweli mungu hajagi kwa mabawa anakujaga kama binadamu .nimefrahishwa sana na muitikio huu tusaidiane jamani watoto kama hawa ni hazina ya kesho kabisa.
Juudi za kijana mmpambanaji na imani yake ikaokowa maisha ya familya nzima.ongera sana kadogo endeleya na shule sasa.ulisema kweli mama li ex lako likujiya lifukuze halikukuja ulipokuwa kwenye ziki.mume kwa sasa ni uyo aliyefanya ujulikane na serikali mpaka waka amuwa kubadili maisha yenu.mpende sana kijana wako anakitu kikubwa ndani mwake.
Waandishi wa Habari wakati mwingine,, mnafanya vibaya kuhoji mtu,, anaye pewa msaada,, kuwa anataka kitu cha namna gani,, ulizeni vitu vya maana, vingine,, muwaache, wanao saidia wafanye kutokana na uwezo wao,
Mungu wangu muezaaa tunakuomba sie waja zako wababa tukomboe mbele na hizi kadhia tunazo wapitisha watoto wetuu sie.. mbona inaumiza kiasi hichi jmn ni mtoto huyu lkn anaongea yalomoyoni inaumaaa😭😭😭😭😭😭
😭daah ki ukweli jicho la mungu limemuona, amenikumbusha maisha magumu niliyowahi kupitia baada ya mama yangu kufariki nililala mpaka njaa nililala kwenye ardhi bila godoro nguo zangu ndio godolo langu. Jamani kuna watu wanapitia magumu maishani. Ashukuliwe mungu Sasa tumekuwa kwa uwezo wake japo tulitamni kusoma sana lakin tumehsindwa😭
Ndio maana mimi nimeshajiwekea nikimuona mtoto anauza vitu hua napenda kununua kama sitaki kula basi Nampa hela,Mungu ni mwema kila wakati ni baba wa wanyonge
Wakat mwingine wakina baba wanapitia magum sana kwenye maisha ya kuumiza wanaona wacha wasonge mbele inawezekana mama akajua thaman ya huyo baba lakin pia kwa baba hayo sio maamuzi sahihi na yenye busara tutumie hekima na busara hata kama hao wake zetu tumewachoka bora tuwe wawazi tu maisha yasonge mbele
Tanzania yetu ni nchi tajiri sana,kama tukiweza kusimamia rasilimali zetu kwa Nia ya kuujenga uchumi wetu,ili kuondoa wimbi hili la umasikini unao ikabili jamii yetu.Makonda wabane watendaji hasa wakurugenzi wa hizi Halimashauri wabuni namna ya kutumia mapato ya Kodi kujenga uchumi sehemu za utawala wao.
Dogo Allah akuongoze kwenye dini yko usali usimsahau Mungu wako yote Allah ndo alie kupangia hivi vyote sababu imekuwa Makonda na raisi Samia usiwasahau kwa dua tunakupenda dogo wetu
Ila waandishi wa habari chenga sana! Najaribu kujiuliza ni matukio gani mnayoyaibuwa nyie? Mbona camera zenu asilimia kubwa zinawafuata watu star then ndo mnaziweka trending kwani hamuwajibiki ktk spirit mna shida gani au mnataka habari zetu tulete na hela?
Huyu mtoto alipewa pesa sasa mbona bado analala chini jaman hata godoro bado halijanunuliwa au bado mnatumia video za awali na mama mtu kasema anapokea pesa nyingi sasa si aboreshe usingizi na asiseme tena kua anapokea pesa nyingi uskute hata hazijafika million hizo za kwenye simu ye anasema nyingi watanzania wenyewe ni watu wa kugeuka wasije kugeuka
Siumemaikia mama yke kasema wameambiwa wanahama baada ya miezi 3 wasinunue chochote zaidi ya chakula na mahitaji mengine kuhusu kulala vizuri wataenda kulala huko siku hiyo
anajitambua sana dogo, ana hofu ya Mungu, naomba Mungu amsimamie, hongereni viongozi kwa kumshika mkono
Mungu AKUBARIKI sana Mama Samia, RAIS kipenzi chetu, Mungu awapitishe pagumu san mama maadui wa wa fikra na maono yako THABIT! AMEEN
Mungu akubarki saaaan Paul makonda akika mimi Yatima sina baba mama nae yuko mbali na mimi sina chakusema kbs Asante Asante Asante mungu akupe maisha marefu zaidi na mama yet mama Samia Suluhu Asahan mungu Awabariki ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉😢😢💪💪💪💪💪💪
Nakupenda sana mdog mungu akufikishe mabali zaid❤
Nimeskiliza nikiwa omani nafanya kazi nimelia sana kama mzazi ninawatoto wenye umri kama wake inauma sana Allah amsimamie huyu mtoto
Nampenda. Sanaaa . Huyu mtt anajitambua sanaaa Mungu amlinde.. nililia San sk nilivy ona anaojiwa❤ Akika wakat wa Mungu ni wakt sahh
Kabisa Mungu humpa mtu kwa wakati wake..
So sad 😔😔 😔 nimelia sana... ila wewe ni mtoto wa kiume tena ni jasir sana Mungu akuwezeshe kwenye masomo yako... asante Mama Samia, asante Poul Makonda ila kama Makonda usingeteuliwa na Mama haya yote tusingeyajua Mungu awape maisha marefu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu azidi kukuongoza insha'Allah mwanangu umekua shupavu sana 😢kwa umri mdogo mungu ni wetu sote🙏
Huyu dogo akija kua mtu mkubwa atakua mtu mwenye kujali sana familia yke ana moyo y upendo sana atakaeolewa naye ajuwe atakua amepata mumee w kweli mwenye kujali masilaii
Huyo mzungu aliyemwibua ni mtangazaji wa wasafi yule Zungu
Yaan mtoto mtu mwenye akili sana anamshinda hata huyo dada yake,unaona hata hapo wanaosha vyombo ni mtoto wa kujituma sana❤❤❤❤👍👍👍👍
Waandishi wa habari waheshimiwe sana jamani' kazi kubwa sana wanafanya bila waoMakonda asingemuona huyu mtoto' MUNGU Kampitishia kwa waandishi wa habari kisha Makonda
Mungu amzidishie zaidi ya hivyo alivyo na pia mungu awabariki zaidi viongozi wetu
Mtoto upo vzur jmn hongera kwa malez hayo japo magumu lkn unajitambua sana akli ya kuzaliwa unayo Mungu akukuze na akutunze hivyo hvyo yaan
Wewe ni malaika mungu akukuze vyema mm kama dada ako nimejisikia uchungu sana e mungu wng maisha ya hivi tusaidie mungu wetu,nimelia kwa uchungu najua nilichopitia wazazi wangu lkn sitachoka kuomba mungu🤲 mungu ibariki hii family na wasome pia
😢😢😢😢😢😢huu mtoto kaniliza sana mungu amkuze vyema nipenda alivyosema ameyakubali maisha yake yani kaniliza mimi kama mama imenipa uchungu kweli na mungu awalipe waliojittolea kumsahidia na atafika mbali ni jasiri sana manshallaah
Pia😢😢
Amen
Kwa hakika CCM ni chanzo cha faraja na upendo kwa kila mtu, mungu ibariki Tanzania,raisi wetu,mwenezi wetu na wote wanao kitakia mema chama chetu.amen
Mungu mkubwa inshaallah mungu amjalie mama samia na makonda awalinde nashari nahusda inshaallah
Mzungu maskini ndo yule mtangazaji wa wasafi Mungu ambariki sn
"Nikakutana na Mzungu..".(anamaanisha Zungu ambae nimtangazaji wa Wasafi Fm na ndie aliemuibua huyu dogo hongera sana bro.)
Usisahau kumshukuru yule mwandishi wa wasafi alie kuoji, maana bila yule makonda na samia wasingekuona. Pia umtukuze mungu kwa kuigusa serkali na mioyo ya watanzania kwa ujumla.
Ni kweli kabisa kwa Mungu hakuna zito
Mungu ambarikisana yule mwandishi wa wasafi aliekuoji mtoto usimsahau yule, maana bila yule hata makonda asingekuona, pia umshukuru alie wagusa watu wote hao.
Ongera sana kwa mtangazaji wa Safi Mzungu tulikuwa tunakuona unamhoji mtoto❤❤❤❤
Sijui wababa wanaokimbia family zao kama mtoto wa miaka kumi kabeba Family wababa wasababisha family mnakwama wapi?
Hawana mwisho mwema watateseka daima ni laana
Saizi atajitokeza
@@fortunataangelo5575na wamama tulivyo atampokea amlie millioni Tano then asepe 😂😂😂
Nk upendo kuisha wala sio sababu yoyote
@@WiselightOfficial Upendo uishe baada ya kumzalisha watoto watano? Kwahiyo Upendo ukiisha ndo unatelekeza na watoto? Ni roho ya kinyama sana
Safi sana dogo Mungu akufikishe mbali.
Mungu azidi kuibariki hii familia🙏🙏
Pongezi kwa serekali yangu na Chama kwa kumuona mtoto .kweli mungu hajagi kwa mabawa anakujaga kama binadamu .nimefrahishwa sana na muitikio huu tusaidiane jamani watoto kama hawa ni hazina ya kesho kabisa.
Mungu akubariki na makonda mungu ampe miaka mia mbili
MWENYEZI MUNGU azidi kuyi bariki iyi familia nahuyo mtoto
Maraa paap..Baba anaanza kujisogeza.Nyieeee Wanaume😅Msitelekeze watoto😅
Subili badaaye uta muona kwenye mitandao😂😂😂
Mie namtoa nduki kama swala kaona Simba 😂😂😂
Alisha kufa baba yao
Mmmh kuna mtu kasema alishakufa wewe muogope Mungu unamuua mtu wakat mama kasema waliachana miaka 6
😂😂😂😂😂😂😂Yani wa baba wengine hawana aibu akiya Mungu
Juudi za kijana mmpambanaji na imani yake ikaokowa maisha ya familya nzima.ongera sana kadogo endeleya na shule sasa.ulisema kweli mama li ex lako likujiya lifukuze halikukuja ulipokuwa kwenye ziki.mume kwa sasa ni uyo aliyefanya ujulikane na serikali mpaka waka amuwa kubadili maisha yenu.mpende sana kijana wako anakitu kikubwa ndani mwake.
Mungu amtupi mja wake mungu wangu ujibue maombi ibariki family hii Amen
Waandishi wa Habari wakati mwingine,, mnafanya vibaya kuhoji mtu,, anaye pewa msaada,, kuwa anataka kitu cha namna gani,, ulizeni vitu vya maana, vingine,, muwaache, wanao saidia wafanye kutokana na uwezo wao,
Kweli kabisa wanahoji maswali yasiyo yamsingi
Iyo yote nikazi yamakonda akiongozwa kwauwezo wa mwenyezi mungu❤ mijitu inakaatu ofisini nakujiita viongozi uku wakiujumu Kodi mali zawalala hoi,wakilala njaa wakinyanyaswa nao ao wanaojiita viongozi ,
Kwa kweli mungu huwainua wanyonge, mungu utabaki kuwa mungu
Mungu wangu muezaaa tunakuomba sie waja zako wababa tukomboe mbele na hizi kadhia tunazo wapitisha watoto wetuu sie.. mbona inaumiza kiasi hichi jmn ni mtoto huyu lkn anaongea yalomoyoni inaumaaa😭😭😭😭😭😭
😭daah ki ukweli jicho la mungu limemuona, amenikumbusha maisha magumu niliyowahi kupitia baada ya mama yangu kufariki nililala mpaka njaa nililala kwenye ardhi bila godoro nguo zangu ndio godolo langu. Jamani kuna watu wanapitia magumu maishani. Ashukuliwe mungu Sasa tumekuwa kwa uwezo wake japo tulitamni kusoma sana lakin tumehsindwa😭
Amina mtoto mzur mwenyezi mungu akutangulie
Am happy for him wamekua na nuru utukufu kwa Mungu
Mungu wa Rehema kawatuma walio wake kusaidia Familia jina la Bwana lipewe sifa
Mungu ni mwema sana Mungu atamfanya kuwa mkuu wa wakuu
Hapo Mheshiwa Paul Makonda umefanya jambo jema sana.ni mfano unaotakiwa kufuatwa na jamii .Mungu Akubaliki sana
Mtt wa miaka 10 anahudumia familia ,,makonda una mtu apo unazunguka nae hahudumii watoto wake ,,,jina tunamuhifadhi kumsitiri
Ndio maana mimi nimeshajiwekea nikimuona mtoto anauza vitu hua napenda kununua kama sitaki kula basi Nampa hela,Mungu ni mwema kila wakati ni baba wa wanyonge
Maa shaa Allah
@@hawakiza6067 alahamdullillahi kumbe kila aliekua anamnunulia huyu mtoto alikua anamsaidia kulisha familia
Hongera sana makonda
MUNGU ni mwema kabisa kabisa Astaili kupewa sifa milele na milele AMEN AMEN AMEN
Huyu mtoto anajitambua sana mungu akupe kila la heri akika mwanzo mzuri
Mtoto yuko vzur sana mungu akubark
musimsahau kumshukuru mtangazaji wa WASAFI aliemuunganisha na MAKONDA
Anamkumbuka mwenyewe anamuita Mzungu 😂
Mama ubalikiwe kwa uvumilivu wako hukutupa watoto wako kwenda kuolewa ulionesha uaminifu kwa watoto wa Mungu na Mungu naye kakutendea uwaminifu
Mungu akubariki samia
❤❤❤❤ aki sida ni baya huyu mama anaseka
Mungu nimwema siku zote ❤❤❤
Amen❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤kwakweri hawa watu wamenirizaa wakati nawona videwo yawo😢😢😢😢yamwanzoni
Kweli dogo yuko vizur Mungu azidi kumjalia mema
Aamin yarab Aamin
nimelia sana mungu amlinde na asadi
Wakat mwingine wakina baba wanapitia magum sana kwenye maisha ya kuumiza wanaona wacha wasonge mbele inawezekana mama akajua thaman ya huyo baba lakin pia kwa baba hayo sio maamuzi sahihi na yenye busara tutumie hekima na busara hata kama hao wake zetu tumewachoka bora tuwe wawazi tu maisha yasonge mbele
Wasafi ndo kila kitu walomuacha aonekane tunamshukuru zungu wa wasafi tv
dah uyo dogo anaakili sana nataman kua namdog wang kama huyo
Tanzania yetu ni nchi tajiri sana,kama tukiweza kusimamia rasilimali zetu kwa Nia ya kuujenga uchumi wetu,ili kuondoa wimbi hili la umasikini unao ikabili jamii yetu.Makonda wabane watendaji hasa wakurugenzi wa hizi Halimashauri wabuni namna ya kutumia mapato ya Kodi kujenga uchumi sehemu za utawala wao.
Karuz mashallh anaaakili
Yan mtoto mdogo analea family et mwanaume mzima unashindwa kupambana kweli unaweza kua na mwil mkubwa ukawa na akil kama sisimizi
Kweli MAMA umesema neno la maana hakuna kuludi mwanaume hapo,maana alishakukimbia na kutelekeza watoto. Ukipata nyumba endelea kulea watoto wako.
Wanaume wote walokimbia familia zao wote mambwa Tena mungu awape hata vifo nawachukia kinoma
Tuwaombee maisha marefu il waone makuu ya Mungu tusitoe laana
Nimeriya jamani mm mtoto ameniriza sana 😢😢
Millard tafadhali mtembelee baba antony nakuomba unasaidia watu wengi mkumbuke na yule mzee
Mbona katembelewa iv karibuni kasema nyumba yake Aijaisha bado
Aka katoto kalisha kuwa
Tabasam lako Saiv limeonekana Asant mwanangu huenda ukawaamsha baba walotelekeza familia zao😢
Siku zote mpango wa mungu haujawahi kufeli
Sema nawashukuru wote mnaotusaidiya bila kutaja chama
Mungu ambariki zungu pia maana yy ndo alimuona kabla
Amiin yarab amiin
Dogo Allah akuongoze kwenye dini yko usali usimsahau Mungu wako yote Allah ndo alie kupangia hivi vyote sababu imekuwa Makonda na raisi Samia usiwasahau kwa dua tunakupenda dogo wetu
Nyooooo hadi macozi yanidondongo😢🤗❤️
Jamani daaah kuzaa kuzuri
M/mungu akukujaalia kizazi kilichoongoka omba mungu akupe watt wema wakufae duniani na akhera
Amina ni jambo la kumuomba sana Mungu wetu
Mungu abariki falie ya alihji
😂dogo nimemuelewa sana nishupavu watoto kamahawa ndiyowanafaa kuwa viongozi wa baadae
Mama usiseme vijana wa ccm kumbuka wanokusaidiya wote ni wananchi sio ccm pekee
Nimependa msimamo wa mama kuhusu mme wake wasijuane kabisa
hapo baba yao lazima arudi maaana hawanaga aibu hawa wababa wanaotelekeza familiya
Dooh nimelia aty
Kwenye mkutano akakutana na mzungu😂😂 mdogo ake haji manara
😂😂😂😂😂😂😂😂
😂kumbe ni yule Albino ndo anamuita Mzungu😂 nilikuwa sijamuelewa
@@faudhiasaidi3669 😃😃😃😃
😅😅😅ashukuriwe mzungu jmni🎉🎉
@@faudhiasaidi3669ndio yule mzungu wa wasafi ndio aliemuibua huyo mtoto
'7:20'''mimi siesabugi''' daaaah
Huyu mtoto ameniliza mimi Mungu ni mkubwa
Innallah maswabiln
Anajuwa kirakazi masikini😢😢
Mimi kwa kweli nimelia
😂😂 mtot anahakir San mung akurind san
Mtoto uyu hatakua kijana mkubwa sana
Wamama jamani tusitupe watoto maana hatujui kesho yetu
Alafu watu waseme etingakuna.pesa. Alhaji vp kaweza
😢 naumia sana
Ila waandishi wa habari chenga sana! Najaribu kujiuliza ni matukio gani mnayoyaibuwa nyie? Mbona camera zenu asilimia kubwa zinawafuata watu star then ndo mnaziweka trending kwani hamuwajibiki ktk spirit mna shida gani au mnataka habari zetu tulete na hela?
Dog anaumiza kwakweli ila waandishi nanyi mpuumzisheni basi kidog uyu dog
Dah mingus ni mkubwa
9:56 9:58
Paul nanii😅
Huyu mtoto alipewa pesa sasa mbona bado analala chini jaman hata godoro bado halijanunuliwa au bado mnatumia video za awali na mama mtu kasema anapokea pesa nyingi sasa si aboreshe usingizi na asiseme tena kua anapokea pesa nyingi uskute hata hazijafika million hizo za kwenye simu ye anasema nyingi watanzania wenyewe ni watu wa kugeuka wasije kugeuka
Siumemaikia mama yke kasema wameambiwa wanahama baada ya miezi 3 wasinunue chochote zaidi ya chakula na mahitaji mengine kuhusu kulala vizuri wataenda kulala huko siku hiyo
Tena huuo baba yake akija mtimue ni sumu huyo hafai
ROHO MBAYA mtaacha lini
Dg katoboa
ANAYEMLAANI MAKONDA LOLOTE LIMKUTE
Kumbuken muheshimuwa
Waandish wa habari wanamisifa mbwa hao umbea tu unawasumbua
😮😮😮
Good good 😂😂😂😂😂😂😂😂