NAMUOMBA RAIS SAMIA ANIPELEKE HIJJA MWAKANI MIMI SIJAWAHI KUWA MKIRISTO_ MAZINGE AKIONGEA KWA HISIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лип 2024
  • #AdilTV

КОМЕНТАРІ • 43

  • @edinafaustinez8514
    @edinafaustinez8514 3 дні тому +3

    Washenzi hii acheni ujinga wenu na mapepo yenu

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja 6 днів тому +1

    Masha allah mungu atakupelekaa makka kwa uwezo wakea

  • @shersaid7988
    @shersaid7988 9 днів тому +2

    InshaaAllah sheikh Mazinge utakwenda hajj.Ubarikiwe kwa kazi ngumu ya daawa

  • @user-kv8sq6qz7g
    @user-kv8sq6qz7g 9 днів тому +5

    Mazinge nguzo imara na hizina ya waisilamu na MUNGU anamlinda

    • @YasminYasmin-vj5ih
      @YasminYasmin-vj5ih 9 днів тому +1

      Dah Shekhe mazinge Allah akuhifadhi sn na akueke miaka mingi nakupenda sn huogop kitu yn dah huna nidhamu ya yoga ktk kuilingania dining half hn Tamaa sio hao wavaa Pete wakujisifia mitandaoni ninamagari na majumba❤❤❤❤❤

  • @zwinaalhabsi664
    @zwinaalhabsi664 8 днів тому +1

    Inshaaallah shekhe mazinge kwa uwezo wa allah utakwenda lihajji

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 9 днів тому +1

    Allah akuhifadhi sheikh wg Mazinge InshaAllah tuta kuwa pamoja

  • @hawa6052
    @hawa6052 8 днів тому +1

    Allah anatutosha inshaa Allah utakwenda nasisi pia tutafika inshaa Allah tusikate Tamaa

  • @user-dn7gn6ib4k
    @user-dn7gn6ib4k 9 днів тому

    Inshallah me too i can do something small like sadaka may Allah protect you i like him because of Allah ❤❤

  • @ashbilan13
    @ashbilan13 9 днів тому

    Na mimi pia namuomba mheshimiwa raisi wetu mama yetu mpendwa mama Samia anikumbuke kwenye hija ya mwakani jina langu liwe kwenye list yake natanguliza shukrani zangu na Inshaallah Alah ampe, afya umri na tufike salama

  • @Sofia-rf6nd
    @Sofia-rf6nd 9 днів тому +3

    Mashaallah
    Allah akbar
    Allah atuajalie nasi kwenda kuhiji mwakani
    Allahumma ameen

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 3 дні тому

    Mama Sam muone sheikh wetu mazinge na matajir mumuone mazinge

  • @seifserenge3340
    @seifserenge3340 9 днів тому +2

    Allah kwa uwezo wake atakujaalia na wewe uende kukamilisha hio nguzo. Nami namuomba mama Samia ampe taufiq akusaidie ili nawe uende Makka.

  • @saddiqsaddiq6880
    @saddiqsaddiq6880 8 днів тому +1

    Mnapenda bure

  • @HapsaHaji-bg5jk
    @HapsaHaji-bg5jk 9 днів тому

    Allah akushike mkono

  • @user-tu2ne7so3b
    @user-tu2ne7so3b 9 днів тому

    Acheni ujinga Allah akiwahitaji atawaita tu

  • @user-tu2ne7so3b
    @user-tu2ne7so3b 9 днів тому

    Mama gani zalim mkubwa

  • @user-tu2ne7so3b
    @user-tu2ne7so3b 9 днів тому

    Utaenda kwa uwezo Wa Allah , Samia muacheni Apeleke Wasanii Korea wakafirane

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 6 днів тому

      Kama Huwa anawapeleka na Allah anajua Hilo unafikiri Allah anakuweka wapi?

  • @user-qn8ig9ey6b
    @user-qn8ig9ey6b 8 днів тому

    Nnahakika kwa idhini ya Allaah babuu mwakani unaenda hajji

    • @hawa6052
      @hawa6052 5 днів тому

      @@user-qn8ig9ey6b Allah amfanyie wep

  • @user-tu2ne7so3b
    @user-tu2ne7so3b 9 днів тому

    Samia kibaraka wa kanisa

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 9 днів тому +1

    Mmmmm

  • @user13375
    @user13375 9 днів тому +1

    Uchawa had kwa din.....😮😮😮

  • @JeanMuzaliwa-bs6qh
    @JeanMuzaliwa-bs6qh 9 днів тому

    ubakilie uko uko kwenye lslam yenu ata mm sijawayi kuwa muislamu nasitawayi kuwa ww baki kuwa agent wa shetani bwana mazinge!

    • @faudhiasaidi3669
      @faudhiasaidi3669 9 днів тому

      Nasisi hatuķutaki uku baki uko uko hatuwataki wasio na akili

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 9 днів тому

      @@faudhiasaidi3669 wasio na akili timamu duniani ni waislamu ndio number one!

    • @AshrafBunu
      @AshrafBunu 9 днів тому

      ​@@JeanMuzaliwa-bs6qhATI Kuna Mungu akazaliwa kweli hamuna akili

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 9 днів тому

      @@AshrafBunu ndio gisi wanawadanganyeni mskitini ivo maana amusomewi sehemu ata moja just a story,kama kuna wajinga duniani ni waislamu!

    • @zainabumartin9520
      @zainabumartin9520 9 днів тому

      Achakutukana wisilamu tukana mwanadamu​@@JeanMuzaliwa-bs6qh

  • @mimiyeye123
    @mimiyeye123 9 днів тому

    Soma vizuri kuhusu hiyo sabato!
    Naamini utaachana huyo Allah wako aliyekosea vitabu vitatu (Torati, zaburi na injili) na kushindwa kuvilinda akalinda cha nne ( quran) 😅😅😅
    Over my dead body i can't be muslim

    • @user-gk3wz8wb3t
      @user-gk3wz8wb3t 9 днів тому

      Innalillahi wainnailaihi raajiuun pole sana mzee ww hulijui ulitendalo maana hujui nani anaekupa pumzi ya kuishi na ukafanya jeuri na kibri hicho ..Allah akuongowe

    • @jamilahjamilah4157
      @jamilahjamilah4157 9 днів тому

      Wee ndio ukasome vizuri sio mazinge au waislam ww una vikiri hiyo taurati na zaburi yy wasabato mnaisoma vizuri ya ss waslam hivyo vote vp kwenye Qurani huyo issa mariya yy mnase yesu mariya someni msiropoke

    • @mimiyeye123
      @mimiyeye123 9 днів тому

      @@user-gk3wz8wb3t hahahahah wew nyau kweli Mungu alijisahau kuvilinda vitabu vitatu mpaka wakati wa huyo kibenteni wa hadija? Mmepotea ndugu zangu Mungu ni mmoja tu na hakosei hata siku na moja

    • @mimiyeye123
      @mimiyeye123 9 днів тому

      @@jamilahjamilah4157 Mungu hawezi kuwa dhaifu namna hiyo kwamba alete vitabu badae aje na corrections we pimbi kabisaa

    • @yasirfaisal9723
      @yasirfaisal9723 8 днів тому

      Wallahi no one loses if u are not a Muslim Allah say death never come to unless u are a Moslem you will find it on your death bed

  • @maryammaryamm9548
    @maryammaryamm9548 9 днів тому

    Astaghafillah mhhm sabato ndio dini hiyo dini y mungu yesu au mungu babaenu au mungu mama maria NY
    Njooni kwenye dini mmepotea upotevu mkubwa