NCHI HAIJA UZWA MAKONDA AWASIMAMISHA"TUSIHARIBU UCHUNGUZI KUNA VITA KUBWA SANA TUKIKOSEYA TUKOSOLEWE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024
  • #AdilTV

КОМЕНТАРІ • 10

  • @user-fr3yx7ot9v
    @user-fr3yx7ot9v Місяць тому +2

    Hongera sana mh Makonda

  • @shinipapaya846
    @shinipapaya846 Місяць тому

    Huyu mwanajeshi anaesisitiza wazo la vijana kujiunga na Mgambo kwakweli anaakili sana mpaka zina mwagika kwa anachokisema tumuunge mkono kabisaa usalama ni kitu muhimu sana tena sana 👍👍

  • @user-nh1ds6gd8m
    @user-nh1ds6gd8m Місяць тому

    Nyie mnaongea sasa mbaka mnaboa. Yani kiswahili lakini mm siwalewi makonda hoyeeeeee❤❤❤😂😂😂

  • @user-sx1xi4yb2z
    @user-sx1xi4yb2z Місяць тому +1

    Mwangalie Sativa alivyotekwa,,na anadai alipelekwa police before kupelekwa kwenye mateso.
    Mnakera sana nyie polisi,,na mbinguni mtafika mmechoka

  • @user-sx1xi4yb2z
    @user-sx1xi4yb2z Місяць тому +1

    Bora wajeda hawachukui rushwa,kuliko nyie askali police,mliozoea kudai rushwa ya ngono na pesa

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri Місяць тому +1

    Dhamira hii nzuri ya kukosolewa ipo Arusha? Tatizo la ardhi na mifugo ya wamasai halipati ufumbuzi?

  • @peterfania1005
    @peterfania1005 Місяць тому

    Polis wa Tanzania hawana uzalendo wao ndio watekaji wanyanyasaji wa wananchi wasio kuwa na hatia wanaopigana kwajili ya nchi yao na uzalendo wao

  • @user-sx1xi4yb2z
    @user-sx1xi4yb2z Місяць тому +1

    Usalama hakuna wewe,,acha kudanganya,,watu wanatekwa na wengine kuuwawa,bado unasema usalama upo

  • @AbelNguluchaMasuke-oj7zy
    @AbelNguluchaMasuke-oj7zy Місяць тому

    Naomba namba ya mkuu wa takukuru ngazi ya taifa Nina jambo name la kumwambia

  • @user-nh1ds6gd8m
    @user-nh1ds6gd8m Місяць тому

    Nyie waongo mnazinguwa mbwa nyie baba makonda 😂😂😂